PATANISHO : MAUREEN - MUME WANGU AKO NA SUGAR MUMMY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @juliusmoga4340
    @juliusmoga4340 18 วันที่ผ่านมา +1

    Another reason why we must work hard to educate our daughters.

  • @aishaabdoul7649
    @aishaabdoul7649 ปีที่แล้ว +20

    Moreen tafta KAZI achana n'a hii ghasia

  • @JaneWambui-uh6pv
    @JaneWambui-uh6pv ปีที่แล้ว +45

    I also passed through the same but maombi ilinisaidia sana but usiwai onyesha mwanaume you are very desperate he will mistreat you vibaya

    • @lilian2660
      @lilian2660 ปีที่แล้ว +3

      Kabisaa, mm nilitoka kabisa sahi vile amesikia niko saudia ndio anajibembeleza kwa familia yangu

    • @Amira1977-y
      @Amira1977-y ปีที่แล้ว +3

      MIMI PIAAAAAA!!!!! NILITOKA KITAMBO NA WATOTO WANGU!!!! SAA HII TUKO SOTE GERMANY NA SECOND HUSBAND!!!!! VERY VERY LOVELY AND RESPECT MAN!!!!!

    • @apt158-l8f
      @apt158-l8f ปีที่แล้ว

      ​@@Amira1977-yme too that's what happens to me he send my clothes through transline, thank God am in USA Texas independet.

    • @sirasi1889
      @sirasi1889 ปีที่แล้ว

      Exectly dear I moved out with my kids last born was 5 months now 4 years after no call ever since thank God 😊

    • @sylviawangila9438
      @sylviawangila9438 ปีที่แล้ว

      ​@@lilian2660mwambie apeleke mahari kwanza from there aende ajenge nyumba yenu kama hamkuwa nayo then ajipeleke Attorney general office to officiate your marriage remember ukiwa hapo hammam Saudi usiwahi mtumia hata shillingi

  • @mutheu5233
    @mutheu5233 ปีที่แล้ว +7

    Huyu Elias ni mtiaji sana, Maureen move on na usahau huyu mwanaume

  • @irenekinuthia2966
    @irenekinuthia2966 7 หลายเดือนก่อน +1

    I will keep teaching my Daughters Selflove and will always be there for them.

  • @nellycheptoo5854
    @nellycheptoo5854 ปีที่แล้ว +2

    iwish her mum could empower this innocent girl, woi asirudi, kenye ataenda kufanyiwa ni mbaya zaidi

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +5

    mtihani daah wanawake tunavumilia mateso na adhabu kwa maisha magumu

  • @sirasi1889
    @sirasi1889 ปีที่แล้ว +4

    True meaning of being desperate lady 😢😢😢😢

  • @reginaamoo6530
    @reginaamoo6530 ปีที่แล้ว +4

    Aki this thing called love 😂😂😂😂

  • @maureen2375
    @maureen2375 ปีที่แล้ว +11

    Huyo jamaa anakaa mtu wa madharau and he don't even care😢😂😂

    • @lilian2660
      @lilian2660 ปีที่แล้ว +1

      Ju ya mama mbinya🤣🤣

  • @LilianTulaj
    @LilianTulaj 14 วันที่ผ่านมา

    Somesheni waschana wenyu wajitegemee maisha ya baadaye with or without the so called Husbands,poverty ni mbaya imaweza tuma mtu jela or Kaburini
    Love yourself should be the first priority

  • @sheilajelagat4968
    @sheilajelagat4968 ปีที่แล้ว +6

    Tafuta ata kazi ya umaid my sister, mapema ndio best and you will never regret in your life kuliko kurudi kwa shida , that man will mistreat you knowing that you have no where to go, come on please 🙏🙏🙏🙏 wake up don't sleep

  • @wambuinyaga9106
    @wambuinyaga9106 ปีที่แล้ว +2

    Women know.your worths kindly...Eish,

  • @virginiakerubo
    @virginiakerubo ปีที่แล้ว +4

    Why can't you focus on your child instead of focusing yourself on a man who does value you in his life

