NABII MKUU GEORDAVIE AVUNJA UTARATIBU MBELE ya JENEZA la NISHER -ASHIKA MAIKI - "NINA UCHUNGU SANA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2023
- GEORDAVIE AVUNJA UTARATIBU MBELE ya JENEZA la NISHER -ASHIKA MAIKI - ''NINA UCHUNGU SANA''...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Kweli kabisa baba mungu akutienguvu katika kipindi hiki kigumu Cha kumpoteza mwanao baba😭
Pole sana Baba Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu Mungu akawe faraja kwako
Pole sana bishop Kwa kifo ya mtoto wangu mungu amweke mahali pema peponi
Pole san baba mungu akutie nguvu .
Pole Sana Kwa kumpoteza mwanao
Pole sana
wenyemsiba hawalii Wala hawaumii lakin choka mbaya wanalia, acheni unafiq, 😂😂😂😂huyo mzee hicho kifo TU Cha mwanae mara anaingiza mabilion ya hela😅
Hakika
Poleni sana mungu awa mfariji mkui
Umesema kweli ndugu🎉
Vijana dunia nzima wana msongamano wa mawazo kupita mpaka.wasaidiwe kimawazo😮
Kweli Baba.
Pole sana baba!
Unafiki
🎉
Mungu pekeee ndo anayejua
POLE SANA KAKA
Eeh Mungu turehemu
We mzee unajiita nabii mkuu subiri Allah anakuona nakishakuonjesha mauti kwa mwanao jipange kwani waongo kama nyie Allah huwa mkali saana
Kweli kabisa👍
Sio huyo tu hata wanaofundisha uongo.
Wewe Selemani tuliza mshono..kuwa na adabu kenge
Mimi.pia ni muislamu. Naheshimu kila mtu. Kuwa na adabu
@@aishahemedi8452 muislam usiejitambua mjinga we unaona huyo anayofanya nisawa adabu ipi unaitaka jitambue wewe hii dini haikaliwi na wajinga
Kwan c mfanye muujiza... Au miujiza inakubal kwa sisi maskin tu
Striving on famous people.
Hayabwa
Kwani ukilia anarud
Yaan kuna namna kuna kitu hakiko sawa hapao yaan mzee ka relax kabisa na makofi mengi 😅😅😅😅 ila wabongo
Akili yako2
Kwani mbona kuna watu wanaumia sna hasa waislam kwani kinawauma nini km kufiwa kafiwa baba wawatu au ni chuki tu wakati puwa lako liko chini
Kitugani kinakufanya useme waislam wanaumia?
Watu WAMEENDA wakijua atafufuliwa
😂😂
Aya kapokeeni misaada vijana mje kulia na kujuta milele
Vigelegele vya nini😢
Hata mm sijawaelewa
Acha uogoo😅😢😅😅😅😅
Wewe unaelia huna akili unaliaje wakati wenye msiba hawako hivo pia wanajua kinachoendelea
Yaani kunamambo yako nyuma ya pazia
Huyu atakua kamtoa mwanae kafara.... behavior yake inathibitisha
Mungu anajua zaid
Wahuska hawalii ila sisi walala njaa ndo tumekazana
Mwenzangu haswa mdogo mtu mkavu huyo
M mungu ndio anataka hivyo kuwa na subra na kumshukru Kwa hapo wako Sawa mengine mungu anajua
Mnaelia hamna hakili kabisa unalia wewe unajifanya umeumia na msiba wakati eahusika hawako hivo ninujinga
Mzee kamutowa kafara
Wanasema kula Mali yako,ukitafuta mwenyewe kitafune mwenyewe pia 🤔