JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI
    Kuna mengi sana kama wanadamu tunakuwa tunayatamani katika maisha yetu, lakini kutokana na aina ya malezi maisha tuliyopitia kuna baadhi ya tabia tuko nazo zinaweza kuwa zinatuzuia sisi wenyewe kufkia malengo hayo au kupata yale tunayoyatamani maishani.
    Katika somo hili tutaweza kujifunza njia kadhaa za namna gani unaweza kupata chohote maishani. Fuatiia kwa makini na uniachie mawazo yako kwenye comments.
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / ezdenjumanne
    TWITTER: / ezdenjumanne
    FACEBOOK: / ezdenjumanne
    LINKEDIN: / ezdenjumanne
    .
    For Business please send me an email
    ezdenjumanne@gmail.com
    #Patachochoteutakacho #SuccessPath #EzdenJumanne

ความคิดเห็น • 195

  • @uwizeyeimanazuwena2923
    @uwizeyeimanazuwena2923 4 ปีที่แล้ว +76

    Guys kama mnamkubali uyu kaka ka mimi gonga like 10 twende saw

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว +7

      Hizo like ww zitakusaidia nini au unataka ujulikane 😏😏 toa maoni kuhusu somo au shukuru siyo gonga like acheni ujinga

    • @mwajumamohamedi3534
      @mwajumamohamedi3534 4 ปีที่แล้ว +1

      Aaaaaaaaaaah weee minakujuwa ww mnywa gongo akili km izo uzitoleee wap

    • @paskalinanaali1434
      @paskalinanaali1434 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante nimepata vitu vingi na mejifunza mengi sana ubarikiweee

    • @jumanamwandu5951
      @jumanamwandu5951 3 ปีที่แล้ว

      Uunatisha broo

    • @saidally1935
      @saidally1935 ปีที่แล้ว +1

      Mi namkubali sana uyu jamaa more than a teacher

  • @ramadhanbashir8484
    @ramadhanbashir8484 4 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana bwana ezden J4 kwa kutupa elimu ya maarifa tofauti ya maisha yetu ya duniani na akhera,naamini hii ni swadaqa-tul-jaaria,thawabu zake hazitosimama mpaka pale tu itakopo simama saa ya yaumulqiyama na Allah s.w ndie anayeweza kukilipa thawabu zako inshaallah amin.

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante My Role model.
    SIKU moja takutana nawe macho kwa macho
    Naaminii

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaifanya kazi ya Mungu vyema kaka! my role model linapokuja suala ya kusoma vitabu. Mungu akubariki

  • @habeshaqameyu8555
    @habeshaqameyu8555 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana bro wangu

  • @kamiliswai4389
    @kamiliswai4389 4 ปีที่แล้ว

    Ezden nashukukuru sana kwa content zako zinanipa funzo sana na imani mafanikio yapo mbelee

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 4 ปีที่แล้ว +12

    Huu ndo Upako Halisi wa Mafanikio, Thanks Brother Ezdeez, Each one Teach one.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว +3

      Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!

  • @SmilingBabyPenguin-sp9ro
    @SmilingBabyPenguin-sp9ro 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninaitwa Mohamed niko msumbiji kaka asante sana kwa ushariwako nimijifuza kitu mungu akubariki

  • @georgeisdoryisdory6989
    @georgeisdoryisdory6989 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi najivunia kwa kutumia video zako uwepo wakoo
    Aisee uwezi amini juzi nilishinda mabishano kwa kukaa kimya na kuitikia kila kinacho ongelewa so alie jipanga kushindana nami uwezi amini kaka alijikuta akishindana na akibishana mwenyewee

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaa umeona sasa nguvu ya ukimya ilivyo? Hongera sana kwa kujifunza sababu thamani ya elimu sio katika kusoma, ila kutumia baada ya kuipata/kuisoma.

