Wazo La Mjinga Part 2 - Mohammed Kombo, Mafunda Baraka, Dada Rose (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2018
  • Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: bit.ly/WyldSubs
    Wazo La Mjinga Bongo Movie 2018 Part 2 (Swaleh)
    Wyld Pytch / 51 Lex Records
    Web - wyldpytch.com/
    Facebook - 51LexRecords...
    Twitter - / wyldpytch
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 105

  • @user-qj1qh3ng6b
    @user-qj1qh3ng6b 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee mwinyi usiape kwa mambo ya upumbavu

  • @SalumZakia-vy1lt
    @SalumZakia-vy1lt ปีที่แล้ว

    mganga j k u mtoni 2008 umemaliz sasa unaekti mchezo hongera Allah aibarik kazi yenu

  • @user-ri8iw3we7l
    @user-ri8iw3we7l 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwinyi ndio faida yakutomuamini mungu ulisema umasikin mwisho mwane haufiki hata likon

  • @abditari7998
    @abditari7998 5 หลายเดือนก่อน

    nimechelewa lakini nimefika

  • @ahmaddoss2275
    @ahmaddoss2275 ปีที่แล้ว

    mzeemwinyi kuwampole haifai mwanaadamu kuwamkali

  • @mozamassoud7488
    @mozamassoud7488 ปีที่แล้ว

    Mchezo mzur sanaa unatoa funzo kwa jamii kwa kwel

  • @user-qj1qh3ng6b
    @user-qj1qh3ng6b 4 หลายเดือนก่อน

    Mwinyi usinichekeshe mm na mawazo yako ya kuuupuuzi

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 ปีที่แล้ว

    Mchezo una mafunzo sana.hongerani sana mwinyi na kachara mpo vizuri sana mkiact pamoja,funzo kwa wazee wenye tamaa ya pesa na kupenda utajiri 12.02.19.

  • @allyjabily7957
    @allyjabily7957 5 ปีที่แล้ว +7

    Napendaga sana kazi zenu good

  • @HusnaAli-se3iq
    @HusnaAli-se3iq 3 หลายเดือนก่อน

    Hhhhhhhh mzeee kachara c mt mzur heeee kwa alich mfanyia mai mpk kuachw n mwinyi kufedhehek

  • @HusnaAli-se3iq
    @HusnaAli-se3iq 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee mwinyi mchezo pambe kw kwel

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 ปีที่แล้ว

    mwinyi mpeku wapeku laungo

  • @AaishaMhammad-li5im
    @AaishaMhammad-li5im ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuhifazi

  • @user-qj1qh3ng6b
    @user-qj1qh3ng6b 4 หลายเดือนก่อน

    Mwaamuuza uyu

  • @salumnassorsuleiman6801
    @salumnassorsuleiman6801 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni

  • @allysaid6742
    @allysaid6742 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Story ni nzuri na imetulia sana, hongereni sana wahusika

  • @yayeissa4128
    @yayeissa4128 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahah tamaa zitatuua hizi😅

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Mwinyi kawehuka kwa kutafuta mkwe mwenye pesa .
    Wazazi tuache jamani , mwisho twawaingiza binti zetu kwenye mitihani kama hii .

  • @saadarashid1952
    @saadarashid1952 5 ปีที่แล้ว

    Mchezo mzuri mwinyi unavituko bwana. Nakukubali

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah yarabi awazidishe kipaji chenu jamani rahaaa

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 4 ปีที่แล้ว +1

    Story imetulia nimeikubali

  • @ahmaddoss2275
    @ahmaddoss2275 ปีที่แล้ว

    Hii ndio faida ya kuwodhesha matajiri

  • @user-je7qd5po5q
    @user-je7qd5po5q ปีที่แล้ว

    Kachara😂😂

  • @raphaelkimaro1753
    @raphaelkimaro1753 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 5 ปีที่แล้ว

    Ikopo sana 👍

  • @abdullamohd6361
    @abdullamohd6361 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

    Kafinyange wako wa dogo yaani daah hii kali sana nimeipenda wallah

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha tamu sana tieni bidii ndugu zangu

