Bro Masanja umekuwa Mwalimu mzuri na mfano kwa vijana. Ni wachache sana hutoa madini haya kwa wanaotafuta namna ya kutoboa. Hongera kwa kazi nzuri na Ubarikiwe katika kazi zako. Umefanya Hamasa kubwa sana. Ungeweza kufanya na hao ulio nao lakini umeona pia irushwe na wengine wajionee. Hakika tumefika wengi shambani kwako. Nakupongeza kwa niaba ya wengi wanaokufuatilia.
Masanja, naomba jaruba walizopanda hao wanafunzi wako hakikisha wanashiriki hatua zote mpaka kuuvuna Ili waone walipanda kimeota vipi, na wamepata gunia ngapi. Very good brother
Mchungaji mm natokea kusini sio wazuri sana kwenye kilimo cha mpunga ila nataka kujifunza kutoka kwako ili na mm niwe mwalimu wa vijana wenzangu wa kusini tujikwamue kwenye umasikini
Watu wanakuwa freemason sio kwamba hawana kazi za kufanya usijidanganye. Au unao wasikia Wana music wanaenda Kwa mganga unazani hawaimbi kabisa hapana wanaimba na Kwa freemason wanaenda pia. Ata k/Koo pale kabla ya kufungua duka kwanza lazima mfanya biashara afukize ubani Kwa shetani ndio afungue duka. Ila Yesu Kristo anatajirusha sana ni kutafuta tu na kufuata maelekezo.

Ukisikia wivu wa kimasikini na bangi ndo huku ww mjumbe wa nani tukujue kama hiyo dini yako inakushauri kuhamasisha kilimo na upambanaji ni shetani kweli laana zipo kwa watu😅
Bro Masanja umekuwa Mwalimu mzuri na mfano kwa vijana. Ni wachache sana hutoa madini haya kwa wanaotafuta namna ya kutoboa. Hongera kwa kazi nzuri na Ubarikiwe katika kazi zako. Umefanya Hamasa kubwa sana. Ungeweza kufanya na hao ulio nao lakini umeona pia irushwe na wengine wajionee. Hakika tumefika wengi shambani kwako. Nakupongeza kwa niaba ya wengi wanaokufuatilia.
Hakika ni darasa tosha kwa vjana wote
Masanja, naomba jaruba walizopanda hao wanafunzi wako hakikisha wanashiriki hatua zote mpaka kuuvuna Ili waone walipanda kimeota vipi, na wamepata gunia ngapi. Very good brother
Uishi miaka mingi🎉
Big up brother hayo ndio maarifa vijana wa Tanzania tunahitaji
Hongera masanja unapambana sana naomba kujiunga na mm nilime
Bravoooooooooooooooo.......iwe heri kwa nchi na watu
Unafundisha vizuri sana.
Brother nashukuru sana kwa elimu natamani kula ila bado najitafta ..ninauhakika nikikaa sawa ntakutfta Brother God bless you Man of God
Sawa sawa kaka
nakubali sana. nimejifunza mengi asnte kaka kwa encouragements
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki kaka unafungua njia kwa vijana
Nimelipenda hili darasa la uhalisia
Kila mtu anataka kuimba!! Kilimo mali sanaa, big up masanjaa
Kwa kweli
Sa kuimba kunahusika nini mzee... Fursa ziko nyingi, kila mtu anafanya kutokana na uwezo na maarifa yake arifu
Saluteee🙌
Sawa boss
Safiiiii Sana mlongovangu
Brother masanja your my inspirational one day I will meet you
@@EliasPeter-vp7ny 0756444000
@mchongowakilimo Asante sana ndugu yanguu nitakupigia
Safi sana
Makini sana
Nami naitaji mafundisho ya kilimo
Salute
🔥🔥
Ahsante sana mtumishi wa Mungu. Nahitaji kujifunza zaidi kwenye kilimo Chapunga.
Naam nahitaji kuwekeza kabisa
@@emmanuelmwandu.3126 07564444000
Mchungaji mm natokea kusini sio wazuri sana kwenye kilimo cha mpunga ila nataka kujifunza kutoka kwako ili na mm niwe mwalimu wa vijana wenzangu wa kusini tujikwamue kwenye umasikini
@@mchongowakilimohizo namb zipo 11
@@zuberiismail2972 0756444000
Mimi naona shida sio kilimo shida masoko
Unanyota kubwa sana mimi ninandoto ya kulima wakati ukifika swali langu maeneo zaidi ya kilimo yapo mengi nasisi tutapata nafasi hiyo
inakuwaje trecta haikwami kwenye tope
dakika 11 za muhimu sana, 🙏
Wakati wa kuchanua mnawafanyeje ndege
Bei ya trekta naombeni
🎉
Kaka hauna baya
Kilimo kinahitaji mtaj sio elimu tu. Lazima ujipange Kama upo kibiashara zaidi.
Sio mtaji tuu pia usimamizi mzuri usipo kuwa na usimamizi mzuri utatumia hela nyingi na kupata kidogo
Hapo ni wap
Kaka sizan kama kuna kama ww yan hujawahi kutuferisha upande wowote yaan nakuombea kwamungu uzid kutupa elim utafika mbali sana uishi miaka 125
Masanja samahani, wewe siyo tajiri kichwa cha habari kinapotosha. Nachojua mimi pesa haipendi kelele.
