NABII GOERDAVIE ALIVYOAGA MWILI WA KIJANA WAKE NISHER, MACHOZI YAMTOKA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 89

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 7 หลายเดือนก่อน +5

    Aise inauma sana tena sana wazazi kumuzika mtoto

  • @nuswemwakasala8687
    @nuswemwakasala8687 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie nyamazeni acheni kukejeli watumishi wa Mungu huu ni msiba wa mtoto wake wa kumzaa, hamjawahi kufiwa ndio maana mna nguvu hata ya kuandika ujinga,, sisi tuliozaa ndo tunajua uchungu,, nne ni ya MWILINI huwezi jua ndani anaumia kwa Kaisi gani,, pole sana mtumishi wa Mungu, Bwana Yesu akutie nguvu wewe na familia yako,, RIP MTOTO

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 7 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana Wana Ngurumo ya Upako

  • @harryvice77
    @harryvice77 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah nimeskia huzuni sanah😢😢😢 r. I.p nisher

  • @rweyemamurweyemamu680
    @rweyemamurweyemamu680 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kitu cha mwisho Kwa mwanadamu ni uhai,aliyelala hapo ni binadamu aliyetaman kuendelea kuwepo dunian kama wewe unayecomment hapa,hao ni wazazi waliomleta Dunian,ndugu zangu kabla ujaandika kitu jiulize uyo angekuwa ndugu yako,Bora ukae kimya kuliko kukejeli na kuandika maneno yasiyofaa,Muombe Mungu akupe mwisho mwema na kumshukuru kwa nafasi ya uhai uliyonayo.

  • @razzackkassim8058
    @razzackkassim8058 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kufiwa kuskie tu ndugu zangu

  • @lmashua
    @lmashua 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana am late but my sincere condolences.

  • @TumainBarack-vo7bs
    @TumainBarack-vo7bs 7 หลายเดือนก่อน

    Pole Mzee

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inaumiza sana poleni sana

  • @SHAINFIRIBERT
    @SHAINFIRIBERT 7 หลายเดือนก่อน

    poleni sana jmn duuh

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 7 หลายเดือนก่อน +1

    Msiba wa Mbae Nabii anavaa suti ya kawaida , anakaa kwa kuandika 4 nk as if yuko shughuli ya sherehe!

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 7 หลายเดือนก่อน +2

    Inauma jamani acheni kejeli

  • @judiththobias5132
    @judiththobias5132 7 หลายเดือนก่อน

    Poleeeee

  • @saraphinamassawe8133
    @saraphinamassawe8133 6 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana jmn mimi nimefiwa na mtoto. Akiwa tumboni na miezi tisa adi sasa naumia nimiezi miwili tu imepita vp nyie kijana mkubwa ivo polen tena jmn kuzika mtt kama mzazi ningumu sana

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 7 หลายเดือนก่อน

    Innalilah wainnalilah raajiuna mbele yake.nyuma yetu

  • @lailamushi3030
    @lailamushi3030 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani Huyo si mke wake why he can't even hold her hand jamaaaniii

  • @rashidhassansheikhmazingea8739
    @rashidhassansheikhmazingea8739 7 หลายเดือนก่อน

    M/mungu ataniwi ulisema umekaa kikao na Mungu tuambie mliongea nini

  • @OthumaniSaid
    @OthumaniSaid 7 หลายเดือนก่อน +1

    P0le xn baba yang nabii jordev kwa kumpoteza mwanao kipenz mwenyez MUNGU akutie nguv ktk kipind hik kigumu

  • @madahaisack1268
    @madahaisack1268 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kuanzia Sasa Sito waamini wale wachungaji wanao fufua watu 😢😢 mungu tusimamie

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 7 หลายเดือนก่อน

    Kafara zimeanza....huyu si mtumishi wamungu wa kweli mnaelezwa kila siku hamusikiii...

  • @mipasho_mareesh
    @mipasho_mareesh 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂sijacheka ila tu nauliza vp leo nabiii afufu kweli nakumbuka maneno yake😊😊😊

  • @user-qt3jl9io6k
    @user-qt3jl9io6k 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya nabii

  • @oscarbenjaminkaaya4103
    @oscarbenjaminkaaya4103 7 หลายเดือนก่อน

    Acheni ku comment dhambi....

