SIRI ILIYOJIFICHA KUHUSU SIKUKUU YA KRIS-MASS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 849

  • @seyaorongo7466
    @seyaorongo7466 4 ปีที่แล้ว +31

    Nimekuelewa sana Pastor Mungu azidi kukutumia ili watu waokolewe kupitia mafundisho yako. Barikiwa sana Mungu akutunze uwe na afya njema.

    • @renemwendapole8811
      @renemwendapole8811 9 หลายเดือนก่อน

      Asante pr David mbaga kwaku tufunuliya huu ukweli kuhusu hii tariki.halafu Niki kuambiya ukweli mafundisho Yako inani fariji naku nijenga kila ninapo ifwata. Natamani sikumoja nikuone USO kwa uso. René Mwendapole kutoka DRC

  • @subiralendaiga5791
    @subiralendaiga5791 4 ปีที่แล้ว +12

    Amen pastor ! Mwenye masikio Na asikie ! God bless you. Right message at the right time with reasonable evidences!

  • @catherinemgaya
    @catherinemgaya 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atukuzwe kwa ajili yako kwa mafundisho yenye uzima mwenye sikio na asikie na mwenye kuelewa achukue hatua ya kutoshehelekea krixmas km ck ya kuzaliwa Yesu kristo ukweli unawekwa wazi watu wapate kuokolewa Mungu amekupa kibari usiogope sema ukweli

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 4 ปีที่แล้ว +6

    Amina Pastor ,tunashukuru kwa kutangaza neno la Mungu Kwa Ujasili.Hizi ni siku za Mwisho kabisa. Wanadamu wanaufanya uongo kuwa kama ni kweli.Mungu anakuja upesi kuja kuzihilisha ukweli ni upi.Kama alivyokuja haraka kuja kuzihirisha ukweli wakati wa Eliya.Lakini raundi hii waliouamini uongo watapotea.

  • @patiencekalondji8091
    @patiencekalondji8091 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana pastor yaani nikubali kwamba Yesu Kristu ni spirit alizaliwa kiroho na sio kimwili

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante ndugu Mtumishi wa Mungu, kwa hili somo. Sitarudia tena kusherehekea Christimass. Kumbe ni sherehe za kumsifu mungu jua, sio Yesu.

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 ปีที่แล้ว

      TAREHE YA KUZALIWA YESU KRISTO HAKUNA MWANADAMU AIJUAYE KWA SABABU KABLA YA YESU KUZALIWA HAKUKUA NA KALENDA KAMILI IJULIKANAYO KIMATAIFA. KWA HIYO TAR, ZILIZOWEKWA NI ZA BANDIA TU KWA LENGO LA KUFANYA KUMBUKUMBU TU YA KUZALIWA KWAKE YESU. KWA MAANA NI UKWELI YESU ALIZALIWA HAKUNA UBISHI KTK HILI. ILA TAR HAKUNA AIJUAYE. NA TUFAHAMU KWAMBA YESU KRISTO YUPO YANGU MILELE YEYE NI MUNGU MWANADAMUHAUWEZI KUIJUWA TAR YA KUWEPO MUNGU WAKO NENO LA MUNGU LINASEMA HAPO MWANZO PALIKUWAPO NA NENO, NAYE NENO ALIWAPO KWA MUNGU, NAYE NENO ALIKUWA MUNGU _____ SOMA YOHANA 1:1_14 AMIN AMIN

    • @micamathew2595
      @micamathew2595 ปีที่แล้ว

      @@brightergermanus2163 Yesu sio mtu, Yesu ni Mungu mkuu!! Tito2:13. Wafilipi2:5-11. Kwamaana hiyo Yesu ni roho!! Hazaliwi siku mmoja!! Anazaliwa katika mioyo ya wanadamu!! Pale mtu anapomrejea Yesu kwa toba ya kweli bac anazaliwa mda huohuo!! Yesu alipokuwa na mwili hapa duniani hakusherekea siku yake ya kuzaliwa!! Hakuwahi kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Hakuwahi kabisa!! Unaona hiyo?? Kusherekea krismas ni dhambi sana tu!!! Usije ukabishabisha!!