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 ปีที่แล้ว +6

    Hapo hakuna ndoa. Mwanaume jeuri. Violence iko kwa sauti

  • @unitedsupply6371
    @unitedsupply6371 11 หลายเดือนก่อน +2

    Heheheeeee Gidi you don't understand, Maureen ana enjoy bedroom department 😂😂😂😂, but sincerely life is hard na ame choose her hard unfortunately it may be painful 😢

  • @supu1237
    @supu1237 ปีที่แล้ว +7

    Mama ndinye Wacha kwaribu nyumba zaa watuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 ปีที่แล้ว +27

    I wish that lady would know her worth. She sounds so desperate. It's unfortunate.

  • @mamamalaika4413
    @mamamalaika4413 ปีที่แล้ว +3

    Dada wacha ku depend on a man. Sasa ukirudi utakipate😢 Sad

  • @maureennanga7451
    @maureennanga7451 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maureen acha ujinga move Onn what's wrong ama Ni power of mujulus😂😂😂

  • @lucciamutuku4523
    @lucciamutuku4523 ปีที่แล้ว +11

    Wueh yaani bado kuna wanawake wanaeza bembeleza mwanaume hivi..nijikute..over my ass

  • @BlessoPresious
    @BlessoPresious ปีที่แล้ว +4

    Never show a man you desperate to be with him. Value yourself more to walk away before things go worse.. Next akikupiga kipigo cha kukulemaza Utakuwa Umegain nini

  • @veronicaachieng8652
    @veronicaachieng8652 ปีที่แล้ว +10

    Ever gal should be empowered and independent and shown to have self esteem and self worthy of themselves .dont blame her maybe she saw her mum go through this now she thinks is part of life

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b ปีที่แล้ว +4

    😂jamaa ana kazi nzuri upande wa mjujulus😂😂 lakini moreen tafuta pp utoke Inje atafute doo, itaishi poa lakini kutegemea mume ni sumu jtapitia

    • @Kelly-sv2tz
      @Kelly-sv2tz ปีที่แล้ว

      Eti jamaa ana kazi nzuri mtaani Mjulus? Mjulus iko county gani Kenya? Sijasikia huo mtaa.

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee ปีที่แล้ว +5

    Maureen enda online ujitaftie ata gofundme kwani huku soma ,mtoi mmoja utapenya woi women we suffer

  • @richardmwangi-o6r
    @richardmwangi-o6r ปีที่แล้ว

    Wapi Abdallaaaaah😄

  • @marrieann5278
    @marrieann5278 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maureen! Forget about that man and move on stop forcing yourself on him,hakupendi

  • @johnodegindege6056
    @johnodegindege6056 ปีที่แล้ว +2

    Kusaidia wanawake ni ngumu sama

  • @bikoflavious2903
    @bikoflavious2903 11 หลายเดือนก่อน +4

    This lady is just poor ...she Just want to survive... hawezi lipa bills... please ladies tafuteni pesa kwanza...
    You have said the man is violent...what if akuuwe ???

  • @judithphiliptvKenya
    @judithphiliptvKenya ปีที่แล้ว +7

    Mama ya huyu mwanaume ndiye anaharibu ndoa ya kijana yake ..... Elias Ni mpumbavu

  • @rosemarywanjiku6893
    @rosemarywanjiku6893 ปีที่แล้ว

    Kitengela finally tumefikiwa

  • @melvinjabeya3840
    @melvinjabeya3840 ปีที่แล้ว

    Ghost🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jameni tuliaaa huonei gidi huruma 😂😂😂😂😂

  • @PurieJoe
    @PurieJoe ปีที่แล้ว

    Woiyeee the lady 😢😢😢😢

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +4

    Maureen unakwama kama kupe, mjamaa hakutaki

  • @Mamajoy-l1f
    @Mamajoy-l1f 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha niteseke Tu but kurudi Kwa mtu ananidhulumu zii

