Nami nimepokea ili somo kwa furaha maana najua vivungu lakini sina uelewa balikiweni sana mtumishi kwa somo nzuri kwa bwana hakuna kujielewa. Asante nami asubuhi yangu yaja ninaimani kwake kwa matarajio makubwa
Mtumishi wa Mungu ,Bwana Yesu asifiwe, nashukuru mungu nimepata mafunzo yako , Yameponya moyo wangu .sikuwa na amani ndani ya moyo , lakini najua mungu anaenda kutenda ndani ya maisha yangu.Mungu akubariki na azindi kukuinua. Nitazidi kufuatilia mafunzo yako .Amen
MUNGU BABA,Umeetishaaaaaaaaaaaaaa..........Hakika hili ni neno langu. Napokea kwa furaha neno hili,asante Yesu kwaajili ya mtumishi wako Apostal Mtalemwa.Nakupenda mnoo.
Hakika wewe Mungu ni mwingi wa Rehema, Fadhiri, Upendo mwingi na Mwaminifu kwenye maisha yetu kupitia Mtumishi wako Apostle Mtalemwa naanza kwa upya kila asubuhi kwa kuwa neema yako yakupata maarifa haya yenye kutuinua zaidi Kiroho.
Apostle ubarikiwe nimekuelewa sana. Nilikuwa najua asubuhi inanguvu ila nilikuwa sijui kiundani niliwacha maombi ya asubuhi ila ninayarejea maana umefundisha nikaelewa napokea kwa jina la Yesu.🙏
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Hili neno lina maana kubwa sana. Bali ni wachache sana watakaofunuliwa huu ukweli. Ila ukiamua kumgeukia mungu wa kweli hakika hujachelewa
Bwana Yesu asifiwe Asante kwa kuiona asubuhi ya leo iwe baraka kwangu
This Philosophy is beyond PhD level This is Heavenly teaching from Holy Spirit. Thank you Papaa
Amen
NAKUPENDA SANA MTUMISHI ,UNANIBARIKI SANA
Na iheshimu Sana hii madhabahu, imenifundisha mengi ya kumnjua mungu zaidi.
Napenda mafundisho yako sijutii madhabahu ya ECG
Asante mungu kwa mafundisho tunae jifunza jupitia mutumishi wako 🙏🙏🙏
Ame nimebarikiwa Sana na haya masomo Mungu akubariki mtumishi ktk jina la yesu
Ameen Mtumishi Asubuhi yangu iwe nafuraha,rehema,upendo nafadhili,uaminifu
Bwana akubariki mtumishi wa Bwana hakika umeniokoa mimi na nafsi yangu nami nitamrudia Bwana
Hata mimi sipendi nyimbo za kimbea mtumishi...Mungu akuweke
Amen and amen asante sikujua nashukuru nimeelewa andiko la mungu na siri kubwa la asubuhi
Mungu akupe hekima zaidi
Nabalikuwa sana na huyu mtumishi wa Mungu
hakika Mungu ni mwema kwangu,Mungu nisaidie nisiusahau wema wako katika maisha yangu,ewe Kinga yangu.
Mungu Anakuona mpaka anashangaa!!umeniponya kwa maneno yako matamu yenye kuponya nafsi za watu:MUNGU akubariki
Nimepokea mafundisho haya na ninaanza kuyafanyia kazi, kwa kweli umegusa moyo wangu
Asante sana MUNGU atulinde na akutie guvu mtumishi wa bwana AMEN 🙏
Furaha yangu asubuhi na mchana wng wote
utakuwa na furaha 😊
Glory be to God!
