ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
HABALI NDUGU ZANGU NAZANI KWA UKUBWA WAKAZI NA ULEFU NADHANI MTABURUDIKA SO, IKIFIKA COMENT 500 ONE DAY NA VIEWS 50k NAACHIA EPISODE YA 4 I PROMISE 🙏 🔥🎉❤ TUNAWAPENDA 🥰
Much love from Kenya
Love uu
Mes frères courage vraimentVous êtes les meilleursJe vous suit depuis RÉPUBLIQUE DÉMOCRATIQUE DU CONGO
Achia big
Mimi napenda Sana kuigiza Ila sijui pakuanzia nisaidie bas my brother
😂😂😂😂huyu kitawi ndege ,Manshalla kila kona 😂😂😂😂,mbwa ww mfinange kitulize hatudet na mashemeji zetu😂😂😂
Hiyo minyonyo ya kitawi ndege pambe sana😂😂😂
uko vizuri sana bwana doko sinema zako haziboeshi wewe na crew yako nzima
Yaani kitawi ndenge 🤣, anacheza vizuri, kazi nzuri sana Mwenye Kipala
Wapili Mimi kutoka Burundi maua yang kbxaaa. Kazim njem doko
Movie nzuri sana😢❤kazi safi team doko😊
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂m sna chakusema zaid yakucheka2
Leo nimewai mm wapili..Asanteni sanaa kwa kikongwe season 2..ni nzuri sanaa❤❤❤
Kitawi ndege wanifurahisha na nyonyo zako😂😂😂😂😂Maua yako 🌷🌷🌷
Doko I love your creativity mtu roho safi kazi yako njema kabisa, ❤❤
Courage mon frère doko, nous sommes là pour d'encourager de plus✌
Doko a.k.a doku wa city jishikilie makumampya😅😅
Et chuchu konzi 😂😂😂nimetak kuanguk kw kucheka saa 6
Na uy maziwa anayoyafunga mhhhh mzenj ap 😂😂😂
Nasra vipi?
😊kiukweli doko courage saana
Ila sonia mzuri jamnii❤
❤ movie nzurii 4 real🎉
Kitaendege kkkkkkkkkk 😂😂😂😂😂🎉
Jokeli jishikilie basi😅😅ila doko 🏃 🏃 🏃 🏃
Sania na Mfinanga waoane kiukweli ukweli ❤❤❤
Nyie kwakujaza watu 😂😂😂
Ila uyu dada jamani eti ziwa saa sita mm na naona saa kumi na mbili😂😂😂
Uakuanssa leo asante doko 🎉🎉
Masha Allah movi yetu kikongwe imenoga bala pokeyeni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Good job Mr Doko and your team
Daah huyo Jokeri mzee wa chafu tatu nimemuelewa kinyama yaani, kila nikimuona nacheka sana
Shedaph 96 kidoh99 doko makuma Zani kichwa ududu kipara ingwe mfinanga the best 💪🏻💪🏻👋👏👏
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ hongera wote mlioshirki
Doko cuma akiwa mtoto anasema hachekeshi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakika Leo nimeinjoy sana mungu awabaliki nakuwasimamia kazi nzur sana
Ila ziwa😂😂😂 na ako na macho ya nyuma pia 🙌...safi sana team doko🎉🎉🎉🎉 one love kwenyu 👏
Safi sana doko ila Sasa isichokijuwa napenda sana kazi yako naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade
Leo wa kulwanza kutuka Mocambique naomba ata 5❤❤❤❤tem duku
Kitawi ndege apewe mauwa yake jmn❤❤❤❤❤🎉🎉
Tena sana tuuu sio kwa style ya manyonyo alokuja nayo😅😅😅
..pamoja sana mwanzo mwisho kwenye kazi hii nzuri timu doko hatuchekeshi
Doko kwenye uigizaji nakukubali kaka ,,,bigup 🎉🎉🎉
Doko hii movie nzur sana yan umetisha sana wew na joker
Kiukweli kazi ni nzuri
Naunga bando la wiki lkni najikuta natumia siku mbili😂😂😂 kwa utamu wa u tube
Nawapenda asanteni kwa dakika mingi unaenjoy sana
Wakwanza leo🎉🎉🎉
😂😂😂 c wewe ni hizo nyonyo❤❤❤❤
Kaz nzuri sana nawakubali nasubiri Kwa ham nione kama ule mwili utatobowa kuchomoka mao na kumbuka police wana kutafuta hatari
Kazi yenu nzuri chukueni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kitawi ndege😂😂 nikupige na ziwa😂😂
Força Irmãos eu gosto muito do vosso work Directamente Mozambique
@doko aisee umefanya vyema kumleta kitawi ndege maana ameichangamsha hii move big up sana kwake MASHABIKI ZAKO VITU TUNAPENDA 😂😂😂🎉🎉🎉
Kubabasenge 😂😂😂😂piga huyooo
Iko vzr sn hii
Huyo dada na hizo nyonyo ameua 😂😂😂😂
Kutoka Kenya jmn hongera kaka kwa kazi safi nmekufolo
Kazi Nzuri kabisa hongera sana😊
Hii kubwa sana nakukubali sana doko hii series naenda nayo mpaka mwisho,nipen like zangu kutoka Zanzibar 🎉
Ila. Joker. Amechangamka. Mpaka. Raha. 😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema kasonia karembooo
Kitawi ndege me nataka namba Yako 😄 nimekupenda atari
Wa kwanza mkenya hapa, doko napenda vile mlivyo. Hongereni na kazi nzuri sana. ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤.