  • @maimunapili1416
    @maimunapili1416 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maureen please kam Dubai Wachana na story ya mapenzi

    • @unclejonah7350
      @unclejonah7350 10 หลายเดือนก่อน

      So Dubai ndo mnaenda mkishindwa na ndoa

  • @carolinekagwina1539
    @carolinekagwina1539 หลายเดือนก่อน

    Mbiinya ni mbaya 😢😢😂😂😂😂

  • @Maggie824
    @Maggie824 11 หลายเดือนก่อน

    Usirudi😂😂😂

  • @eunicewambui9217
    @eunicewambui9217 ปีที่แล้ว +2

    Mama mbinya wewe mama rembo umemulikwa patanisho 🤣

  • @anitapendo6201
    @anitapendo6201 23 วันที่ผ่านมา

    Despacito

  • @mosesmusa5193
    @mosesmusa5193 ปีที่แล้ว

    huyu mwanaume ako na bahati sana

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 10 หลายเดือนก่อน

    Aki ivi ndo mwanaume atakudharau adi mwisho 😢tafta kazi lea mtoto wako

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢 utangolewa meno,kumbe ujui mwanaume mwenye Ako na mpango wa kando, tafuta kifo😢😢

  • @Julieshii8640
    @Julieshii8640 ปีที่แล้ว +7

    Aki walai mimi siwezi bembeleza mwanaume ivo.kwani huyu dame yuko desperate aje?God tu amkumbuke.

  • @wanjiruciru6237
    @wanjiruciru6237 ปีที่แล้ว +4

    I hope she breaks free of the bondage😢Eti nitavumilia tu🤦🏾

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 ปีที่แล้ว +7

    Nini mbaya na huyu Mwanamke?
    Anarudi kufanya nini?😢🙆🏽‍♀️🤦🏽‍♀️ hio sio mapenzi, hio ni upuzi na Desperation.
    Kweli nyani haoni kundule🙄

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b ปีที่แล้ว

    Mulei napenda shirt AKO Sana iko poa

  • @velma798.
    @velma798. ปีที่แล้ว +8

    another reason to own a passport in kenya

    • @Maksomwesh
      @Maksomwesh ปีที่แล้ว

      @velma u can be in Kenya an u make it si lazima Saudi

    • @velma798.
      @velma798. ปีที่แล้ว +2

      @@Maksomwesh who said saudi?

    • @virginiakerubo
      @virginiakerubo ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @angiejacks1835
      @angiejacks1835 ปีที่แล้ว +1

      And do what ? Go to Saudi Arabia mutaptata akili lini 😂.Mkiambiwa msome mjiajiri hamskii .Most of these type of women are school drop outs ,limited thinking they chose men over education or any other way of empowering themselves .

    • @angiejacks1835
      @angiejacks1835 ปีที่แล้ว

      Ati who said Saudi Arabia si huko ndo nyinyi huenda kuteseka

  • @cindyokomba3536
    @cindyokomba3536 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂if being desperate was a person 😂😂😂😂

  • @shemtina2274
    @shemtina2274 ปีที่แล้ว +2

    The desperation in this Country from women is on another level,,,,Utapenda aje mtu evidently amekuonesha hakupendi surely & on top he ain't providing???

  • @ochiengodhiambo
    @ochiengodhiambo ปีที่แล้ว +5

    Yaani Maureen U know all that then U want to go back....... something is very wrong with your reasoning capacity.Get financially empowered n leave the guy alone.

