ANASTAZIA MKABWA HUO NI UMARAYA UNAFANYA EV PASCHAL AMJIA JUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 154

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 21 วันที่ผ่านมา +22

    Wakiitwa malaya wanakimbilia polisi badala ya kukimbilia kushitaki kwa Mungu😂

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 21 วันที่ผ่านมา +13

    Tukikosa maonyo tutakufa vibaya Acha tukemewe huo ndo uhai wetu

    • @sarahmwasyoge1830
      @sarahmwasyoge1830 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli huo ndo upendo wa kweli.👏👏👏

    • @MaryannAlivitsa
      @MaryannAlivitsa 21 วันที่ผ่านมา

      Very true tujirekebeshe tumrudie Mungu

    • @eliassoingei2046
      @eliassoingei2046 19 วันที่ผ่านมา

      Nakupenda sana mama yangu, Mungu akusaidie uendelee kutunza agano lako na Mungu

  • @mtotojoshuaeliya
    @mtotojoshuaeliya 21 วันที่ผ่านมา +7

    Ninapenda sana vile unavyokemea uovu bila uoga.Mungu wa mbinguni akubariki sana.

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 21 วันที่ผ่านมา +12

    Hii ni sauti yamtu aliaye nyikani , kila pando lisilo pandwa na Bwana motoniiiiiiiii Aminaaaaa ✊✊✊

    • @AnjelaTemu
      @AnjelaTemu 20 วันที่ผ่านมา

      Amina mtumishi Asante Kwa mafundisho Yako juu ya mavazi

  • @mauldmgema9043
    @mauldmgema9043 21 วันที่ผ่านมา +8

    Bro. Paschal Mungu akutumie kwa ajili ya wokovu wa watu wake. Nabarikiwa sana na kazi zako

  • @pastorjanekanini6204
    @pastorjanekanini6204 21 วันที่ผ่านมา +12

    Nakuuga mko mtumishi wa mungu kemea dhambi kabisa

    • @SafiAkinyi8361
      @SafiAkinyi8361 21 วันที่ผ่านมา

      Sasa naona unaitwa pastor na hata haujui jina mungu ni miungu soma Zaburi 81:9 inasemaje kuhusu hilo jina lenye umeandika na mandiko tu mengine kuanzia kitabu cha kutoka mbaka ufunuo wa Yohana soma utaelewa Amen

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 21 วันที่ผ่านมา +4

    Walianza kwa roho, wanamaliza kwa mwili.
    Wahubiri wasije kua kama nyumba ya Yakobo. Wageuke wamrudie Mungu.

  • @LeahroseLeonard
    @LeahroseLeonard 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubariki sana kaka pascal kwa ujumbe mzuri: Maombi yangu MUNGU aendelee kukutunza na kuendelea kukutumia kutukumbusha wana wa MUNGU kuitangaza INJILI ya kristo katika maadili 🙏

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 13 วันที่ผ่านมา +1

    Naacha kuvaa surual kuanzia Leo,kumbe ni dhambi,Mungu nisaidie ,nazichoma zote leo

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 21 วันที่ผ่านมา +5

    Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe.
    Wanatafuta kupendeza watu na kujipendeza wenyewe,wamemuasi Mungu. Utukufu wa Mungu haupo tena bali tuwaombee Bwana awarudishe kwenye zizi lake.
    Ubarikiwe mtumishi kwa kuendelea kuonya kizazi hiki kilichopotoka.

    • @eliamwamatandala
      @eliamwamatandala 20 วันที่ผ่านมา

      Sauti ya mtu aliye nyikani itengenezeni njia ya Bwana Dunia hii inahitaji watu kama ninyi.

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly 15 วันที่ผ่านมา

    Mutumishi wa Mungu ubarikiwe sana Mimi nina amini ss wanawake ni wengi kuzimu wanawake hatusikii hatatuubiriweje MUNGU nisaidiye nipate kushinda mambo yote ya Duniani

  • @LucasLaizer-if2du
    @LucasLaizer-if2du 14 วันที่ผ่านมา

    Piga kelele paza sauti Yako usiache kuwaambia watu wangu maovu Yao sema baba na mungu akutumie

  • @Genie-h9x
    @Genie-h9x 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kufunguliya mtumishi Paschal Cassian. Tatuwa tena baba usiwe nafu wala haya.

