Nimesomea saikologia. Maneno yote uliyoongea ni uongo mtupu. Mungu akusaidie na kukuponya. Uache huo uongo. Maana hata usoni unaonekana unatengeneza maneno.
Halima shukuru mungu kwa kila Jambo! Huo Ni mpango wa mungu ukose ubunge ili angalau upate mume Na kuijaza dunia.Umeishi ukiwa nugahembe kwa muda mrefu sana Ni wakatii wako wa kuolewa sasa Na kuzaa watoto! Usagaji sio maisha.Umewasaga wengi sana inatosha.
hongera dada tujenge nchi hii ni yetu sote, busara zinahitajika pia nashukuru kwa kuwa msikivu japo mimi c muumini wa chama chako umenielewa ushauri wangu pia liziki haiji kwa njia moja tu mungu huwa na sababu zake sisi ni wanadamu tu hatuna uwezo wa kutambua siri za mungu.
Pole sana ndugu yangu.Sasa hivi songa mbele,tugange yaliyopo Na yajayo.. Wewe bado kijana, fikiria maisha mengine siyo lazima uwe mwanasiasa.Hasira ni hasara
Mh.Halima, umri wako umesonga tena sana; hupaswi kuwa mwongo tena!! wewe kweli ambaye huogopi chochote kweli umeona mabegi ukaweza kutulia bila kuchukua hatua yoyote hata pcha kama uthibitisho?? pili wewe ni mgombea haki ya kumwita polisi unayo wewe kama mgombea; ukashindwa kumwita polisi alieko hapo kituoni nae athibitishe?? Acha izo,tunakujua wewe ungeyaona hayo unayoyasema ungepga nduru,ungelia tena kwa sauti ya juu na hapo ucngeondoka hivyo acha uongo
Mhu hujaona video Instagram kawaita polisi wa hicho kituo wasimamizi na wapiga kura waliokuepo,walichofanya n kuzichoma Moto hzo kura,, hapo ND alipokosea, alipoteza ushahidi
@@paulinazacharia8474 Hawezi kukosea ,ni muhuni tu ,mwanasheria gani anakosea kosa Dogo kama hilo,Ndo ujue ulikuwa ni mpango wake na kafanya vile makusudi wala sio makusudi ili kutimiza udharimu wake.Kwani kama mawakala hawakuwepo wananchi walikuwa wapi?,ambao wanaoonyeshwa masanduku na baada ya hapo yanafungwa na siri mbele yao,then yanakuwa teyari kwaajili ya kutumbukiza kura..
Duuh kazi kweli kweli yaani ,Mungu idumishe Amani ya Taifa letu mimi naamini Mungu Kuna jambo utafanya siku moja na litashangaza kwa kuwa wewe Mungu ni Mungu wa wanyonge na hupendi kujiaibisha haki kwako ndiyo sehemu yake Kuna siku itafahamika !!!!
Hahahaa, upako,upako wa Mungu. Siku zote watanzania hatupigani vita kwa nguvu zetu , Bali Mungu anatupigania. Wachache msio amini mnapona kwa imani ya walio na imani. Mungu bariki uchaguzi Mungu ibariki Tanzania.
Dah! Pole dada Bunge lqsafari hii kutakuwa hapa kazi tu, kapumzike kwa Amani hakuna tena kelele na ubishi, Safi sana tuwaache ccm wagombane wenyewe kwa wenyewe,
Ongera dada salima kwa kazi uliyoifanya ya ujasiri nakubali kwamba wao baadhi ya wanawake wanazo akili zidi ya baadhi ya wanaume,wewe unatosha kwa ujasiri kitendo ambacho umetoka kuonesha ulimwengu ndiyo mana jeshi la polisi linafanya mizengwe ya kuzingira nyumba yako ili kuadaa ulimwengu kutaka kuficha wizi wa kura uliogunduliwa nawe asante ALLAH akubariki.
Watu humu ni ushabiki tu wala hamjali kinachoendelea nchi nzima, mnadhani mna mkomoa mgombea, kura ni kwa ajiri ya kizazi kijacho, watoto wenu, haki kwanza bila haki ata ukifurahia haupati chochote! Kuweni wa kweli mioyoni mwenyewe acheni kashfa na maneno ya kejeli wakati watu wanapigania mambo ya maana!
Sijui mpaka sasa mmejitambua. Halima mliedhani mnamkomoa anaendelea kuula hadi leo. Wakati mwingine akili ziko chini sana. Watawala endeleeni na mambo yenu hapa hamna kitu. Utopolo mtupu.
Mungu akutie nguvu we all need right ninazishangaaga sana comments za watu wenye akili timamu zinapo sapoti wizi wa kura kumbuka mgombea mmoja anapohujumiwa wanaoumia ni pamoja na waliomchagua. NEC please tendeni haki. haki hudumu for all Tanzanians.
@@margarethsaramaki3966 perfect watu wanashabikia immoralities its too shame. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. halima is strong and trustfull.
