😂😂😂😂 nko na mimba ya mwezi sita na mwezi mbili yaaaaani nimecheka sanaaa kazi nzuri sanaaaa hongereni 🎉🎉🎉 much love from Kenya watching from lebanon like zangu sikam
Yani kucheka nimecheka tangu mwanzo kizungu moto moto nayo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 I swear this cinema looks good 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hongera Kwa wote walio jiusisha na cinema hii nime enjoy kweli kweli kudus!!
❤kwakweli hiyi filam nzuri saana kabisa
😂😂😂😂😂😂😂mbavuzangu zinawuma ..hiyi muvi kali sana❤
Love it from USA 🇺🇲
daaaaa ni nzur sana nimeioendaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tanzania mm nawapenda tu bure ..Niko kenya but much love to you people WAPI LIKE ZA MKENYA SURA MBAYA KAMA BOOTI LANGU❤❤❤❤❤❤❤❤❤
tuko hapo
❤❤❤watch from Kenya nimekupenda uyo mganga amekuokoa sana.....cute boy......but chunga uyo dam
Watching from kenya.... kali sana
Kazi Nzurii,,Hakika hapa mliweza sanaa Hongera nyingi toka Mombasa Kenya 🇰🇪 tuko pamoja
🤝🤝
🎉❤fgdh😢😮😂🎉@@OfficialDubu_tz
Dubu is handsome...much love from kenya
🙏🥰🥰
😂😂😂😂😂Yani hii Move Nimecheka Mbavu zangu Kidogo Zipasuke😂😂😂😂
Movi
Ata mimi😂😂😂😂😂😂😂
Kweli ii movie ni tamu😂😂🎉
Hongera sana muvi nzuri sana ❤❤❤❤😂😂😂😂😂
❤️
Duuh ! Nimecheka sana 😂😂😂😂
Wakwanza from Kenya 🥰🥰
🙏🥰
Hii movie mmeleta urefu wa bure kumuweka kipara na Mwakatobe kweny uchawi mmekosea
Hii movie iko poa sana,hongera kwa wahusika wote,Dubu the cute guy good job much love from Kenya❤❤❤
🙏🥰🥰
@@OfficialDubu_tz 😘😘😘
😂😂😂mimba ya miezi sita na miezi miwili........daaa kipara jameni utaniua😂😂😂😂😂😂♥️much love Tz
Hajira ni mrembo sana mashalah❤
🙏🥰
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh inatosha ❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂❤
Kwani zinakusaidia nini?😅😅
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢ongera
We nawe unpenda❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Aya poa ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
Waooh nimependa kazi nzuri❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
hii muvi nzuri sanah sichoki kuiangalia°°❤❤❤❤❤❤❤
❤️
We siumema we kidume unahaso Kila Kona 😂😂😂😂😂😂😂😂chukua maua Yako
Let me show follow again 😂😂😂😂,dar,kipara jamani😂😂msomi hatari
😂😂😂😂 nko na mimba ya mwezi sita na mwezi mbili yaaaaani nimecheka sanaaa kazi nzuri sanaaaa hongereni 🎉🎉🎉 much love from Kenya watching from lebanon like zangu sikam
🙏🥰
Eeee sija fungua udugu wangu nilienda krinick Nina miba ya miezi 6 na miezi miwili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 hii mimba jamani.watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦
🙏🙏
From kenya napenda sana hii movie
Dubu shemeji Yako uyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimesheka hadd bass
Sura kaa mandazi ya jela 😂😂😂😂😂
Naipenda muvi hiki sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani hii kali sana MashaAllah 👏😍😍ila Jamani nyani ngwengwe ana mke mrembo😍😍
🥰🤣
MUJE NA SESSION TWO NA MATUKIO YAWE YA KIJINI KWELI NA KUMUWEKA NYANI MWENYE MIMBA 😮😮
😂😂😂😂duh!! Dubu mliyatimba🤣🤣anyway much love from kenya❤❤❤❤❤❤❤
🙏🥰
Nyani nyani ngwengwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallah jamn nimeipendaa saan❤❤❤❤
❤️
Watching live from kenya❤movie tamu jamani
