PATANISHO : SITAKI NDOA TENA NIMETOSHEKA NA YALE NIMEJIONEA KWA HII NDOA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Hakuna siku singles wanabomoa ndoa ya mtu infact they are good advisors but wale wameolewa huwa wana admirer life ya singles,i was once a single woman those women used to come for my advice and i was encouraging them to stay strong in their marriages am happy God remembered me saa hii niko kwa ndoa,huyu Catherine ashapata mwanaume mwingine thats why hataki so jamaa amove on
Audacicty ya kumpeleka msichana wa watu radio jambo na umeishi naye 10yrs bila kujitambuliza kwa familia yao.mchezo sana
Aki, the audacity!!
Imagine
Men take serious dowry......this is very tradition and blessing to your family
Jamaa analima shamba ya wenyewe for 10yrs na bado unapeleka bibi Radio Jambo 😂😂😂😂😂😂😂
His confidence though😅😅
But huyu mwana dada atakam kuregret baadaye hata venye huyu mwanamke anaongea huyu mjamaa akumkosea but God is in heaven
Umejuaje hakumkosea 😂😂😂😂huyu ndume shida yake ni mdomo mrefu 😂😂😂😂😂😂huyu ni wakuongea the whole night 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mungu anaona tu haina shida,,,
Regrets is like grandkids it comes later always
Paul naona ni kama alikuwa haheshimu huyu mama. Mwanaume anaishi nyumba moja miaka 10 na hajaenda kwao?
@@b.3940 Kwanza ako na bahati alionyeshwa madharau kwa tribe yangu uoe msichana wa mtu for ten years haijaenda hata kijitambulisha kwao, then unfortunately mkosane dem arudi kwao alafu ndume na kiherehere amfuate huko,,, heeee anaeza gongwa kugongwa atolewe makamasi yaliofunika ubongo ten years down the lane hujulikani kwa kina bibi,,,,, that's a joke
Aaaa weeee kuregret gani sasa
Radio jambo hushikia wapi embu nyeri na kirinyaga
Madam karibu sana kwa umalaya😂
Ghai 😂😂😂😂😂😂
Atu join mara hiyo hiyo 😂
Naomba fika kwa channel yangu pia
Hii maneno ya kuchagulia bibi marafiki sioni kama iko sawa aki, infact inaharibu ndoa
Kicheko ya huyo jamaa hunimaliza😂
Wanaume hutharau Saan single mothers but they are the best
Single moms are focused married women company is worse coz vitu hao huongea Yesu na maria wanajua
Sio wote
It's Catherine's tonal variation for me😅
Company ingine ya married women ata ndio mbaya zaidi. They hate marriage, they hate their in-laws hata its better kushinda na single mother mwenye ako focused in life analea
Ghost,hiyo NO. bad company can be from anyone.dont discriminate.even the one claiming to be misled can be a bad influence, too.
I support
🎉
Wueh
Lakini ni heri huyu mwana dada aelewe shida za tumbo za Paul. Hebu imagine kama ameenda kwao halafu anaaza kuhara hara jikoni ya mama mkwe na kuna wageni.
Single mtu hujipata...ata wewe unaeza jikuta remain humble
Marriage is all about patience and tolerance but when you engage other people in your marriage it won't work. Let people advice you but not to a decision for you
wanaume wenzangu hawanaga sababu ya kukosa
Huyu akijua sisi single mothers ni sisi husimamisha hizo marriages zao anaweza tupigia magoti kutuomba msamaha, anyway sasa ajinyonge he has joined the club"mcheka kilema ata kwao kipo"tafuta wheelchair usukume ukilema wako kababaa
Si aseme single mom wanampendeza😂
Huyu jamaa ako na machungu saana,atau HUYO mama Soo heri wakae kando kando
Nimeona hivo
I really hate Ghost’s laughter and I’ve never understood how people are happy about it
He is so insensitive at times
This guy says he has had a stomach problem for 7 yrs and Ghost bursts out laughing
Very insensitive 😢😢
Wewe peleka makasiriko huko kwa family meetings,,this laughter is what makes the program complete
The laughter wraps it up
Bila Hiyo kicheko hatuskizi Patanisho...... Enda Skiza Your Fellow Ancestors na Uachane na Ghost kabisaa!!!....
Gasia
Ghost makes patanisho fantastic
Mnipee namba ya Paul, Paul kama unaona hii reply back
😅😅
Kwani single mother wana nini sio watu
Most singles mislead the married ones obviously cz of jealousy etc
I don't think so mimi i always tell married woman to kushikilia ndoa zao coz being single is not easy
😹😹😹😹wivu ya nn first of for u need to now mabibi zenu really admire our life ,,,, wivu na vile married people hukaa vibyaaaa
😃😃😃hii shida ya tumbo ilitoka wapi jamani ikafanya paul asiende kusema niyeye ako na msichana wawatu
😂😂😂😂
Kijana amewekewa kamutii he can't marry another women.
Sasa aingie kikundi ya singles bibi hana
😂😂😂😂
Kwani single mom ni sumu kwa huyu jamaa🤷🤷
Huyo jamaa ajipe shuguli
Huyu mwanaume ni kisirani, kuruka ruka tu kwa maneno, hawa ni wale huongea hadi asubuhi
I'm a 36 yrs old single mum of three kids I need single matured man between 39 to 44
Ghost unachekelea mgonjwa
That man is a child
Ghost leo umeniamgusha. If someone is idle surely and maybe hao single mothers ndio wako karibu...mtu ajifungie kwa nyumba?? Huyu Ni controlling man . Afungulie mke biashara awe busy.
eeh why should u sit with single mothers?
😹😹😹😹😹😹huwa tunakulana