The Story Book: RIHANNA Ni Mtamu Tangu Utotoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 425

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwenye Enzi Mungu amemuumbia kila mwanadamu kusudi lake hapa Duniani, jambo la muhimu ni mtu mwenyewe kutambua kusudi la maisha yake na kuliishi. Hatupo hapa Duniani kujinufaisha sisi wenyewe binafsi tu. Asante.

  • @jabezronn7191
    @jabezronn7191 2 ปีที่แล้ว +72

    She's beautiful and has that sweet voice
    Inspirational to many🔥❤️

    • @zsquare4482
      @zsquare4482 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/OWUTIrjCC1c/w-d-xo.html

    • @feisalseleman5098
      @feisalseleman5098 2 ปีที่แล้ว

      Kama wiki iliyopita usiku niliona story ya yule dada wa zanzibar aliezika mtu na kupanda miembe ila nilipitiwa na usingizi,sasa naitafuta nirudie kusikiliza sioni..nini tatzo

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว +2

    Kihukweli asante sn mtangazaji nilikua sijui km riana ana uwezo kiasi iki mungu zidi likupa nguvu

  • @haikakimaro8530
    @haikakimaro8530 2 ปีที่แล้ว +6

    Namba 2 sio mbaya yuko nyuma ya role model wake Madona 😍😍😍

  • @kessywasha5680
    @kessywasha5680 2 ปีที่แล้ว +18

    Shine like diamond man down, and rude boy are Best songs for me from to Rihanna

  • @emiliayona1744
    @emiliayona1744 2 ปีที่แล้ว +54

    nimejikuta natoa machozi na hii story naamini iko siku ndoto yangu ya kuwa mwigizaji itatimia🙏

    • @travisscoot7797
      @travisscoot7797 ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏

    • @BarnabaDionizi
      @BarnabaDionizi ปีที่แล้ว +1

      Tutayafikia Lin jaman

    • @manasotz9102
      @manasotz9102 ปีที่แล้ว

      ongeza kulal upate sasa

    • @IsaacCommercial-yb5fm
      @IsaacCommercial-yb5fm 11 หลายเดือนก่อน

      Usikate tamah

    • @SAYFANMUSSA
      @SAYFANMUSSA 9 หลายเดือนก่อน

      Mm naww ndoto yet ni moja ila kwanza tutafute pesa then tutafute walogaji wako wapi

  • @chrisdrcofficial1927
    @chrisdrcofficial1927 2 ปีที่แล้ว +53

    Rihanna sio mtu wa kawaida . And she is so beautiful 😍 I can't explain about that 😍❤

  • @kevinmiruka2777
    @kevinmiruka2777 2 ปีที่แล้ว +5

    asante sana mwalimu mi nakufuatilia kutoka kenya naomba utuandalie ya msanii avicii

  • @boydavid5609
    @boydavid5609 2 ปีที่แล้ว +32

    Toliokuja kuangalia kisa kaandikwa MTAMU TANGU UTOTONI gonga like apa!!

  • @goustonefrancisisole2534
    @goustonefrancisisole2534 2 ปีที่แล้ว +17

    So weird! No tale over 'If it's loving that you want"... One of the loviliest by Rihana!

  • @aisharamadan3620
    @aisharamadan3620 2 ปีที่แล้ว +10

    Mashaallaah RIHANNA MUNGU AKULINDE

  • @makeitcount4315
    @makeitcount4315 2 ปีที่แล้ว +36

    She is the first billionaire woman musician😎🔥

    • @matrixlolaxtv8438
      @matrixlolaxtv8438 2 ปีที่แล้ว

      Second first is kanyewest

    • @makeitcount4315
      @makeitcount4315 2 ปีที่แล้ว +2

      @@matrixlolaxtv8438 I said billionaire woman not generally, but if it's general she is the third after kanye west and Jay z

  • @Brihanamvp
    @Brihanamvp 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mdada ukisikiliza story yake unajua kabisa amebarikiwa na Mungu she’s so blessed

  • @hakeemlionafrica6870
    @hakeemlionafrica6870 2 ปีที่แล้ว +10

    Mwanangu mm nakufatilia sana unaweza na unaelimisha pia ... keep go forward my homie your good 🇹🇿🇿🇦🤙

    • @issamgonja3498
      @issamgonja3498 2 ปีที่แล้ว

      Lakin kwa simulizi kwa mtiga bado Tanzania hii hakuna

  • @irenekikoti1231
    @irenekikoti1231 2 ปีที่แล้ว +2

    kwa kweli nomba uangalie hizo comment kuhusu diamond jmn nomba utuletee kuhusu diamond kwa sababu nyingi nkianza kuongea ctamalz jmn nomba iletwe kwa kweli 😍😍😍😍😍

  • @brothers3243
    @brothers3243 2 ปีที่แล้ว +9

    Tunaomba naya nguli wetu wa bongo flavor @ diamond platnumz 🦁🦁🦁

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 ปีที่แล้ว +16

    Kwa kiarabu Rihana. Inamaana ya mti wenye harufu nzuri. Huo mti pia ni dawa km idin. Wanatumia wakijikata. Kiswahili tunauita mrehani.

