UFANYEJE UNAPOJARIBIWA (SIRI HII NI KUBWA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 181

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 4 ปีที่แล้ว +12

    Amen hili somo imenigusa nilipitia majaribu mengi na nikamuuliza Mungu maswali mengi lakini nina imani amenisamehe kwa jina la Yesu kristo Amen

  • @priscalwangili4278
    @priscalwangili4278 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza mno. Ubarikiwe sana Mchungaji

  • @shimenikavira6431
    @shimenikavira6431 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuzidishie mafuta papa yaku tulisha chakula cha rohoni

  • @dorcasfelix3995
    @dorcasfelix3995 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nisamehe naomba uniwwzeshe nianze upya
    najua umemiamini kuwa naweza

  • @mageshsalha6983
    @mageshsalha6983 4 ปีที่แล้ว +4

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji.endapo mimi Si mkristo ila nabarikiwa sana.Mungu anipe maarifa na Akili ili nisiangamie.

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 ปีที่แล้ว

      Magesh Salha Mungu akutunze,tunakuombea

    • @moniquenimbabazi4528
      @moniquenimbabazi4528 4 ปีที่แล้ว

      Karibuni kwa ukritso ndipo kuana uzima

  • @SoonComingPrJohnKeragori
    @SoonComingPrJohnKeragori 4 ปีที่แล้ว +14

    Helloo Pastor my names are Keragori John from NAIROBI KENYA ...have been listening to most of your sermons but this one has really touched me.My family i.e my mother and siblings especially this YEAR have faced a lot of challenges especially my mother who was involved in an accident but now i understand we should be ready to receive all that comes our way because as Christians our Faith must be tasted..Job says shall we receive good from God and not receive evil- Job 2:10 by this the bible says Job did not sin.AMEN

  • @japhetmkumbwa7914
    @japhetmkumbwa7914 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante barikiwa sana umenifundisha sana

  • @barakaungenge939
    @barakaungenge939 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakika pastor nakukubari sana ww nisaw na yona leta ujumbe babaaaa tuponeeeeeeee tusiangamie zambini

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 6 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU akubarki san mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @esthernkwabi1675
    @esthernkwabi1675 8 หลายเดือนก่อน

    Amina nimebarikiwa kwa SoMo hili MUNGU akutie nguvu

  • @agnesmtimba5121
    @agnesmtimba5121 4 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana PR mmbaga, Mungu azidi kukulinda masomo yako yananibariki sana na kuniongezea imani siku hadi siku yaani najisikia amani na furaha daima,Barikiweni nyote wapendwa katika KRISTO YESU AMIN.

  • @sisterdivvana8770
    @sisterdivvana8770 3 ปีที่แล้ว

    Mwee nakesha kwa maubiri yako but chakula cha uzima yananisaidia mnoooo...... I pray for you shetani asikuibe

  • @martinbabu4434
    @martinbabu4434 3 ปีที่แล้ว

    Kweli pastor nimefunguka

  • @kananasilasi2740
    @kananasilasi2740 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuamtu wakiraho na si mkristo tu utakua farisayo

  • @rehemaluhizo2860
    @rehemaluhizo2860 4 ปีที่แล้ว +4

    Etii cheo cha ubunge

    • @stevenbenson1499
      @stevenbenson1499 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @colleteboke2166
      @colleteboke2166 4 ปีที่แล้ว

      Amina mchungaji

    • @julietungs3744
      @julietungs3744 4 ปีที่แล้ว

      Rehema Luhizo'' ila tunamshukuru Mungu kwa kulirudisha jimbo mikononi mwetu...saivi hana hicho cheo...ashukuriwe Mungu atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo,,Ni upendeleo wa ajabu sana kwetu...

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 ปีที่แล้ว

    Ameen MUNGU akubariki sana pastor

  • @damah8431
    @damah8431 4 ปีที่แล้ว +1

    Pastor napenda mahubiri yako sana nakuskiza nikiwa Qatar naomba number yako ya what's app

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 ปีที่แล้ว +5

    Ahsntee Mungu wa mbinguni kwa ajili ya somo hili la mbaraka

  • @MajaliwaAntony-p5h
    @MajaliwaAntony-p5h 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana ni mwema endelea kuyafua yalio fichika usiogope

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Mtumishi ninakuelew sana maan ninapitia majaribu makubw lkn ninakumbuk mahubir yako kwamb kunasehem ulifik ukakata tamaa lkn mchunganj mwenzak akakutia nguv mwenz mzim kwa manen misri sirudi ng'o japo pastor inahitaj bidii sana

  • @ElijahMosong
    @ElijahMosong 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni sana paster nafuatilia sana paster Nino kenya

  • @bigambogerman4221
    @bigambogerman4221 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu aliye mbinguni atusaidie sana.