Gwajima oyeeeeeeeeeeee we ni jirani yangu lkn sjakupigia barabara mbaya mbweni miaka 15 tulikupa ujatufanyia chochote licha kutwa mahakamani tumekuchoka bi kidude pumzika sasa mambo ni kwa Askof Gwajima tu 😀😀😀 Nashkuru sijakosea kukuchagua
Sasa izo kula kwann ujazipiga picha kwaushaidi ili sisi wananchi tuamini naomba fanya mpango utuonyeshe hayo bag yalio jaa kula ili tuamini maana uwongo uezidi
Pole sana,ngoja tuwaone this time wakiwa wenyewe bungeni,tupate experience mpya..hakuna marefu yasiyo na ncha,tuombe uzima,kwani tutaendelea kushuhudia maajabu mengi
Zipo wapi ili zipelekwe kufanyiwa uchunguzi kama ni karatasi kutoka tume Kisheria alikua anatakiwa kua na kibari maalumu cha search warrant NA KAMA WALISHIKA HIZO KURA KWANINI WALIZITEKETEZA KWA MOTO? TAFADHALI WATANZANIA MSIFUATE MIKUMBO
Uchaguzi ili uwe flesh lazma mdeee uwe mbunge?/au mbowe ,zitto ,lema wawe wabunge? Au sugu nk?/mmekaaa bungeni miaka mingi sana kazi yenu ni kukashifu government tu I'll mujulikane ,,hiii safi kabisa yaan good
Muongo wewe mbona masaki hujaja na km unaweza kutembelea vituo mbona ilivyokua Mbunge hujawahi kututembelea mitaani kwetu km ningetaka mabadiliko Bora kuchagua chama kingine sio wewe fyuuuu
Anayosema mzee ni sawa kabisaa maana Mimi pia kabla ya uchaguz nilikua safar moja ya kurud Tz na baroz furan tuliongea mengi na kusema kwa Ss hakutakuja kua na upinzani bungeni hata mmoja na ikitokea basi huyo mbunge au kiongoz wa upinzan hua haipond serikal kiukwel maongez yetu halikua marefu sana na kwakua nilikua nabisha aliweza kusisitiza kwamba kama ntabisha sana namba Yake ya simu nichukue hili baada ya uchaguz nimjulie hali na kumpa mrejesho wa matokeo ya uchaguz yatakua sio vile alivyoniambia
Alafu mi uyu dada ata simuelewi.mapovu yanamtoka kwa uroho wa madaraka.kawe umefanya nini kikubwa? Ndugu zangu msisubutu kupotoshwa na awa wapenda madaraka✌🏼🇹🇿.
HUYU NI WA KUPUUZWA TU KELELE ZA NINI SI UNA USHAHIDI KAFUNGUE KESI MAHAKAMANI. NYIE CHADEMA KWA SERIKALI HII YA MAGUFULI KUSHINDWA KWENU NI HALALI . HATA KURA MLIZOPATA LABDA MLIPEWA NA MAFISADI NA FAMILIA ZENU. HATUWAPENDI KABISA HAMNA MNACHOKIFANYA ZAIDI YA UPUUZI TU UONGO , UZUSHI NA MAKELELE! KWA UJUMLA HAMNA JIPYA TENA MMEBAKI VITUKO . CHAMA KIZUMA CHALI ?? MJUE WATANZANIA SIO WAJINGA TENA HAWASHABIKII UKANDA WANATAKA MAENDRLEO. OVYO LABISA NYIE.
Kwani we halima umeshawahi fanya tathmini ya jimboni mwako kuwa ni wangapi wanakuhitaji na wasiokuhitaji, katika utafiti wangu binafsi niliofanya watu hawakupendi ukiacha wachache wanaokuvimbisha bichwa. Cheefuuuu!
Pole Halima Ila ni aibu Sana watu kulazimisha kuwaongoza watu wasiokupenda.unaiba Kura ili kutuongoza?huu ni ubakaji kabisa.huwezi kupata Amani kuwaongoza watu unafahamu wazi hawakukubali
Utatuaminishaje wapigakura kwamba wewe hukuhusika ktk kuziingiza hizo kura feki kituoni? Wanasiasa msituchanganye watanzania. Kama uliingia sehemu kupeleleza lazima ulikuwa na lengo Maalumu la kufanikisha. Mchezo mchafu huu.
Mm ni ccm ilawana ccm niwaizi wakura naiyoinajulikana siouongo haya mjomba magu tununulie hizondege tu nakuijenga dar km ulaya ma hospital hakuna dawa ukiwa unapesa utibiwi
@@hshsh3302 Acha uongo ndugu. Unasema Wewe unaitwa ccm? Hilo si Jina la mtu Bali ni kifupisho cha maneno. Unasema kuna Hospitali mpya lakini Hakuna dawa! Huo ni upotoshaji mwengine. Unasema ukienda hospitali hutibiwi hata kama una mapesa mahela mafedha. Sasa kama una mali na fedha nyingi kwanini huendi hospitali binafsi? Hapo lazima utakuwa umechanganyikiwa ndugu. Asiyekubali kushindwa si mshindani.
@@godfreymwamalumbili7372 njoo mkoa watanga wilaya ya mkinga uone hospital hakuna dawa zaidi ya panadol na mseto napia km huna pesa hupewi km kwenu wapata dawa nanyny sio ss sawa
Halima ubunge sio ajira ya kudumu kuwa lazima ufike miaka 60 au ustaafu kwa hiari miaka 55 ila maamuzi ya wananchi. Nachokushauri ziba mdomo upate heshima na tunza peshen uendeshe maisha kwa mtindo mwingine siasa hizo acha sifa
Ushahidi uko wapi.? Tushawazoea na kutunga story nyie.mgekuwa mmepigwa hata picha tunavyowajua nyie.achauongo.katafute kazi nyingine mama tumekuchoka wakazi wa kawe
Ulikuta kura feki na hukuita waandishi kwa ninavyokufahamu??? Acheni kutufanya watanzania hatuna ubongo wa kufikiri. Nawasihi wapenda amani kuwapuuza vikali watu wa namna hii. Amen
Wewe no mtu mzima hembu. Jaribu. Kutumia uwezo wako was kufikili vzr ingalao ujitofautishe na mtoto mdogo. Labda kidogo nikusaidie kufikili kidogo.halima anaongelea mbinu za wizi wa kura uliotokea mahsla pengi Tanzania na hspa anasisitiza Hindi eixi was kura ulivyofanyika ktk maeneo mengi ya Jimbo la kawe.si lazima mbinu iliyotumika mikocheni itumike Kila mahali.kwa mfsno unajuaje mawakal walifika saa ngapi vituoni?unanua kuwa mawaksla wengi walitolewa.vituoni ,ili wizi ufanyike?unajua kuwa Kuna sehemu mawajsla walufukyzwa.?HV unsjua kuwa mpaka maaskali walikywa wana mabegi ya kura. Yani kuwatetea Hawa watu walioshinda kwa hila ni jujivunjia heshima na kuhalilisha utu wako.hv unajua madhala ya kuwa na uchaguz wa kijinga kiasi hiki kwa maisha yako ya kesho.