    • @lilian2660
      @lilian2660 ปีที่แล้ว +1

      Atauliwa huyu sasa, ajielewi akona jokes mob she's not mature enough

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k ปีที่แล้ว +5

    Wacha ku force issue morreen heri uzima kuliko kichapo huenda ukipata mahumivu mwisho wa siku ikuwe kiwete

    • @lilian2660
      @lilian2660 ปีที่แล้ว

      Si Akam saudia wengi wako huku na wanalea karibu watoto tano yy mmoja awezi mshinda

  • @CatherineAmudala
    @CatherineAmudala หลายเดือนก่อน

    Mm sijawai kuwa kwa ndoa ndo nijue venye huwa kunaenda but kama mwanadada ameamua kurudi kwa mume wake acha arudi

  • @aishajuma3610
    @aishajuma3610 10 หลายเดือนก่อน +1

    Gidi wacha huyo mwanamke aonge.coz niukweli inatengeneza

  • @carolinendwiga
    @carolinendwiga ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂ahh

  • @Mamawesley
    @Mamawesley 8 หลายเดือนก่อน

    Unaona vile kifo inaitanga mtu 🤣🤣🤣🤣

  • @georginak4795
    @georginak4795 2 หลายเดือนก่อน

    All the red flags are there. However, she still wants to go back. Something is a miss here.

  • @annandrew2000
    @annandrew2000 ปีที่แล้ว

    Women should get empowered

  • @moreh462
    @moreh462 11 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wakamba watamalisa watu aki

  • @aggreyomusikoyo
    @aggreyomusikoyo ปีที่แล้ว +1

    Patanisheni Ali mkhwana na Rose muhando giddy na gost kuna kafare kamekulwa mahali😢

  • @wapower
    @wapower ปีที่แล้ว +3

    How can i get this lady nimtafutie job aki she is desperate

    • @wambuinyaga9106
      @wambuinyaga9106 ปีที่แล้ว +2

      Hata umtaftie mtu desperate ni desperate tu na mapenzi...nikama wazimu

  • @westheguitarist8546
    @westheguitarist8546 ปีที่แล้ว

    Hakuna kuharibu Gidi, kufa makanga, kufa dereva

  • @b.3940
    @b.3940 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ndoa ilikuwa kama ndrama kama vindio. Eti jamaa alirusha ngotha za bibi nje watu wa plot wakiona? I hope hizo ngotha hazikuokotwa na wamama wa plot.

  • @zuritash8799
    @zuritash8799 ปีที่แล้ว +1

    Maureen kwani hujipendi tafuta kibarua hata kama niku fulia watu ulee mtoto wako juu utaukiwa na huyu mtu bure

  • @chzacrazy4285
    @chzacrazy4285 ปีที่แล้ว

    N kama Mwanadada bado anampenda Elias na anataka abadilike ili warudiane

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂this woman is so desperate.i can never force my self

    • @Ms.Namwasi
      @Ms.Namwasi ปีที่แล้ว +1

      Uyu dem atafute kazi apate pesa yake aache ujinga

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee ปีที่แล้ว

    Aki ili libwana natakikana pia apigwe siu jitaftie usijileetee shida ,maugonjwa ziko mara kupigwa.

  • @janewaruchia1992
    @janewaruchia1992 ปีที่แล้ว +3

    She is this desperate 😢😢😢

  • @mercyamagove8354
    @mercyamagove8354 ปีที่แล้ว +3

    Sorry for saying this, but this woman has a problem 😮

  • @Amira1977-y
    @Amira1977-y ปีที่แล้ว

    ATAFUTA MIMBA NYENGINE TUUUUUUUU!!!!!

  • @hillahmwesh4861
    @hillahmwesh4861 ปีที่แล้ว +1

    Hii yote inaletwa na kukosa your own money. That's all.

  • @zacharyayaga6661
    @zacharyayaga6661 10 หลายเดือนก่อน

    Maureen kaa na mama yako. You need to mature

  • @EuniceGayanzi
    @EuniceGayanzi หลายเดือนก่อน

    Moreen tafuta job wachana na yeye akae na uyo shosho

  • @tumisiokonyo1028
    @tumisiokonyo1028 8 หลายเดือนก่อน

    Digi do you guys follow up on these cases after patanisho. This girl needs to be help apate kazi. Otherwise hukuna ndoa hapo. Atapigwa hata zaidi. The arrogance in the husband's voice mmmmh!! Poor girl child.