  • @ancyrom6929
    @ancyrom6929 2 ปีที่แล้ว +21

    amazing job mr jamal keep the story book rocking

  • @franciskiunga4796
    @franciskiunga4796 2 ปีที่แล้ว +2

    We wacha hiyo maneno bwana 😆😆😆tumehoa na tukapata watoto 👍alaf pili, tuliokoka, yesu ni bwana, mkombozi wa maisha, yetu,

  • @sovajulius3870
    @sovajulius3870 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijui why nimelia.Rihanna God sent you to be what you are today and to show the world that everything is possible Never give up Go beautiful lady.

  • @peterkisomezi7101
    @peterkisomezi7101 2 ปีที่แล้ว +10

    brother Jamal ukovizur xana big up😍💯🔥🔥🔥

  • @MartinKasyoka-dc2sp
    @MartinKasyoka-dc2sp 9 หลายเดือนก่อน

    God keep u na jamal the story book ibaki milele God keep u strong

  • @ahmadimnonya7350
    @ahmadimnonya7350 2 ปีที่แล้ว +4

    kaka jamr wewe ni mzuri sana kwenye story na kama kuna tunzo bas wewe utabeba iyo tunzo

  • @alindingo1382
    @alindingo1382 2 ปีที่แล้ว +13

    The story book ibaki milele...!!

  • @patisondidas6720
    @patisondidas6720 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante San kwa kuipandixha hewan story hii🙌

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 2 ปีที่แล้ว +11

    So Beautiful inside and outside 😍 💕 Rihanna

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 9 หลายเดือนก่อน

    Rihana kila baada ya mwaka au miaka 2 alikua anabadilisha mpenzi. She real enjoyed her life!

  • @CannySoudy-w6p
    @CannySoudy-w6p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ndoto yangu inatimia yakuwa msanii tokana na rihanna

  • @dennismussa8868
    @dennismussa8868 2 ปีที่แล้ว +11

    She is definitely one of the world most gorgeous lady 😍

  • @sabrinamkinga901
    @sabrinamkinga901 2 ปีที่แล้ว +10

    She is amazing that why I love her 💕Most best song I like it's" Stay"

  • @johojnrmgenge2740
    @johojnrmgenge2740 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sana kaka.....sasa leta ya rapper mkali wa kike kuwai kutokea Nicki Minaj its so interesting to learn something from this strong woman

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee amepita nao wa kutosha! Daah hongera! Japo umbrella song siooo! Kiimani ni noumaa!

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana my brother from another mother

  • @frankjohn702
    @frankjohn702 2 ปีที่แล้ว +4

    Bro itabidi uandike na kusimlia story yang, kama mtu wa kwanza kufika sayari ya pluto💪💪💪

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 ปีที่แล้ว +35

    Kipaji cha Rihanna sio poa, sauti yake tu ni hatar. Kuna ule wimbo wake mmoja unaitwa LOVE ON THE BRAIN.. Anakaaga miaka mingi bila kutoa ngoma mpya

    • @pmall8867
      @pmall8867 2 ปีที่แล้ว

      Me na penda What Now...

    • @deodatusmwacha719
      @deodatusmwacha719 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@pmall8867mi napenda LOVE ON the BRAIN NA where have you been

  • @candypowz1274
    @candypowz1274 2 ปีที่แล้ว +2

    Break it off ni nyimbo yangu pendwa kwa Rihanna ❤️

  • @cecileatimango3799
    @cecileatimango3799 2 ปีที่แล้ว +3

    American dream my favorite song from her

  • @sammywaka1646
    @sammywaka1646 28 วันที่ผ่านมา

    Actually it's a touching 😢 story...she will do more exploits now that she has given her life to Christ 🙏

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว

    hapo kwenye mahusiano rihanna wewe ni kiboko unahitaji TUNZO ila hongera sana wewe ni mwanamke wa nguvu