the kizungu wueh🤣,,enwei twaelewa sio lugha yanu
Dubu bro unyama mwingi
Mbavu zangu😂😂 the English is englizing eee bravoo 🎉🎉🎉 good job from kenyaa we love you guys❤❤❤
🙏🥰
😂
❤❤❤❤ move nzur sana
🙏🥰
Jaman mbon mnavaa mabaibui vazi la heshima Hilo
Habar broo, tunasubir ijayo naimani itakua kali kama hii
Inshaallah
🎉😂😂😂😂hizo abaya mulikodisha wapi ..kipara aki unanivunja mbavu😂😂😂❤
Wee yaaani ni maajabu kweli,,, mmepatikana
Hii movie iko lit😂😂😂😂😂
Lit movie❤😂
😂😂😅😅am watching from tz but she cry like chicken onger zako mchawi mweny elimu yako😅😅
🙏🙏
Eti komasava 😂😂😂😂😂 Senx A lot professor
Mganga nimekupenda humu♥️♥️♥️🤣ana me neno yake hivi👌🔥😂😂😂
🙏🙏
Much Love From Burund ❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂 Maco Amebandirika Kiukweli Na Mimi Naona 😮😮😮❤❤❤
🙏🙏
Kazi iko vizuli Sana hongereni sana
Wa kwanza toka 🇰🇪
🙏🙏
From kenya
Waaw! Tamu sana
Jmn, inasikitisha sana movie za majini na uchawi zimekuwa nyingi sana kuliko movie za maadili na zakidini . Tumkumbuke mola bas
Imani yako ndiyo itakuponya huwezi kumshawishi mtu amkumbuke mila kwa kutizama movie za kidini
Yaan mm shabiki mpya kwakweli upo vozuri sanasana
❤️
Walai mnaastua wadau
Dah kubabaake dubu nimekupenda mwenzio voh❤
❤️
Haichoshi walai nice job dubu we all love you ❤❤from Saudi Arabia
🙏🙏🥰🥰
Nyani gwegwe na hilo buti wanimaliza jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
🙏🤣
Nacheka sana kikofia ashalimwaga kojo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Pitieni mnipee subscribers ndugu zagu❤❤❤
Wa kwanza ku comment 🤣💪💪❤️❤️Aky lukwachuu nmecheka kwa gari ad dereva akashutua gar mbwaa mm 🤣🤣🤣
🙏🙏
N'ngombe wa mayai😂😂😂 kipara
watching from Kenya npeni likes jamani
Mr Dubu eeeeeeh, hata njoo uku kenya tufunze jinsi ya kuunda mchezo. Rongo University Kenya
🤝🤝
MashaAllah movie nzuri sana❤❤❤❤
🙏🥰🥰
hi fatuma🎉🎉🎉
Kipara kipara 😂😂😂😂I missed him
Nyani ngwengwe anajua sana
Eeeh mdomo koma😅😅😅😅😅
Mweusi kama njia panda ya kuzimu
😂😂😂 hiyo wigi ya mchawi jamani nimeipenda
Huyo Dada ako dubu alimpendea nini Huyo mumewe au huo uchiz wake 🙌🙌
Nakubali sana
Jomba nyani gwegwe ana mbwembwe
Huyu professor hanifurahishi
Namuona 2pac Shakur
Waooo safi san
I like it 😊😊❤❤❤❤❤
Jaman movie nzur sana 😁😂❤ yaan uyo nyan ngwengwe na mganga wao ni balaa😅😅😂
🙏🙏
Yaani hii movie kali sana🔥🔥nime enjoy kwa kweli❤
🙏🙏
Mko vizur sna jomy
Mganga ana kazi humu🤣🤣🤣🤣wanapenda kuingiliwa hao😂😂🙌
Kiiingereza kitamu hichi😂
Pendan sana movie zenyu wakuu😊
Ganga Amapiano hilo😂😂👏👏👏😍
Good job My friend 🎉🎉🎉❤🤠
Yani kucheka nimecheka tangu mwanzo kizungu moto moto nayo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 I swear this cinema looks good 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hongera Kwa wote walio jiusisha na cinema hii nime enjoy kweli kweli kudus!!
🙏🙏🙏❤️
Jamani 🎉🎉🎉
Nimejikojolea vile ulikuwa unataka Ni kucheka
Jamaa wak poah xn
nice video i love it woow darlington toka mombasa kenya
🙏
Nakubali kaka nimeerewa sana😅😅😅😅❤❤❤❤
🥰🥰
Bado hujasema😂😂😂😂😂😂
Mganga anafanana na makudubela skudu
Kipala kazi anayo
Filamu kali sana imenifanya nilale kuchelewa kwa utamu wake.
🙏🙏🙏🙏
Nice movie I'm watching from Kenya
Jamani muganga unaweza mutuwongeze nyingine ❤❤❤❤
❤️
Dubu the boy. Kipara . Mchezo konkiiii