Asante kwa kujua maombi ya hasubui pia nimejua mambo ya kufanya hasubui moyo wako umepata jambo la heri ubarikiwe sana
Nami nimepokea ili somo kwa furaha maana najua vivungu lakini sina uelewa balikiweni sana mtumishi kwa somo nzuri kwa bwana hakuna kujielewa. Asante nami asubuhi yangu yaja ninaimani kwake kwa matarajio makubwa
Amina
Nimekuelewa apostle umebarikiwa Sana 🙏
Nampenda Sana mafundisho yako mtumishi wamungu yananifungua najifunza mengi sana
Mtumishi wa Mungu ,Bwana Yesu asifiwe, nashukuru mungu nimepata mafunzo yako , Yameponya moyo wangu .sikuwa na amani ndani ya moyo , lakini najua mungu anaenda kutenda ndani ya maisha yangu.Mungu akubariki na azindi kukuinua. Nitazidi kufuatilia mafunzo yako .Amen
Shalom nafarijika na maombi yako MUNGU ni mwema
Kila fundisho kutoka kwako linakuwa na kitu kipya sijawahi hata kufikiria.mfano siku kuanza usiku.Praise the LORD?,God bless this Man of God.
Amen pasteur Mungu akuinuwe zaidi na zaidi👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 nime jifuza sana
Naipokea neema mpiya kila siku asubuhi katika jina La yesu,amen amen amen chief apostle, mungu akuzidishie upako huo, natazama kutoka kenya
Nime Barikiwa mno!! Asante Yesu!!
Kwa Kweli Umenijenga Kihimani Ubalikiwe Sana
Amem nimepokea Kwa jina la yesu
U bless ma soul prophet of God.Mariam Kenya
Fresh morning in jesus name
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 Ameen
Amen mtumishi umeniunua kiroho I have learnt something hoo yes I have received
Amenn
MUNGU BABA,Umeetishaaaaaaaaaaaaaa..........Hakika hili ni neno langu. Napokea kwa furaha neno hili,asante Yesu kwaajili ya mtumishi wako Apostal Mtalemwa.Nakupenda mnoo.
Mungu akulinde mutushi nimepata nguvu
Amen Apostle Asante nimepata kitu kipya Asante ninazidi kukuwa kiroho bleed you
Imeenda hiyoo👏🔥🔥🔥🔥
Hi God am waiting the miracle in Jesus name nimepokea kwa damu ya yesu fro Kenya
Ubarikiwe sana mtumishi sisi wachungaji ni kweli kushughurika na akili ni kidogo sana.
'Utapata resistance kwa sababu ni wakati wa nguvu za giza. Wakati wako ni asubuhi '
Naitumia asubuhi yangu vizuri kwa Jina la Yesu 🖐️🙏🙏🙏
Mungu akulinde na kukubariki
Hakika wewe Mungu ni mwingi wa Rehema, Fadhiri, Upendo mwingi na Mwaminifu kwenye maisha yetu kupitia Mtumishi wako Apostle Mtalemwa naanza kwa upya kila asubuhi kwa kuwa neema yako yakupata maarifa haya yenye kutuinua zaidi Kiroho.
Ameeen napokea majibu yangu katika jina la yesu🙏🙏🙏asante kwa mafunzo mema
You are truly a teacher and God sent. From Kenya we are blessed by your teaching
Ahsante Sana Apostle.
Apostle ubarikiwe nimekuelewa sana. Nilikuwa najua asubuhi inanguvu ila nilikuwa sijui kiundani niliwacha maombi ya asubuhi ila ninayarejea maana umefundisha nikaelewa napokea kwa jina la Yesu.🙏
Mungu azidi kukupa malifaa ili utufungue macho maana nimenjifunza mengi sana kutoka kwako
What a revelation.......kwa hakika asubui yaja.
