Huba zako nazienzi,zapumbaza moyo wangu Unavyo nipa mapenzi wapumua moyo wangu Naona raha laaziz mlez wa pendo langu Naona raha laaziz mlez wa pendo langu
Yani hata kama udogo wangu sikulelewa zanzibari,lakini kwa navosikia natamani najihisi niliishi hapo zamani,Allah awarehemu wasanii wa kale walotangulia mbele za haki insha'Allah
Mungu amrehem fildjannat firdaus ishaallah dada yetu Amine yarrabbi'alamine 😭😭😭😭😭😭😭😭
Napenda sana huo wimbo 🇰🇪 sir habb kutoka Kenya ❤❤❤❤
zanzibar ni moja tu,mungu ibariki na watu wake
"Yarabbi atudumishe, mapenzi yetu yadumu.
mapenzi tuyazidishe, yawachome wanadamu.
furaha kwetu zisishe , kwa nguvu zake karimu."
safi sana taarabu
I like zanzibari music. Well done 👏
Wow that is awesome
Taarab ya aasilia. Taamuu kiusikia,hutamani iikome 🇰🇪
Huba zako nazienzi,zapumbaza moyo wangu
Unavyo nipa mapenzi wapumua moyo wangu
Naona raha laaziz mlez wa pendo langu
Naona raha laaziz mlez wa pendo langu
Best song ever
Good music
Perfect lyrics
Just wow!!!
Yani hata kama udogo wangu sikulelewa zanzibari,lakini kwa navosikia natamani najihisi niliishi hapo zamani,Allah awarehemu wasanii wa kale walotangulia mbele za haki insha'Allah
Aaamin
Allah Akurehemu Akuweke pema
Ah,,,mashallah...lfeel the word is sweeter.
.mhhhhhh
YAH! Really.
Namkunguka anti wangu was kits baramia nakunguka nbali sana wakati nuruyuni hapo kikwajunii mbobeni
Nakusifu ipasavyo,ewe wangu wa moyoni
Nimerowa rovyo rovyo kwa huba zako fulan
Lala salama ktk nyumba ya milelee kwa amani
Yes yes yes ❤️❤️❤️🇬🇳🇹🇿
Allah ampe kauli Dhabiti kiukweli nilikuwa namkubali sana
Kwani wamaanisha muimbaji ni hayati?
💜💜 hakika hakuna kitu kizuri kama upendoo💜💜 umesema kwelii
Iwapo ni wa kweli but not wa ku calculateur kila ambacho utakipata hey dunia ni round dear😡
what a beautiful words n voice ❤️🇹🇿i miss Zanzibar2021
love this song much
🎶❤️👏🇰🇪
Wasp
Napenda sana huo wimbo 🇰🇪 sir habb kutoka Kenya ❤❤❤❤
Karibu.