Wivu
Wewe mbona ulianzia kuigizaaaa?
Nauza mashamba Rufiji Ikwiriri..nicheki kama unahitaj
Bro vipi!? Tuwasiliane
Mimi nalima pia kilimo kinatoa nakubli sana
Unalima nini,wapi?
Kweli❤❤❤
Umenitamanisha
Mna uhakika huyu ni mchungaji!?😂😂😂😂
😂😂😂
@victorjames3730 sijawah kumwelewa aisee😂
Ndio tuna uhakika kwani mchungaji ana alama gani
Ulitaka mchungaji aweje, wachungaji wanajielewa wanapiga biashara wakipata hela mnaanza ooh freemason anakula sadaka amka usingizini😂
Mpunga ndo habari ya mjini
Kwa upande wa kidaktari, tumia RAIN BOOTS wakati wa ukulima wa mpunga kujilinda na kichocho na athari zake!!
We huwez kuwa mkulima niko mbea mwaka wa kumi sijawah Ona kichocho mbugani we nimkulima kweli
Na Mimi nahitaji kutembelea shamba darasa nafikaje?
Ni kama vituunguu tu
Kununua mbegu iliyoota Sisi tulibakishaga eneo halikuenea kwa mbegu zetu tulizoatika So tulikuwa tunanunua beseni moja elfu2 mwaka 2009
Yah sioyule chif aseme tu ukweli
Forex trading ndio mkombozi pekee kwa vijana kikubwa n kutafuta elimu juu yake na kutumia maarifa kutengeneza pesa
Vijana wa dar wabishi awakuelewi na wanachuoa ndo kabisa unawazinguwa maind set
Sema vizuri utajili wako ulikotokea acha kudanganya watu!
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nadhan wewe ndo unamfaham vizur utuambie kaupateje utajir
Watu wanakuwa freemason sio kwamba hawana kazi za kufanya usijidanganye. Au unao wasikia Wana music wanaenda Kwa mganga unazani hawaimbi kabisa hapana wanaimba na Kwa freemason wanaenda pia.
Ata k/Koo pale kabla ya kufungua duka kwanza lazima mfanya biashara afukize ubani Kwa shetani ndio afungue duka.
Ila Yesu Kristo anatajirusha sana ni kutafuta tu na kufuata maelekezo.
Unatoa elimu mwanana
Nabii wewe ni mtu sana tafadhari nami naitaji sana ila sina shamba la umwagiliaji
Tahadhari mnaojifunza kuhusu kilimo hapo binafsi nimepita hapo maelezo na vitendo ni tofauti sio kitu rahisi mnapaswa kujipanga haswa
Usiogopeshe watu..Acha wafanye
Kazi yoyote Ile nikujipanga wanajua hilo
Kweli Ima wapo watakao fanya hiyo kazi wataelewa kikubwa Nia
Hii ndio elimu ilitakiwa kufundisha shule
Uki vuna niuzie huo mpunga
Elimu ilinifanya nkachukia kilimo, maisha yamenifanya nipende kilimo
😂😂😂
Alafu siku Ukiwa Bilionea Eti wakuite Freemason Ila wabongo bana
Watu wanakuwa freemason sio kwamba hawana kazi za kufanya usijidanganye. Au unao wasikia Wana music wanaenda Kwa mganga unazani hawaimbi kabisa hapana wanaimba na Kwa freemason wanaenda pia.
Ata k/Koo pale kabla ya kufungua duka kwanza lazima mfanya biashara afukize ubani Kwa shetani ndio afungue duka.
Ila Yesu Kristo anatajirusha sana ni kutafuta tu na kufuata maelekezo.
Kwel Sadaq Sio Lazima Upew Pesa Hata Hiyo Elim Ni Zaid Ya sadaq . Mtumishi Wa Mungu @masanja
Watu wengi wanapagawa mtu akifungua duka la nguo na viatu ila kulima ni bonge la deal na watu hawajasanuka
Halafu unamuita mtu filimason wakati anapambana usi na mchana
Watu wanakuwa freemason sio kwamba hawana kazi za kufanya usijidanganye. Au unao wasikia Wana music wanaenda Kwa mganga unazani hawaimbi kabisa hapana wanaimba na Kwa freemason wanaenda pia.
Ata k/Koo pale kabla ya kufungua duka kwanza lazima mfanya biashara afukize ubani Kwa shetani ndio afungue duka.
Ila Yesu Kristo anatajirusha sana ni kutafuta tu na kufuata maelekezo.
Hii shule ni ya experience, which is best, shule isiyo na mawaaa
Naona watu mmekaa kimya maana munaamini kulima ni ushamba
Kumbe wao ndiyo washamba
Uongo huo
WE NI MJUMBE WA SHETANI.
umasikini utakuuwa.
kivip au ndo wivu
Unaakiri mbovu sana yaani mtu anawapa watu akiri ya maisha unaona shenanigans aseee ww nikichaaaa aseee
Ukisikia wivu wa kimasikini na bangi ndo huku ww mjumbe wa nani tukujue kama hiyo dini yako inakushauri kuhamasisha kilimo na upambanaji ni shetani kweli laana zipo kwa watu😅
Acha uvivi wa fikira, we kila aliyefanikiwa ni mjumbe wa shetani, ukute ata kula yako ni ya shida...😢😢