Sonia uko na karangi kachokoleti ukijichubua utajialibu karibu mwanza mtoto mzuri
Kutoka kenya doko nakukubali sana ❤
😂😂😂kichwa ududu nafurahia nikiwa 🇰🇪🇰🇪
kazi nzuri wanangu sana ❤
Jamani wee mdada ana manyoyo ma kubwa😂😂
Aisee siyo kwa mamyomyo ayo duu ebu kuwa unava hata sindilia
Unatuaibisha
Naunayafunga.kimoja uko kingine uko duu
Nayakubali balaaaa
@@AlinaNizigamani hi role imemhitaji afanye ivo maskin
Kitawi ndege mashalove manyonyo😂😂😂😂😂
Hahahah et chuchu konzi 😂😂😂
Mimi ni shabiki wa kwanza wa mfinanga and doko na sonia
Mii ndo wakwanza kuview kotuoka mombasa sema mwana watisha akina mtipe wako wapi
Aya nimekuja wa katikati hapa😂😂😂
Kazi nzuri doko family ❤❤❤❤
Doko pongez san naona ivi Gang lino saw kbsa tuakalibish Shedafa na Jokel tena ao wanajua sana kucheza kbsa Doko kacagua vizuli
kitawi ndege anajua kucheza hizi sinema anavaa uhalisia mia kwa mia
Mashallah
Oh nice you are doing a good job Guys 👏 here in 🇨🇦 we got your back
Masha love njoo umchukue mdogo wako huku😂😂😂😂 ila kitawi ndege unajua san
Nakubali sana master doko😂😊😂😊😂😊😂😊😊😂😊😊is
shadafa😅😅hili jina lishalisikia Tanga korogwe makuyunii jaman
Doko Mimi nimependa mwuimbo WA mawenge, ameimba sani gani
Hakuna wa kupinga ukiisema wewe doko 👍👍
Dah nimelia apa mama doko umenitoa machoz😢😢😢
Kazi nzuri xna guys nawakubali noma
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team doko
Mawenge ndo ulambe sukali jamani ebu jishikiliee😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hapo nimekubal kipande kimeshiba kabsa
Ila kitawi dege maziwa yake ni kubwa 😂😂😂
Habar yk doko mm nataka iyonyimbo ya kikongwe naipenasana❤
Kazi nzuri Munguawazidishie
Dokeri ananifura isha mpaka basi
Nakukubali sana Doko hauna kazi mbovu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤wewe ni mtu Na nusu 😂❤
Ila angesitiri maziwa jamaniiiiii😅
Mufinanga nimefurahi merci beaucoup waoooo
Uyu demu muuza madawa anaboa,. Yaan kazi zake n zakihuni huni alafu anajurembua rembua🇰🇪🙃🤔
Nilikua nimeingoja kwa hamu😊😊😊🎉🎉🎉Doko huna baya❤❤❤❤
Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉
Mnakaa sana doko Hadi movie inaisha hamu bana
Njoo uandae wewe uwaishe unachukulia poa 😞
@@DOKO3467 sawa doko nitakam Tz kutoka hapa Kenya unajua tunawapenda sana
Hahaha vp kaka@@DOKO3467
Merci beaucoup😅😅😅😅 kifarasa kweli ni noma kwa sasa tanzania😅😊 good
😂😂😂😂😂😂jaman mbona shedafa amemzuia dada wa watu kifua hivyo 😂😂😂😂
Haki ya Mungu 😂😂😂
@aishaomar2a287 nae ana viwa kweli yule dada😂😂😂
@@Mariam-fm8vq ziwa bana,we huogopi 😂
Sasa nyinyi mmekua kaa familia .....kazi mzuri kaka
🎉naipenda sana kazi zenu, from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Dah atar san❤❤
😢😢😢😢Leo nimelia jaman...very emotional in the last scene..
Uyu dada kauwa kuua ila
Ase big up sana 🎉
Kazi nzuri ❤❤
HABALI NDUGU ZANGU NAZANI KWA UKUBWA WAKAZI NA ULEFU NADHANI MTABURUDIKA SO, IKIFIKA COMENT 500 ONE DAY NA VIEWS 50k NAACHIA EPISODE YA 4 I PROMISE 🙏 🔥🎉❤ TUNAWAPENDA 🥰
Much love from Kenya
Love uu
Mes frères courage vraiment
Vous êtes les meilleurs
Je vous suit depuis RÉPUBLIQUE DÉMOCRATIQUE DU CONGO