@@josephdogan7650 nisikilize meakala walifika mapema sanaaa walikuwa 2 kwa kituo kimoja wa chadema pia katibu wa kata wa chadema nayeye alikuja sisi ty.eingia wakala tumemkuta sasa nawashangaaaaaa
@@kingsanya6860 Mjipange....Muache fujo na hila...imalisheni chama chenu....watu hawawaamini..kama nyie wenyewe mnanyimana haki ndani ya chama...mtampaje haki mtanzania,,jipangeni,,jamii haiwaamini ila wapenda fujo na vituko peke yao
Mwenyezi Mungu hajahafilika na kinachoendelea nchini tunamuomba wape azabu kali wote waluohusika kuuvuruga uchaguzi kuazia Rais na tume yake pamoja na hao wenye kujitoa kiherehere.
@@kingsanya6860 no si hivyo na wagombea wako wengi wa vyama tofauti na wala Sina ninaemchukia Ila tuongee ukweli kwanza si kil anaesimamia uchaguzi Ni ccm Wala si kila police Ni ccm kwa hiyo kuamini mtu ni ngumu ukizingatia mpaka Sasa bado hatuna Rais ko uko pale usimamie upande mmoja upi,tuheshim hata kdg tu kazi za wenzetu hao police tusiwachukulie poa Sana na si haki wao kubishana na mgombea pale maana Kuna wengine wamewahi na wakapiga kula mapema ko kukuta makaratasi na ukaleta fujo Ni km mchongo maana kwenye vituo hairuhusiwe kuchukua video kwa cm je hao waliochukua hio videoa wametoka wapi
Hamuwaamini hata mawakala wenu chukueni wale wa m-pesa ndo hatari .hovyo sana kila kitu tumeibiwa mbona nyie mlishinda 2015 ccm haikulaum acheni kuwalisha raia matango poli
Kama kweli Gwajima ni mtumishi wa Mungu na kama madai ya Haloma yana ukweli na kama Gwajima anaujua huo ukweli anapazwa akatae kuapishwa kuwa mbunge. Kama asipofanya hivyo basi anaudhalilishamwili wa Kristo
Unashabikia upumbafu ambao hata mungu haukubari. Shenzi kabsa. Nyie ndio mnao vunja amaini hii aratibutaratibu kwa ushabiki wa kijinga. Ukweli unaonekana na bado mnashabikia. Ugaidi ndio unaanziaga hapo.

Kwanza hebu jiheshim kwanzawewe jiweke kama mwanamke sasaumejiweka karma mjike dumee 😁😁😁 we we ni muongoookabisaa chadema sehem nyingi kaziyenu kulalamikatu mmeshajuwa hampiti ndiomaana midomo inachakarika kwamaneno mengii mbonawezenu hawalalamiki hovyoo kamanyie au wao mnawaona niwajinga hamna.jipyaa nyiee
Nimesomea saikologia. Maneno yote uliyoongea ni uongo mtupu. Mungu akusaidie na kukuponya. Uache huo uongo. Maana hata usoni unaonekana unatengeneza maneno.
Nimesomea saikologia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄😄😄😄👍
vp uyo mchungj wak mungu wake nae kubal wiz ni mungu yup
Mwanzoni kabisa kameza hadi mate pia nikiashirio anatunga maneno😂😂😂. Speaking without any evidence doesn't bring any sense by the way.
Umesomea wapi 😅😅😅
Halima shukuru mungu kwa kila Jambo! Huo Ni mpango wa mungu ukose ubunge ili angalau upate mume Na kuijaza dunia.Umeishi ukiwa nugahembe kwa muda mrefu sana Ni wakatii wako wa kuolewa sasa Na kuzaa watoto! Usagaji sio maisha.Umewasaga wengi sana inatosha.
CHADEMA huwa mnalalamika tu bila action mnatupotezea muda tu mimi kuanzia leo CCM damu damu wala sitabadilika tena.
Acha upuuzi watu wanawaambia ukweli kuwa hawa viongozi wetu huwa hawachaguli na wananchi nyie mnasema wapinzani wanalalamika mawazo mgando
hongera dada tujenge nchi hii ni yetu sote, busara zinahitajika pia nashukuru kwa kuwa msikivu japo mimi c muumini wa chama chako umenielewa ushauri wangu pia liziki haiji kwa njia moja tu mungu huwa na sababu zake sisi ni wanadamu tu hatuna uwezo wa kutambua siri za mungu.
huna hoja wew kibib huna jipyaa kaaa pemben acha kusmhilisha mungu kwa usanii wako huo huna hoja mishindwa mnaanza porojo chadema tunawajua kwa porojo bhana achen hamsitustuwi
HE rahma ninavyokujua na ,aisha yako magumu unaongea kwa watu hivyo
Afu anaongea kihuni
Ngoja siku yata kukuta ndio utajua
Unadharau we Rahma, pia hayajakukuta2 kwa hiyo anachokiongea Mdee anajiongelesha2!? Ni haki yake lazima aongee
@@yohanabundala9162 huyo anatetea ugali wake kaongoza miaka 10 kawe kafanya nin sasa cha maana😀😀
Pole sana ndugu yangu.Sasa hivi songa mbele,tugange yaliyopo Na yajayo.. Wewe bado kijana, fikiria maisha mengine siyo lazima uwe mwanasiasa.Hasira ni hasara
Mh.Halima, umri wako umesonga tena sana; hupaswi kuwa mwongo tena!! wewe kweli ambaye huogopi chochote kweli umeona mabegi ukaweza kutulia bila kuchukua hatua yoyote hata pcha kama uthibitisho?? pili wewe ni mgombea haki ya kumwita polisi unayo wewe kama mgombea; ukashindwa kumwita polisi alieko hapo kituoni nae athibitishe?? Acha izo,tunakujua wewe ungeyaona hayo unayoyasema ungepga nduru,ungelia tena kwa sauti ya juu na hapo ucngeondoka hivyo acha uongo
Mhu hujaona video Instagram kawaita polisi wa hicho kituo wasimamizi na wapiga kura waliokuepo,walichofanya n kuzichoma Moto hzo kura,, hapo ND alipokosea, alipoteza ushahidi
Punguza uchama shoga ww polisi watasaidia nn wakat wao wenyw wamewekwa wazilinde hizo kura za wizi
@@paulinazacharia8474 Hawezi kukosea ,ni muhuni tu ,mwanasheria gani anakosea kosa Dogo kama hilo,Ndo ujue ulikuwa ni mpango wake na kafanya vile makusudi wala sio makusudi ili kutimiza udharimu wake.Kwani kama mawakala hawakuwepo wananchi walikuwa wapi?,ambao wanaoonyeshwa masanduku na baada ya hapo yanafungwa na siri mbele yao,then yanakuwa teyari kwaajili ya kutumbukiza kura..
