Mungu awasaidie mfanye kazi kwa uaminifu na kwa uadilifu mungu isaidie tanzania wabariki wote viongozi wake hishima umoja naamani hizi ndio ngao yetu fanyeni kazi kwa uadilifu mungu atakusaidieni amin
Nguvu ya soda tuu hiyo baada ya miezi 2 mpaka 3 imekwisha hiyo hatuko makini mpaka l8tokee jamga ndio tunakurupuka hiyo naona mshawapa watu kula tuu watatisha watu ili wapate pesa
Mambo yanabadilika nchi itakua nzuri msikate tamaa tulijua tutafika dodoma kwa masa3 leo mbona imewezekana tulijua tanzania tutazalisha umeme pale mloka mbona imewezekana tulijua nchi itakua na lami mbona imewezekana kwali bado kunawatumishi wslokua sio waadilifu wizara ya aridhi nadhani mda wao umefika sidhani kama hii tume itawaacha salama
nakumbuka miaka chache zilizopita ofisi yenye hadhi ya juu ya serikali ilitoa tamko kwamba kuna majengo kadha kariakoo hayakidhi matumizi ya kuishi kwa binadamu hakuna kilichofanyika nakumbuka maneno ya rais mstaafu wa tz jakaya mrisho aliposema watanzania ni mafundi wa maneno ikiwa maendeleo yangekuwa yanaletwa na maneno Tanzania tungekuwa mbali sana kimaendeleo (maneno haifui dafu)
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mungu awasaidie mfanye kazi kwa uaminifu na kwa uadilifu mungu isaidie tanzania wabariki wote viongozi wake hishima umoja naamani hizi ndio ngao yetu fanyeni kazi kwa uadilifu mungu atakusaidieni amin
Tumezoea taarifa hizi Huwa hazina muendelezo
Mnaishia kuongea tu utekekezaji mdogo kiufupi tumeshazoea mikwala yenu
Majengo mengi Kariakoo, ni Mazee
Jembe hilo majaliwa majaliwa
Mtuchunguzie na hao waliokichimba vyumba chini , je ni ainagani ya kitaalamu ulihusika wawajibishwe wahusika akina fundi maiko,
Mmmh izo sababu akichomoka mtu cjui vibali😭😭manispaa kufatilia hadi mwisho wa jengo Mungu wasaidie wahanga hawa pia😂😂😂
Nguvu ya soda tuu hiyo baada ya miezi 2 mpaka 3 imekwisha hiyo hatuko makini mpaka l8tokee jamga ndio tunakurupuka hiyo naona mshawapa watu kula tuu watatisha watu ili wapate pesa
Mambo yanabadilika nchi itakua nzuri msikate tamaa tulijua tutafika dodoma kwa masa3 leo mbona imewezekana tulijua tanzania tutazalisha umeme pale mloka mbona imewezekana tulijua nchi itakua na lami mbona imewezekana kwali bado kunawatumishi wslokua sio waadilifu wizara ya aridhi nadhani mda wao umefika sidhani kama hii tume itawaacha salama
Majengo yatakayobainika kuwa hatarishi, muwakamate km kuna wabia waliojenga kwa mikataba na wenye nyumba