  • @user-qe9ci8oe9c
    @user-qe9ci8oe9c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kejeli kwenye kufiwa

  • @rosekilawe786
    @rosekilawe786 7 หลายเดือนก่อน +7

    Watu wamefungwa ufahamu unapoenda kwa maombi Imani yako ndiyo inakuponya kwa kupitia like Neno la Mungu ndio linafanya kazi linaponya hakuna wanadamu anaweza kuponya Ni Mungu pm

    • @ShinersGospelBand
      @ShinersGospelBand 7 หลายเดือนก่อน

      Huna akili wewe....

    • @ShinersGospelBand
      @ShinersGospelBand 7 หลายเดือนก่อน

      Si kila m2 anaimani kubwa jna depend na una spend muda gn na Mungu... ndo maana kuna watu Yesu aliwaponya kwa imani yao wengine wengine walitumia imani ya Yesu... ila endelea kusema watumishi wa Mungu ivo, ukija kupata matatizo hayatakuja kukuachia mpaka uombe msamaha, tulia uone....

    • @onesmotchora3926
      @onesmotchora3926 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ShinersGospelBandWe ndy huna akil

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 7 หลายเดือนก่อน

      Kumbe mnajua anae ponya ni mungu nyie mnakaza kwenye makanisa kuwapa wenzenu utajili chakus shauri ludini kwenye dini ya haki na ni uislamu na vinginevyo

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 7 หลายเดือนก่อน

      Mnakazanaga kusema waislamu maskin sis tunakula lizki ya halali na si kujiunga freemason Kisha mnasingizia kumtumikia mungu mjenge magorofa na kitawalamba tu subilini ISSA mwana wa Mariam atapo ludi mtaumbuka

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu si alitokewa na yesu sasa awezi akamuomba amfufulie mwanae

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 7 หลายเดือนก่อน

      Dhihaka hiyo. Kwani, hata mitume waliotokewa na Mungu walifufuliwa? Kuna mwanadamu anayeishi milele

  • @user-xw7il4jd8h
    @user-xw7il4jd8h 7 หลายเดือนก่อน

    Si kila kitu pesa inaweza hapana

  • @JosephKulwa-rc7en
    @JosephKulwa-rc7en 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman zambi ya baba tusimpe mtoto tumuombeetu mungu ampokee

    • @angeldamasen6139
      @angeldamasen6139 7 หลายเดือนก่อน

      Kwan kua nabii uwezi kifiwa wanao Honda dhambi niwakosefu wa mahalifa

  • @user-qt3jl9io6k
    @user-qt3jl9io6k 4 หลายเดือนก่อน

    Mm niko natatizo

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 7 หลายเดือนก่อน

    Ataijibu nini nafsi ya mtoto...???

  • @user-zd3pz4yc8r
    @user-zd3pz4yc8r 7 หลายเดือนก่อน

    Lkn Baba mwenyewe Hana huzuni

  • @khamischumu6830
    @khamischumu6830 7 หลายเดือนก่อน

    Nabii Gani huyo ni mpumbavu tu yeye si anafufua watu basi na afufue mwanae mjinga mkubwa

  • @user-ct3kb2ys5c
    @user-ct3kb2ys5c 7 หลายเดือนก่อน

    Mbna kunakitu kinaniambia mwenye msiba ni mama pekee

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 7 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdullah tobe muslim. Hatuna upuuz huo wakujiita manabii huo n ufirau.

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 7 หลายเดือนก่อน

      Si umesema dini yako? Si uendelee kuiamini?

  • @SaadaKiyungi-uz6jn
    @SaadaKiyungi-uz6jn 7 หลายเดือนก่อน

    😂 Eti! Nabii jamani kweli dunia imeisha

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 7 หลายเดือนก่อน

      Ulitaka awe nani mpangie wewe basi

    • @khadijaomar7096
      @khadijaomar7096 7 หลายเดือนก่อน

      Awe binadamu wa kawaida. Wadhani unabii ni kula

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 7 หลายเดือนก่อน

      @@khadijaomar7096 kamfanye basi wewe awe binadamu kama wamuona jini

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 7 หลายเดือนก่อน

    Sacrifice

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 7 หลายเดือนก่อน

    Apo sasa waumini wataongeza kanisani sadaka zitaongezeka

  • @maryamabdalla7557
    @maryamabdalla7557 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona hajamfufua mwanae?😢

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 7 หลายเดือนก่อน +1

    RIP Nisher

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji watakao kuja Ni frimason wenzie

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 7 หลายเดือนก่อน +1

      Una hakika na usemalo kwani kwenye family yako hujawahi fiwa na ndugu tujifunze kuacha kuropoka