  • @princenyakurungwi6925
    @princenyakurungwi6925 3 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana wazanzibar wenzangu

  • @manzesetv7703
    @manzesetv7703 3 ปีที่แล้ว

    Nawadharirisha familya nawatembeza uchi

  • @ahmaddoss2275
    @ahmaddoss2275 ปีที่แล้ว

    Mwinyi apenda ushilikina lakini kachara simkweli nimjanjasana katika uganga

  • @zulehahamadi4540
    @zulehahamadi4540 5 ปีที่แล้ว

    Mashallw amependeza bwana arus

  • @maryamnassoornassoor3336
    @maryamnassoornassoor3336 5 ปีที่แล้ว +4

    Laki 3 bc nshungwa 😃😃😃

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 3 ปีที่แล้ว

    Muvi nzuri infundisha

  • @jumamachano7329
    @jumamachano7329 5 ปีที่แล้ว +2

    Kitatange mmempa nafasi ndogo from katar

  • @saidkhalif123khalifa7
    @saidkhalif123khalifa7 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli.wapemba.munajuwa.sana.ila.najuwa.wazamini.hamuna ila tutawatowa tu

  • @manzesetv7703
    @manzesetv7703 3 ปีที่แล้ว

    Mzee mwinyi unaapa vibaya bahna

  • @salmamohamed1769
    @salmamohamed1769 5 ปีที่แล้ว

    hahahaaaaaa movie nzuri sana

  • @feyfarid0448
    @feyfarid0448 5 ปีที่แล้ว

    Mwinyi puunguza viapo mungu haekti wala hataniwiii

  • @user-qj1qh3ng6b
    @user-qj1qh3ng6b 4 หลายเดือนก่อน

    Hahaha hahaha hahaha

  • @a.856
    @a.856 5 ปีที่แล้ว

    Nice movie

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 2 ปีที่แล้ว

    good movie

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah.. Una mafunzo

  • @naimabwinga8572
    @naimabwinga8572 5 ปีที่แล้ว

    iko poa sana .

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 ปีที่แล้ว

    Walah naijoy sana ninapo angalia senema zenu..

  • @fadhluushareef3662
    @fadhluushareef3662 4 ปีที่แล้ว

    nakukubali mwiny😅😅

  • @mwanatumuhassan3414
    @mwanatumuhassan3414 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha ati nikukumbuke wee ni mtume Muhammad

  • @hawata7614
    @hawata7614 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha Mzee mwiny bb ang shikamooooo

  • @zulehahamadi4540
    @zulehahamadi4540 5 ปีที่แล้ว

    Pesa jamn

  • @niyongabireclaude1062
    @niyongabireclaude1062 ปีที่แล้ว

    mmmm

  • @manzesetv7703
    @manzesetv7703 3 ปีที่แล้ว

    Mwinyi mbona mgovi

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 ปีที่แล้ว

    Yaan jamn napenda kwenye uganga

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 4 ปีที่แล้ว

    Dua la kunguni...😂😂😍

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 ปีที่แล้ว

    Kher hailiwaa

  • @mohdally7831
    @mohdally7831 5 ปีที่แล้ว

    Ebwanaeee

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Waiti nakuona wacheka

  • @zhnnnsafisanamweshimiawata1312
    @zhnnnsafisanamweshimiawata1312 5 ปีที่แล้ว +2

    huyuu dada kwenye kulia kachemka hawezi hayupo siliaz

    • @abditz8377
      @abditz8377 5 ปีที่แล้ว +2

      Siliaz ndio nn..!