@@paulinazacharia8474 Ujamuelewa Dada angu hapo wewe unavyosikia Hapo una mwalimu 😂😂😂 Hizo picha za Instagram ni za mabegi😂😂 au ni kibegi
@@tesha3606 lakin liwe begi moja au mawili havitakiwi
Duuh kazi kweli kweli yaani ,Mungu idumishe Amani ya Taifa letu mimi naamini Mungu Kuna jambo utafanya siku moja na litashangaza kwa kuwa wewe Mungu ni Mungu wa wanyonge na hupendi kujiaibisha haki kwako ndiyo sehemu yake Kuna siku itafahamika !!!!
Umeshindwa we nenda zako Gwajima oyeee
Oyeee! Halima akarushe mdomo wake mrefu mbele ya safari.
Ccm oyeee!
President Magufuli oyeee!
🇹🇿✔👍
Mawani kama bundi.🤪😂🤣
@@nishasalim2880 Na kweli utadhani mganga wa kienyeji
nyerere alitunyima elimu ili awapate wapumbavu wa kuiona ccm ni kama mungu
Subiria mbunge wako gwajima atajenga kanisa la pili badala ya kuleta maendeleo jimboni
Pole Sana. Naamini ipo siku mungu atafungua njia usikate tamaa kila kita pita na maisha yataenderea
Unajua Umeshindwa.... kudadadeki...... Hatukutaki mara hii.... CCM WINS KAWE 80%✔
Hahahaa, upako,upako wa Mungu. Siku zote watanzania hatupigani vita kwa nguvu zetu , Bali Mungu anatupigania. Wachache msio amini mnapona kwa imani ya walio na imani. Mungu bariki uchaguzi Mungu ibariki Tanzania.
Dah! Pole dada Bunge lqsafari hii kutakuwa hapa kazi tu, kapumzike kwa Amani hakuna tena kelele na ubishi, Safi sana tuwaache ccm wagombane wenyewe kwa wenyewe,
Wagombane au wajitajilishe vizuri na ufasadi wao kama zamani
Ongera dada salima kwa kazi uliyoifanya ya ujasiri nakubali kwamba wao baadhi ya wanawake wanazo akili zidi ya baadhi ya wanaume,wewe unatosha kwa ujasiri kitendo ambacho umetoka kuonesha ulimwengu ndiyo mana jeshi la polisi linafanya mizengwe ya kuzingira nyumba yako ili kuadaa ulimwengu kutaka kuficha wizi wa kura uliogunduliwa nawe asante ALLAH akubariki.
Watu humu ni ushabiki tu wala hamjali kinachoendelea nchi nzima, mnadhani mna mkomoa mgombea, kura ni kwa ajiri ya kizazi kijacho, watoto wenu, haki kwanza bila haki ata ukifurahia haupati chochote! Kuweni wa kweli mioyoni mwenyewe acheni kashfa na maneno ya kejeli wakati watu wanapigania mambo ya maana!
Mmh! Mlituambia kitawaka. Sasa huu upole wa hivi umetokea wapi? 😂😂😂
Mlevi we umeshalewa uko njwiiii!.
Tafuta jembe ukalime..Huna chako hapo kazi tu!.
Huyu halima mdee na mkubali Sana big up halima .......🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijui mpaka sasa mmejitambua. Halima mliedhani mnamkomoa anaendelea kuula hadi leo. Wakati mwingine akili ziko chini sana. Watawala endeleeni na mambo yenu hapa hamna kitu. Utopolo mtupu.
Mungu akutie nguvu we all need right ninazishangaaga sana comments za watu wenye akili timamu zinapo sapoti wizi wa kura kumbuka mgombea mmoja anapohujumiwa wanaoumia ni pamoja na waliomchagua. NEC please tendeni haki. haki hudumu for all Tanzanians.
Hamna Uhuru tz wizi mtupu
Hapo jiulize huko wamekuaje wengine
@@joycedinden530 arusha saa 1 tu washazirusha juu hamna uhuru wala haki
Tatizo la waTZ hawajui kutofautisha sasa nini kosa la mh Halima?? Huyu dada ni Suoer Woman na ni mkweli na wanamjua hilo halipingwi
@@margarethsaramaki3966 perfect watu wanashabikia immoralities its too shame. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. halima is strong and trustfull.
Ajafanyiwa Halima dhuruma tumefanyiwa sie wananchi na wana wa wajukuu zetu Mungu atulipe c kesho sasa
Gwajima oyeeeeeeeeeeee we ni jirani yangu lkn sjakupigia barabara mbaya mbweni miaka 15 tulikupa ujatufanyia chochote licha kutwa mahakamani tumekuchoka bi kidude pumzika sasa mambo ni kwa Askof Gwajima tu 😀😀😀 Nashkuru sijakosea kukuchagua
😁😁😁😁
Umekosa sifa zote nzuri....... ulizo nazo zote ni mbaya, hufai asubuhi, mchana, jioni wala usiku.