    • @Tanganyikatv965
      @Tanganyikatv965 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kwakweli noma tupu

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 7 หลายเดือนก่อน

      Ila wanadamu mna dhihaka. Ila kiburi cha mwanadamu ni cha muda. Wakati mwingine ni bora kunyamaza kimya. Anayefiwa ni wa kumpa pole hata kama imani zenu zinatofautiana

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 7 หลายเดือนก่อน

    Moyon kuna kitu kinaniambia ni kafara😢

    • @samoblaza
      @samoblaza 7 หลายเดือนก่อน

      mmmh

  • @user-zp9qx1xg1o
    @user-zp9qx1xg1o 7 หลายเดือนก่อน

    Binadam ni nyama ya mchanga

  • @user-ym5kf1gd9t
    @user-ym5kf1gd9t 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu jaman si anafufua wafu huyu!? Mbona anajisahaulisha hivyo lakini!?

    • @AMINASAIDI-mx7rs
      @AMINASAIDI-mx7rs 7 หลายเดือนก่อน

      Jaman tuachen kukejeli kweli anafufua lakin kazi ya mungu hawezi kuififua anafufua wanalazimishwa kufa .

  • @mudrick4553
    @mudrick4553 7 หลายเดือนก่อน

    sasa huyu nabii gani huyu anapeleka wenzie wao motoni alooo da kufruu hii haina dhamana mbele ya Allah atubie kabla ya mgeni ambaye hana taarifa anakuja muda gani

    • @angeldamasen6139
      @angeldamasen6139 7 หลายเดือนก่อน

      Kwan kua nabii ndousifiwe

  • @abdullahabdul9246
    @abdullahabdul9246 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona huyu nabiii amfufue basi huyo mwanae

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 7 หลายเดือนก่อน +3

    Achen mungu aitwe mungu tuu msishindane na vyeo vyake. Mungu mkali eti nambii mkuu ona leo mungu alivyokupa jaribu kubwa mno. Unajikaza tuu but mtoto anauma sana acheni maagano ya kijahili mrudien mungu dunia tunapita why mtake pesa kupitia dini ! Why usiwe muumin wa kwel nauachane na dunia. Vyeo vinaumiza .

    • @HeriTarim-sm5tm
      @HeriTarim-sm5tm 7 หลายเดือนก่อน +1

      Acha mdomo ndugu Kufa ni wajibu wa kila binadamu.hukumu so kazi yako ni kazi ya mungu ndugu

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 7 หลายเดือนก่อน

      Unashangaza wewe ni nani mpaka umsaidie mungu kutoa wenzio kasoro au kuhukumu na kujua huyu ni free mason huyo ni wakweli sio kazi Yako we angalia Kwa macho

    • @bakariamour1024
      @bakariamour1024 7 หลายเดือนก่อน

      @@pendomushi6351 sio inashangaza nyinyi mmezidi kufuru

    • @bakariamour1024
      @bakariamour1024 7 หลายเดือนก่อน

      @@HeriTarim-sm5tm sio acha mdomo mmezidi kufuru

  • @khamisabdu3594
    @khamisabdu3594 7 หลายเดือนก่อน +5

    Baba yake anasema,anafufua watu ,alikua amfufue mwanawe

    • @salummussa1139
      @salummussa1139 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mganga hajigangi

    • @SMEDIA298
      @SMEDIA298 7 หลายเดือนก่อน

      Tutumie clip 1 tu aliyo wahi kusema hivyo acha uzushi 😂😂

    • @godsonshoo9867
      @godsonshoo9867 7 หลายเดือนก่อน +3

      Ndugu, umeshawahi kufiwa? Ni busara kutoa pole na sio kukejeli😢

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 7 หลายเดือนก่อน +4

      Wanaofufuliwa ni wale wanaokufa kwa imani za kishirikina na si ambao wameitwa na M/ Mungu.

    • @RahmaKhalid-td9hx
      @RahmaKhalid-td9hx 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@salummussa1139😂😂😂😂Nalo neno

  • @malkiawaubembe.
    @malkiawaubembe. 7 หลายเดือนก่อน +2

    wani ubaya uko wapi na kwanini mumkumu? Yesu alikuwa na uwezo mkubwa sana alifufuwa watu sana lakini mbona akuzuhia kifo chake? . Tusijitoe fahamu.
    Na mimi sio shabiki yake .