Samahani mwana Shelia, Ikiwa nilijega nyumba yangu miaka mwaka ishirini na nne iliyo pita mwisho kwa amani,ivisasa ndani ya mwaka Minne naambiwa nitoke nipo kwenye eneo la taasisi,na jengo hilo sithani kama hata miaka Kumi na zaidi imefika,sasa mbaya zaidi wamekula wakifyeka mazao yangu, nihaki kweli naomba msaada
Elimu itolewe hongera itv kwakutuelimisha Mimi nimerepia hati Ila wanashindwa kunipa hati nazungushwa tu dokumenti zote ninizo nafanyaje nipo mafinga
Shukran sana kwa elim
Samahani mwana Shelia, Ikiwa nilijega nyumba yangu miaka mwaka ishirini na nne iliyo pita mwisho kwa amani,ivisasa ndani ya mwaka Minne naambiwa nitoke nipo kwenye eneo la taasisi,na jengo hilo sithani kama hata miaka Kumi na zaidi imefika,sasa mbaya zaidi wamekula wakifyeka mazao yangu, nihaki kweli naomba msaada
Jengo hilo LA taasisi sithani kama linafikisha hata miaka kumi
Je mtanzania bara anarusiwa kumilki ardhi kihalali Zanzibar ???
Je nikiwanaalidhi niliopewa nakamati yaalidhi badae mtuakaja kudai nimahame yababuyake nitasaidiwaje
Samahan ndugu, are you advocate or land surveyor? U basade as advocate. Wana register ma land
Je mabalaza ya kata yanamamlaka ya kutoa hukumu