Hii sauti hii bhado inaniumiza nafsi yangu kila nikisikia 😢, namuombea dua kwa Alha kila siku sheikh wetu Nassor bhachu Alha amrehemu, ila nina shida moja kuna mawaidha yake nayatafuta sana yanaitwa ulimwengu wa maiti Naomba utawekee ili iwe swadaqa tul jaaria
Apana bro usihuzineki Allah caza wajaal akubali shahdha yake na ulimi yake ushafanyia kazi Kitabu ya mungu na mtume S.C.W.Amiin.furahia bro kwa kua ni jannah inshaAllah biidnillah waumini wote
Allah amraham Sheikh Nassor Bachu, Allah alimpa ulimi laini ulojaa ufasaha wa kusema na kuufikishia tofauti na na leo ambapp wengi wamekua wapayukaji
Hapana shaka, hata mimi huwa nasema kimoyomoyo na dhahir inapobidi
Yarabi msamehe makosa yake sheikh nassor bachu na jannat firdaus iwe mashukiyo yake
Amin, amin
Ameen
Hii saut niliipenda Sana. Allah amsamehe sheikh wangu alipo teleza ameen 🤲🤲❤️
Hii sauti hii bhado inaniumiza nafsi yangu kila nikisikia 😢, namuombea dua kwa Alha kila siku sheikh wetu Nassor bhachu Alha amrehemu, ila nina shida moja kuna mawaidha yake nayatafuta sana yanaitwa ulimwengu wa maiti Naomba utawekee ili iwe swadaqa tul jaaria
Apana bro usihuzineki Allah caza wajaal akubali shahdha yake na ulimi yake ushafanyia kazi Kitabu ya mungu na mtume S.C.W.Amiin.furahia bro kwa kua ni jannah inshaAllah biidnillah waumini wote
Allah amrehem sheikh wetu amjalie firdaus
Ameen
Allah akurehem. Maashallah unatukumbusha Allhamdulillah
Ameen
Allahuma ghfirlahu warhamhu waasiqinuhu Fil jannah
Amin, amin
Ameen
Allah amrahamu sheikh wetu amjaalie firdaws
Ameen
Allah mrehemu sheikh wetu nassoro bacho
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu amiin
Mola amrehemu sheikh wetu amjalie firdaus iwe mashukio yake pamoja na waislamu wote.
Allah amrehemu shekhe wetu
Ameen
Kumbe uhuni huu umeanza ZAMANI mkaribishaji nywele nyingii
Allahumma ghufrlahu warhamhu waadkhlhu ljannatah 🤲
Ameen
Shukra akhy🤝
اللهم اغفر له ورحمه 🤲
Allah amrehemu sheikh wetu
Kwa kweli ujumbe umefikisha Allah alikujaalia kutoa dawa kwa hekma
Kwa waja wa. Allah
Ameen
Rahimahullahu..
Ameen
Kuwa na nywele nyingi sio kosa kaka na wala sio uhuni ingekuwa kasuka au kanyowa panki hapo ingekuwa makosa kka
Nampend sn huyu shekh Allah amraham
رحمه الله تعالى 🤲
Ameen
رحمة الله عليه...رحمة واسعه
Ameen
Allah amrehemu Inshaallah
AAMIIIN 😭😭
Ameen thuma ameen
Katika Muhadhara huu alikuwepo dokta Omar Ali Juma.
Alikua ni mtu wa kufuatilia dini yake naye, Allah amsamehe makosa yake.
4:51 mashallah
Allah amrehem sheikh Nasser bachu