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu awape wanangu wachumba wanangu wakiume nimeomba mpaka nimechoka

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli kabsa watoto wa mungu hawana umoja kabsa mungu wa Neema zote atusaidie saana

  • @faithmtokambali9437
    @faithmtokambali9437 ปีที่แล้ว

    Pastor unanibarik sana,,,natiwa nguvu na mafundisho yako,,ulinzi wa Bwana ukufunike

  • @WilondjaTchandja-so7df
    @WilondjaTchandja-so7df 8 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa mchungaji namiye niliwayi kumukoseya Mungu wangu nakwasoku yaleo ama usiku yaleo nahomba Ani samehe kweli Mungu wangu

  • @tukaesanatu2754
    @tukaesanatu2754 6 หลายเดือนก่อน +1

    mungu atakulinda sio binadamu,,,usiwaogope watu,,mungu akubariki kwa mafundisho yako

  • @SageMeshak
    @SageMeshak 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pasta wangu n'a kusikia toka Congo / Bukavu

  • @DamalisMachumu
    @DamalisMachumu 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana azidi kutufunulia ili tujue yaliyo mapenzi ya Mungu.

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akulinde kila huendapo hekima na busara hiwe kwako hallelujah amen

  • @yohananyabu4040
    @yohananyabu4040 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe🙏

  • @mrgoodluck6959
    @mrgoodluck6959 4 ปีที่แล้ว +1

    Naguswa Sana namahubiri haya naionanguvu yaajabu nikisikiliza farajayaajabu naiona nilimwacha mungu Sasa ninarudikwake

  • @edwinkapenja
    @edwinkapenja 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa Sana namafundisho haya

  • @MajaliwaAntony-p5h
    @MajaliwaAntony-p5h 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kwel kwamba wengi tunajua kwamba kila baya likija kwetu tunasema mungu ametupiga kwa kwel nimeelewa pastor.

  • @jansidorkas2749
    @jansidorkas2749 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani akuna sauti

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 ปีที่แล้ว

      Jansi Dorkas Angalia kifaa unachotumia,ukisoma comments utajua wengine wanasikia

    • @jansidorkas2749
      @jansidorkas2749 4 ปีที่แล้ว

      Yeah nimepata sauti sasa atakama nimechelewa lazima nisikize juu napenda sana maubiri ya uyu mtumishi niko saudi arebia uwa ananipa nguvu sana

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 4 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Hakuna cyakuseme Mungu wetu ni mushindi kira mahali pastor Mungu Akumbaliki sinjuwe niseme nini Yesu mwenyewe atuhulumie 😭😭😭

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa saana mtumushi wa mungu

  • @mundesmokesen9314
    @mundesmokesen9314 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu

  • @NicholausThomas-nk5qu
    @NicholausThomas-nk5qu 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Bwana Mungu wetu aenderee kukutumia katika kazi yake napata faraja sana kukusikiriza

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus6237 4 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji naomba ufafanuzi wa je yesu ni Mungu? Je ni halali kuamini kwenye utatu mtakatifu? Ubarikiwe sana

  • @gileadkajiru2399
    @gileadkajiru2399 2 ปีที่แล้ว

    Daaah.....neno la mwisho limenigusaaa....jana nimemlaumu sana MUNGU Kwa yaliyonikuta...kwa kweli MUNGU ANISAMEHE...NA NATUBU

  • @NyamariFaith-qu1jm
    @NyamariFaith-qu1jm 6 หลายเดือนก่อน

    May God bless you and coutinue using you for all the powerful message from heaven,may you b blessed with your family in Jesus name 🙏I believe in God t $start new chapter from now till I depart nothing is impossible when God is in me❤️❤️👏

  • @anastaziafrancis191
    @anastaziafrancis191 4 ปีที่แล้ว +1

    Somo hili limenibariki kwa namna ya pekee kabisa na limegusa nayopitia

  • @manasekimesa45
    @manasekimesa45 ปีที่แล้ว

    Jamani pasta naomba unisaidie mm naitwa Janet lkn nimeinukiwa navita kanisani kila ninapokwenda kanisani nanyooshewa vidole ninajisikia nakiburi mpaka nataka kukataa tamaa kusali

  • @EDNAKWAMBOKA-zb1es
    @EDNAKWAMBOKA-zb1es 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana akubariki kwa mawaita manzuri👏

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimefunga mdomo wangu mtumishi maan kwa majiribu haya Mungu amenifunz mengi Mimi ninakufuatilia San maan umenitoa maan nasingekuw mahubir yako mim sijui!

