PATANISHO : MILLICENT - ATAFUTE MWINGINE APEE MIMBA PIA ARUKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2023
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Uzuri Millicent wanamua mara moja si wali wakushinda wakililia bwana pongezi kwako milly
Sijawahi ona mwanaume mjinga kama huyu hajui miaka yake
😂😂😂😂Millicent namec. Pambana tu na life yako. Uyu Francis ame changanyikiwa Sana
Mwanaume mburukenge huyo. Kula ujeuri. I support the lady 😂😂😂😂
Napenda msimamo wa Millie sana,,may God be with u Millie
Wewe ni mjinga sana. Hakuna kitu kwa kichwa yako
Nakubalina na uamuzi wa Milicent just move on mommy utapata anayekufaa maishani
Millicent u are a strong woman move and never look back
🎉😂😅 huyo jamaa hana msimamo
the guy 😂 doesn't know when he was born means he is very confused boychild....I applaud that girlchild Millicent for showing her stand 😂😂😂😂
Wanaume wachosha sometimes ukitoka ndio anajua muhimu wako milly good job sana nilikua kwa ndoa uko kenya niko na watoto watu lakini nklimufu in niko Saudi Arabia kusomesha watoto wangu nae ameoa karibu wanawake kumi na bado kubata muvumilivu akama mimi sai anageseka yote nashukuru mungu kwa yote mungu asaidie all single mother thanks Gidi na Ghost much love from Saudi Arabia
wah hiyo ni noma sana
Millicents leave na hatupendi ufala 😅😅i just left with 3 kids till today cjarudi nyuma nasirudi gud job milly
😅😅😅😅Yes mwambie sie ni wale strong mothers.. 15yrs mpaka mtoto ako Sec na bado na move on
Who cares,lea watoto wako na amani
Millie,good job❤😂😂😂
Huyo Mwanaume n Chizeee hahahaha ajui miaka yake aje🤷♂️
Imagine 😂😂😂
Huyu jama ako serious kweli yawa😅😅
Jamaa shenzi sana huyo!! 😠
Hiyo Haina come back 😅😅😅
😂😂😂
Ati jamaa hatembei na ID!! Ustress fella!.. hajijui bwana!!😮😮😮😮
Wakenya mjege Kenya radio jambo
Huyu ni mapepe hajui umri wake jamani mtihani mkubwa huu 😮😮
Aki watoto wasikuhizi,a hubby who doesn’t know his age not serious.
Atafute Mwingine Apee Mimba pia Aruke It's funny but its really painful💔✌️i love you gal 💗keep going 🥰
Hiyooo ndio dawa ya wanaume
Huyo mwanaume anaboo,feel appreciated Millie for moving on and may God see you through na mtoto wako,
Ghost mchekeleee akitaka alie
Wah jamaa ako na kauongo na pia hajijui anajifanya mjanja huyo
Mtu wa 20 years ashaoa na ata hakajui miaka kashenzi😅😅
Milli amove on aachane na huyo bwana waaah amenimalizah adi!
Huyo jamaa ni mlevi tayari,i can tell😂
St. Francis ana mambo.
Niandikie tuzungmze nataka mschana Ako nakazi Tena alisoma
GIDI BELIEVE ME!!!!!! MAISHA STRESSSSS TUPUUUUU!!!!!! AMESAHAUUUUU
uyu jamaa anafaa kofi moja yakishua arudi factory reset.......ata hajui miaka yake na ameoa😂😂😂
Huyu mwanaume hajielewi na kuna kitu anaficha
Kwani Naishi dunia gani jameni jamaa hajui miaka yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gidi leo pia amecheka kwli😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 hii ni kali
Huyo mwanamme aoe type Yake( yaani chokora)
Huyu mwanaume hata hajielewi coz for the first tym hajui miaka yake hajui alizaliwa ln n kichanganyikio tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaan hata mtoto wa miaka tatu anajua ako na miaka ngapi hii n maajabu
How did Millicent even end up with such a foolish compound idiot🤔🤔🤔. Yaani hiyo kichwa ni kama haina akili hata kidogo. Ukweli common sense is not as common as we believe.
Huyu Francis ata hajui kuongea
Huyo ni mlezi😂😂
Huyo ni mlevi😂😂
Nafeel hawa wawili(millie n francis) kama wanatucheze
Pia mimi aki
😂😂😂😂😂😂 he is confused
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
😁😁😁😁🤔😁😁
Hahaha 😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
Deadbeat loading a few years
Millicent hatupendi ujinga...mtu hata hajui date wala year alizaliwa waaah this is aserious joker
😂😂😂😂Na kwambia atakama
Jina langu sio Millicent lakini hii kinyangarika hata niapewa na niongezwe pesa siwezii na siwes 😂
@@christineamlinger5630 😂😂😂😂😂
Ghai! Mwanamme mzima hajui miaka yake??? Wolololo mayie denda, if stupid was a person ndio huyu tumempata.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uyo Xxxx amekuwa kiruka mimbaaaa😂😂😂😂😂
Maybe he can’t read… yall….. woiii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kime muramba. Arudi a study year yake kwanza.
Alafuu kuna Mtu hajui miaka yake na ata hajui alizaliwa lini 😅😅😅😅😅😅
@@patrickj.136 aki ame enda Sana ata child wa 2yrs ata kwambia ako ni miaka ngapi