Nikitu umenishangaza,nilidhani mimi tu ndio mwenye kiu ya tour kwa pikipiki ,nimepata shabiki,jibu hii comment masanja weka namba tuwasiliane,,hizi safari mkiwa 3 mpaka 5,,bomba sana.mimi niko addicted kwa bike.
Niwajibu wa serikali kufanya maendeleo tena zaidi yahayo maana wananchi wanalipa kodi pesa nyingi tena zinaliwa nyingi kwenye maeendeleo wanapeleka kidogo
Tengenezen viwanda achen ujinga wa ku spend billion kweny majengo ya kisnge hapo ni kaz bure hela imepotea kijingajinga hii Tanzania mpk ipate ukomboz wa kifkra ni bado sana 😴
Ndugu yangu. Kutengeneza Soko siyo jambo baya au matumizi mabaya ya fedha zetu. Hili soko pia litasaidia kwenye upande wa masoko ya kuuzia sehemu ya bidhaa zitakazo zarishwa viwandani. Kiufupi ni hivi hauwezi kujenga viwanda pasipokuwa na soko, pamoja na kuwepo kwa masoko mtandao hivi sasa.
Ndoto za mzee baba JPM mwana wa Africa mzalendo Mtanzania 🇹🇿 kweli
Kazi iendelee hongera
Masanja hii unayoifanya inamaana kubwa sana kwa mtz wakawaida, ongera
Nikitu umenishangaza,nilidhani mimi tu ndio mwenye kiu ya tour kwa pikipiki ,nimepata shabiki,jibu hii comment masanja weka namba tuwasiliane,,hizi safari mkiwa 3 mpaka 5,,bomba sana.mimi niko addicted kwa bike.
Mzee baba asinge danja Mwanza ingekuwa kama cape town
Hongera Masanja
Karibu nyumbani Masanja
Muheshimiwa masanja naomba kuuliza suali: Je! Serikali yenyewe au wanaondesha serikali ndio wanaakili? ..... Asante ❤
masanja tour mtoto wa mama samia mbona moshi kimanjaro utembelei mtumishi wa mungu
Jamani Tanzania inapiga hatua
Kazi.iendalee
R.I.P.JPM
Akumbukwe Hayati JPM alie kuwa na maono wachache walimuelewa...
Hii soko iko mwanza sehemu gani
Mwanza mjini katikati, mtaa wa Pamba na Rwagasole
Hapo wamekutana wachekeshaji watupu hadi raha kuangalia
Hovyo
Hio bendera sio ya tz
Niwajibu wa serikali kufanya maendeleo tena zaidi yahayo maana wananchi wanalipa kodi pesa nyingi tena zinaliwa nyingi kwenye maeendeleo wanapeleka kidogo
Ameacha uchungaji?
Misa huko kanisani kwake nani anasimamia maana yeye mtalii..😂
Mitaji ndo changamoto
Masanja hiyo pikipiki aina gani ?
BMW 1250
Ndugu acha uchawa huo ni usenge
Tena ni usenge kweli asee ni usenge mtupu kizazi cha Tz kinaharibika na uchawa
😅😅😅😅
Tengenezen viwanda achen ujinga wa ku spend billion kweny majengo ya kisnge hapo ni kaz bure hela imepotea kijingajinga hii Tanzania mpk ipate ukomboz wa kifkra ni bado sana 😴
Ndugu yangu. Kutengeneza Soko siyo jambo baya au matumizi mabaya ya fedha zetu. Hili soko pia litasaidia kwenye upande wa masoko ya kuuzia sehemu ya bidhaa zitakazo zarishwa viwandani. Kiufupi ni hivi hauwezi kujenga viwanda pasipokuwa na soko, pamoja na kuwepo kwa masoko mtandao hivi sasa.
Du! Ila kwa Hilo soko kuu Mwanza, NI kiboko haswa,NI bonge la uwekezaji.limebadilisha kabisa muonekano wa jiji la Mwanza hapo Center.
Utapigwa kijana
Eliudi😂
Ifike sehemu wakuonee huruma hata u DC jamani
Wamuonee huruma we hujui hapo kala mpunga wa maana kuzunguka inch nzima
Muelewe huyo ni serikali kama hamjui mrangazi wa serikali
Utapigwa ngumi acha ubabe huioni hii fomu ya Mwananchi
KWENYE PARKING NDO WAMETISHA ZAIDI....MAANA SEHEMU NYINGI WANAJENGA lAKINI nO PARKING
vipi uchungaji ulipotelea wapi Tena mbna mnatuchanganya 🤔🤔🤔
Masanja hana lolote anafanya familirazation kwa wananchi ili Asante ubunge.
KaI ya jpm.semen anamalizia tu yeye hajaanzisha mlad wake
Ee😂😂