KIPINDI: UMUHIMU WA SHAMBA LA NGERENGERE KWA WAFUGAJI NCHINI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2021
- Shamba la Mifugo la Ngerengere lililopo mkoani Morogoro ni miongoni mwa mashamba ambayo yamekuwa yakitoa mchango Mkubwa kwa wafugaji hapa nchini ambapo mbali na kutoa mbegu bora za mifugo, wataalam wake wamekuwa wakitoa elimu kwa wafugaji wanaolizunguka.... Tazama zaidi hapo
- บันเทิง
Safi sana
Nimefurahi sana kuona hii video nimepata vitu ambavyo nimevitafuta kwa muda mrefu
Hongera sana,ufugaji wenye tija unawezekana
Naomba mawasiliano please
Nimefurahi kuwaona Boers kwenye shamba la serikali
Naweza kutmbelea shamba utalatibu wake ukoje
Naombabeiyambuzi nanambayasm
Naomba namba za hapo shambani nataka kuwatembelea kesho.
Mbuzi mnawauza beigani
Naomba namba au maelekezo ya kufika hapo
Kipindi kixuri lakini mawasiliano hakuna nitawapatajeee nshitaji mbuzi na kondooo
Mawasiliano nitapataje
Naomba kujua Bei ya Mbuzi mmoja aina ya Boar
tutapata vipi namba zenu
Wasiliana na Meneja wa Shamba kwa namba 0756770869
Naomba namba za hapo shambani nataka kuwatembelea kesho.
Naomba namba au maelekezo ya kufika hapo
Wasiliana na Meneja wa shamba hilo kwa nambari 0756770869