    • @ashminaabdullah5626
      @ashminaabdullah5626 5 ปีที่แล้ว

      Abdul😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣

    • @johnnyuki4723
      @johnnyuki4723 5 ปีที่แล้ว

      a mwinyii wabeeeee❤

  • @salumnassorsuleiman6801
    @salumnassorsuleiman6801 3 ปีที่แล้ว

    Hana mafunzo mwinyi hana adabu

  • @hawata7614
    @hawata7614 5 ปีที่แล้ว

    Mzeee mwinyi yan utazani mwenda Wa zim kbs yan bb kama huyo bismillah allhamndulillah

  • @naimamohammed3243
    @naimamohammed3243 5 ปีที่แล้ว

    Tamaa ilimuuwa fisi

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 ปีที่แล้ว

    Mwinyi hatari ww matusi 😂😂😂😂😂😂😂😂penda ww

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 5 ปีที่แล้ว

    mzee mwinyi huishi maneno uwiiii 😂😂😂

  • @mwanahamisyahya9354
    @mwanahamisyahya9354 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa Dkitar

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa mwinyi bana

  • @nasranassor2333
    @nasranassor2333 4 ปีที่แล้ว

    Kkkkk....mwinyiii umenipunga kwel

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahahaha milioni moja ni kidogo

  • @zulehahamadi4540
    @zulehahamadi4540 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaman bwana arus mapoz ming

  • @halimbintmussaalbajuun2498
    @halimbintmussaalbajuun2498 4 ปีที่แล้ว

    Wawenzio wawatak wakati huna ata Lapa ila wako wataka uwape watu wenye uwezo gar,Honda, Vespa. Mhh palipo moto na moshi utakuja

  • @ismailiathumani4379
    @ismailiathumani4379 5 ปีที่แล้ว +1

    Mkovizuli Sana. Wanamwita mwinyi

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha hawa wazee hawawachi mtu salama cheka mm jamani

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 5 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👍👍👍👍👍👍👍

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

    😅😂😂😂Tamaaa

  • @nassirmbarouk8020
    @nassirmbarouk8020 4 ปีที่แล้ว

    Kitambo sana nimeimixx hii movie mpk leo 10/11/2019 hlf hile movie yenu yamwanzo ya chauvivu hamujairuxha

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 4 ปีที่แล้ว

    Mwanamke kaumbwa kwa ajili ya raha na sio shida kejeli matusi au kumfedhehesha mitaani hata kwa mtu mmoja, mwanamke ni heshima anapaswa kuheshimiwa, mwanamke ni pambo hakuna budi kulitunza nakadhaalika, lkn hata ukimuona mwanamke anadhiki au shida ujue ni mtihani tu kwasababu ya maisha au umasikini lkn sifa ya mwanamke ni kuenziwa na sio vipigo mpaka kidonda, tuache tabia ya kuwafedhehesha wanawake hasa tukiwa maskani kwa kuwasema sema au wakipita kuanza kuwatukana hiyo sio sifa ya muungwana, mwanamme rijali anajua umuhimu wa mwanamke maana wao ndio mama zetu, kwaiyo tujitahid sn kuwaheshimu na kuwalea wanawake, zipo njia za kumtuliza au kumpiga mwanamke, je unajua ni njia ipi hupigwa mwanamke, moja, mwanamke hupigwa kwa pesa na ya pili hupigwa kwa dhakar kwa yule alieolewa bas! Filam nzuri sn kutoka Pemba kisiwa cha karafu na marashi yake, nimemis sn 🌷❤🌹

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mume n mke wamependeza

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂👌👌

  • @mdungially2342
    @mdungially2342 3 ปีที่แล้ว

    AAA kwa jembe wannikosa

  • @zulehahamadi4540
    @zulehahamadi4540 5 ปีที่แล้ว

    Unamenge mpweku

  • @manzesetv7703
    @manzesetv7703 3 ปีที่แล้ว

    Laki tatu bas shungwa

  • @mbaroukahmed2123
    @mbaroukahmed2123 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah mwinyi

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @maryammohammed7472
    @maryammohammed7472 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaa

  • @eberayimkedija2306
    @eberayimkedija2306 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 ปีที่แล้ว

    Ert kwa jembe wannikosa

  • @mussaaly8160
    @mussaaly8160 3 ปีที่แล้ว

    M

  • @user-xw5re3bh5x
    @user-xw5re3bh5x 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha kitatange

  • @ibrahimrashid7017
    @ibrahimrashid7017 5 ปีที่แล้ว

    Wapemba tunaweza

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha huyu mwinyi huniwacha hoiih

  • @munamohamed6888
    @munamohamed6888 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaa