Kaongea point. Usipoziba ufa utajenga ukuta. Yanga lazima ipiganie kutetea ubingwa na kuifunga simba ili kuleta utulivu kilabuni. Vingin nevyo au kinyume cha hapo mutayakumbuka haya aliyoyasema Jerry
Sasa kama majibu unayo, unahoji nini!!! Kipindi chako walipita makocha wangapi? Wewe hauko kwenye uongozi na hao waliomuondoa ndio wanaleta makocha!! Shida hamshawishi watu kulipa kadi za uanachama unalalamika kupata kocha wa hadhi ya juu😂😂😂
Muda wako umeshaisha usituletee mitafaruko wew Inaonekana ata kuifuatilia yanga ushaacha mda mref, msemaj uliyekuwa unategemewa et yanga ana makombe 28, broo uko nyuma sana tuache, kama unaushauri mzur sehemu ya kuwasilisha ushauri wako sio hapa.
Jeri ni mnafik ulikua wapi?mzee Magoma mlikua mnamdis mbona hamkuhoji wakati mnachukua ubingwa kwani timu c ipo nafasi ya pili ttzo nini kutokwenda robo ni kosa lenu mana hamkuhoji mqanzo kaeni kwa kutulia
Wewe unataka kiki tu. Huna lolote. Wanaokusaport wengi wao ni simba, sie tulishachagua uongozi, muro hostoria yako ni mbovu hutakaa ueleweke. Watu tulishaanza kusema hatoshi na hakutosha aende zake.
Jerry Muro wewe kila neno Lako Zito ungana na Mzee Magoma mjenge TIMU.je MDOGO Wangu wewe ni mbumbu kama Yanga wengine? Maana Haj Manara alisema wenye akili ni baba yake na mzee wa Msoga tu.sasa nakujumlisha na wewe,Muro,pia mzee Magoma.Big up Jerry Muro.huyo nepi ndiyo TATIZO
😂😂😂...unataka raisi aongee hata kama hanahoja ya kuongea!!!kwahiyo wewe utasupport hata kama ukiongea non sense,kama hanachakuongea muache raisi apumzike kuongea bila malengo hakuna maana,kulashushu engineer
Muŕo hamasìsha watu wakate kadì tupate wanachama wengi club ipate pesa tuweze kusajiĺi na kuchukua makocha wazuri. Wewe umechangia nini, Acha siasa kwenye mpira wewe Huna kazi unatafuta kazi tu.
Tulia wenye mpira wao wanajia wanachokifanya. Wewe kulifanya nini wkt wako? Acheni kubet subirini mwone matokeo. Na wewe Unaongea sana wewe sio kiongozi wa Yanga.
Big up Brother Muro Umeongea vzr sana, tena kwa maono makubwa na elimu Kubwa sana, ila kuna Kengez hawato kuelewa
Kabisaa
😂😂😂😂😂😂kengeza
Ally kamwe yako nepi,utuliyeeee😂😂😂 jery! jery! jery!
Namuunga sana mkono Mh.Dc mstaafu yanga ya sasa ni kikundi cha viongozi na machawa wao.
Pwenti kabisa kaka muroo big up sana kaka
Aaaah kaka nimekuelewa sana, ndo maana 😅😅😅
Injinia mi nakuelewa sana bado mimi nakupa miaka 20 kuiongoza yanga
Alikamwe Yako nepi😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Mambo yaliyotokea Simba msimu uliopita na msimu huu kwa yanga yanafanana,kwenye uongozi kuna mushkel wanachama hawataki kulijadili big up muro.