  • @msasyayikamba
    @msasyayikamba ปีที่แล้ว

    Pasta Nina fata mafundicho

  • @EDNAKWAMBOKA-zb1es
    @EDNAKWAMBOKA-zb1es 11 หลายเดือนก่อน

    Ninasikirisha nikiwa Nairobi🙏

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Tangu nianze kukufatilia hakika ninamuelewa Mungu kuliko hapo kabra😢😢maana Ukimuelewa unaweza kustahimili kwa kila tatizo🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @NickBoy-wt6cw
      @NickBoy-wt6cw 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akubariki

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 7 หลายเดือนก่อน

      @@NickBoy-wt6cw Ameeeeeen

  • @mbokastivin5443
    @mbokastivin5443 7 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi mtumishi

  • @EzekielMwamba
    @EzekielMwamba 7 หลายเดือนก่อน

    Amen : Hakika huu ujumbe ni wa wakati.

  • @neemajaphet5349
    @neemajaphet5349 4 ปีที่แล้ว +2

    Pasta hubili hili limenigusa mimi nafamilia yangu Kwanzaa upya kuanzia leo.mungu akubaliki

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 ปีที่แล้ว

    Mungu atuhurumie sana.

  • @julietungs3744
    @julietungs3744 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen..

  • @dianamhanila5187
    @dianamhanila5187 4 ปีที่แล้ว

    Mungu anisamehe nimezidi kulalamika badala ya kushukuru.......najifunza kila siku Pastor. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @madongezi2245
    @madongezi2245 ปีที่แล้ว

    Utaaibika wewr muusika njo mazara yako

  • @mbokastivin5443
    @mbokastivin5443 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 หลายเดือนก่อน

    Nimepata mwanzo mpya

  • @SadiKajiru
    @SadiKajiru 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu anibadilishe

  • @petermasala1409
    @petermasala1409 2 ปีที่แล้ว

    Kitabu cha Ayubu 1 na 2 hakisemi kuwa mahojiano Kati ya shetani na Mungu dhidi Ayubu yalifanyika Mbinguni,,,hata hivyo sio mara zote neno Wana wa Mungu humaanisha malaika au watu wa sayari zingine ambazo hazikuanguka. Shetani alipofukuzwa Mbinguni kulingana na Ellen White hakuruhusiwa tens kuingia Mbinguni

    • @petermasala1409
      @petermasala1409 2 ปีที่แล้ว

      Nahitimisha kwa kusema mkutano unaozungumzwa hapa katika dokezo la kisa uliloanza nacho ni mkutano wa ibaada ulikuwa ukifanyika duniani yaani ibaada ya waliomwamini Yesu......chukua hiyo itakusaidia ktk kazi yako iliyo njema

  • @joemax77
    @joemax77 4 ปีที่แล้ว +6

    Jaman mahubiri mazuri sana...ila jaman mfanye more advancements kwenye quality ya sauti..
    Voice quality.
    Voice quality.
    Voice quality.
    Mungu awafanyie wepesi katika hilo, Inshaallah.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว +2

      Joseph Urio Hiyo ilitokea kwa bahati mbaya tu!! Tukaona kuliko kukosa somo bora tuliweke hivyo hivyo

  • @rehemasimoni7464
    @rehemasimoni7464 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @apollobupolo9884
    @apollobupolo9884 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU naiwe

  • @DamalisMachumu
    @DamalisMachumu 11 หลายเดือนก่อน

    Amin ni kweli kabisa

  • @marywilson5986
    @marywilson5986 ปีที่แล้ว

    Amen kubwa

  • @getrudeelibariki1002
    @getrudeelibariki1002 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina...Amina...ubarikiwe sana mchungaji🙌

  • @mn9484
    @mn9484 4 ปีที่แล้ว +2

    Ilibidi ni stop somo niingie internet nitafute Yakobo kwa lugha ya mkoloni.

