NABII MSWAHILI Part 5 - Madebe Lidai (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
- Nabii Mswahili Full Movie Part 5 (Madebe Lidai)
Watch Part 1 Here: • NABII MSWAHILI Part 1 ...
Watch Part 2 Here: • NABII MSWAHILI Part 2 ...
Watch Part 3 Here: • NABII MSWAHILI Part 3 ...
Watch Part 4 Here: • NABII MSWAHILI Part 4 ...
Watch Part 6 Here: • NABII MSWAHILI Part 6 ...
CAST: Madebe Lidai, Nasor Thomas, Alvin Caparao, Hamisi Korongo, Jamila Mahege
STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
DIRECTOR: Madebe Lidai
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #MadebeLidai
Nabii mswahili you are best of the best salamu kutoka Kenya una maneno ya hekima
mze madebei lidai nimehukubali sana maneno yako makali
Madebe Mashallah Mungu aibariki kazi ya mikono yako you are wonderful....
Turikuwa Oman gonga laki kwa kuangaria nabii mswahili😍
Mmmmmh
Nabii mswahili nime kukubali kaka I'm from Kenya watching from Saudia Arabia mungu abariki kazi yako bro madebe
That's great brother keep it up
😀😀😀😀wakati watalala njaaa
Namkubali sana uyu jama
Atakama nimechelea Madebe mungu akubaliki sana
Jamaa anajua
Kazi zako zote ni nzuri. Pliz pia tunakiomba Madebe tafuta Sofia wa kanumba mcheze naye we miss sofia
Napenda kazi zako kaka
We madebe,big up sana bro
Endelea kutuelimisha baba
kweli kabisa madebe,ukifa uku unaumwa,utazikwa na ugonjwa wako.hahahaa uko vizuri broo 🔥👌
Hata mimi Nimependa. Broo
Hongeren rkn madebe mafumbo makal punguuza tupate kuelewana
Jamaa noma mung amzidishiy
Safi sana broo
unaakisi hali ya maisha halisi ya sasa na mazingira yetu na siyo kuvaa vichupi na kuzalilisha dada zetu wanaojizalilisha. UKO VIZURI KWENYE KAZI HII
Hii nzuri dah!
Jamanieee nileteeni Wi-Fi mana naona bundles zinanikazia zataka kuninyima utamu
Madebe we kweli ni bomba
Nomaaaaa
Hongera sana
Hakika
Iko vizuri 🤙😛
Umedusua sana madebe lidai pamoja bro
Yani madebe kalakofi adimacozi kwambali🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀wallah nimeceka
Rehema Rehema nipe location nikuletee Wi-Fi...watching from kenya mombasa gud job bro
Ivi baada ya miaka mbili Kuendelea madebe nahisi sisi zote ni Mang'ombe haha kwaio sijui tufanyeje kwa swala hilohhehe.
Nakubal 💯👍
Thanks for the info
Uko vizuri nabiii
nice
Ikosafi,kabisa
Safii budaa
Unastahili kuongeza make una ekhima sana
Genius mwenzangu mungu akubariki
Madebee....kali iyo
Unapendwa na wengi
jamni madebeeeeeeeeeeeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😉😉😉
daaah nabii mswahili una misemo mikali aki
Sheela Ngida penda sana kazi yako madebe
Misemo mikali yenye maana thabiti
Ikosafi
Madebe nakukubali Sana kwa kutufunfisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanangu nakuelew sana ujue dah..
Kaka madebe hogera bara letu la Afrika linahitaji watu jasiri kama wewe kisha wingi maana unaithamini lugha, heshima na thamaduni za Afrika
😂😂😂😂😂😂wemadebe ww mbavuzangu mie
Nabiiiii wewe
Nice
Thanks for providing.
What is the background music played at the end of this movie?
Nakuelewa bb
PW da
U ar the best
Madebe baba Mi sisemi mengi unanikosha mndengereko wewe
Unajitahidi
Muvi tam
uko poa
kibiliti xehem 4
Joshuaegidiyo
Kweli nabii hapo kama usiku mwema mpaka uhakikishe je ni usiku kweli?
Akili ya ng'ombe
😂😂😂😂
Safi sana
Mh hatereeeeee
I.km
Yav cvvbb bag s😂😂😂😂
Kazi zako zote ni nzuri. Pliz pia tunakiomba Madebe tafuta Sofia wa kanumba mcheze naye we miss sofia
I.km