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 ปีที่แล้ว

      Selemala

    • @abdulkadirhusein3578
      @abdulkadirhusein3578 ปีที่แล้ว

      Ndio Mungu Jua

  • @MaryPaul-o1y
    @MaryPaul-o1y 9 หลายเดือนก่อน

    Asante pastor, unahitajika kutoa mafundisho zaidi haswa kwa hawa wanaoenda kuungama dhambi zao kwa wanadamu bila ya kujua mungu ndio anapaswa kuungamiwa

  • @christineobino3013
    @christineobino3013 4 ปีที่แล้ว +13

    You are a total blessings to be listened to glory be to our almighty God for you

  • @noelianestory-bv1ws
    @noelianestory-bv1ws 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana pastor tumekuelewa sana , ko unatushaurije tunaotumia 25 dec, au tusiwe na sherehe hizo,,

  • @fridahgwaya647
    @fridahgwaya647 ปีที่แล้ว +5

    Thank you very much for shining the light on the wickedness that the pagan Rome attached to Christ. I have been praying and hoping for this message to be taught in an African language for the common man to hear. I am very proud of you man of God.The truth is bitter and many people may fight this truth, but to those who are focused on honoring the commandments of God, this message is a gift. This is the day of the sun god. Exodus 20 Jeremiah 10 are clear on what God says. Worship only God. I am forever thankful to God for allowing me to learn this truth and repent the sin of idol worship while lam alive.

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 4 ปีที่แล้ว +13

    Amen barikiwa sana jameni ukweri wawekwa wazi.
    Mi ni murundi napenda iyi mafundisho. Ukweri kbssaaaa

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 ปีที่แล้ว

      Hdjbfh High Ubarikiwe

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 ปีที่แล้ว +1

    AMEN .Dunia inahitaji watumishi wa kweli wa MUNGU ambawo wako kwa ajili ya faida ya mbingu na siyo yao wenyewe.Balikiwa sana Mchungaji

  • @johnambrose9255
    @johnambrose9255 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana pastor mmbaga kwa somo zuri kabisa lililio jaa nukuu barikiwa sana umetufungua macho

  • @eunicemathias8574
    @eunicemathias8574 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi wa mungu endelea nikweli watu wameami uongo kwa mda mtefu sana itachukua mda mrefu baafhi yao kukuelèwa ñdio mana unaoña wengine hawaoni. Ķuwa kuamini uongo dhìdi yamuùmbajì

  • @elienew3788
    @elienew3788 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa ujmbe huu Wa ajabu Mungu akubariki sana pasta

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir ปีที่แล้ว +3

    The truth that sets us free, thank you pastor God bless you

  • @laidanbabu1652
    @laidanbabu1652 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukisikilza hili somo ukahisi kama linakukera hv, linakukasirisha, ujue linahitaji ubadilike haraka Sana.
    Ubarikiwe Sana pastor.
    "Watu wameyabatiza mapokeokuwa Ni Agano jipya, na Yale ya Mungu wakayaita Agano la kale.
    Bwana akutie nguvu Pastor na aakutumie tuzidi kuuelewa ukweli wote.

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 ปีที่แล้ว

      Babu unataka kuuambia ulimwengu wa kikristo kuwa Agano Jipya siyo Maandiko Matakatifu bali Agano la Kale?