  • @sangaikaka1083
    @sangaikaka1083 2 ปีที่แล้ว +3

    very beautiful story...RIHHANA you are a good soul

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 ปีที่แล้ว +12

    tuseme ukweli nampenda huyu mwanamke mimi sana

  • @quitonkarani2260
    @quitonkarani2260 2 ปีที่แล้ว +30

    Nice work...tufanyie biography ya jetli

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 2 ปีที่แล้ว +16

    RIHANNA ⭐🙌

  • @graceyesse6303
    @graceyesse6303 2 ปีที่แล้ว +6

    I love Her ♥️🔥🔥

  • @Sniper-zs3vr
    @Sniper-zs3vr 6 หลายเดือนก่อน +2

    May my dream come true ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @feli6manangu182
    @feli6manangu182 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka asante sana Mungu alibariki kazi yako yote 🙌🙌🙌🙌

  • @officialshaziiitv
    @officialshaziiitv 2 ปีที่แล้ว

    unyama sana mr professal jamal april ila ungefanya juu chini na @mtiga abdallah arudishwe apo boss🙌🙌

  • @petronilamtei7470
    @petronilamtei7470 2 ปีที่แล้ว +27

    she is amazing 👏

  • @theonasarsen4755
    @theonasarsen4755 2 ปีที่แล้ว +1

    Rihana alkuaa w Moto mnoo aiseeeeh, never seen b4

  • @montanablaww1664
    @montanablaww1664 2 ปีที่แล้ว +8

    Tanzania itenge siku maalum kwaajili ya msanii wetu diamond platnumz nakazini tusiende

  • @ashuramussa930
    @ashuramussa930 2 ปีที่แล้ว +3

    Rihana is Rihana 😍😍😍😍

  • @masagara
    @masagara 2 ปีที่แล้ว +5

    Hi Jamal..am your number your 1 fan from Kenya 🇰🇪❤️

  • @edwardmwatete8430
    @edwardmwatete8430 2 ปีที่แล้ว +3

    The beautiful lady ever🥰❤️

  • @templerfx4212
    @templerfx4212 2 ปีที่แล้ว +6

    SHEIKH KARIM BENZEMA KWANINI ASIKAE KANDO 😅😅 NANI KAIPENDA HIYO GONGA LIKE HAPAA

  • @rajaburamadhani609
    @rajaburamadhani609 2 ปีที่แล้ว +2

    Sikukosea kumuita mwanangu RIHANNA mana ana roho kama yangu

  • @PattiPattoz-Montana_254
    @PattiPattoz-Montana_254 2 ปีที่แล้ว +20

    Jaaaaaamaaaaaal Salute Bruuuuv You're Smart & The Story Is Lit🔥❣️❣️❣️❣️❣️🇰🇪🫂

  • @MargaretNeuberger-n7n
    @MargaretNeuberger-n7n 10 หลายเดือนก่อน

    Wow that's is a nice story,to anyone,,have a history.nice God can make anyone be.

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 2 ปีที่แล้ว +1

    Diamond apewe mtaaa na ajengewe na Sanam pia

  • @jacksonmakau4947
    @jacksonmakau4947 2 ปีที่แล้ว +3

    My best.Unafanya vizuri kaka 🇰🇪🇰🇪

  • @mathewnkini4051
    @mathewnkini4051 2 ปีที่แล้ว +4

    For the damn of ma life riri sha has been one among of my inspiring people

    • @happyness577
      @happyness577 2 ปีที่แล้ว

      Vizur sana watu wenye moyo huo mungu awaachi

  • @Gregmwalimu
    @Gregmwalimu 2 ปีที่แล้ว +2

    Vivaa professor Jamal...go on with the good stories

  • @ElikanaKibona-y8j
    @ElikanaKibona-y8j 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni bilionea mwanake mamba moja duniani😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @agogomgagagigigogo2672
    @agogomgagagigigogo2672 2 ปีที่แล้ว +7

    Tuletee story ya Diamond Platnumz pia one day

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 2 ปีที่แล้ว

    Kiukwl rihanna anastahili kupata heshima ya kipekee ikiwezekana achongewe sanamu lake

  • @lcnt4574
    @lcnt4574 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyc work..
    Lakn kwnn uandik za tz ..i.e wema sepetu she deserves

    • @geofreynkuba5952
      @geofreynkuba5952 3 หลายเดือนก่อน

      Tena iwe story ya wema chapati na diamond platnamz anangara kama dhahabu ya blood diamond

  • @dianadoreenwahindi2967
    @dianadoreenwahindi2967 2 ปีที่แล้ว +5

    I really love this girl ♥️♥️

  • @desmondampack5333
    @desmondampack5333 2 ปีที่แล้ว

    Bona mungu kaleta vitu mingi iyo Ni sawa kawa taranta mungu hatukuzwe

  • @jumamohamed8466
    @jumamohamed8466 2 ปีที่แล้ว +5

    She's awesome and blessed and may i ask you to bring story for alan walker

  • @RajabuMsuya-cw4qn
    @RajabuMsuya-cw4qn หลายเดือนก่อน

    🎉🎉 What a story about Rihanna

  • @OfficialmurraTv
    @OfficialmurraTv 2 ปีที่แล้ว +5

    Story ya diamond vip

  • @Assumani-byamungu8
    @Assumani-byamungu8 19 วันที่ผ่านมา

    God bless Rihanna ❤

  • @ashuraomar4935
    @ashuraomar4935 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazji Jaribu kutamka vizuri inavyotamkwa Barbados 🇧🇧

