MFANYABAISHARA ARUSHA AJENGA HOTELI YA KULAZA MBWA WA WATU WENGINE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
- MFANYABAISHARA ARUSHA AJENGA HOTELI YA KULAZA MBWA WA WATU WENGINE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mbwa akai kwenye banda mzee, mbwa hali makomboo mzee.
All in all bro uko Good Sana
We mtangazaji hupo vizuri sana nimependa sana maswali yako mazuri hunaoji kama utaki taratibu
Sijutii kuzaliw chugga🤗 mbwa anakula bichikuti haki tupo vizur chuggare😄
Huu ni uchezeaji wa ela
creative , good luck bro
Kazi kazi
Hawaitwi mbwa wanaitwa 4 legs friends
Habari nataka namba ya mkubwa
Nipo nchini marekani naomba number ya huyu mhusika wa’mbwa
Chakula special cha mbwa bei gani?
Huyu kafanya utafiti. Hawezi kuwekezs tu bila kufanya utafiti. Na anaweza kuingiza hela vibaya.
Watalii wengi wanakuja na mbwa
Hao mbwa kama mgeni anawazoeaje hao watunzaji maaana jamaa haulizi swali kama hili na hao mbwa aina ya German Shepherd na Rottweilers ni balaa wauaji usipochek vzr😂😂
Mtu mwenye skills za mbwa hangatwi na mbwa hata kama ndyo first time, hata mbwa awe mkali vipi lazima waelewane, hawa wanyama wanahitaji upendo
Shingapi
Mtangazaji alivyoguna😅😅😅
MAANA YA KUFUGA MBWA HAIJAELEWEKAAAAAAA NINIIIII ? TOKA LINI MBWA AKALALA NDANI WAKATI ANATAKIWA KULINDA ?????
Nae kaamua kunyoa kufanana na mbwa🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Ipo.siku yatakukata uboo.wako
UTAKUA HAUJALA
Serikali inasemaje. Wakati kuna .wagonjwa.wanahitaji vitanda.mashuka yeye anadharau utu wa.watu???!!
KUMA WEWE
Boya wewe!biashara hyo kama biashara nyngine
Wewe uchiii nini???
Ni lichawi tu
Mmmh mchawi anaogopa mbwa nyumba inayofugwa mbwa mchawi hawezi kuingia mn matokeo kibao tunaona na video jinc mbwa wanavyowasumbua wachawi sasa huyu atakuaje mchawi hii mbona nchi za ulaya Zipo na watu wanaajiriwa na kulipwa vizuri tuu naongea hivi kwa vile siishi Tz na kazini kwangu nje kuna daycare ya mbwa huyu hajakosea
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
Safi sana broo,kazi ni ile inayopelekA MKONO KINYWANI
Hakika yaonyesha sio mpenzi wa mbwa
Mbwa ni mlinzi na rafiki wa binadam
Mbwa hana tofauti ya wanyama wengine wafugwao na binadam
East or west ,up or down money must be Eirned..
Nampongeza Sana
An echo Kula mkubwa mm siwahi kula😣😣
That is the truth when you take care them well they don't have problem and eat well good job. Even in Europe they live like that and if some travel take there dogs to clinic center so brother who owns that business is really good man and kind with good heart. With his works. Yataka moyo mtu kweli na mtu asikuwe na choyo ya chakula otherwise will lose there dogs.
Kumbe kiswahili unajua bwana mwanzoni nilijua mzungu
@@ericmambele1230 no iam not white person Iam from east Africa but I live in Europe. For so long Napenda swahili but vitu ingine siwezi explain in swahili yatia shida kidogo even my kids doesn't speak swahili Ata all only litle bit they understand. But twafurahi sana kusikia swahili is wonderful you know how.e sweet home always will be our home that why I like to use media so I don't forget swahili. Na napenda ile msomo yasema hapa kazi tu now is kazi endelee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa Anaakili sana. Pongezi Kwake. Kuna watu wanasafiri na Mbwa toka Ulaya. Lkn Akifika huku siyo lazima kila anapokwenda awe na Mbwa wake. So Anamwacha hapo kwa Muda. Wanabadirisha Ujuzuzi na Mbwa wa Kibongo. Maisha Yanaenda. Good Aidia
Uyu mtangazaji ndg yake na jux nn? Maana ongea na muonekano ni jux japo jux ana mbavu
Nipo kwenye company ya mchina camp yetu tuna Germany shepherds kama 10 lakini watoto, nataka niwaibe nikauze
njoo Nina wateja
@@highthemetv7857 naomba whatsapp no yako tuyajenge