Marekebisho ni mazuri sana na.yanawapa mabaraza unafuu wa utendaji.Kikubwa marekbisho.hayo yapite kwenye mabaraza kuelimisha na kufuata sheria hizo kwa wakati.Sawa wakuu?Kila Halmashaufi itoe elimu kwanye mabaraza ya kata juu.ya marekebisho hao.
Kwa marekebisho hayo mnayoelezea ninyi wenyeviti wa mabaraza ya ardhi na nyumba wilaya mungekuwa basi mnapita kwenye.mabaraza yakata kuelimisha juu ya marekebisho ya vifungu hivyo sio kusubiri kuitana wenyewe kwenye vikao vya.posho mnaelimishana wenyewe.bila kupeleka marekebisho hayo kwenye mabaraza ya kata vinginevyo mnaishia kulaumu mabaraza pasipo kuwapelekea marekebisho.
Hiyo safi sana maana watendaji Wa kata wanajilimbikizia rushwa Kwa kutoa HUKUMU za maonezi sana mwenye pesa ndiye anayeshinda
Kunawahuni wachache wanapenda sana pesa huko kwene hao watu pesa mbele unafiki uongo ila mjue mungu yupo
Asante
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojli
Mwambie kwanza diamond asaidie baba yake Abdul alfu mseme Wasafi news
Kwanini Sheria zinabadiliswha na wanasheria hawaji kutoa semina katani?
Mbona sasa hamualipi posho haya mabaraza ya kata
Marekebisho ni mazuri sana na.yanawapa mabaraza unafuu wa utendaji.Kikubwa marekbisho.hayo yapite kwenye mabaraza kuelimisha na kufuata sheria hizo kwa wakati.Sawa wakuu?Kila Halmashaufi itoe elimu kwanye mabaraza ya kata juu.ya marekebisho hao.
Swari langu kama mgogoro wa aridhi umeanzishwa na hao balaza la KATA la rdhi na Kijiji hapo unawapelekeaje kesi?? Na wanatatuake