  • @furahag3098
    @furahag3098 18 วันที่ผ่านมา +1

    Huu ndio ujumbe wawakati kweli tusipo chunga jehanam itatuhusu wapendwa tugeuke 😢

  • @MaryNgina-k4w
    @MaryNgina-k4w 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hallelujah 🙏

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 21 วันที่ผ่านมา +7

    Ata mimi uwa nashangaa kwnn m2 anaaza vizuri badae anajipotosha kwnn lakn...kuna kifungu nilisoma kw bibilia inasema kuna wakati itafika tutamuacha mungu tufate mambo ya kidunia na ndyo hii ya sasa tunaona

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kujiinua na kusahau MUNGU alikomtoa mie tangu namjua Jenifer mgendi sijawahi kuona kajichafulia jina kama Hawa wengine wanaojiinua

    • @user-cr6fc7nt8k
      @user-cr6fc7nt8k 21 วันที่ผ่านมา +1

      @@AnethSwila-tw9mv Jennifer mgendi yeye ametulia na anajuwa ni nn anafanya siyo kama awa viruka njia

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 17 วันที่ผ่านมา

      Veajabu kama vijuku vyashetani

  • @IbuGang
    @IbuGang 12 วันที่ผ่านมา

    Sana binadamu wanabadilika kwà kweli shetani yupo kazini

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera Mtumwa Ubarikiweee

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 15 วันที่ผ่านมา

    Kwa anastasia mukabwa nimestuka mnooooooo😂😂😂😂hv wanapatwa nann jmn hawa watumishi wa Mungu ALAFU WAKIAMBIWA UKWELI WANAKIMBILIA POLISI KM SHUSHO WALITAKIWA WAKIMBILIE KWA ROHOMTAKATIFU

  • @AnaAna-rb8fh
    @AnaAna-rb8fh 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka paschal uimbaji wa nyimbo za injili sasaivi nibiashara za masrah Yao wenyewe, kuabudu Wala kusifu kwa Leo ni asilimia 20 tu imebaki.

  • @anjelinaAnjela-ip9oj
    @anjelinaAnjela-ip9oj 21 วันที่ผ่านมา

    sema mtumishi japo wengine awkuelewi ila iposiku watakuelewa tu endelea kusema na MUNGU wa mbinguni akulinde utokapo na uingiapo kwa jina la Yesu

  • @deodatusmagagura6793
    @deodatusmagagura6793 21 วันที่ผ่านมา

    Amen. Nakupenda sana na MUNGU akulinde na kukubariki

  • @Leah-mbilizi
    @Leah-mbilizi 21 วันที่ผ่านมา

    A man of God with no fear ❤️

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา

    MUNGU atusaidie sana wanawake tulio wengi sisi kibuli kimetutawala sana nakujiamini pamoja na tamaa Tunaomba mtuombee Watumishi

  • @ShadrakaAthumani
    @ShadrakaAthumani 20 วันที่ผ่านมา

    Ukweli Mimi nakuelewa ev casiani,Mungu azidi kukutetea zaidi najua unavita kubwa Sana lakini Mungu atakulinda Wala hatakuacha kamwe usiogope kuusema ukweli nyakati hizi za mwisho

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 21 วันที่ผ่านมา

    Paschal uko sahihi kabisa hata Mimi nimeona hayo mavazi hayamuwakilishi Mungu kabisa

  • @rebecakikoti374
    @rebecakikoti374 20 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda, ukweli mtupu. Japo inaumaa. Mungu akulinde

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 20 วันที่ผ่านมา

    Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe mwenye masikio amesikia

  • @lilyg2134
    @lilyg2134 18 วันที่ผ่านมา

    UKIMUONA SASA HUYO BINTI YAKE ANAVOKAA UCHI MAPAJA NJE KILA SIKU ...BORA UMEMWAMBIA

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf 20 วันที่ผ่านมา

    Eeee! Yesu Kristo turehemu na uzao wetu 🙏

  • @eliamwamatandala
    @eliamwamatandala 20 วันที่ผ่านมา

    MUNGU akubaliki sana tunahitaji watu kama ninyi katika kizazi hiki.

  • @user-kl6zb6so3i
    @user-kl6zb6so3i 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie tusikengeuke Amen 🙏🙏

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 20 วันที่ผ่านมา

    Saluti mpiga kinanda..unapooza utamu sana❤

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 21 วันที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwaajili pascal upo sahihi Waimbaji badilikeni rudini mlivokuwa mwazo JAMANI heshima kanisa iwepo.mmmh

