Ama kweli usione mtu na tabia flani ukamhukumu bila kujua yalonyuma ya pazia...hii dunia watu wanapitia magumu,mfano chado alivyojieleza😢 ila pia KUJIELEZA ni muhimu "speak your heart " kazi nzuri team chado🎉🎉🎉
Chado umetisha sana pia huyo mdada muuza gongo kwenye movie zingine nilikua simwelewi ila akiendelea kuigiza kama kwenye hii movie itakua poa vitu kama hivi Chado poa sana
Respect nyingi sana kwa U.S.A gangsta chado master na team yake yote🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥 hili ni bonge moja la picha na tunatamani lije kupata tunzo huko mbele ya safari
@@Kabeya410 kabsa kuna watu wanaishi nao bila woga ushauli mwingi upoteza laza ya movie Kwana ana weza kumlea mpaka atakapo maliza na maisha yaka endelea baadae
Broo mm ni shabiki yko mkubwa Niko tyri nchkue sim ya bi mkubwa ili tu niangalie movie zako alfu mission impossible toa muendleze harka broo movie ni Kali knma Ila nakukubali kinoma noma
Good acting Chado masta, kutoka kua mkali kua romantic kua dhaifu na kulia yote kwenye scene moja 🙌 Tukiacha ushamba wa kuomba Likes tunaweza kuandika maoni yatakayofanyiwa kazi na kukapatikana bonge moja la Series
Yaani hii sehemu alocheza chado na uyu demu wake nimeirejea si chini ya mara nne hongereni sana mmeweza from qatat
Ww na mm hatuna tofauti😂😂nimeirudia kama mara 7 sai
Naipenda
Ama kweli usione mtu na tabia flani ukamhukumu bila kujua yalonyuma ya pazia...hii dunia watu wanapitia magumu,mfano chado alivyojieleza😢 ila pia KUJIELEZA ni muhimu "speak your heart " kazi nzuri team chado🎉🎉🎉
Yes team chado
Hta mm pia nime fill in love jamani haki mateja wanajua mapenzi hki ya nani
@@EshaBby vizuri, we kuweza🤣
Niko apaa mwangu sana
Nitakuwa naww bega kwa bega chado master mpaka kieleweke mwanangu sio pouw move zako ziko kwarity sana ❤❤❤❤
Chado umetisha sana pia huyo mdada muuza gongo kwenye movie zingine nilikua simwelewi ila akiendelea kuigiza kama kwenye hii movie itakua poa vitu kama hivi Chado poa sana
Ngadaya nimefurai sana ulivyo mkatam yule mwananke
Yanii hii movie leo nimeirudia karibuni mara tano kk chado unajuwa sana
Angalieni movie mkosoe na kusifia siyo kuomba like za nyoko kazi nzuri chado
😂😂😂😂 Ukolofii huo
Kwel
Kweli
Tangu series ianze sijawahi pewa likes ata 200
Kuomba like tu kuoga aaah
Goood
Perceb e gostei
Hii 200 umezitengeneza ww
Wakwanzs leo oyee from Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿nipeni zangu jamani like tu
É nós familia
umeniwai
Isso mesmo Kaká from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿😂❤ tumewai leo
ukishapewa zikusaidie nn
Kuomba like tu kuoga aka
Hakuna kitu napenda kama mwanaume analia namuona yaan hua nasikia raah sana
😂
Hiyo ndo you like sio😂😂😂😂
Heee makubwa
Kwanini
😅😅😅😅😅😅@@givenmgaya8889
Chado leo umejiridhisha sasa usiwe na papara anza kumfanya kakayake awe mpole ili uwe na Amani
😂😂❤❤ nikajua nime wai chado na ngada nyama nyama nyamaaaaaaa😝😝😝😝😝😝😝😝😝
Kazi nzuri sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Chado master utajua Hadi basi ongeleni kwa kazi nzur