Sasa izo kula kwann ujazipiga picha kwaushaidi ili sisi wananchi tuamini naomba fanya mpango utuonyeshe hayo bag yalio jaa kula ili tuamini maana uwongo uezidi
Hata me sijamuelewa
MUNGU hawezi akakuteuwa wewe kuwa kiongozi .❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎
Yaani wanasaikologia hatuchelewi kutambua uongo ..
"" namshukru mungu Ali aliniwe wee" angalia action on face ni uongo mtupu😂😂
Huu sio uongo video mm mnayo wala sijaifuta
Niukweli vidio zimeonexha kabixa zipo vidio
It's a new beginning mama! unaongelea mambo ya zamani!
Hivi wale watu wa kupima mkojo ili ku-observe kama mtu anatumia madawa siku hizi wako wapi?
"Chukueni Sample hapa"
🤣🤣🤣🤣🤣
sample itachanganywa na ya kwako
😃😃😃
Kabisaa maana kulalamika kwake ndiyo anaona maendeleo ya wananchi UMESHINDWAA kubali matokeo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pole Mama, 2mia pesa vzr Ushafeli
Wanasiasa mnachumia matumbo yenu tu, wewe na wananchi nyote mna simu za kupiga picha, mbona hatuoni kidhibiti?kwenye mabomu ya machozi mbona huwa mnatuonyesha?mnatuchosha sasa.
Nakuunga mwili mzima sio mkono tuu uyudemu boya
Hivi hufahamu kuwa ni kosa kupiga picha kwenye chumba cha kupigia kura au unajitoa ufahamu tu wewe
yan kabisaaaaaaaa wanazingua sana hawaaa
Hilo neno nalo kweli 😂 😂 😂 😂, waongo hawa
Etiii
Pole sana,ngoja tuwaone this time wakiwa wenyewe bungeni,tupate experience mpya..hakuna marefu yasiyo na ncha,tuombe uzima,kwani tutaendelea kushuhudia maajabu mengi
Mazingaombwe ya kutosha bunge safari hii
Hayo mazungumzo, dah! We ni kinongozi kweli? Bora umeshindwa
Hadi nimeshangaa eti nikamkuta amesiz ,chadema bangi tu
Pole sana dada sasa kwakatiba hii dada yetu nn kifanyike
Jimboni kwangu? Limekuwa lako?
Wewe Halima mungu anakuona unajua ulichokifanya huna lolote kila siku hamuishi kutafuta shari, yataja wapata mnayoyatafuta muogopeni mungu kha!
We need a woman like you Halima
Unakuta mabegi ya kura halafu unayaachia hupigi hata picha wala kuyakamata hata moja tu
@@haggaikinyau1395 labda walishafanya hivyo. Wasingeongea hewani
Wee hu na akili
Yeah chadema need a womenlike she but not Tanzanians... don't include us pls
Mwenyezi mungu ndiye mjuzi hakuna anayemuweza binadam ila mungu peke yake
Mimi bado sijaelewa, mmekamata mabegi ya kura halafu yanachomwa moto, mmeharibu evidence.
Ajabu😂😂😂😂😂😂😂😂
zipo hawakuchoma
Umesikia vibaya wajachoma
Zipo wapi ili zipelekwe kufanyiwa uchunguzi kama ni karatasi kutoka tume
Kisheria alikua anatakiwa kua na kibari maalumu cha search warrant NA KAMA WALISHIKA HIZO KURA KWANINI WALIZITEKETEZA KWA MOTO? TAFADHALI WATANZANIA MSIFUATE MIKUMBO
Hawana lolote huyu bibi kidude kweli akamate mtu kitu cha kwanza ni video na picha zingesambaa. Mitaani in second halima nice try we are not buying
Nakupenda bure kamam ume vaa gold zina onyesha
Anavosema jimboni kwake Ana maanisha nn.....kwani ana jimbo huyu asa ivi!!??😁😁😆😆😅atuache kwanza uyu bibi
Nimeiona hiyo prophetic bango of Love mkononi🤝🤝 ya Chief Prophet
Inshallah ushindwe rikodi yako mbaya sana wee
Unakamata begi unamuacha mbeba begi kweli hii inaingia akilin
@@meme123naser6 Hhhhhhhhh
Mmh, yaan sijawahi kukuelewa, mumeo ana kazi sana
Huyu kasha data! Gwajiboy oyeeeeeeeeee
Pole sana sister tunakuelewa
Tuonesheni evidence 😀😂😂😂 kila mwananchi ckuiz ana smart phone wangepiga picha huo uongo kubali kushindwa muhuni wetu kiroho safi
Haukuwa na vpn ww ndo hujui kinahoendelea
nunua kitu chako chochote www.dukakuu.com alafu njoo mnishukuru badae kwa huu ushauri
Uchaguzi ili uwe flesh lazma mdeee uwe mbunge?/au mbowe ,zitto ,lema wawe wabunge? Au sugu nk?/mmekaaa bungeni miaka mingi sana kazi yenu ni kukashifu government tu I'll mujulikane ,,hiii safi kabisa yaan good
Yani ulishindwa hata kutoa😋😋 vídeo fupi hata kituo kimoja?
Umenichekesha kwa usemi wako Hilo nalo neno
Video mbona tunazo sisi wewe unaishi tanzania ya wapi?🤣🤣🤣
Unaishi jehanamu nini mbona video zipo kibao za makura feki hasa za jimbo la kawe zinaonekana social media kweli wee ndezi
@@josephferdinandy9823 nasi tuzione basi
"0:55"
I don't need anymore my work thanks to *p y p t o l m o n. x y z*
I can finally enjoy life thanks
අනුගාමිකයන් ඇති කර ගැනීමට හොඳ ක්රමයක
Halima imeishaa hiyo karudie kazi yako ya zamani na esta bulaya ya kusagana
Huu uongo unafikunavyomjua halima mdee angekuwa ametulia hivi kama Kweli kashika kura, mmnnhh
Madam Halima uko sawa kwa haki n uhuru wako kujieleza.
