KUWADI ( KING MAJUTO COMEDY )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • All movies ni chaneli ya filamu ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa filamu za kiswahili za kale zilizo pendwa Kuanzia maigizo, ucheshi na filamu zakutisha zilizo tamba myaka ya nyuma bila kusahau na filamu za mapenzi zenye kusisimuwa Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki.
    All movies is an online video channel dedicated to Swahili oldschool movies . horror to love story movies and comedy we bring you the highest quality Swahili old school entertainment
    | Bongo Filamu | Comedy |Bongo Movies
    #moresubscribers2020#moreviews2020#Growmychannel

ความคิดเห็น • 36

  • @trippleleizer2361
    @trippleleizer2361 10 หลายเดือนก่อน +10

    😂😂2024 still watching master minds😅.. Hapa ni beef.. Maini... Steak.. Kole kole😂😂

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 ปีที่แล้ว +3

    Bidhaa ilouzwa hakirudishwi 😂😂😂😂 contract navunja leo 😂😂😂😂, Mungu amrehemu King

  • @NanaaHaji-qr1rk
    @NanaaHaji-qr1rk ปีที่แล้ว +1

    Wallah nimecheka apo chili izo style za kuanguka😂😂😂😂😂😂😂

  • @jumaamagelo6672
    @jumaamagelo6672 3 ปีที่แล้ว +3

    King ni mmoja tu majuto mungu hakurehem

  • @RaphaelKagombe
    @RaphaelKagombe ปีที่แล้ว +1

    uyu ndiyo king

  • @thabitiykitwana1271
    @thabitiykitwana1271 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante Sana brother kwa kutuwekea movie za zamani

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana inavutia👍😍
    R.I.P. mzee Majuto😭😭😭

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah mzee king mungu akueke pahali pema.mashabiki zako bado tunafuraha kwa movie zako.

    • @hadija846
      @hadija846 3 ปีที่แล้ว

      q Amiin🙏🏼

  • @Iamheritier
    @Iamheritier 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 mzee Majuto ❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩

  • @KiparaMussa
    @KiparaMussa 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee majuto alitixha xana🔥🔥🔥

  • @VickyDaudi
    @VickyDaudi 6 หลายเดือนก่อน

    Hii movie kiboko kabisaaaa ❤😂😂😂

  • @mariamke8437
    @mariamke8437 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂🤣🤣 umaskini weka kando

    • @Iamheritier
      @Iamheritier 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 7 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu sw amsamehe makosa yake. Lakini hakuna aloziba pengo lake huyu mwamba

  • @salhiakhamis2577
    @salhiakhamis2577 4 ปีที่แล้ว +2

    tuma nyengin.....tumezimiss

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 ปีที่แล้ว +1

    Umaskini kwisha 🤣🤣🤣🤣, Rest in peace Mzee majuto 😭😭😭

  • @salhiakhamis2577
    @salhiakhamis2577 3 ปีที่แล้ว +1

    Ohoo!! upoo lkn mbona hututumii movie tena

  • @mwajaburamadhan
    @mwajaburamadhan 6 หลายเดือนก่อน

    Tuwee hakuna matata

  • @mohamedyususf911
    @mohamedyususf911 2 ปีที่แล้ว

    Kiboko,inachangamsha

  • @aliyusufali2521
    @aliyusufali2521 4 ปีที่แล้ว +2

    tuleteen movie ya jot na mpoki za kitambo

  • @hounorinebuyachi9719
    @hounorinebuyachi9719 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂2023 still watching

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 3 ปีที่แล้ว

    good movie

  • @tshisekedizachee5255
    @tshisekedizachee5255 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tuna itaji ya MUTAMI

  • @DonprinceDon
    @DonprinceDon ปีที่แล้ว

    I like my move

  • @rusiimani5156
    @rusiimani5156 2 ปีที่แล้ว

    Chali yangu tuma mwizi wa kuku plz!

  • @paskalimallya5294
    @paskalimallya5294 2 ปีที่แล้ว

    Mwizi wa kuku plz

  • @JohnsonKazungu-cz9ri
    @JohnsonKazungu-cz9ri 9 หลายเดือนก่อน

    🎉 Thanks

  • @nabilomar4845
    @nabilomar4845 3 ปีที่แล้ว

    Movie za king majuto za kitambo kama mshamba tufanyie ivyo tafadhali

  • @mudykaila7437
    @mudykaila7437 6 หลายเดือนก่อน

    Songoro

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @JohnsonKazungu-cz9ri
    @JohnsonKazungu-cz9ri 9 หลายเดือนก่อน

    🎉 Thanks