Ichi kimuvi kinanipa jaka moyo ❤Mimi hatariou makopa kopa kwaajili yao❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Master wetu kazama na mtoto wa 200
My broda chado iiyi love story inanikumbusha bitu mingi big up sana
Tujuane tu ndugu zangu maana kila mmoja erty wakwanza🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉chado umetisha Sana iyo bongera firamu
Chado kitengo..nakubali bro kazi safi
Oyaaaa we chado master umeupiga mwingi😅😅
Gandaya hyo ndo dawa ya mwanawake , wanaona taka kufka kilelen,
😂😂😂
Jaaaaaaamn chado unajua mpkaa unajuaa tenah Nakupenda saaana
Najima uko vizuri sana kwenye kipande chako ❤❤❤
❤❤😂😂chado Mapenzi niuwe lol nimependa kicheko Cha chado Cha mwisho
Yan chado unanikosha mm jamn stakii hii movie iishe mapema❤❤❤😅😅
From U.S.A nakukubali sana ❤❤🎉
Wakwanza from south Africa 🇿🇦 naombeni likes zangu plz😢
Msaudhi kwa kuomba like kuoga aaah
Aaaàaaachado mbona unataka uwa😂tukasubir kamalize shule ataivo katakuwa kamishakuwa navinyama vitakuw vimeongezeka😂❤vyema love imerid❤❤tena utam🎉🎉🎉
Hili dude mjue ni international class keep it up...chado masta to the world wide ila kwa kidemu jau tutagawana majengo ya mama samia
Oy wazee Geto kugumu sana jamani
maswali gani hayo ndg yangu chadoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inaonekana hata chado bado ni bikra maana si kwa maswali hayo 😂😂
Respect nyingi sana kwa U.S.A gangsta chado master na team yake yote🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥 hili ni bonge moja la picha na tunatamani lije kupata tunzo huko mbele ya safari
Jamani chado na najma muko vizuri ❤
Movie nzur,japo imenisimamisha kazi ila i like🔥🔥🔥🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Wakwanza Leo chado nipe like zangu
Kuomba like tu kuoga aaah
Aseeeee chado TU ND anaefaidi muvi nzima na vimahaba ya student
Ngwengwe na mmke bwana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤kanawa gongo
chado katika mvois nafwatilia hi yako inatisha alfu ww hautuchelewesh kwel
Daaaaah kumbe mamaake ngwengwe ni mzguaaa haswaaa nimeipenda❤❤
Yuno nimzigula kabisaa naho wakaya kwetu handeni.
Chado huyu bint ni sawa na mwanao usisubutu kufanya hawara utauwa
😂😂 mpaka anamtaka anajiweza huyo
Sawa lakini syo mwanawe 😅😅
Hii movie tu siyo kweli wanaigiza siyo kweli kama unvyoshauri ati sawa na mwanao
@@Kabeya410 kabsa kuna watu wanaishi nao bila woga ushauli mwingi upoteza laza ya movie
Kwana ana weza kumlea mpaka atakapo maliza na maisha yaka endelea baadae
Sasa binti mwenyewe anajieza😂😂😂😂😂
Kazi nzuri saana master chado
Yani hichi kipande nimekipenda sana umeuwaaaa chado na kidemu jau😊😊
Chado hii noma sana likes zangu kutoka nairobi kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani adi raha mashallha nimefurai chado na uyu najma kwa penzi lao ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Chado matser❤ Sema muhuni kapagwa 😅
Watching from kenya,... nice series,... keep it up!
