NANENANE ARUSHA || Wafugaji wasifu mbegu za ng'ombe kutoka Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji (NAIC)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2022
  • Wafugaji wanaofanya shughuli zao Mkoani Arusha wamesema teknolojia ya uhimilishaji wa mifugo hususan Ng'ombe inayotolewa na Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji (NAIC USA RIVER) ni bora na imeleta mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa koosafu za Mifugo yao.
    Wakiongea kwa nyakati tofauti katika Maonesho ya Wakulima NaneNane kwa Kanda ya Kaskazini yanayofanyika Mkoani humo Agosti 3, 2022, Wafugaji hao walisema mbegu za madume bora ya Ng'ombe zinazozalishwa katika kituo hicho ni nzuri kwani tangu waanze kuzitumie kupandikiza kwa Ng'ombe wao imesaidia kuboresha kosafu huku uzalishaji wa maziwa na nyama ukiongezeka maradufu tofauti na hapo awali.

ความคิดเห็น • 3

  • @agrivaluefarm3353
    @agrivaluefarm3353 9 หลายเดือนก่อน

    Kuwa na imani, unadhani haumii kuendelea kumvua hilo ringi la puani

  • @mshamyusuf6332
    @mshamyusuf6332 ปีที่แล้ว

    Nawapataje hao ng'ombe

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo amebeba mimba akiwa na mwaka na miez mitatu?