  • @LillianMunyaka
    @LillianMunyaka 20 วันที่ผ่านมา

    Asante sana nashukuru Mimi mungu wangu

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 17 วันที่ผ่านมา

    Wenye kukuelewa ni wachache mno, lakini endelea kupiga injili mtumishi

  • @abiihellen2822
    @abiihellen2822 14 วันที่ผ่านมา

    Wewe nawe umekosa la kuhubiri ,huna mengine wewe mchungaji mzima huja haya,ivi unapo huburi na ww hujui pia ww kuna sadaka za hao malaya pia unakusanya.hukumu muachie mungu,unamuita mtu malaya wewe ya kwako huyaoni.hubiri neno na sio kushtumu watumishi.nyinyi ndio wale hamna yakuhubiri sasa munatafuta mambo yasiyokuwa na maana, yani utoke kwako tu ukamhubiri annastacia 😂😂😂😂😂una kazi basi

  • @user-zj9op4fb7w
    @user-zj9op4fb7w 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu atuhurumie

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 2 วันที่ผ่านมา

    Ni umalaya na freemason

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 19 วันที่ผ่านมา

    ONYEKENI JAMANI MUDA UKIPITA WA KUONYWA MTAKUNYWEA KIKOMBE KIKIJAA.

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 21 วันที่ผ่านมา

    uko sahihi kwa hili asante kwa ushairi

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv 21 วันที่ผ่านมา

    Biblia inasema nikimwambia mwanadamu utakufa na wewe usimwambie na mtu huyo akafa damu yake nitaitaka mikononi mwako lakini ukimwambia mtu huyo na asipokusikia damu yake itakuwa juu yake na wewe umenawa damu yake...... biblia inasema pia paza sauti usiache wambie watu wangu mwakosa yao

  • @Patience.67
    @Patience.67 20 วันที่ผ่านมา

    Hayo mavazi sio mazuri

  • @AliceNgandu2023
    @AliceNgandu2023 20 วันที่ผ่านมา

    Ina sikitisha kweli walinza kwa Roho wana elekiya kumaliza kwa mwili 😭😭😭😭😭😭😭

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 19 วันที่ผ่านมา

    Acheni kuzoea maonyo kwa JINA LA YESU KRISTO.hii sio sauti ya paschal oh! Ni sauti ya mtu aliayae nyikani Tengenezeni jamani

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 20 วันที่ผ่านมา

    Brother big up isee you difficut with other's.

  • @zacharianyanda5424
    @zacharianyanda5424 20 วันที่ผ่านมา

    Waibaji wa Injili wanawake Shetani anawatumia kueneza upotofu na ukahaba.Mioyo yao waimbaji wa Injili sasa inaelekea ubaya tu kila wakati.Basi wajaze kikombe cha uovu wao.
    Endelea kupaza sauti Ev.Pascal mwenye masikio asikie na na asiye masikio asisikie. Ndiyo maana siku za Nuhu watu wachache waliookoka.

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 21 วันที่ผ่านมา

    Huu ujumbe ulikuwa wake Mungu alimwambia avue hizo nguo yeye hakumsikia vizuri akazani wanamwambia Musa avue kiato.
    Vueni hayo mavazi mkavae mavazi yanayo sitiri miili. Sisi ni nuru ya ulimwengu.

  • @LovenesyMhame
    @LovenesyMhame 20 วันที่ผ่านมา

    Yani naon kam nakuon moyon mwako ambavy unataman watu waijue kwer n waach dhamb man unahubili kwa hisia san mung akubariki n tutend mema

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa Mtumwa

  • @abiihellen2822
    @abiihellen2822 14 วันที่ผ่านมา

    Utafika mbinguni kama umechoka

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา

    Jamani binadamu tumehalibika

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 20 วันที่ผ่านมา

    Wengi wameingia agano na mungu wao shetani ndiyo maana wanafanya mapenzi ya baba yao shetani,paza sauti mwenye maskio atasikia.

  • @user-fy9zl1oq7x
    @user-fy9zl1oq7x 21 วันที่ผ่านมา

    Kamanda wa Yesu💪

  • @estephanowakilwakilwakil6023
    @estephanowakilwakilwakil6023 20 วันที่ผ่านมา

    Naku support saaaaaaana kwa hilo kaka!

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel 21 วันที่ผ่านมา

    Ni mapepo muchafu inawaongoza awa 😭😭😭😭

  • @mwaupinailejeyetu
    @mwaupinailejeyetu 19 วันที่ผ่านมา

    samahani mweshimiwa nakupenda sana naomba mahubili yasiwe ya kusemezana maana wengine wana imani na watu hao samahani lakini mngu awe nawe

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 9 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni muhubiri lazima aseme ,unataka afiche nini?