    • @fainesmhabuka3792
      @fainesmhabuka3792 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli ukiona somo linakukera ujue Mungu anataka ujue ukweli

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi,ni nyakati za mwisho tunahitaji wachungaji wanaohubiri ukweli ndipoza tufike mbinguni si wale wakala wa shetani wanajiita wachungaji na manabii wa uongo barikiwa sana kwa mpigo 🙏🙏🙏

  • @mercymuranga4861
    @mercymuranga4861 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana mchungaji Kwa kutufungua macho barikiwa Sana pastor

  • @christinesavai6663
    @christinesavai6663 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Pastor David kwa hakika naanza kupata ufahamu nimekuwa nikifatilia neno kwa neno nimekuelewa kwa vile siku ya YESU kuzaliwa haijulikani vile vile kuja kwake YESU pia haijulikani Bwana akubariki

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 ปีที่แล้ว

      Christine Savai Siku aliyozaliwa Yesu haijulikani lakini ni kweli alizaliwa duniani hivyo tuna kila sababu ya kuadhimisha fumbo hili la imani ya kikristo. Siku atakayokuja tena duniani kwa hukumu pia haijulikani lakini sote tunaingojea siku hiyo kwa matumaini na wasaba wanaopinga kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu tarehe 25/12 kwa hoja kuwa tarehe halisi aliyozaliwa haijulikani hao hao wamejitia wao wanaijua siku Yesu atakaporudi. Wameshatabiri tarehe kadhaa kwa kupiga ramli wakaangukia pua. Hiki ni
      kioja cha karne ya 20

  • @ellyfundi9019
    @ellyfundi9019 4 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante mumishi wa Mungu kwa tufumbua kwa wale tulio kua hatujaelewa vizuri kuhusu shereh hyo

  • @رزقكينيدا
    @رزقكينيدا 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen be blessed alot Mchungaji nmeshukuru sana kwa mafundisho yako umenifungua

  • @MAKAMA.NBMNUHU
    @MAKAMA.NBMNUHU 9 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you pastor, you are right at the right time 🙏🙏

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 4 ปีที่แล้ว +8

    Baba Mungu wa mbinguni azidi kukuinua uzidi kutufundisha Pastor hakika unatubariki, malaika walinzi wakakulinde siku zote

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Mungu akubariki ee Mungu nisaidie niache kushelekea mungu jua

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว

    Tuzidi kumtafuta Mungu tu kwa bidii na kunyenyekea.Mungu mwenyewe atatuongoza kuishi kwa kumpendeza na hatimaye tutafika mbinguni. Mimi ninaamini hakuna jambo gumu kwa Mungu kila jambo linawezekana.

  • @Leonardalfuredsikazwe
    @Leonardalfuredsikazwe 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe pastor

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 ปีที่แล้ว

    Asantesana mchungaji Kwa hili somo ,kumbu tunasherekea vitua hatuji nitasaidia wenzangu wajue ukweli kuuzu chrismus

  • @heavenkingdom8157
    @heavenkingdom8157 9 หลายเดือนก่อน

    pastor Mungu akubariki sana,kwa kazi unayoifanya...wanaopinga bila hoja wasamehe tu maana kuna wengine hata biblia wanaiona kama mama mkwe

  • @shimwekagwiza3731
    @shimwekagwiza3731 4 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe pastor, Mungu akutunze zaidi

  • @lukiommbaga9718
    @lukiommbaga9718 9 หลายเดือนก่อน

    Pastor ubarikiwe sana kwa mafundisho ya kujenga na kuelimisha jamii by EV Lukio Elirehema Mmbaga Kimara Sda

  • @remmywilly4226
    @remmywilly4226 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen, barikiwa sana, nimekuelewa sana Mchungaji

  • @wilsonlameck4046
    @wilsonlameck4046 ปีที่แล้ว

    Msalaba uliotumika kumsulubisha Yesu, ukiufuatilia asili yake na kazi yake, ulitumika kusulubisha waliolaniwa! Lakini sasa umetumika kumsulubisha Yesu mwenye haki kwa hakika sasa msalaba umefanya kazi njema ya kutimiza wokovu wetu! Sasa sioni tatizo juu ya sherehe hizo unazitaja kuwa niza kipagani ambazo sasa Wakristo wanazitumia kumwadhimisha Mungu aliye hai! Sioni mgongano Wa kimaslahi uliopo hivi leo kati ya wapagani na wakristo! Ila utukufu Wa Mungu umeinuliwajuu kuliko Wa wapagani! Haleluyaa!! Nyoka Wa wa chawi Wa Farao wamemezwa na nyoka Wa Mtumishi wa Mungu Musa

  • @annegoldsmith8195
    @annegoldsmith8195 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mshungaji. I have always wondered if it really true that Jesus was born on the 25th December. I don't celebrate it myself.