Movie ni mzur sana ila dakika wanaziweka kidogo bora muchereweshe kutoa ila dakika ziwe nyingi angalau nusu saa tu inatosha
Nakubali sana kazi yako kaka chado
Wa kwanza jamani 🎉🎉🎉❤❤
Chadooo ee nimekukubali sana tena sanaaa
Sema mnazinguwa manachepewesha sana jamanj mtusifanyiye ivo
Mnachelewesha sana bwana
Yani chado na najma ni mimi na mume Wang jamn 🤣😅😂
Nampenda hanipha❤😅😅pole 😅
P
Hio I like 😂😂😂😂 From Australia ❤❤❤
MI ndo I like hiyo
Bro you make proud of you
Wakwanza Leo nipeni likes na mm
Chado apo geto sijajua ilikuwaje ukafikiq kulia mbona au ndio mbinu mzee demu kashakuja geto 😅😅😅😅mchugq kayakanyaga kwa ngadaya😂😂😂
Ngadaya wazi mzee baba. Huyo dada lazima apeane saluuuute
Ngwengwe hita kunyumba kaifise imhombe use kumwinhka......umenifrahisha sana mama ngwengwe
Chado na kidem cha shule ❤❤
Leo mapema sana tumeinjoi
Wa kwanza leo, jaman like nyingi kwanguuu🎉
Huyo Si Kama Mtoto Wako Jaman
Chado kazi nzuli bro 🎉
Wakwanza from Zambia
Chado master chukua maua yako kaka🌹🌹🌹🙌
Naipenda Sana. Couple yenu, kidemu jau na chado master😅
Jamani mm nampenda shado akiwa na Najma nafurah sana
Jamani hiyo nyimbo yaitwaje😊
Broo mm ni shabiki yko mkubwa Niko tyri nchkue sim ya bi mkubwa ili tu niangalie movie zako alfu mission impossible toa muendleze harka broo movie ni Kali knma Ila nakukubali kinoma noma
Ya Léo naamani isiishi 🎉🎉🎉Chado nakupenda bure ❤❤❤
Ngadaa pasua uyo mtu😂😂😂 c alileta dharau😂😂😂
Ahaaa chado umewez sanaaaa najm nakukubali sana❤❤❤❤
Shado kasha nogea daaaa yani hio ndo I like 😂😂😂 Burundi to South africa 🇿🇦 ❤
Good acting Chado masta, kutoka kua mkali kua romantic kua dhaifu na kulia yote kwenye scene moja 🙌 Tukiacha ushamba wa kuomba Likes tunaweza kuandika maoni yatakayofanyiwa kazi na kukapatikana bonge moja la Series
Tenaaa 😀😀Hyoo Ndio I like Chado unajuwa wewe
Jamani nakupenda chado movie zako mashllah ❤😊
Chado❤❤ nakupenda 🤭
Jaman najima busu adi laha❤❤❤❤
Wakuanza Léo from mz
😂😂😂 ila mapenzi jamani nyiie chado anatabasamu
Kweli aichukui nafas ya doctor ila inatoa tiba ya ngadaya😂😂😂😂😂😂
Yaan ichi kipande gafra kinenitoa chozi hakika kumbe wahuni sio wt wabaya
Yn chado hii movie mmeweza sana❤🎉
O esperado saio, I'm from Mozambique 🇲🇿
CHADOOOOOOOO chukua maua yako umetisha from Kenya🎉🎉🎉🎉
Yani Kila mtu ni wa kwanza ,na mm je?😂😂😂😂❤❤❤❤
Nimependa busuu la najma
Chado script iko sawa hiyo mkubwa wangu
Pambana mjeshi
Mapenzi bhana leo chado unalili mapenzi,upo vizuri kaka bila kumsahau ngadaya kafanya kazi nzuri kumnyoosha mtu
Chado umenywea aki 😂😂😂❤eti una sigarq hapo 😅😅😅
Oa Leo humu tuu Ngadai is come back kubababakeee 😅😅😅
Mauwa yngu yaende kwa najma❤❤
Aki mapenzi ww😹😹sinipate wakumpenda jaman 😢😢
Namkubali ngadae star ila nawafunzaa wanawke wenye tamaa y mapenzi bila kujali walikotoka n aliekua mwendani
Hivi gadana unawaka🔥🔥🤣🤣unataka kumtia mtaro...eeeh
Big up ngada mwendo wa kunyoroshaa tuuu kikubwa respect
Ngadqla bola ulivyo mtema mana huyo c mwanamkeee
Yaan mwamb uko vzr ila uxilie mbel ya mwanamke
Napania kila siku niwe wakwanz lakin nafel😢😮❤❤❤❤