Tulisema kuwa ana mrefu ataondoka 😂😂😂😂😂
Mzee Magoma heshima kwako ulisema kabisa kocha hamalizi miezi 4 😂😂😂😂😂
Kocha hakufukuzwa bali kapata sehemu nyingine ambapo ana-amini kwake ni Bora zaidi .So lawama Viongozi Zina Toka wapi!
safi mweshi miwa mkuu wa mkoa wasa nuwe mizuzu iyoo
Ww unaakiri sana sio hao wanamchekelea huyo nepi😂😂😂
Mheshimiwa uko sawa hakika we nikiongozi
Absolutely true.kweli kweli kbisa
Unayo yasema ni kweli ingawa mimi ni mashabiki wa cmb hongera jer
We mpuuzi Cmba simba acha uzwazwa
Ubaya Ubwelaa😅😅😅
Kaongea point. Usipoziba ufa utajenga ukuta. Yanga lazima ipiganie kutetea ubingwa na kuifunga simba ili kuleta utulivu kilabuni. Vingin nevyo au kinyume cha hapo mutayakumbuka haya aliyoyasema Jerry
Akili kubwa hii. Umetusemea wengi mkuu
Asante. Jerry. Muro. Hivi. Kiongozi. Yanatokea. Mambo. Ambayo. Sio. Halafu. Unakaa. Kimya. Hiyo. Ni. Dharau. Kubwa. Kwa. Nini. Tusielezwe. Ukweli. Wa. Mambo. Haya. Mambo. Ni. Mazito. Ambayo. Yanaweza. Kujibiwa. Na. Ally. Kamwe? Tunaomba. Engineer. Atoke. Hadharani. Atueleze. Kinacho. Endelea. YANGA. Maana. Hawa. Makocha. Zoa. Zoa. Sisi. Hatuwaelewi. Tunaomba. Rais. Wetu. Engineer. Hersi. Said. Ally. Aseme. Neno. Ili. Mioyo. Yetu. Wanayanga. YANGA. Itulie. Inatia. Uchungu. JERRY. Ameongea. Kwa. Uchungu. Mkubwa. Ukweli. Inauma. Sana
shule gani umesoma?
Du mwalimu wako anapaswa awe jela mpaka muda huu unaandikaje kila sentesi kituo
so mnadhani Eng Hersi hawadharau ninyi UTO??
sio yeye aliyewahi kukuiteni wala mihogo?
sio dharau ile??
Sasa kama majibu unayo, unahoji nini!!! Kipindi chako walipita makocha wangapi? Wewe hauko kwenye uongozi na hao waliomuondoa ndio wanaleta makocha!! Shida hamshawishi watu kulipa kadi za uanachama unalalamika kupata kocha wa hadhi ya juu😂😂😂
Mtoto yake nepi🤣🤣🤣
Fact🤜
Kweli kiongozi anataka kutoa maelezo ya kina kuanzia kwa gamond.
Yaani muro mimi ni simba ilahuwa nakukubar sana nikikumbuka enz zako na manara mpira ulinoga sana endelea kushusha vyuma
Ali kamwe...yako nepi...inyee ikojolee kisha ukalale waachie wanaume wajibu hizo hoja😂😂
Heris aondoke hatumutaki inatosha
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 %
We kakaangu jerry Julia tu acha kelele taharifa atowe alikamwe atoe injinia haijalishi sisi tunataka ushindi tu
Unaongea kweli ila kunawashabiki wa yanga ninyumbu yanapelekwa pelekwa tu
Wengi tumekata tamaa kuishabikia Yanga.
Jerry tuchangie bil 3 kuisapoti yanga. Una uchungu sana na timu yetu ya wananchi. Tupe bil 3 brother
Hata Mimi nimeshtuka kumuondoa saed kwanini kweli injinia atoke tumsikilize
Huyu alimuondoa manji Sasa anataka kumtoa eng.Hersi!
Jambo la muda tyu😂😂
Unataka kocha mkubwa utuambie utachangia bei gan
Kweli kwili umeongea umenyosha kaka
Umeongea point kubwa sana kaka uongozi wa Simba ulifeli hapo na pia viongozi wa Simba waitumie kama funzo la kupunguza tamaa zinaigharimu timu yetu
Uko sahii kaka muro
Ukwer mchungu sema JELI MULO YUPO SAHIHI
Avieta😅
Mheshimiwa ukovizuri Mimi ni SIMBA wa kweli lakini nimekukubali. Wewe humumunyi maneno
Mi simba lkn jeri ni kama unajambo umesanuka vile😂😂!
Kindege fc😂
Mbona kama vile waunga hoja wengi ni wanasimba?
Muda wako umeshaisha usituletee mitafaruko wew
Inaonekana ata kuifuatilia yanga ushaacha mda mref, msemaj uliyekuwa unategemewa et yanga ana makombe 28, broo uko nyuma sana tuache, kama unaushauri mzur sehemu ya kuwasilisha ushauri wako sio hapa.
Kakimbia Darby huyooo,asije kapata aibu zaidi😆🤣
KANYE HUKO HIVI SIMBA KWA MARA YA MWISHO MMETUFUNGA LINI??
@stevensosipita566 Huwezi ifunga Simba 👹,bila bahasha na msaada wa kayoko
@japhetdaudmaneno8440 POLE SANA KOLO WEWE KIBONDE WETU TU
@stevensosipita566 Bila bahasha napigwa kama Ngoma🔥🔥🔥🏹💪
@stevensosipita566 Mtapigwa kama,Ngoma maana kama kweli uwezo mnao mngefuzu,kiwango chenu ni cha bongo , kimataifa tuachieni wa kimataifa 👹😀🔥🔥🏹
Vizuri sana mlo
Great Mulo....... Viongoizi wa Yanga kuna mahala wamejisahau na wanapeleka timu kubaya zaidi.
Na Hersi anatakiwa kujua standard alioiweka yeye ndiyo itakayomchafua huku anakoelekea.
Hii ni Timu ya wananchi sio ya mtu. Wkt ukifika watssema usiwalazimishe KUSEMA.
Ila me nakubaliana na wewe Muro, kuna madhaifu katika mikataba. engineer Hapa anabidi aongee
Ujuwi chochote kuhusu yanga wanao juwa atuwezi kuongea kwakuwa tunajuwa kinacho hendelea
Umenena vyema muro
Umeongea kweli
Kweli,hii inaitwa jibwa kalajibwa
Hivi huyu anahoji Kama Nani
Na yeye alipokuwa yanga alifanya nn
Kocha kaondoka yeye kwakuwa amepata mkataba mwingine, sio viongozi waliyomtimua
Akae kimya
Na WEWE mtangazaji uwe unatafuta taarifa za uhakika kwanza. Cjui Kama mlishamfwata mkamuuliza
Goal la ken gold liko wap
Who is Jerry. Hawezi isemea Yanga
Mnajua mapatano kat seed na injinia kwani?
Sasa jery kama kocha kavunja mkataba kwa ajili ya maslahi yake utamzuia?
Kabla hujafanya utafiti usihoji -nanyinyi wandishi munaogeza maneno .
Jamaaa ameongea ukweli na ameongea vitu vya msingi sana
Unawivu tu
Watu wenye akiri kwenye mpira
Huyu naye chizi kama machizi wengine.....waache viongozi wafanye kazi yao watakuja wataongea sasa ukijifanya unajua kila kitu unaonekana mpuuzi tu
Hawa viongozi wanajambo la siri,Sasa hivi ni zamu ya simba achukuwe kombe ndiyo lengo lao,tupo mtaona tu
Upumbavu mtupu kwa hiyo kwa akili Yako finyi umeona hii ni mada ya kutuwekea kwenye mtandao?
Kumeanza kuchangamka
Muro ww ni mtu wa mpira nimekuelewa sana
We huna jipya piga kelele wanajiita Jeri mlo wewe ndo mvaa nepi
ALI tulia .Yako NEPI daaadeqi!!