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา

    AMINA

  • @Magrethw-xp4ru
    @Magrethw-xp4ru 20 วันที่ผ่านมา

    Aaah baba una kasheshe 😂😂😂 umetoka kwa Tony sasa kwa Anna twende mkuyuni kwa Tony utapata hiyo pesa😅

  • @MeshackyMwashiuya-o3p
    @MeshackyMwashiuya-o3p 20 วันที่ผ่านมา

    Kaka kwer huo ni umalaya tu

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 20 วันที่ผ่านมา

    Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe, piga injili watu waokoke achia Mungu ahukumu

  • @MwanahamisiHashim
    @MwanahamisiHashim 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kwel

  • @AshaAshim-gy6jm
    @AshaAshim-gy6jm 21 วันที่ผ่านมา

    Nakuombea kwa mungu akubarik xana kakaang uixhi umri mrefu ukimtangaza mungu, dunia imeixha maandiko yametimia, mollah wetu atunuxur juu ya haya Amina,,

    • @SafiAkinyi8361
      @SafiAkinyi8361 21 วันที่ผ่านมา

      Jifunze kuandika jina la MUNGU kwa herufi kubwa mungu ni miungu tafadhali Amen

  • @AyubuJuma-df4pn
    @AyubuJuma-df4pn 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,
    Hapo nimepata somo

  • @Isaya-Anosisye
    @Isaya-Anosisye 19 วันที่ผ่านมา

    kaka video haionyesh hapa nifanyeje

  • @ukweliwanenokatikahili7526
    @ukweliwanenokatikahili7526 20 วันที่ผ่านมา

    Hahahaha 🤣 Wachape Baba , Nitakua nachukua nafasi ya kukuombea

  • @Ursain.IKE.jesuis9365
    @Ursain.IKE.jesuis9365 19 วันที่ผ่านมา

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kweli Baba 👏👏👏

  • @Ursain.IKE.jesuis9365
    @Ursain.IKE.jesuis9365 19 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏 kabisa baba

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา

    Sana Baba

  • @RizikiWisongata
    @RizikiWisongata 21 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @MakaliusNgua-vb5sb
    @MakaliusNgua-vb5sb 20 วันที่ผ่านมา

    Yani sijuwi tunakwenda wapi nyimbo za sasa hazina tofauti na za kidunia

  • @cosme-h8e
    @cosme-h8e 21 วันที่ผ่านมา

    Gog bless

  • @Apostledanielsmith2543
    @Apostledanielsmith2543 19 วันที่ผ่านมา

    Hapo nikweli kabisa

  • @MeshackyMwashiuya-o3p
    @MeshackyMwashiuya-o3p 20 วันที่ผ่านมา

    Huoo ni umalaya

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 19 วันที่ผ่านมา

    Mhuuuuuh hatari

  • @estherbettyfavour
    @estherbettyfavour 20 วันที่ผ่านมา

    Hakuna aliye mkamilifu, badala ya kuhubiri dhambi mhubiri Yesu ndio suluhisho tosha!!!

    • @stevenkipara9310
      @stevenkipara9310 20 วันที่ผ่านมา

      Soma mandiko wewe

    • @estherbettyfavour
      @estherbettyfavour 19 วันที่ผ่านมา

      @@stevenkipara9310 Wewe soma kwanza, nyinyi ndio mafarisayo wa Leo.

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@estherbettyfavourupo nyuma sana soma biblia kilasku uku ukimuomba MUNGU loho mtakatifu atakuongoza kujua ulimwengu unaendaje 🙏

    • @estherbettyfavour
      @estherbettyfavour 19 วันที่ผ่านมา

      @@FestoJemsi-lr8pw Je wewe umekamilika? Hivi hayo ndio mahubiri ya jumapili? Mtu asimame kuhubiri Anastasia badala ya kuhubiri Kristo. Toa kwanza boriti Kwa jicho lako kisha utoe kibanzi Kwa jicho la mwengine.

  • @hanagango6922
    @hanagango6922 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu aturehemu

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 19 วันที่ผ่านมา

    AMEIN

  • @Leah-mbilizi
    @Leah-mbilizi 21 วันที่ผ่านมา

    ❤️❤️

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 21 วันที่ผ่านมา

    Wimbo wa zaidi ya miaka 10.ndio.munaongelea leo?Wajuaje kama watu wametubu na kubadilika usihukumu usije ukahukumiwa

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 21 วันที่ผ่านมา

    Waaambie ukwel..pesa ndyo zimeaingia..