  • @godifreypaul9409
    @godifreypaul9409 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu unaemzungumzia ni nafsi ya pili ya Mungu,alikuwepo toka mwanzo,kila siku kuna sherehe.Mimi naamini kwamba Yesu anazaliwa ndani ya mtu na si kwenye vitabu.Ubarikiwe mtumishi.

    • @Rongesa
      @Rongesa 4 ปีที่แล้ว

      The time has come when the truth is coming out and very clearly and closely so that none can' say i did not know the truth. The bible remains the main truth in our salvation.

  • @abeljoseph5546
    @abeljoseph5546 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa somo hili mchungaji litawasaidia wengi

  • @stevengibson9745
    @stevengibson9745 4 ปีที่แล้ว +2

    Bwana akubariki sana nimelipenda somo hilo make niwengi ambao walikuwa hawaelew kuhusu hilo somo nitawapelekea marafiki zangu wasikilize huenda watabadilika. Mungu akubariki sana mchungaji.

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante pastor Mungu akumbaliki 🙏

    • @irenemkamy7056
      @irenemkamy7056 4 ปีที่แล้ว

      Mungu aedelee kukutumia ili watu wake wajue ukweli ubarikiwe mchungaji

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 9 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @festusjapharychunya1392
    @festusjapharychunya1392 4 ปีที่แล้ว +5

    Sio kweli hiyo ni kumbukumbu to ya kuzalia kwa Yesu..

  • @allanswai5597
    @allanswai5597 4 ปีที่แล้ว +1

    Na hmna limitation ya kumwabudu Mungu , tunatakiwa kumwabudu Mungu siku zote hizo siku zisiwape shida mana sio kuwa kuna siku moja tu specific ambayo ukimwomba Mungu ndio atasikia, kila siku tunatakiwa kumwabudu Mungu katika roho na kwel, Asante

  • @abdallahmilaba5407
    @abdallahmilaba5407 4 ปีที่แล้ว +3

    Thank you very much for your teaching that has been very clear to anybody who wants know the truth. I am sure in not so far time from now you will find the proper way to God.

    • @marykakiimue2432
      @marykakiimue2432 ปีที่แล้ว

      Kusherekea kwa walokole ni kufanya ibada,kwani ibada Ina siku? iwe twenty five, ama twenty six, ibada ni Kila siku, story za calendar hio ni kanzi ya ASDA

    • @barakamboj.17
      @barakamboj.17 ปีที่แล้ว

      @@marykakiimue2432 MUNGU ni mwema kwasabab umeona na kuckia kwhyo uamz n wako na roho matakatfu atakayekugusa. Maana cku ya mwisho kla ulimi utakili,

  • @naftalitanu6647
    @naftalitanu6647 4 ปีที่แล้ว +2

    Utanisaidia sana, nimesumbuka sana asante na mungu akubariki

    • @nicholauspatrick7004
      @nicholauspatrick7004 4 ปีที่แล้ว

      mchungaji vita vyetu si vya mwili bali roho mungu akubariki sana endelea kutufundisha kwa bidii

  • @LucyWensilauswiliam
    @LucyWensilauswiliam 9 หลายเดือนก่อน +1

    nimekuelewa

  • @mn9484
    @mn9484 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho Mungu akubariki sana Mchungaji.

  • @snppastorbigambosimon7396
    @snppastorbigambosimon7396 ปีที่แล้ว

    Samahani Pastor Je tumwachie mungu jua siku zlizoumbwa na Mungu?