    • @jumanamwandu5951
      @jumanamwandu5951 3 ปีที่แล้ว

      P

  • @swabriissa2034
    @swabriissa2034 4 ปีที่แล้ว +9

    Asalaamg'alayk warahmatullwah
    Sina budi kusema alhamdulillah kwa mola wetu kiukweli nimekufatilia mara nyingi sana na nakuelewa sana sana pia ahsante kwa masomo yote unayotoa mola akubarik sana ezden jumanne

    • @maida2710
      @maida2710 4 ปีที่แล้ว

      Àsante kaka nimekuelewa mungu akupe umri mrefu

    • @kingramaboy4888
      @kingramaboy4888 4 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako whatsapp

    • @aminashaabani9647
      @aminashaabani9647 4 ปีที่แล้ว

      Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh Alhamdulillah Allaah akujalie kheri daiiiima kwa hikima zako

  • @annamrima5507
    @annamrima5507 4 ปีที่แล้ว +1

    Very, educative let try ma best

  • @ngendakumanasalumdiki4885
    @ngendakumanasalumdiki4885 4 ปีที่แล้ว +1

    Ezden nisemetu nakutakiya ufanisi zaidi katika mamboyako hasa yakielimu. Videos zako zinanisaidiya saana.

  • @kamalali9735
    @kamalali9735 3 ปีที่แล้ว

    Brother keep it up.make sure Allah first..

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana brother mungu akubariki sana uendelee kutufundiza mambo mengi coz tunafaidika sana

  • @flavianayusuph1309
    @flavianayusuph1309 3 ปีที่แล้ว +1

    Much blessings be upon you I really appreciate you I like your coutes success is something you attract by the person you be come
    Let's keep learning from you Brother
    May Almighty God keep you safe always

  • @erickndibalema8956
    @erickndibalema8956 2 ปีที่แล้ว

    Kaka ahsante kwa elimu unayo tupatia by Erick Ndibalema Edward

  • @lindaminja7969
    @lindaminja7969 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana, kwa video hii imenifungua akili yangu. Barikiwa mno.

  • @matirdamussa6343
    @matirdamussa6343 4 ปีที่แล้ว

    Kaka mimi nakuewa sana mungu akutunze akupe umli mlefu wenye afya njema kuna vitu vingi vizuri ndani yako vya kutuvusha

  • @edisonmaganga5010
    @edisonmaganga5010 4 ปีที่แล้ว +1

    Bigapu Sana bradha kazinzuri

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 4 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi kaka ezden ndomn mm nakukubali sanaa

  • @felistamadatta9648
    @felistamadatta9648 2 ปีที่แล้ว

    Thanks!!! Nmejifunza vitu vpya Mr, more blessed 🙏🙏

  • @salya8884
    @salya8884 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks bro God bless you all the time

  • @rashidifadhili4653
    @rashidifadhili4653 4 ปีที่แล้ว

    wowo somo zur sana na nimepata kitu kutoka katka maelezo yote uliyokuwa ukiyaeleza .

  • @samwelmollel3705
    @samwelmollel3705 4 ปีที่แล้ว

    Ezden jumanne hongera sana hakika umenifunza vingi

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว

    Big up Sana kaka nakukubali sana kwa mafunzo yako hujawahi kosea ubarikiwe sana,

  • @abdukadiliissa8076
    @abdukadiliissa8076 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania atuangaliagi mambo ha msingi tunaangalia ujinga wa mitandaoni ya wasanii but vitu vya msingi kama hii kutoka kea bro Ezdeni ....keep going our idol I subscribe for more lessons. na vijana tubadirike tuangalie ya msingi.

  • @paulsamson1070
    @paulsamson1070 4 ปีที่แล้ว +1

    African teacher

  • @amemeabdulrazak1397
    @amemeabdulrazak1397 4 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alykum mashallah watuelimisha vizuri nitazidi kukufatilia Allah akulipe kheri AMiin

  • @leilatyabbasi482
    @leilatyabbasi482 4 ปีที่แล้ว +1

    This channel is so inspiring Mashaaalah.

  • @francoismbkavusa7474
    @francoismbkavusa7474 2 ปีที่แล้ว

    Uko sawa sasa kabisa muali ezden juma4

  • @user-tf1qr7gi6z
    @user-tf1qr7gi6z ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa vzr

  • @ninnagray9865
    @ninnagray9865 4 ปีที่แล้ว

    Shukran brother toka nianze kusikiliz vipind vyako nimegundua naelekea sehem sahih may God bless you

  • @joycemartin5306
    @joycemartin5306 4 ปีที่แล้ว

    Habari Kaka Ezden. Daaah nilimic kipindi chako kwa muda kweli kwasababu nlikua busy kidogo lakin sasa nimerudi na nimefuraika sn nakujifunza mengi asante sana

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah 👏 👏 shukraan sana brother Allah bless you 🙏 🙏

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว +2

      Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!