  • @Elizabeth-777-r3p
    @Elizabeth-777-r3p 21 วันที่ผ่านมา

    Huruma sana

  • @jossymwambe7889
    @jossymwambe7889 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli usemwe
    Ongea yote mtumishi wa mungu

    • @SafiAkinyi8361
      @SafiAkinyi8361 21 วันที่ผ่านมา

      mungu ni miungu ndugu yangu soma bibilia yako kutoka mwanzo mbaka ufunuo wa Yohana ama soma Zaburi 81:9

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 21 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh yaani

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 2 วันที่ผ่านมา

    Ni kahaba

  • @MapendoManiraguha
    @MapendoManiraguha 21 วันที่ผ่านมา

    God forgive us

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 20 วันที่ผ่านมา

    Sielewi hao wadada wanamwimbia nani

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 20 วันที่ผ่านมา

    TUSOMEE PALE PALIPOANDIKWA MALAYA.

  • @AMINAJOHN-tx5eb
    @AMINAJOHN-tx5eb 20 วันที่ผ่านมา

    Safi sana kaka piga kelele

    • @dorcasmukhanji5231
      @dorcasmukhanji5231 20 วันที่ผ่านมา

      Nauliza wakati bibilia inaandikwa kulikuwa na marazi au water walivaa ngozi tafadhali nijibu

  • @mwikalicatherini6092
    @mwikalicatherini6092 21 วันที่ผ่านมา

    Waaambie Tena na Tena kaka

  • @LucyWilliam-qd1ui
    @LucyWilliam-qd1ui 19 วันที่ผ่านมา

    Mtu akivaa kimin amtaki mtukivaa suruali amtaki mnataka vip ama unataka mtu avae nguo inaburuza chini mpaka anguke

  • @irmichaelmbabaziheritier8416
    @irmichaelmbabaziheritier8416 21 วันที่ผ่านมา

    Heeeee n'a shangaaa tu

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wa dada hata waume zao awaoni wivu ?? Wakezao wanatubaka ki hisia 🤔

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 21 วันที่ผ่านมา +1

      Na waume zao wote ni maajenti wa kuzimu kwa hiyo wanakamilisha walichotumwa kufanya. Ila Yesu anawaona wasipotubu watashangaa watakaposiki ondokeni siwajui.

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 21 วันที่ผ่านมา

      😂😅

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 21 วันที่ผ่านมา

    Kabisa Malaya kwel kwel Tena Malaya la sodoma na gomora pepo lililovaa ubinadam

  • @zionfahariofficial2057
    @zionfahariofficial2057 20 วันที่ผ่านมา

    Wewe sio muhukumu wa haki,Tazama Familia yako maisha ya wenzio yatakunyonga,

    • @yuzzob
      @yuzzob 20 วันที่ผ่านมา

      Okoka

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 19 วันที่ผ่านมา

      @@zionfahariofficial2057 huna neno pole MUNGU AKUSAIDIE soma biblia kilasku uku ukimuomba MUNGU AKUSAIDIE ufaham wako

  • @ZinjaLashes
    @ZinjaLashes 20 วันที่ผ่านมา

    Kwani wewe kutwa kusema wenzio kwani wewe umekamilika?

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 19 วันที่ผ่านมา

      @@ZinjaLashes MUNGU AKUSAIDIE soma biblia kilasku uku ukimuomba MUNGU AKUSAIDIE

  • @QueenAndia
    @QueenAndia 21 วันที่ผ่านมา

    Na sisi ambao tumeajiriwa na makampuni tumewekewa sheria ni lazima tuvae sare za kazi na ni tishati na suruwali wake kwa waume kwa ujumla wanawake ambao tumeajiriwa na sekta ya polisi ama kampuni na tunava suruwali sote ni malaya?

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 21 วันที่ผ่านมา

      😢hapo hamvai kwa hiari yenu kikubwa ni katika yake YALIYO katika uhuru wakoako mwenyewe

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 21 วันที่ผ่านมา

      Kwani Daniel na wenzake walipopewa chakula Cha Mfalme Nebukadneza alifanya Nini? Kwa Nini ninyi wakristo hamuwezi kutetea Imani yenu? Ulishawahi kuona mwislamu akavuliwa ushungi hata kama Kuna Sheria?

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk 21 วันที่ผ่านมา

      Chagua njia moja maana Mungu anasema huliangalia Neno lake apate kulitimiza, kwahiyo sisi tunatakiwa kutii Neno la Mungu sio kutii maagizo ya wanadamu wokovu ni kuchagua.

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 21 วันที่ผ่านมา

    Huu ni ukahaba.sodoma na gomola.

  • @AdamJonas-sx4mi
    @AdamJonas-sx4mi 21 วันที่ผ่านมา

    Ee kakanzu kako baba kameendandana na kakipala kako hako jamani.

  • @user-iq7ky5vj7r
    @user-iq7ky5vj7r 16 วันที่ผ่านมา

    Mbona mnaacha kuubiri injili mnaubiri watu ,,maisha y mtu yanakuhusi nn