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu aendelee kukutumia Pr,songa mbeleee

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 4 ปีที่แล้ว +3

    tatizo kubwa waamini wengi huwa wanautamaduni wa kufuata mkumbo ! hatuna utamaduni wa kusoma vitabu... nimekuelewa sana baba

  • @maxwellvangulinja
    @maxwellvangulinja 4 ปีที่แล้ว +4

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 #3angelsmessage #presenttruth #backtothesanctuary.......is wat we need now....barikiwa

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana pastor ubarikiwe tena

  • @TobiasBihemo
    @TobiasBihemo 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana pastor

  • @VicentPaul-k3f
    @VicentPaul-k3f หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @BintiMwambapa-ev6kw
    @BintiMwambapa-ev6kw 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU Alie hai

  • @danielgithinji5488
    @danielgithinji5488 4 ปีที่แล้ว +3

    Ningependa kujua ukweli kuhusu utatu wa Mungu, yaani The Holy Trinity. Tafadhari mtumishi wa Mungu fafanua zaidi ili tuweze kuele je, utatu wa Mungu ni fundisho la ukweli ama ni uongo? Asante.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana kwa swali lenye maana mbele ya MUNGU. MUNGU ni MMOJA na ni Wapekee. Yeye ndio kaumba Roho na kamuumba YESU na Mamayake na ADAM kauubwa bila Baba wala Mama. Ndugu zangu MUNGU ni MKUBWA ameumba MBINGU na ARDHI na MILIMA, BAHARI nk. Leo hii eti afananishwe na Binaadamu JAMANI JAMANI YESU atakuja Kutushangaa na kukana Maneno yetu. MUNGU ANATUONA JAMANI. UZIMA WETU NI KUITAFUTA INJILI YA YESU NA SIYO BIBLIA.

  • @fredodhiambo898
    @fredodhiambo898 ปีที่แล้ว

    🙏 🙏 ninaomba jibu, kama mkristo ambaye ameamini yesu kristo wala.imani yake aiko kwa siku wala kwa jua. tunathirika nanini karika ulimwengu wa kiroo. na kama akuna tufuraiye yesu kristo. kwa mana sisi atujaweka imani yetu kwa jua wa siku. yesu anasema wabuduo alishi wataabudu kwa roo na kweli.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  ปีที่แล้ว

      Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.’
      Marko 7:7 BHN

  • @abdulathuman8644
    @abdulathuman8644 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana mtumishi was Mungu Kwa kueleza jamii ukweli huu japo hawataki kukubali!

  • @sicholastikakamoli2874
    @sicholastikakamoli2874 ปีที่แล้ว

    Amina balikiwa sana na MUNGU

  • @richardsineno6720
    @richardsineno6720 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu mwenyewe hakutaka hiyo siku isherehekewe ndio maana hakuna ushahidi sasa wajanja wamepata nafasi yakuwadanganya watu,ndio maana hata kifo cha yesu pia kina shaka ndani yake.

    • @jumasamgugu8797
      @jumasamgugu8797 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubalik kwa kutowa somo nzuli

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 ปีที่แล้ว

    Mchungaji naona ufundishe Mungu ni nani ,je mimi binadamu naweza kujiita Mungu au siwezi na kwanini mimi binadamu sio Mungu na kama mimi ni bi Mungu kwa nini ,naomba na mistari ya biblia kutetea hili .
    Asante kwa hilo .

  • @salimvuda8892
    @salimvuda8892 ปีที่แล้ว

    ndungu mungu akubaki na akuzidishe umuri uzidi kufundisha watu wako kwenye ngiza mafudisho Yako ni sawa kabisa

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 ปีที่แล้ว

    Asante mch.kunielewesha zaidi juu ya christmass mwenye kusikia atasikia na ataamini kuwa Mungu ni mwenye utaratibu na si wa kutungatunga mambo.

    • @emmanuelmataba5997
      @emmanuelmataba5997 4 ปีที่แล้ว +1

      Nimekuelewa mchungaji awanioni Tena uko kwenye ushetani wao naomba nibatizwe ata Leo.

