UFUGAJI WA KISASA || Serikali kupitia NARCO yaanza kuunza madume bora ya ng'ombe aina ya Borani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2022
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia ampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) imezindua zoezi la uuzaji wa madume bora ya ng'ombe aina ya Borani ili kuwawezesha wafugaji nchini kuboresha mifugo yao ili iwe na tija zaidi kuliko hivi sasa ambapo wengi wana makundi makubwa ya ng'ombe huku tija yake ikiwa ni ndogo.

ความคิดเห็น • 8

  • @triplesisa44
    @triplesisa44 2 ปีที่แล้ว

    Wanauzwa sh ngap

  • @abdullatifhassan9399
    @abdullatifhassan9399 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji... Wanauzwa bei gani

  • @andrewlendii6838
    @andrewlendii6838 ปีที่แล้ว

    Tatizo ukame jamani

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 ปีที่แล้ว

    Kitu cha ajabu ni kuwa bei haijasemwa kwanini? Hata kama bei inatofautiana kwa ukubwa, umri lakini inawezekana kutaja bei ya chini na ya juu ili watu wafugaji wajue.

  • @yuzzohcrayze
    @yuzzohcrayze 2 ปีที่แล้ว

    🙄

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hao madume ni ya kawaida tu

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 ปีที่แล้ว

      Kawaida kivipi? Hiyo mbegu ni boraan sio zakienyeji ? Fungua macho

    • @gustavempemba9596
      @gustavempemba9596 2 หลายเดือนก่อน

      nahitaji nipo sumbawanga