Muongo wewe mbona masaki hujaja na km unaweza kutembelea vituo mbona ilivyokua Mbunge hujawahi kututembelea mitaani kwetu km ningetaka mabadiliko Bora kuchagua chama kingine sio wewe fyuuuu
Kweli kabisa achie ngazi ccm babalaooo
@@saadarashid8174 Bora hata angeshinda cuf ama hata asie na jina
Anayosema mzee ni sawa kabisaa maana Mimi pia kabla ya uchaguz nilikua safar moja ya kurud Tz na baroz furan tuliongea mengi na kusema kwa Ss hakutakuja kua na upinzani bungeni hata mmoja na ikitokea basi huyo mbunge au kiongoz wa upinzan hua haipond serikal kiukwel maongez yetu halikua marefu sana na kwakua nilikua nabisha aliweza kusisitiza kwamba kama ntabisha sana namba Yake ya simu nichukue hili baada ya uchaguz nimjulie hali na kumpa mrejesho wa matokeo ya uchaguz yatakua sio vile alivyoniambia
"0:55"
I don't need anymore my work thanks to *p y p t o l m o n. x y z*
I can finally enjoy life thanks
අනුගාමිකයන් ඇති කර ගැනීමට හොඳ ක්රමයක
Roho inakuuma kutorudi bungeni
Kwendaaa kalime bunge co kwenu
Alafu mi uyu dada ata simuelewi.mapovu yanamtoka kwa uroho wa madaraka.kawe umefanya nini kikubwa? Ndugu zangu msisubutu kupotoshwa na awa wapenda madaraka✌🏼🇹🇿.
Dahhh poleni Sana ,, pole mdehee
Kwa ulimwengu huu unaongeaa maneno tuu, duuuh afu mbunge uliekula kodi zet miaka yote hiyoo duuuh
Umeona eee walizoea hawa wacha upepo wa kisulisuli uwasugue pa1na Yule wa mbeya mjini😅😅😅
"0:55"
I don't need anymore my work thanks to *p y p t o l m o n. x y z*
I can finally enjoy life thanks
අනුගාමිකයන් ඇති කර ගැනීමට හොඳ ක්රමයක
Oiii
Poleni Sana makamanda wetu tunapitia kipindi kigumu sana
Toa evidence, ya mabagi hayo, wapi picha
HUYU NI WA KUPUUZWA TU KELELE ZA NINI SI UNA USHAHIDI KAFUNGUE KESI MAHAKAMANI. NYIE CHADEMA KWA SERIKALI HII YA MAGUFULI KUSHINDWA KWENU NI HALALI . HATA KURA MLIZOPATA LABDA MLIPEWA NA MAFISADI NA FAMILIA ZENU. HATUWAPENDI KABISA HAMNA MNACHOKIFANYA ZAIDI YA UPUUZI TU UONGO , UZUSHI NA MAKELELE! KWA UJUMLA HAMNA JIPYA TENA MMEBAKI VITUKO . CHAMA KIZUMA CHALI ?? MJUE WATANZANIA SIO WAJINGA TENA HAWASHABIKII UKANDA WANATAKA MAENDRLEO. OVYO LABISA NYIE.
Kwani hamjaona
Kwani we halima umeshawahi fanya tathmini ya jimboni mwako kuwa ni wangapi wanakuhitaji na wasiokuhitaji, katika utafiti wangu binafsi niliofanya watu hawakupendi ukiacha wachache wanaokuvimbisha bichwa. Cheefuuuu!
Halima umeshindwa uchaguzi.End off.
so mnasherehekea muongozwe na gwanjima mwenye kuonyesha chuki dhidi ya waisilamu na hata wakristo wasio dhehebu lake?
@@kingwattanlibz9391 Wewe usituletee uchonganishi wa Dini lol
Sio ameshindwa uchaguzi hem kua naadabu jap kidoogo halima amepokonywa haki ya ushindi wakeee
Nawaliomo madarakani woote kuanzia chini hadi juu inaelekea wametoka ktk maisha dhalili ndio maana hawataki kuacha madarakaa
Dada tuko pamoja
Tutaandamana kuidai nnchi yetu dhidi ya mkoloni mweusi....tutawalinda viongozi wetu
Hatari tupu kwanini hataki kuondoka madarakani
Hatari fire
Shoga la ccm abdulla kauze mkundu
Njaa kali
@@adenwarsame7357 njoo utolewe malinda
Nduguu madaraka rahaaaaa😁😁😁😁😁
Muulize mwenzi Es braya
Wa Tanzania mpo . Kenya tunawapenda sana 😂😂😂😂😂
Tuombeeni kwa Mungu
Sawa Jack king
@@JKQGAME , kwani mambo yako vipi , tulisikia kuna kimbunga cha Tundu Lisu ???
@@kingsolomon0 kweli cjui isitoshe nikaa mbali kidogo na mjini Jack
Tupo vp kwenu uko hali vp
Pole sana aiseee
Bana subiri utapata viti maalum
Kwa mbowe
🙄🙄🙄
😁😁😁😁😁
Pole Halima Ila ni aibu Sana watu kulazimisha kuwaongoza watu wasiokupenda.unaiba Kura ili kutuongoza?huu ni ubakaji kabisa.huwezi kupata Amani kuwaongoza watu unafahamu wazi hawakukubali
Utatuaminishaje wapigakura kwamba wewe hukuhusika ktk kuziingiza hizo kura feki kituoni? Wanasiasa msituchanganye watanzania. Kama uliingia sehemu kupeleleza lazima ulikuwa na lengo Maalumu la kufanikisha. Mchezo mchafu huu.
Halima badilika njoo ccm nn kila cku maneno chadema hawaishi
Kwanini aingize kura ambayo imepigwa kumchagua mpinzani wake? Unawaza kwa kutumia miguu au?