  • @MutikiAlex
    @MutikiAlex ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sn jamal

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 2 ปีที่แล้ว

    Lete story ya jay z mwamba huwa na mkubali sana mwmba ni humble sana

  • @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs
    @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs 2 ปีที่แล้ว +5

    Story yake inasisimua. She’s so beautiful and star 💫

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว +4

    Ewaaah hap nmkusoma 🔥🔥🔥

  • @veetwiga5861
    @veetwiga5861 ปีที่แล้ว

    This is giving me hope in my dreams😊

  • @ShaibuMohamed-p4q
    @ShaibuMohamed-p4q 7 หลายเดือนก่อน

    Rihanna is legends of human talian

  • @haniikim4876
    @haniikim4876 2 ปีที่แล้ว +3

    She is so beautiful

  • @joemwangi2109
    @joemwangi2109 2 ปีที่แล้ว +1

    My love for bad girl riri🥰🥰

  • @charityemmanuel9763
    @charityemmanuel9763 2 ปีที่แล้ว

    Hongera zake jaman Mungu azid kumbarikii🥰🥰

  • @IreneShadrack-p6c
    @IreneShadrack-p6c 11 หลายเดือนก่อน +4

    Dada nampenda sana huyu ila nimeshtuka skujua kama ametoka na benzema😢

    • @HappyMkongoma
      @HappyMkongoma 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kwann kwani benzema ananini jamn

    • @IreneShadrack-p6c
      @IreneShadrack-p6c 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@HappyMkongoma benzema shekhe yule ilikuaje shekhe kama yule wakat me namwonaga ni mstarabu kuliko wachezaj wote

  • @awadhbuya9649
    @awadhbuya9649 2 ปีที่แล้ว +5

    Prof. Napenda sana story zako,, Naomba utufafanulia HUSTLER UNIVERSITY ya huyu Andrew Tate hadi akufungiwa accounts zake zote.

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 2 ปีที่แล้ว +1

    Badgirlriri my favorite artist in the world 🌐😍

  • @joycelinny3312
    @joycelinny3312 2 ปีที่แล้ว +1

    I love her♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @AlexKagio
    @AlexKagio 6 หลายเดือนก่อน

    Rehab,te amo ,work,take a bow

  • @yusufadanmoha311
    @yusufadanmoha311 2 ปีที่แล้ว +9

    We need Eminem story Book🙌

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 2 ปีที่แล้ว

    Napenda macho yake ☺️☺️na sauti nzuri😘😘😘

  • @barisolbeatz2731
    @barisolbeatz2731 2 ปีที่แล้ว +54

    familia za kimasikin hutoa watoto waremboo😂

  • @virginiamuthoni6726
    @virginiamuthoni6726 2 ปีที่แล้ว +2

    Rihanna has Soo much good songs

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 ปีที่แล้ว +2

    Rihanna ni 🔥🔥🔥 nampenda atar ❤️❤️❤️😍🌹

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaaaaalllllllllly 💪🏻🙌🏻

  • @LubushakayembeBernard-hb3pz
    @LubushakayembeBernard-hb3pz ปีที่แล้ว

    😂❤❤Jamal napenda Sana history zako

  • @georgemuindi3440
    @georgemuindi3440 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri proffesa usisahau kutuandalia martin Luther king tafathali

  • @bongorecaps3558
    @bongorecaps3558 2 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli ndugu zangu watanzania ningependa kuwathibitishia kwamba Rihanna ni mtamu kama sukari😋😋😋😘

  • @freeboytz-279
    @freeboytz-279 2 ปีที่แล้ว +2

    daaa Mungu amuweke aishi miaka mingi zaidi

  • @hangimakina1263
    @hangimakina1263 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kichwa cha habari naona itagonga views 1m ndani ya wiki ,kwa hilo neno tu mtamu

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 2 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 😂 Mi mwenyewe ndo nimeletwa na hicho kichwa cha Habari

    • @lucashenry2406
      @lucashenry2406 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha

  • @DevothaFabian-h7v
    @DevothaFabian-h7v 5 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sanaaaaaa❤❤❤

  • @quanthug9517
    @quanthug9517 2 ปีที่แล้ว +3

    In the land of myth nd time of magic the destiny of great kingdom rests on the shoulders of a young boy ,his name Jamal April,Jamal Mustafa professor ✍️😹