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 umeongezeka mwenye akili😂😂😂😂😂😂
Hanampango.muro
Jeri ni mnafik ulikua wapi?mzee Magoma mlikua mnamdis mbona hamkuhoji wakati mnachukua ubingwa kwani timu c ipo nafasi ya pili ttzo nini kutokwenda robo ni kosa lenu mana hamkuhoji mqanzo kaeni kwa kutulia
Wewe unataka kiki tu. Huna lolote. Wanaokusaport wengi wao ni simba, sie tulishachagua uongozi, muro hostoria yako ni mbovu hutakaa ueleweke. Watu tulishaanza kusema hatoshi na hakutosha aende zake.
Huyu bwege
NYIE WOTE WANAFIKI TU,HAMNA JIPYA KABISAA!
Kwani hao walioletwa tulikuwa tunawajua
Jeri unataka nini ndani ya Yanga kwasasa? Wakati wako umepita bro tuache tunataka amani ndani ya Yanga.
Mwambie aache usenge kwani yeye ni nani
Ubaya ubelwa unawatafuna bado
Mmesikia ushauli watani zangu yanga mtoto yake nepi
Jerry Muro wewe kila neno Lako Zito ungana na Mzee Magoma mjenge TIMU.je MDOGO Wangu wewe ni mbumbu kama Yanga wengine? Maana Haj Manara alisema wenye akili ni baba yake na mzee wa Msoga tu.sasa nakujumlisha na wewe,Muro,pia mzee Magoma.Big up Jerry Muro.huyo nepi ndiyo TATIZO
Mbumbumbu FC mnajulikana mliitwa na baba yenu Rage
Wewe ndio unaleta shida na mpasuko kwa maneno yako. Tulia unaongea sana.
Yake nepi
ALIPIE KADI YAKE KWANZA NDIO AWEZE KUONGEA....
😂😂😂...unataka raisi aongee hata kama hanahoja ya kuongea!!!kwahiyo wewe utasupport hata kama ukiongea non sense,kama hanachakuongea muache raisi apumzike kuongea bila malengo hakuna maana,kulashushu engineer
Maelezo ya Jerry na kichwa Cha habari havina uhusiano
Muŕo hamasìsha watu wakate kadì tupate wanachama wengi club ipate pesa tuweze kusajiĺi na kuchukua makocha wazuri. Wewe umechangia nini, Acha siasa kwenye mpira wewe Huna kazi unatafuta kazi tu.
Gombea we Kama utaweza umetumwa kwani we Nani katika yanga?
Mawazo huru
Ila ni hoja ya msingi
Kweli ogea rais acha utani na yanga ni ya wanainchi sema neno siyo saizi ya alli
Kaa kimywa wewe ndo uliivuruga yanga
Anayemwunga mkono muro anafikiri muro hawapendi viongozi wa yanga, ila ukweli yeye katoa maoni yake.Sasa makolo wanashambulia kama kutaka kuleta mvurugano pale yanga, nyie kolo mmeliwa ubongo.
Kwani timu imefanya vibaya au mnataka kuleta vurugu club
Huyu HANA JIPYA!
Nimkweli viongoz watuambie coz haya mabadiliko ya Kila baada ya mwez yataathiri timu
Tulia wenye mpira wao wanajia wanachokifanya. Wewe kulifanya nini wkt wako? Acheni kubet subirini mwone matokeo. Na wewe Unaongea sana wewe sio kiongozi wa Yanga.
Sasa mnatajua kwanini Caf wamempa kazi engineer Hers!!?
Sasa timu ikiwa ya pili inakuwa imefanya vibaya,mbona wewe ulikosa kila kitu,ulifanya nini pale yanga zaidi ya magonvi na manara
Mm ni Yanga ila kwasasa cnampango nao naona kama awajui wanafanya nn
Wewe sio Yanga, timu iko mikono salama.
@simonnjovu586 sasa eng said aweki wazi why anafukuza nikama tunafichwa bro
Kwaniwewe shidayakonini mnafiki tunakujua ulimchoma manji tokazako