Nimebalikiwa Sana tangu ninjue hii you tube yako.Mungu akubaliki
Amen Amen Amen mungu wa mbinguni akubariki mtumishi Asante nabarikiwa tu Sana
Amina amina amina
GOD bless you Pastor.Unanibariki Mnooo
Ahsante Sana apostle, umenipa siri kubwa Sana asb ya leo
Appostle mtalemwa I' have blessed your teaching My God bless u
Najiungamanisha na mazabahuni ya MUNGU wa MTUME BUSHILI
Amen amen
Asante sanaa mtumishi nimekuelewa
Mtumishi ninaguswa sana na maombi yako nimekua nikifuatilia sana natamani kufika kanisani kwako
Aimen
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Hili neno lina maana kubwa sana. Bali ni wachache sana watakaofunuliwa huu ukweli. Ila ukiamua kumgeukia mungu wa kweli hakika hujachelewa
Asante Bw Yesu kwa neema ya ufunuo huu kila asubuhi. Namtukuza Bw anayempa Mtumishi siri kuu namna hii. Asante Apostle nakuombea kila siku.
Amen mtumishi wa MUNGU
Mungu akubariki nimepata elimu nzuri sana amen
Asante sanaa kwa soma zuri Mungu akubariki
Mtumishi unanijenga kiimani kila ninapo kukusikiliza 🙏🙏🙏 be blessed
Kwa kweli tunapokea maarifa
God bless you man of God...watching from Saudi Riyadh...you bless me alot... I'm kenyan
Hello sister. I'm Also a kenyan from Riyadh. Do you mind tukijuana?
@@lynnemelline1627 why not...send me your WhatsApp number... I'll text you
NIMEPOKEA🤲🤲🤲🤲💯💯💯📌📌📌
Thank God for this message it's has blessed me alot. May God bless u servant God. My heart is full joy .
Ameeeen Apostle
nimebarikiwa sana na somo hili,Mungu akubariki
Like father like son ❤❤❤
Asante sana mtumishi 😘
AMEEEEEEEEN BABAAAA
Baba napenda sana vile unatupa chakula cha kiloho hakika unanibaliki nashiba haswaaaa
Waw apostle i'm blessed. Since i came across of you on Yutube i'm blessed by the word of God thru you. From Mombasa Kenya.
Yes
Nimepokea jambo jema
Ameen ubarikiwe mtumishi 🙏❤️
Asante Sana,Kwa mafundisho mazuri
It's time 👏👏
Yes. God is FAITHFUL he will fulfill his promise early in the morning in JESUS CHRIST of Nazareth Amen
AMEN NAPOKEA ASUBUHI YANGU NJEMA KILA KITU CHANGU KITABARIKIWA KATIKA JINA LA YESU KRISTO
Aki Apostles may your cup overflow for us who grow from your teachings. May your cup never run dry for me 🙏
From Saudi you bless my soul.
Thank you men of God "uliniokoa katikati ya bahari"ukanipa mwangaza wa Marshall Mungu akusidishie Amen.
Umenitoa ujinga ambao cjui nani angenitoa Mwenyezi MUNGU akuzidishie Ulinzi wa Maisha.
Asante xana pst kwa mafunzo mazuri ya kuhimiza.... Ni ukweli mpupu...
😀😀😀 Mtumishi unanifurahisha sana isee ,,,kweli mtu akiapewa mda wa kuamshwa asubuhi ni kuwaza kupapasana tu ,,,Mungu akubariki san
Napokea majibu asubuhi ya leo
My first time to watch your teachings... You're a God sent servant of God.... May you be blessed beyond measures🙏🙏🙏
Am here Apostle siwezi chelewa.MUNGU Akubariki mtumishi wa MUNGU wetu.from kenya
You sharpen me so very much sir, may God protect and give you more revelation for the kingdom for his own glory
Man of God keep raising .have learned so much profitable to me
Amen tuko pamoja
Like father like son,, Apostle does it like Major 1 does it!!👏👏
Hahahahaa hapo kwa wanandoa baba 🙌🙏👌 SEMA TUPONE BABAAAAAAA
Ooh ! Bwana azidi kukutia nguvu, mtumishi wa Mungu! Niko Mtwara I'm enjoying and be blessed with messages like I'm in Dar!!!!!!! Praise the Lord!
Amen
Amen amen Man of GOD, God bless you Nimejifunza mambo mengi katika SoMo hili juu ya kuitumia asubuhi vizuri 🙏🙏🙏🙏