MADUDU ALIYOYAKUTA WAZIRI MKUU MAJALIWA TRA YA MUTUKULA, AAGIZA WATUMISHI WANNE WACHUKULIWE HATUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @baudouinkasangu5534
    @baudouinkasangu5534 ปีที่แล้ว +2

    Félicitations son excellence, j'aime votre façon de gouverner. Si au Congo on pouvait avoir des gens comme ça...

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 ปีที่แล้ว +5

    Nilimis maamuz magnum kama haya
    Mungu akulinde kiongozi wetu❤❤

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel ปีที่แล้ว +4

    Mamlaka za nidhamu ndizo dunia nzima zinawajibika kuchukua hatua. Safi sana !

  • @martinkaranja3478
    @martinkaranja3478 ปีที่แล้ว

    I wish we has someone like this in kenya. Thank you

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb ปีที่แล้ว

    Daaa waziri haya nimengi sana tanzania zima.

  • @franciskobelo
    @franciskobelo ปีที่แล้ว

    Allah akupe afya njema waziri mkuu wetu

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +1

    Pia ujambazi umezidi bukoba mjini kata ya nshambya,kyabitembe Block A watu wanavamiwa na kubakwa serikali tusaidie

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 ปีที่แล้ว +1

    Paspo na sheria kal ya hawa watu kila sk iv vitu havitaisha kaz iendelee😅😅

  • @mohddelo
    @mohddelo ปีที่แล้ว +2

    Umetukumbusha enzi za magufuli safi sana

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 ปีที่แล้ว +1

    Tenda baba japo wanakuchukia Sana watu wa chama

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g ปีที่แล้ว

    The next.

  • @magembesucha4791
    @magembesucha4791 ปีที่แล้ว

    Yaan hapo bhna duuh

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu tunashukuru. Baba tusaidie kuhusu ujambazi ulioko ulioko Mata wa kyabitembe kata ya nshambya .kyabitembe block A,watu wanavamiwa wanaibiwa nakubakwa,nahawaogopi polite maana hakuna msaada

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb ปีที่แล้ว

    Fukuza kazi wote huyo mkuu wakituo fukuza kazi mara moja

  • @Mutashubirwa
    @Mutashubirwa ปีที่แล้ว

    Safisana mtendaji mkuu wa serikali

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 10 หลายเดือนก่อน

    We wee ndio urobakiii we ngineee mmmmmmmh

  • @mohddelo
    @mohddelo ปีที่แล้ว

    Safi

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 ปีที่แล้ว +1

    Kaa magufuli huyuuu

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 ปีที่แล้ว

    Huyo ndo makufuli tuliemjua

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 ปีที่แล้ว

    Watu wamenenepa matumbo kwa boda hizi za kyaka mtukula na murongo.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว

    Hiii haitoshi mwl piga chini heshima iwepo

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 ปีที่แล้ว

    Kwanini wezi kama hao mdiwafukuze kabisa kuliko kuwahamisha si wataendelea na hizo tabia zao hizo. Naona ili waajiriwa wa serekali wawe na adabu ya kazi ni kuwatoa kabisa wakiiba, na sio kuhamisha

  • @justinlyelu2658
    @justinlyelu2658 ปีที่แล้ว +1

    Majaliwa wewe ni fundi!!!

  • @JamesNgondo-n5c
    @JamesNgondo-n5c ปีที่แล้ว

    Magufur pekee yake ndiye rais umeme shida pia rushwa kwa kero