    • @angel-y
      @angel-y 4 ปีที่แล้ว

      M N 😂😂😂😂 hata na mimi yalinipata kwa somo tofauti ‘nikagoogle’

    • @juanitastopkitchen6333
      @juanitastopkitchen6333 4 ปีที่แล้ว

      Same here

  • @mbokastivin5443
    @mbokastivin5443 7 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 ปีที่แล้ว

    amen sana

  • @wilfredbyabato4732
    @wilfredbyabato4732 4 ปีที่แล้ว +1

    nafikiri neno la kujaribiwa na Mungu tungetumia THIBITISHA

  • @jordanmashaka50
    @jordanmashaka50 4 ปีที่แล้ว +3

    Ashukuriwe Mungu wa miungu kwa kukupa ujumbe huu utuletee.

  • @shilimaabdallah-mw2bj
    @shilimaabdallah-mw2bj 10 หลายเดือนก่อน

    Haina sauti

  • @judithmakoye8766
    @judithmakoye8766 4 ปีที่แล้ว +1

    amina pastor, Mungu anifungue macho ya rohoni maana changomoto nilizonazo ni kubwa mno kwangu, napenda mahubirtv kila siku

  • @cutestpuppies6632
    @cutestpuppies6632 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana pastor, Mungu akubariki 👏👏👏

  • @edinamandia2754
    @edinamandia2754 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa Sana ninapo sikiliza mafundisho yako,be blessed!

  • @resamaria4617
    @resamaria4617 4 ปีที่แล้ว +5

    Ndio yesu na mimi naomba unisamehe

    • @rachelmkabza2626
      @rachelmkabza2626 4 ปีที่แล้ว

      Pastor Mmbaga Mungu akubariki katika mahubiri yako tunafunguliwa

  • @mn9484
    @mn9484 4 ปีที่แล้ว +1

    Love Mahubiri Tv

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina, Mungu aturehemu.Barikiwa Mch.Mmbaga

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว +3

    🙏🏻,umenena Pastor

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mch. Kwa kuimarisha imani yangu hata mm nilikuwa na roho ya kulalamika sana.Mungu anisaidie.

  • @jacklinebubelwa5127
    @jacklinebubelwa5127 2 ปีที่แล้ว

    Nifundishe kushukuru katika kila jambo na Unirehemu Mungu popote nilipolalamika katika mapito yangu nisaidie niwe mnyenyekevu

  • @anithabuberwa2253
    @anithabuberwa2253 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli mahubiri yako uwa yananipa nguvu sana na nimejifunza kuwa hata ukipata kwenye magumu usidhani kuwa Mungu amekuhacha, bali anakuandalia mazuri kuliko uliyokuwa nayo mwanzo

  • @vanenyanchwa4784
    @vanenyanchwa4784 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen pastor David. God bless you

  • @fransiscomadelemo9299
    @fransiscomadelemo9299 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen.

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen🙏🙏🙏

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen dear pastor much love

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji kwa kuniondole dhana nilikuwa nayo kichwani Mungu akuhifadhi hata zaidi

  • @bigambogerman4221
    @bigambogerman4221 4 ปีที่แล้ว +1

    "Kuna mtu wa dini na mtu wa kiroho yes nimeelewa." Mungu akubariki Mch.

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 3 ปีที่แล้ว

    Amina.

  • @kanankiraakirwanasari8441
    @kanankiraakirwanasari8441 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @rosemarywawira3580
    @rosemarywawira3580 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vicentndiholeye1067
    @vicentndiholeye1067 2 ปีที่แล้ว

    amina

  • @alfapinieli2160
    @alfapinieli2160 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @fidelebitegetsi4614
    @fidelebitegetsi4614 2 ปีที่แล้ว

    Asante paster nimebarikiwa kupitia fundisho hili. Ubarikiwe sana

  • @berthahambanae5152
    @berthahambanae5152 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @dinahisaboke9671
    @dinahisaboke9671 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde Kwa njia zote hadi umalize kazi yake. Am always blessed with your messages

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 ปีที่แล้ว

    Eeh mungu wangu na Babaa, nisamehe na uniurumie, najuwa niliwaza na kuongea kinyume na mspenzi yako nioshe unitakase kwa damu ya yesu mwanao. Am blessed thank you my father, ubarikiwe mchungaji from qatar

    • @عيالي-م6ف
      @عيالي-م6ف 4 ปีที่แล้ว

      Mungu anisame nimekufur maranyingitu sana ubarikiwe Mchngj wa Bwana