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 4 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe kijana kwa kusimama ktk kweli

  • @allanswai5597
    @allanswai5597 4 ปีที่แล้ว +6

    Nasisitiza ss tunaosherekea chrismass na nakusali jpili hatuendi kutaja jina lolote la miungu unayosema tunamtaja Mungu aliye hai muumba wa mbingu na nchi, siku na miez is nothing kwenye kumwabudu Mungu mana tunatakiwa kumwabudu Mungu kila siku, na kusali jpili sio tiketi ya ukristo bora kinachotakiwa ni UTAKATIFU, hakuna atakayeingia mbinguni kwa kusali jmosi, Asante

    • @usajiliusajili6511
      @usajiliusajili6511 4 ปีที่แล้ว

      Allan Swai Ameen, huyo mpagani wao yupo ktk madhabahu zao

    • @avenaaleoamo5095
      @avenaaleoamo5095 4 ปีที่แล้ว

      Allan Swai ni bora ufungue akili kwa ajili ya kuelewa na somo hili na ulichozungumZia nadhan unapotea bila kujua

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Yaani naona Wakristo siku zinawaendesha,Tumwabudu Mungu kila siku that all

    • @esterjohn9967
      @esterjohn9967 ปีที่แล้ว

      Mwombe mungu akufunulie uijue kweli yake

    • @QwaridaNadamassay
      @QwaridaNadamassay 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hebu fikiri kidogo , km Cku haina uhusiano na ibada y Mungu akaamuru Cku ya sabato ( siku ya Saba baada ya uumbaji)…?pia ukiwa Cku c hoja y unaiheshimu Cku ya tar 25 Dec @ year? Hebu chagua Cku yako binafsi kuadhimisha krismas km utapona n sawa

  • @davidernest7052
    @davidernest7052 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa pastor tufunulie kuhusu IHS pia Kuna mkanganyiko

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +1

    Sioni shida kuwa na Tarehe tofauti Yoote ni mema hata,Kushiriki meza ya Bwana Hatufanyi wote siku moja

  • @snppastorbigambosimon7396
    @snppastorbigambosimon7396 ปีที่แล้ว +2

    The author of the quotes you are using are also man made everyone with his own perception about Christmas

  • @rabecaabdallah9490
    @rabecaabdallah9490 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji nakuombea MUNGU akupe siku nying za kuishi iliuendelee kutoa habar njema za wokovu za yesu kristo ukweli na bariki sana

  • @salimvuda8892
    @salimvuda8892 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana kaza Yako nisawa nime kusikiza namefaidika sana

  • @makungutv5124
    @makungutv5124 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameen, Mungu ni mkubwa

  • @LucyWensilauswiliam
    @LucyWensilauswiliam 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo tufanye tunaoshelehekea Christmas?

  • @christandusnyoka9228
    @christandusnyoka9228 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu wetu anatoa mvua au jua kwa mwenye dhambi na asiye na dhambi so kikubwa ni kujrbu kusimama ktk right njia ili hukumu itkapofika uwe sehemu sahii kwa maana si mzazi wako atakayekubebea hukumu yako,dhehebu lako bali utasimama mwenyewe

  • @mariamngumbaokiponda552
    @mariamngumbaokiponda552 4 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa asanete mchungaji Mungu akubariki

  • @vertasiamatimbwi6467
    @vertasiamatimbwi6467 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie tupate kuijua kweli tuelimishe mch maana wengi tupo gizan

  • @glorymarandu5426
    @glorymarandu5426 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atujalie kuelewa maana ya haya mambo na Mungu akubariki mtumishi wake kwa ambaye amepewa masikio na asikie kwa jina la Yesu, Amina

  • @onesmokway5731
    @onesmokway5731 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana . Umetubariki wegi kweli

  • @alfredyammon7283
    @alfredyammon7283 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @richardsabatho646
    @richardsabatho646 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika huo ndio ukweli ingawa wengi watabisha kwa sababu wana tabia ya ubishi bila uthibitisho wa hoja, Mungu akupe ujasiri zaidi .