Mm ni ccm ilawana ccm niwaizi wakura naiyoinajulikana siouongo haya mjomba magu tununulie hizondege tu nakuijenga dar km ulaya ma hospital hakuna dawa ukiwa unapesa utibiwi
@@hshsh3302 Acha uongo ndugu. Unasema Wewe unaitwa ccm? Hilo si Jina la mtu Bali ni kifupisho cha maneno. Unasema kuna Hospitali mpya lakini Hakuna dawa! Huo ni upotoshaji mwengine. Unasema ukienda hospitali hutibiwi hata kama una mapesa mahela mafedha. Sasa kama una mali na fedha nyingi kwanini huendi hospitali binafsi? Hapo lazima utakuwa umechanganyikiwa ndugu. Asiyekubali kushindwa si mshindani.
@@godfreymwamalumbili7372 njoo mkoa watanga wilaya ya mkinga uone hospital hakuna dawa zaidi ya panadol na mseto napia km huna pesa hupewi km kwenu wapata dawa nanyny sio ss sawa
Sauti ya zege nakubari alakati zako
Mwali auna chako sasa, ,,,,Gwajima sasa in WETUuuuuu CCM11111111111
Wewe waccm kuma wewe
Iv kwel unakaa unatetea bungen kiende chama kimoja Sasa serkal itapewa na nan changamoto acha ujinga ww wapinzan Wana umhim Sana bungen
Halima ubunge sio ajira ya kudumu kuwa lazima ufike miaka 60 au ustaafu kwa hiari miaka 55 ila maamuzi ya wananchi. Nachokushauri ziba mdomo upate heshima na tunza peshen uendeshe maisha kwa mtindo mwingine siasa hizo acha sifa
Kampeni noma kumbe mweusiii hivi! ..njoo kanda ya ziwa upate mme
Poleee,mwisho wa enzi hakuna chenye mwanzo kisichokua na mwisho my czy labda mjipange tena 2025 km uzima upo
Ushahidi uko wapi.? Tushawazoea na kutunga story nyie.mgekuwa mmepigwa hata picha tunavyowajua nyie.achauongo.katafute kazi nyingine mama tumekuchoka wakazi wa kawe
Etii!! Huyu Halima aziachie kura feki kasha shindwa huyu Dada moja maelezo ukiyachanganua hayaendanani kabisa
@jenny Yusufu wewe mwenyeji wa Kawe gani?
Nyie makuma ushahidi upo wakutoshaaa
Kura zilikuepo zmechomwa moto
@@michaelmwangoka6793 na kwann zichomwe badala ya kuchukuliwa kama ushahid?
Imeandikwa auaye kwa upanga hufa kwa upanga.. Muache mungu afanye kaz take dada angu...
Halima mdee naye alikuwa Mbunge wa wapi maana huyu ni Raia tu kama mm tu
Aje tu nimuoe mm😅😅😅
hahahaaaaa
pole sana mungu u pamoja nawe ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Usiaminishe Umma maovu yko, Hakuna kitu kama icho ktk kituo cha Jangwani
Hivi kwanini hawa jamaa huwa hawakubali kushindwaa?.. Hahahaa
Nakupenda. May
Huna mpya Dada
Ulikuta kura feki na hukuita waandishi kwa ninavyokufahamu??? Acheni kutufanya watanzania hatuna ubongo wa kufikiri. Nawasihi wapenda amani kuwapuuza vikali watu wa namna hii. Amen
Umedataaaa bungeni zerooooo
Yani hauoni chochote kinachoendelea hiyo roho gani?
@@gwanman1858 halima huyu ni gangster, tyshamzie akapumzike in peace..labda atapata jibu la jinsia yake ni ipi msagaji au wa kawaida
uyo gwajim ndo zimo au wewe kondoo wake nini
@@kingsanya6860 utajua kesho kama anazo au hana
Mikocheni mawakala wa wake walikuwepo wa tatu mimi nimepigia hapo mpaka wengine wanatoka na kurudi sasa hapo unadanganya nn
Wewe no mtu mzima hembu. Jaribu. Kutumia uwezo wako was kufikili vzr ingalao ujitofautishe na mtoto mdogo. Labda kidogo nikusaidie kufikili kidogo.halima anaongelea mbinu za wizi wa kura uliotokea mahsla pengi Tanzania na hspa anasisitiza Hindi eixi was kura ulivyofanyika ktk maeneo mengi ya Jimbo la kawe.si lazima mbinu iliyotumika mikocheni itumike Kila mahali.kwa mfsno unajuaje mawakal walifika saa ngapi vituoni?unanua kuwa mawaksla wengi walitolewa.vituoni ,ili wizi ufanyike?unajua kuwa Kuna sehemu mawajsla walufukyzwa.?HV unsjua kuwa mpaka maaskali walikywa wana mabegi ya
kura.
Yani kuwatetea Hawa watu walioshinda kwa hila ni jujivunjia heshima na kuhalilisha utu wako.hv unajua madhala ya kuwa na uchaguz wa kijinga kiasi hiki kwa maisha yako ya kesho.
@@josephdogan7650 nisikilize meakala walifika mapema sanaaa walikuwa 2 kwa kituo kimoja wa chadema pia katibu wa kata wa chadema nayeye alikuja sisi ty.eingia wakala tumemkuta sasa nawashangaaaaaa
Kweli
Jaman
Hahahahahaha yani chadema mkute kura feki mtulie nyie au wengine acheni kutuchocha hamna jipya hamtakaa amini mtakachokisikia
Nice story
kwanini jimbo lako.../MWONGO WEWE...MUNGU ANAKUONA..
vp ccm mungu awaoni ndo mahn wana burz watu
@@kingsanya6860 Mjipange....Muache fujo na hila...imalisheni chama chenu....watu hawawaamini..kama nyie wenyewe mnanyimana haki ndani ya chama...mtampaje haki mtanzania,,jipangeni,,jamii haiwaamini ila wapenda fujo na vituko peke yao
Ccm wanaonwa na mamako
Daaaaaaaaaah muongo kinyama
Peleka uozo huko huna lolote mwendawazimu mkubwa tafuta bwana uoelewe akili ikuwe sawa si uzithibitishe hizo kura nyooooo!!!
