Mchungaji nakupenda bure, yaani mimi siyo Msabato, lkn ninafuatilia hizi clip zako nyingi, ninajifunza mambo mengi sana sana, Damu ya Yesu iendelee kukufunika na Ulako wake uendelee kuwa juu yako. Natamani sana kupata nafasi ya kuhudhuria moja ya makongamano yako lkn kwa sasa hizi clip zinanibariki sana. Mungu akubariki
Mch: umechangia saaana kubadilisha maisha yangu tangu nikufahamu mwaka 2019 nimeona mabadiliko makubwa katika maisha yangu Mungu akubariki sana kazi yako ni njema mno! Natamani na nitafurahi tukikutana Mbinguni.
Yaani mimi ni dhehebu fulani lakini mahubiri yako uwa yananichoma sana moyoni mwangu na kunifungua kujua yote yaliyojificha kuhusu vita ya shetani ya kimya kimya kwa wana wa Mungu
Mungu atusaidie tuwe na umoja watoto wa Kristo na tuwe na maombi binafsi . Devotion nimejifunza inasaidia sana maana hizi ni siku za mwisho. Somo zuri sana, limenifungua macho zaidi, roho wa Mungu amenena kupitia Mchungaji. Mungu akubariki sana Mchungaji.
Amen amen ukweli sisi wa kiristo hatuna umoja, kitu cha kwanza YESU amerundi neno la upendo wa jirani swali langu kwa kitabu cha kutoka 20 :9 - 11, wakolosai 2 :16-17, Warumi 13 :1-4, 14 :13na Mathayo 5 :17 - 18, 22 :37 - 40,. Tukindumisha upendo katika ukirito hatutakuwa na siku mbili mahana katika amari kumi za MUNGU hakutaja jumamosi wala jumapili ila siku ya saba ni Sabato ya BWANA. Nini mahana ya neno "Sabato "ni Jina ya siku ama ni siku ya" kupumuzika" siku ya Bwana. I love you Mwalimu you are good to make some one to understand quickly where you are going in Christianity life. May God bless you and your family in Jesus name amen
Kiukweli pastor kusaidiana inahitaji maombi sana kwasababu tukisaidiana ni kweli kuna majivuno sasa umoja utaletwa na maombi ingekua vizuri viongozi wakiongeza msisitizo kuhimiza watu katika maombi ili tuwe na UMOJA

Amen
Amen mchungaji, tumefundishwa mafundisho ya uongo, eti Mungu wa upendo atachoma watu waliokataa kutubu katika moto wa milele, Sasa Leo kimeeleweka
Napenda sana mahubiri yako God bless u so so so much
Barikiwa saana mtumishi haki libarikiwe tumbo lililo kuzaa
Yaani mimi ni dhehebu fulani lakini mahubiri yako uwa yananichoma sana moyoni mwangu na kunifungua kujua yote yaliyojificha kuhusu vita ya shetani ya kimya kimya kwa wana wa Mungu
Anitha Buberwa Amen
Mungu atusaidie tuwe na umoja watoto wa Kristo na tuwe na maombi binafsi . Devotion nimejifunza inasaidia sana maana hizi ni siku za mwisho. Somo zuri sana, limenifungua macho zaidi, roho wa Mungu amenena kupitia Mchungaji. Mungu akubariki sana Mchungaji.
Amen soo powerful courageous ND inspiring message God bless you pastor am soo blessed ND grown spiritually
Umesema kweli mtumishi Mungu akubariki
Ninapenda sana jinsi unavyomtukuza Mungu.Mungu apewe sifa milele na milele
Ubarikiwe, na Bwana atukuzwe milele
Congo 🇨🇬 🇨🇩🅰️🅾️©️ℹ️
Asante kwa somo zuri pastor
He is naturally bright!!!!! Mungu atukuzwe!!!!!
AMEN, Mungu akubariki sana pastor
Amen amen ukweli sisi wa kiristo hatuna umoja, kitu cha kwanza YESU amerundi neno la upendo wa jirani swali langu kwa kitabu cha kutoka 20 :9 - 11, wakolosai 2 :16-17, Warumi 13 :1-4, 14 :13na Mathayo 5 :17 - 18, 22 :37 - 40,. Tukindumisha upendo katika ukirito hatutakuwa na siku mbili mahana katika amari kumi za MUNGU hakutaja jumamosi wala jumapili ila siku ya saba ni Sabato ya BWANA. Nini mahana ya neno "Sabato "ni Jina ya siku ama ni siku ya" kupumuzika" siku ya Bwana. I love you Mwalimu you are good to make some one to understand quickly where you are going in Christianity life. May God bless you and your family in Jesus name amen
Mungu azidi kukutumia nakupenda Sana unavyuhubili
Barikiwa sana pr naelewa sana mahubiri yako
MUNGU akubariki pastor najifunza 👏
Amina mungu akatufunulie tuyatambue zaidi maandiko yake
Amina sana pastor, mungu atusaidiye tuwe wamoja kwa kiroho amen
Mungu akubariki mch, baba wambinguni tusaidie tupokee nakuyafanyia kazi katika jina la YESU.
Amen 🙏🙏🙏🙏
Nimejifunza mengi kwako. Mungu akubariki Pr.
Amina ubarikiwe sana
Mtumishi nabalikia Sana maubili yako mungu akutie nguvu Sana
Amen amen
Barikiwa sana
Barikiwa mtumishi wa bwana
Mungu akubariki sana kufunua mambo hayo
Mungu akumbaliki pastor 🙏🙏🙏
Nashukuru sana kwa somo hili.
5
Yes I agree
Napenda sana kufundishwa na wewe,na nikweli unadigili.
Amen
AMEN
Barikiwa mchungaji
Kiukweli pastor kusaidiana inahitaji maombi sana kwasababu tukisaidiana ni kweli kuna majivuno sasa umoja utaletwa na maombi ingekua vizuri viongozi wakiongeza msisitizo kuhimiza watu katika maombi ili tuwe na UMOJA
🕳amen 🕳
🌎🌍🌏
Nabarikiwa sana na masomo haya mchungaji
Aman
asante kwa somo zuri pr
Aminaa
Amen somo zuri saaana
Aminaaaaaaa
Wee Mola, Mungu wetu dumisha umoja
Pr kila nikikusikiliza huwa napata kitu kipya kila siku kwakweli mungu azidi kuwa nawewe
Pastor mbaga utabaki kuwa juuu
Amina
N kweli pr kiongozi ni lazima awe mfano Bora kwa kila jambo
God bless you PR
Kweli kabisa upendo ume kosekana ndani ya wa kristo.
Kweli mtu wa MUNGU
Tunabarikiwa na Mahubiri.
Saf
Hili somo mwenye masikio na asikie
SAWA commander 🤔.
26:40 cijaelewa hii bado. Kwa maana makanisani kuna ripoti ambayo walimu wanakusanya. Hiki kipengele kipo. Imekaaje hapo
Huyu paster namwelewaga sana
Sauwa bb
Mama white ndio nan ktk biblia make namsikiaga tu! Au nimwandishi wa vitabu kama waandishi wengine? Au mtume na nabii?
Yani asikwambie mtu huwezi fanya chochote Vila roho kukuongoza au Kama uwepo wake upo mbali….
Shetani aliingiwa na Tamaa
Mchungaji hapo kwenye moto wa milele bado sijaelewa
Tuko pamoja mchungaji
Hako karoho ka utenganisho kashinde mfululizo
MUNGU ATUSAIDIE TUWE NA UMOJA
Tuombee sana viogozi wetu.
Amen
Amina
Amina