    • @methodngongi7168
      @methodngongi7168 9 หลายเดือนก่อน

      tunataka aweke vifungu vya biblia na sio nukuu za majarida ya kihuni

  • @justinmazuguni3475
    @justinmazuguni3475 2 ปีที่แล้ว +4

    Wonderful sermon

  • @edickostanley2324
    @edickostanley2324 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru mchungaji kwa kuligusia hilo maana hata mimi niliwahi kulisoma kwenye vitabu mbali mbali, na pia utakapoongelea pasaka natamani ugusie na (Mambo ya walawi 23:5) imeniacha njia panda kidogo.

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 4 ปีที่แล้ว

    Mbaga ni kichwa cha kazi Mungu akulinde miaka elfu

  • @daveondiekaaron2204
    @daveondiekaaron2204 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank You Jesus 🤲

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa5454 2 ปีที่แล้ว

    Nabalikiwa Sana kwa mafudisho mazuri najifunza Sana na mimi naifundisha famlya yangu

  • @clementgermos1040
    @clementgermos1040 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen umenisaidia mengi mno maana nitafunga miaka mwili hv tokea nipinge kusherekea siku kuu hii ya Christmas

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

      Unaacha kufunga midhambi yako unafunga kuikataa siku za kuzaliwA kwa yesu ila mm nashangaa ko mnataka sikukuu ya yesu ife mbaki na misherehe yenu ya dunia

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwa mafundisho yako.🇰🇪🇰🇪🤝

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna uwezekano miungu mingi walisherehekewa 25th December ndiposa wakristu nao wakaona wasi Baki nyuma na wao wakasherekea kuzaliwa kwa yesu siku hiyo. Ila hawasherekei miungu mingine. Siku zote Saba ni za mungu.

  • @huldakirururu8950
    @huldakirururu8950 4 ปีที่แล้ว

    Asante mch barikiwa sana kwa somo lenye nukuu za kutosha.

  • @nyirefami19471947
    @nyirefami19471947 ปีที่แล้ว

    Mch. Tukubaliane wote kwa pamoja kwamba tarehe 25/12 sio siku sahihi alio zaliwa Yesu; ila tujue kwamba anae miliki siku za miaka na siku za kuishi kwetu ni Yesu kwani alikwisha pewa mamlaka yote na MUNGU BABA. Kuna kosa gani kutenga moja kati hizo siku tusizozijua kutukuza kuja kwake na kuzaliwa kwake kama binadamu ? Hoja zinazo endelea ni kumpa nafasi shetani atawale mabishano yetu . Ameni

  • @richardmichaeli4548
    @richardmichaeli4548 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mutu wa mungu

  • @jamesolando2479
    @jamesolando2479 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anaheshimu makubaliano,kama walikubaliana siku hiyo badala ya sherehe kubwa ya kipagani wataitumia kwa ajiri ya Yesu ni jambo zuri.Tatizo tunatafuta kujua dini zetu ziko perfect kiasi gani,hakuna dini iliyo perfect utapoteza muda.Mfuate yesu na mafundisho yake,ishi neno la Mungu utapona the rest is immaterial.