Wewe ndo kuma kuma la mamako
Matusi na Dharau sio Mpango wadau tunachoreshana huko kwa Wajerumani ... Mwisho wataona waliwahi kutuachia UHURU watarudi tena ... Hahahaha
🤣🤣🤣
@@sulelubwaza9335 wewe lazima utakuwa mchadema.
@@sulelubwaza9335 Punguza Matusi Kidogo Hayatakusaidia Zaidi Ya Kuwa Mjinga
Hahhahahahahahhahahaha
Mwenyezi Mungu hajahafilika na kinachoendelea nchini tunamuomba wape azabu kali wote waluohusika kuuvuruga uchaguzi kuazia Rais na tume yake pamoja na hao wenye kujitoa kiherehere.
Huna chako mama nenda mahakamani basi ushaisoma namba
kuma la mamaako wewe choko tulia
@@saidabdul3695 ya mama ako ipe Jina we mama tu
@@salimliemba3458 kisimi cha bibiyako kimatoa shahawa watu wana hasira wewe unaleta uchoko
@@saidabdul3695 pole yenu gwajima kashafanya yake haya kateni rufaa
@@saidabdul3695 una hasira ya kua shoga,, hujachelewa nenda ubelgiji na shoga mwenzio akakutafutie wanaume..
Nakupenda xanaaa
Mimi Ni mmojawapo sijakupa kura mpaka ujipange uwe unazungukia watu wako kujua kero sio kusubiri kuweka ustar bungeni ili yako yakuendee
@Zawadi Issa ndo hapati Sasa kenge wewe Sina haja yakujulina ili nipate nn
@Zawadi Issa mtaa wote hatujampa nichmbie kura wakati mabomba mpaka chooni kunguni wee
vip gwajim at kup el au ata gaw jimbo zima au n ww ni kondoo wake
@@kingsanya6860 no si hivyo na wagombea wako wengi wa vyama tofauti na wala Sina ninaemchukia Ila tuongee ukweli kwanza si kil anaesimamia uchaguzi Ni ccm Wala si kila police Ni ccm kwa hiyo kuamini mtu ni ngumu ukizingatia mpaka Sasa bado hatuna Rais ko uko pale usimamie upande mmoja upi,tuheshim hata kdg tu kazi za wenzetu hao police tusiwachukulie poa Sana na si haki wao kubishana na mgombea pale maana Kuna wengine wamewahi na wakapiga kula mapema ko kukuta makaratasi na ukaleta fujo Ni km mchongo maana kwenye vituo hairuhusiwe kuchukua video kwa cm je hao waliochukua hio videoa wametoka wapi
Hamuwaamini hata mawakala wenu chukueni wale wa m-pesa ndo hatari .hovyo sana kila kitu tumeibiwa mbona nyie mlishinda 2015 ccm haikulaum acheni kuwalisha raia matango poli
Mama kazi yako imekwisha wewe kasubili matokeo, kulalamika ndiyo zako 🤨🤨🤨
MWACHIE GWAJIMA MAMA. WEWE NI MLALAMISHI MNO, WATU WANAONA.
Acha uwongo halima
Kama kweli Gwajima ni mtumishi wa Mungu na kama madai ya Haloma yana ukweli na kama Gwajima anaujua huo ukweli anapazwa akatae kuapishwa kuwa mbunge. Kama asipofanya hivyo basi anaudhalilishamwili wa Kristo
Mbona mhuni mhuni hivi!! Sijawahi kumsikiliza ila leo nimegundua huyu sio ni drug inamdrive mmoja wa genge la wapiga nyagi
😁😁😁😁😁
Mtoto mzuri wanakunyanyadha CCM ila mwachie tu mwenyezi mungu na ubabe wao isyo kua na mwelekeo
Hhhhhh ila wwe kweri kirasiku shida shida tu? Amini kuwa umeshindwa acha kuchafuwa Wenzako Dada,
Nani achafuliwe YAANI WATU WANACHEKESHA YAANI UWE JAMBAZI AU MWIZI HALAFU ETI WATU WANYAMAZE . KAZI YA UCHEKESHAJI HAPA SI SEHEMU YAKE
Unashabikia upumbafu ambao hata mungu haukubari. Shenzi kabsa. Nyie ndio mnao vunja amaini hii aratibutaratibu kwa ushabiki wa kijinga.
Ukweli unaonekana na bado mnashabikia. Ugaidi ndio unaanziaga hapo.
Unasikia kwa matako au masikio
Ndo bac tena bora ukawe bongo move.
Kwendraaaa Tena Bora umetolewa kwenye UBUNGE cjui utakua unaongelea wapi 😂😂😂🤣🤣😂😂😂
Unashabikia upumbafu ambao hata mungu haukubari. Shenzi kabsa. Nyie ndio mnao vunja amaini hii aratibutaratibu kwa ushabiki wa kijinga.
Ukweli unaonekana na bado mnashabikia. Ugaidi ndio unaanziaga hapo.
@@maujikoblogspotcom we nae kwendraaaaaaaaa 🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂😂
Tumeishakuchoka kelele zako Bunju Gwajima anatosha
Kwanza hebu jiheshim kwanzawewe jiweke kama mwanamke sasaumejiweka karma mjike dumee 😁😁😁 we we ni muongoookabisaa chadema sehem nyingi kaziyenu kulalamikatu mmeshajuwa hampiti ndiomaana midomo inachakarika kwamaneno mengii mbonawezenu hawalalamiki hovyoo kamanyie au wao mnawaona niwajinga hamna.jipyaa nyiee
Pole sana Dada tupo pamoja