    • @thegirl1405
      @thegirl1405 4 ปีที่แล้ว +1

      @@successpathnetwork oooookey my brother shukraan tupo p1 🤝

  • @ahmadnchiyiki8375
    @ahmadnchiyiki8375 4 ปีที่แล้ว

    Kaka napenda sana maudhui yako Je,ni sahihi kumwambia MTU/watu kujua ndotto zako

  • @mwasitiathumani4626
    @mwasitiathumani4626 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Sana videos zako my life my purpose mungu akubarik Sana!

  • @barnabajaphet7191
    @barnabajaphet7191 4 ปีที่แล้ว

    Ndugu hakika ninapata elimu ya kutosha kupitia kipindi chako ubarikiwe sana

  • @frankrichard1667
    @frankrichard1667 4 ปีที่แล้ว +2

    Brother Hongera sana unafundisha vizuri ubalikiwe

  • @decastillognabry529
    @decastillognabry529 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa bro 💪✌️ nmejifunza mengi🇰🇪

  • @vincentwandera9189
    @vincentwandera9189 4 ปีที่แล้ว +1

    I like your videos, the way you stipulate and explain things is so much encouraging and influential🙏💪

  • @Laila-zl8lj
    @Laila-zl8lj 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh kaka

  • @ibrahimhassan5141
    @ibrahimhassan5141 4 ปีที่แล้ว

    Wewe Ni Bora katika maishayangu,nimekuwa MTU mpya kifikra

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 4 ปีที่แล้ว

    Very effective video thanks for sharing .

  • @blazemafoma1471
    @blazemafoma1471 4 ปีที่แล้ว

    safi sana nafanyia kazi haya

  • @ithnaothmani4991
    @ithnaothmani4991 4 ปีที่แล้ว

    Naamini hiyo ni siri kubwa na ya mwanzo katika kufanikiwa asante sana kaka ezden kwa msaada wako

  • @MoiseTetema-yt6tp
    @MoiseTetema-yt6tp ปีที่แล้ว +1

    Vraiment merci

  • @ramadhan122
    @ramadhan122 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninakukibali. Wewe no kifaa. Nakitakia Kila la kheri. Ahsantee sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana Yahya Abdallah kwa kufuatilia. Pamoja!

  • @ibraheemseleman1121
    @ibraheemseleman1121 3 ปีที่แล้ว

    Always nakupenda my brother

  • @mwashighadijames3018
    @mwashighadijames3018 4 ปีที่แล้ว

    Thanks so much bro,hapo kwa kubishana huwa mimi sitaki kushindwa,duu!,umeniguza sana

  • @muhsinyahaya5822
    @muhsinyahaya5822 4 ปีที่แล้ว

    Kwel Brother. Thanks Mungu akujaalie Kila la kheli hakika umenifngua akili yngu

  • @naifatmohd6215
    @naifatmohd6215 3 ปีที่แล้ว

    Asantee sana Kaka nimependa mafunzo yako

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว

    Shukran Sana kwenye ratiba nimefeli asilimia 90% ili lazima nilipinge kwa kweli limenitawala Sana

  • @caseemabdallah6806
    @caseemabdallah6806 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kufanya kama Wewe brother...

  • @mohhamedygideoni2205
    @mohhamedygideoni2205 4 ปีที่แล้ว +3

    Thanks my broo from another mother

  • @francomkandawile8572
    @francomkandawile8572 4 ปีที่แล้ว

    Thanks very much Brother, i real get a wonderful knowledge, Be blessed.

  • @feisal38
    @feisal38 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha allah tabarakallah

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia 4 ปีที่แล้ว +4

    Assalam Aleykum brother Ezden naomba Njia za kupata mtaji wa biashara kwa sisi ambao tumemaliza tu 4m 4 hatujafanikiwa kwenda collage na tunaitaji kujoin kundi la wana Biashara

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +1

    Ongera Sana umenifundisha kitu,

  • @isaackkimario9716
    @isaackkimario9716 4 ปีที่แล้ว

    I really appreciate the job you are doing brother

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana

  • @ramsotzfundi9515
    @ramsotzfundi9515 4 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri broo

  • @kalekwarashidi4483
    @kalekwarashidi4483 4 ปีที่แล้ว

    Umenisaidia sana bro

  • @shamsimrisho4212
    @shamsimrisho4212 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh

  • @amanichao6759
    @amanichao6759 4 ปีที่แล้ว

    Thanks much brother Ezden
    I do appreciate the lesson

  • @mmbatizaji8075
    @mmbatizaji8075 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja kaka,