  • @plangatkirui
    @plangatkirui ปีที่แล้ว

    Gidii ukona wivu, mtu anataka kurudiana na mtu unamwampia hasirudi uko ovyo kbsa, siesi leta patanisho kwako nakasirika sana

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +1

    Arrogance ya huyu baba is on another level

  • @gracewangari8121
    @gracewangari8121 ปีที่แล้ว

    Io sauti ni ya a lazy lady mwenye hataki kuchoka😂😂😂eti mama mbinya ako na duka😂😂😂ebu rudi ushindange kwa nyumba juu you are lazy...ata mamako aezi kushauri😢😢😢uyu mwanamke ameniudhi🚮🚮🚮mtoto mmoja tu hivi anaeza kushinda😢

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql ปีที่แล้ว

    Kama.ni shosho.gid kubali.ishe.hpo.hakuna.ndoa.hyo bwana ni mkora

  • @bossb8989
    @bossb8989 2 หลายเดือนก่อน

    Match made in hell

  • @SuzyMukhawana
    @SuzyMukhawana 11 หลายเดือนก่อน

    Mourine is not serious with his life,nowdays ukijua mwanaume anacheat too much w mwaache. n usonge mbele

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 ปีที่แล้ว +4

    STUPID WOMAN…..HANA WATU WAKUMSHAURI…!!!? Even her mum…🤷🏻‍♀️🤷🏻‍♀️ SHE IS SOOOOO DESPERATE AKILI NI IMEJAA MAJI….. HAJITAMBUI ☹️☹️

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 ปีที่แล้ว +1

      Just lmgn kazi ya mwanamke mzembe yani uvivu haezi tafuta pesa

    • @gracewangari8121
      @gracewangari8121 ปีที่แล้ว

      Anashindwa na mtoto mmoja😂😂😂😂😂😂😂😂 she is lazy thats y....ata mamake mzazi aezi mshauri ama pia yy anavumilia😂😂😂

    • @debbiethomas9825
      @debbiethomas9825 ปีที่แล้ว +1

      @@gracewangari8121 imagine angekuwa na watatu.......!!! Wanne 🤷‍♀️ ataenda apigwe amisstreatiwe atavumilia mpaka akufe na apoteze muda na ujinga..... katoto kamoja tuu kanakushinda...... ☹️☹️ MJINGA KABISA GASIA....

    • @angelatwist8085
      @angelatwist8085 ปีที่แล้ว

      ​@@gracewangari8121mmoja si kitu wewe, kwani wewe ukona wa ngapi?

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 ปีที่แล้ว

      ​@@angelatwist8085😂😂😂swali zuri sana

  • @janewaruchia1992
    @janewaruchia1992 ปีที่แล้ว +1

    Women

  • @valentinanechesa9013
    @valentinanechesa9013 9 หลายเดือนก่อน

    Maureen is not serious, too much talk

  • @mercyrerimoi7220
    @mercyrerimoi7220 ปีที่แล้ว

    Hehe wewe angalia mbele ufanyiwe madharau na bado unarudi....hey huyu anataka zile viboko za kifee Wacha ujinga

  • @juliahmuthoni-wp5df
    @juliahmuthoni-wp5df 10 หลายเดือนก่อน

    Maureen just move on with your life

  • @melvinjabeya3840
    @melvinjabeya3840 ปีที่แล้ว

    Desperate woman lea mtoto wako wewe mwanamke wacha ujinga...mtu akuonyeshe madharau and you still begging nkt

  • @mercylinmoraa6229
    @mercylinmoraa6229 10 หลายเดือนก่อน

    Self-esteem ni kitu important saana mamaa unataka kurudi kuchapwa,why are u so desperate kwanza atakuletea magonjwa ,one kid unaeza lea mwenyewe..learn kujipenda dump that idiot n move on kwanza he sounds like an illiterate

  • @celestineamwayi8629
    @celestineamwayi8629 18 วันที่ผ่านมา

    Girls Don be desperate