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 4 ปีที่แล้ว +1

      Unamuataje yesu kwa mdomo, tii amuri zake kasema ukinipenda utazishika amr zangu

    • @danielmpagama4244
      @danielmpagama4244 3 ปีที่แล้ว

      You are wrong

    • @jamesolando2479
      @jamesolando2479 3 ปีที่แล้ว

      @@danielmpagama4244 what is right brother

  • @florianmgaya5271
    @florianmgaya5271 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeelewa kivyangu.
    Baada ya nukuu zote...ninashindwa au ninajiuliza je ilikuwaje tarehe ya kuzaliwa Kristo haikurekodiwa popote? Sawali kwa nini?
    Pili je siku hizi wapagani wanasherehekea hiyo sikukuu yao kwenye hiyo tarehe? Mimi kwa mtizamo wangu..kama hata wewe unasmini katika Kristo,kuwa ni Mwana wa Mungu..na Mungu tunayemwamini ni Mungu wa Miungu, haudhani tulitakiwa tu overrule hiyo miungu mingine na kuchukulia kuwa Mungu mkuu wa miungu ndiye mmliliki na tarehe za matukio yote. Je haujatambua kuwa hii tarehe 25 Disember inashrehekewa dunia nzima? Je una maana sasa wanaoitumia hii tarehe sasa umewahukumu kuwa ni wapagani? Lakini Kridto alipokuja duniani si unakumbuka alipewa maji na msamaria ambaye pengine kwa luggage ya sasa ndo wapagani lakini Yesu alimjibu nini yule msamaria?
    Kwangu ninachukulia kuwa Kristo alipozaliwa akarekebishasubaguzi yote ya kizamsni kwa kuwaunganisha woman na wsbaya ili hstimaye wote wamgeukie yeye.

  • @aldomlowe2587
    @aldomlowe2587 4 ปีที่แล้ว

    Siku na miezi hazina nafasi katika imani. Kumjua Mungu sana husababisha amani ndio maana ishara kuwa Mungu yuko nasi ziko wazi. Shetani ambaye ni ibilisi anatutii kwa jina la Yesu.

  • @aganoorders2093
    @aganoorders2093 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana

  • @benadetamwashiuya7370
    @benadetamwashiuya7370 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @eliakanyika8440
    @eliakanyika8440 3 ปีที่แล้ว

    Amina kwa kutufumbua macho

  • @festinamwakipale6446
    @festinamwakipale6446 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi ni mapokeo ila krismas ni kumbukumbu ya kuzaliwa na mm sioni kosa la kuuambia ulimwengu kuwa ipo siku dunia alizaliwa mkombozi

  • @msabatimlokole2874
    @msabatimlokole2874 3 ปีที่แล้ว

    OK sawasawa

  • @lugandumandago2247
    @lugandumandago2247 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu

  • @benjaminmasurura7429
    @benjaminmasurura7429 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki saana pastor

  • @mariamuatukuzwe7504
    @mariamuatukuzwe7504 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakuelewa saana tena mimi ni mmoja wawatu ambao wanamashaka saana na siku hio natena nimmoja wawanao abudu ijuma pili ila nimeanza kufunguka macho kupitia mafundisho ya Mchungaji Mbaga ubarikiwe saana

    • @juliusstephano3622
      @juliusstephano3622 4 ปีที่แล้ว

      daniel makabira

    • @catherinenicander7468
      @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

      Sio kweli Chrismas kuwa ni December kanisa limewaka hiyo siku ili wote wewe na siku moja :tarehe hiyo ni kanisa tu tusipotoshe watu kwa mambo yasiyo na msingi.yakutafuta tarehe cha maana hapa cha maana nikuamini kuwa yesu mwana wa mungu alizaliwa Bethlehem ambayo ndiye ukombozi wetu that is all

    • @catherinenicander7468
      @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

      Hata kama sio 25 kwani hiyo siku anazaliwa si kukmbukumbu tu,hata ingewekwa siku yoyote hiyo sisi kiroho tunaamini Yesu mkombozi wetu alizaliwa hapa duniani hayo yote mnayobishana mnapoteza muda wenu: tarehe sisi haituusi tunaamini Yesu alizaliwa basi mwache kuchosha watu na usomi wenu:

    • @catherinenicander7468
      @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

      Wewe kama unaona siku ya 25 sio basi endelea kutafuta hiyo tarehe.chrismas achana nayo wengine waache waendelee

    • @catherinenicander7468
      @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

      Tumechoka na maneno yenu wachungaji badala yakufundisha watu neno mnawachanganya watu,na mambo ambayo sio neno la mungu.

  • @jameshamistakadin5159
    @jameshamistakadin5159 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe