Chado ulivyo na kwenye hii muv tofauti ckutegemea kama hii sehemu ya uhuni ungeicheza vzuri kama hiv hongera sana ndo inavyotakiwa msanii awe, yan kila pande umo🎉🎉
kaka chado master kitengo unajua ad unajua zaid mwanng unabaya apo enyew bad poa toa vyuma aupingwii mzee movies zako Kali kinoma Kila inayo Toka Kali zaidiii mungu akubaliki hom boy utoe vituu UNAJUA @chadomaster
Eiwaaaaaaa nikwel kabisa na tukisemaga bass inakuw bass binafs nilimpenda mmewangu sana alikuja kuniacha na mimba😢😢niliteseka had mimba ikaharibika nimemchukia sitaman hata kumuona sai ndio yeye ananichimba kuomba samahan aisee namuona kama mdudu ananichefuw balaa
Nmecheka kwenye kubadili kidole cha kuelekeza kaweka cha kati anastuka mwishooo se mwamba anajua kinyama aan haboi hachosh ni fire alaf kidege upepo najma duh upo kwa roho yang mama
Chado kaka, jitahidi utume next video on time, kazi ikiwa Kali inahamasa sana kwa audience Kila time watu tunaingia you tube kucheki new uploaded video hivyo jitahidi cheza na.hisia na vibe la audience , hii project actually ipo good sana we both of us expect instant response ❤
This dude is real in acting 💯 oya mwamba umetisha alafu
Chado ulivyo na kwenye hii muv tofauti ckutegemea kama hii sehemu ya uhuni ungeicheza vzuri kama hiv hongera sana ndo inavyotakiwa msanii awe, yan kila pande umo🎉🎉
Mibange tu😂😂😂❤❤❤❤
Nawakubali sana wanangu big up Chadoo
Upendo mingi sana kutoka upande huu 🇰🇪
Mimi sitaki like hata moja ila huyu mwamba n 🔥🔥🔥
Wa kwanza Leo chando kazi mzuri bwana❤
Jamani nice❤❤ sema mnachelewesha saan jamani tunasubiiir mpaka basi!
Kanzi nzuri sana kaka ❤❤🎉🎉
Nikivuta Bangi Natamani Kuangali Chuma Kikalii Iki From Australia 🇭🇲🇭🇲🇭🇲
Mapenz na bangi bora bangi 😂😂😂😂 mapenz utapata ukimwi
😂😂😂Yan hiki kipande kime nichekesha
kaka chado master kitengo unajua ad unajua zaid mwanng unabaya apo enyew bad poa toa vyuma aupingwii mzee movies zako Kali kinoma Kila inayo Toka Kali zaidiii mungu akubaliki hom boy utoe vituu UNAJUA @chadomaster
Chadooo kayatimbaaaa hio huwa inatokeaaaa demuu anapooo kupendaa alfuuu unajifanya chiziii alfuuuu dakika za jion do unakujaaa kugunduaaa lkn utakuaaa umeshachelewaaaa
Me nimekuelewa San kaka ht me niliwahii kumpenda mtu ila akajifny aelew kit saiv sin ht mda naee yye ndo yupo busy n me
Eiwaaaaaaa nikwel kabisa na tukisemaga bass inakuw bass binafs nilimpenda mmewangu sana alikuja kuniacha na mimba😢😢niliteseka had mimba ikaharibika nimemchukia sitaman hata kumuona sai ndio yeye ananichimba kuomba samahan aisee namuona kama mdudu ananichefuw balaa
Jaman Sy Sr inauma san
Hyo nikawaida
Say kupenda acha nae
Wa KWANZA Mimi FROM Msasani Kama Unamkubali CHADO master Usipite Bila Kuchapisha COMMENT HAPA NA KU LIKE
Wa Msasani mwenzangu😊
@@neymichael1792 Kwa Pamoja Tunamuwakilisha CHADO MASTER WA MAMA MASTER
Wa malindi thanks chado
❤❤❤
Wow this is a nice series
Oda
Sana mwamba unaupiga mwingi chado kitengo chado masta
❤umentisha sana brothers huchelewesh
Chadoo Mashtaa...Wa Kwanza Toka Kenya..Nipeni Likes Zangu
Kuomba like tu kuoga aka.
Upewe kama nani yaani
Nzuri sana tunawapenda ❤🇹🇿🖐🏼
Wakwanzaaaaaa🎉🎉🎉❤
Like kwajili ya chado master mnyama nipeni like zangu tafadhali naomba jamani
Kuomba like tu kuoga aka
Chado unanikosha jaman na iko kindege upepe Najma❤️❤️ unajuwa sna brooo 🙌🙌🙌🔥🔥
Chado eee Ile momenti uliombeba kidem jau alipo kuja geto baada ya kutokea kaka ake na mjomba wake na wale askari daa❤😮 ulitisha sana
Kweli kabisa Bora msubaa kuliko mapenzi kudadadabo🤫🤫🤫🤭
Hiiiiii guys wa kwanz mim from USA 🇺🇲
Safi sana Chad kazi nzur
oyaa kidem jau muonee huruma chado so kwa kumkazia hivyo mwenzio anaumia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chado mzee baba unatunyima raha ongeza minute kwenye épisodes zako baba.
Tunaandamana huku tukipata burudani kali kutoka kwa chado master... big fan from +254🇰🇪🇰🇪
Wabongo munaweza aki ni no moja kwa kuigiza bugep timu shado❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Chado wetu moro kwetu❤❤❤❤❤❤❤❤
Tenaaaa 😂😂😂😂😂
Salute my brother Chadow kazi nzuri
Good good 👍🏾
Nimecheka hizo mbio sasa chado bangi zote zimeisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nakupa 🤚haai mama ngwengwe❤❤❤❤
😂😂😂😂 chado bhana ety mibange mlolusha mtalipia
I like hiyoooo😂😂😂 hahaha wahuni bana wana misemo yao ya hajabu hajabu😂😂😂
Chado mastaaaa,, nakupenda sanaaaaa❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Chado vizuri jitahidi
Chado master chama la Wana ❤🎉❤🎉❤
Nawafatilia nikiwa oman mubarikiwe sana kazi mzr 😘😘❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Najma😂😂 ati akinunua unga atapikia apa apa,khaaa! 😅😅😅😊...🎉🎉🎉🎉 ya kwenu nyote team chado
Wakwanza impossible
Nmecheka kwenye kubadili kidole cha kuelekeza kaweka cha kati anastuka mwishooo se mwamba anajua kinyama aan haboi hachosh ni fire alaf kidege upepo najma duh upo kwa roho yang mama
Chado masta uko vizuri sana,,,,tena.
Unyama mwingi 🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sana chado👌👌👌👌
Chado Mimi pia nakupenda kweli nikubalie basi na usiogope Mimi sio mwanafunzi from 🇰🇪🇰🇪
Jmn chado nakupenda bure ❤❤❤
Chado Master We Love You Brother From Australia 🇭🇲🇭🇲🇭🇲
Duh! Uyu chado noma kiukweli ona anavyo cheza kuwa Bandia,nipo kongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Chado na msemo wake wa tena😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Naomba no ya chado
❤❤safi📌🇰🇪
Kidem jau bado anampenda chado masta ❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaz nzur❤
Ngadaya mimi nakupenda hivyo hivyo 😊😊😂😂😂
Nakubali sana kazi imesimama
😂😂😂😂😂 hamn siku nimecheka sana kama Leo watu wanafukuzana wakaangusha vitu za mzeee na yeye akaamua kuunga chado weee 😅😅😅😅😅
Umeyatimbaaaaaaaa😂😂😂😂😂
Hapo powa👍👍👍👍
Jaman hivi huu mchezo mbona umeishia vibaya bob
Chado unajua mpaka unajua tena walah ❤
Masta mwenyewe
Unyama flani hivi 🔥🔥🔥🙌
Kutoka Kenya,,,bangi muimu😅😅
Mapenzi na bange bola bange kula bange wwee smoke 🚬 😅😅
Much love from Burundi ❤ chado
Kak weka na bango mtu akihudumiwa aondoke
Kam unamkubali kidem jau gong like apa
Hii muvi mngeiita k
Kidem jau
Kindege upepo
Nikali sana 💯💯💯💯
😂😂😂😂 mapenzi na bangiii mwanamwande kala bong la mtama❤❤❤
Chado kaka, jitahidi utume next video on time, kazi ikiwa Kali inahamasa sana kwa audience Kila time watu tunaingia you tube kucheki new uploaded video hivyo jitahidi cheza na.hisia na vibe la audience , hii project actually ipo good sana we both of us expect instant response ❤
Namkubali sana chado na huyo mtoto
Safi sana 🎉🎉🎉❤❤❤
Kaje getho Ukapige mande😅😂😂😂
Ati niskilize we malaika😅😅😅
Chado kawa kam ka mbu😂😂😂😂 kwa la dem
Dady kafanana na bilinasi.Ila kabinti akinunua unga si ndo atapika apa apa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅.ukiapa clam vevo namber2 yangu ni chado master.ali dadi chuma
We kweli huna macho Dadi na Billy nass wap na wapi ? Dadi kafanana na Chege Chigunda 😂😂
U people mnakosha🔥🔥🔥
Chadoo chukua maua yako ❤ ur the goat ever
Hanifa jamani tuna mu miss 😢 chado kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunakubali
Oya umetisha kitambaa cheupe chadoo
Anifa yuko wapi Epsode ya 9 simuoni😢😢?? Mliomiss kama mim like apa 😂
Kuomba like tu kuoga aka
Hilo dole sasa😂😂😂
kazi safi chado ❤❤
Movie ni nzuri chado lakini vipande vya movie nividogo na pia inge kuwa kila siku ingekuwa powa sana
Chado dole la kati tena vipi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Apa yenyewe kichwa brich 😂😂 kimewaka moto😂
Unyama sana👊👊👊
Hongera bro umeweza hapo
Kazi nzuri chado ni moto
Kwa hyo umesema tukule bangi tuache mapenzi tusife vibaya 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂❤❤🚬🚬🚬
Nice muvi. ❤❤
Na mimi namupenda chado ❤
😂😂😂chado nakikubali sana hichi kigoma
Goooood work tanzania bem vindoooo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 comooo estas amigo aiii tas bemm
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂 Dah chado bhana ety tenaa😂😂
Bara bang from mozambiqui🇲🇿🇲🇿❤