  • @joselinejasper1610
    @joselinejasper1610 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana kaka

  • @godsfavouritegal4936
    @godsfavouritegal4936 4 ปีที่แล้ว

    Najifunza mengi asante bro

  • @hilarykimei5991
    @hilarykimei5991 4 ปีที่แล้ว

    asante sana kaka M7ngu akutie Nguvu

  • @gesuntegesunte2594
    @gesuntegesunte2594 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kazi, Natafutaa wawekezaji

  • @faizahammad7851
    @faizahammad7851 4 ปีที่แล้ว +1

    So nice

  • @tasha3556
    @tasha3556 2 ปีที่แล้ว

    Well said brother tasha from Kenya

  • @josephmichaelkikuyajoseph9008
    @josephmichaelkikuyajoseph9008 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana brother mungu akujaliee

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli umenigusa sana , hbr ya kujihurumia ,kwa maisha nilopitia mimi mungu mwenyewe ndoo anajuwa,lkn sikati tamaa ,na ninaamini ipo ck nitafikia malengo yangu

  • @amemeabdulrazak1397
    @amemeabdulrazak1397 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm pia nazidi kukuombea uapate ujuzi zaidi kwa kutuelimisha Amiin

  • @thomasboniphace7254
    @thomasboniphace7254 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa haya maarifa.

    • @simonjohn8194
      @simonjohn8194 4 ปีที่แล้ว

      Thanxs for opening our mind

  • @hadijaally1391
    @hadijaally1391 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana

  • @harrietmmoji8404
    @harrietmmoji8404 4 ปีที่แล้ว

    Thanks very much bro may God bless you

  • @ziggyuae2464
    @ziggyuae2464 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ❤️ shkran sanaaa bro may Allah bless you and success path nime ziandika📝 inshaAllah nitazifanyi kazi🙏

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kaka Ezden

  • @witnekidoti6160
    @witnekidoti6160 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro unanifungua faham zangu sana

  • @silyvianekesa4689
    @silyvianekesa4689 2 ปีที่แล้ว

    Thank you so much

  • @masogangemasogange7835
    @masogangemasogange7835 4 ปีที่แล้ว

    Be blessed my brother

  • @esterrichard687
    @esterrichard687 4 ปีที่แล้ว

    Najifunza Sanaa

  • @user-zd8wr2pz7e
    @user-zd8wr2pz7e 6 หลายเดือนก่อน

    Naitwa bahati sasi soronyo napatikana dodoma tanzania kaka napenda sana elimu unayo itoa ubalikiwe sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  6 หลายเดือนก่อน

      nashukuru sana ndugu yangu. endelea kuwepo

  • @juniourmwijage5140
    @juniourmwijage5140 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว +1

    Namba zenu za simu nazihitaji

  • @zahrakitchen5880
    @zahrakitchen5880 4 ปีที่แล้ว

    Allah akujalie 🙏
    Shukran ❤❤

  • @allysimai2794
    @allysimai2794 4 ปีที่แล้ว

    Hey
    Ww mwalim Ila naomba ktk maongezi yako unoongea ungelikuwa na tafsiri ya lugha ya English unatamka kiswahili huku chini lugha iyo inakuja nasi tutapata kujifunza hiyo lugha Shukran Mwalim

  • @gatimakonge9749
    @gatimakonge9749 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante boss wangusaana

  • @bobowrld9628
    @bobowrld9628 4 ปีที่แล้ว

    nakubaliii

  • @giftmachael8477
    @giftmachael8477 3 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa sasaa.

  • @johariphilemon5076
    @johariphilemon5076 4 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @hamismwinyi3723
    @hamismwinyi3723 4 ปีที่แล้ว

    Be blessed

  • @mcdamusafi4630
    @mcdamusafi4630 4 ปีที่แล้ว

    Ushauri mzuri Sana kaka tuko p1

  • @kingsimbahh8458
    @kingsimbahh8458 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kk jumanne

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @barnabassambuli9889
    @barnabassambuli9889 4 ปีที่แล้ว

    Lovely...

  • @abdulrazackkipingu5437
    @abdulrazackkipingu5437 4 ปีที่แล้ว

    Thank you so much brother

  • @rubimangaru5527
    @rubimangaru5527 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelew San bro..well done kw darasa huru

  • @wiltsshirima9418
    @wiltsshirima9418 4 ปีที่แล้ว +2

    Minitazidi kukuombea utufungue kilasiku