PATANISHO : NIKIMWAMBIA ANISAIDIE PESA ATA MIMI NISKIE VIZURI ANASEMA NICHAGUE RENT AMA PESA - JOY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 96

  • @NaomyMuttai
    @NaomyMuttai 9 หลายเดือนก่อน +10

    Paul is a very mature guy and he knows what he is doing

    • @miriammiloyo1212
      @miriammiloyo1212 9 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa and was ready for marriage

  • @nancyarogo6930
    @nancyarogo6930 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waah!. Joy try hard so that you are able to treat yourself. But she's still young.

  • @agnesareri1084
    @agnesareri1084 9 หลายเดือนก่อน +2

    The koti was just chilling then buuummmmmm!!!!!😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emilyMulama
    @emilyMulama 9 หลายเดือนก่อน +17

    Nafikiria akuna mwenye ameelewa uyu mwanamke yani the lady n romantic but the guy n mtu ataki izo vitu😂

  • @josephnderu8033
    @josephnderu8033 9 หลายเดือนก่อน +1

    Paul is a very humble gentleman and we'll vocasred

  • @lilianawah1946
    @lilianawah1946 9 หลายเดือนก่อน

    Korti ya gachagua was just chilling

  • @EverlybeAtiono
    @EverlybeAtiono 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kicheko cha ghost ina ni tolea stress

  • @Kissarop
    @Kissarop หลายเดือนก่อน

    Paul ni baba mzuri sana

  • @agwambophilemon351
    @agwambophilemon351 9 หลายเดือนก่อน +5

    Akii nimemiss patanisho hii wiki yote sijaskia😢😢

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 9 หลายเดือนก่อน

      Aki woiyee mpaka mimi narudia Zile za kitambo.

  • @mourinejuma6692
    @mourinejuma6692 9 หลายเดือนก่อน

    Amka from that comfort zone uende utafute kazi mama

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 9 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu dem ako na utoto mwingi sana;YAAN TOO MUCH DRAMA😂,.

  • @galicia1559
    @galicia1559 9 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu sio bibi bado hajakomaa...hapa hakuna ndoa huyu atakuliwa nje juu anapenda anasa hajui anachofanya kwa ndoa

  • @hillahmwesh4861
    @hillahmwesh4861 9 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu dem seems ni house wife na anataka maisha soft plus kuskia mambo ya wengine huko nje

  • @pendo6
    @pendo6 9 หลายเดือนก่อน +5

    Na ananipenda kweli ghost kicheko joh inaitwa mapenzi😂

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496 9 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu dem dio mm aki😂
    ata mm mtu wa koti apna😅

  • @isintajonathan195
    @isintajonathan195 9 หลายเดือนก่อน +8

    I pray that Chelsea ishinde Monday watakapo cheza na Newcastle ndio Paul aache kunyamazia joy😂😂😂

  • @randere777
    @randere777 9 หลายเดือนก่อน +2

    😂😅😂😂😅😅😂😂vitu zinatembea kwa tumbo😅😅😂😂

  • @supu1237
    @supu1237 9 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu Dem anambiyo sana anataka kukimbizana na maisha ya wanawake wengine wamekalishwa. Mama be yourself pls

  • @sheilamutingu
    @sheilamutingu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ghost ni mzee hivi 😂😂

  • @msaniikafay
    @msaniikafay 9 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu Dem waaa..... Anataka shooting bana😂😂but we like smart guys

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu Binti Ako bado lkn bwana n mtu smart tu

  • @MagyChao-c4h
    @MagyChao-c4h 9 หลายเดือนก่อน +1

    Enyewe mtu mwenye hajui kudress uyo ni stress tupu na pia ayibu ju yake sasa atakama hauna pesa but mtumba ya mia waeza piga look nayo but iyo Cort refuu ayii uyu dem ajipange tu ju uwezi ishi n mtu ukiwa na wasiwasi adii akitokea mapema job uko n mabestiii ako unashindwa vile utaongea

  • @ErickMwangi-si1fr
    @ErickMwangi-si1fr 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bana sisi watu wa Chelsea tuko mahali pabaya sai Mungu atusaidie jameni😮‍💨😪

    • @KurashigeSir254
      @KurashigeSir254 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂mtapigwa tu

  • @janetmartinESQ
    @janetmartinESQ 9 หลายเดือนก่อน

    Haahaaahaaaa... Leo nimecheka sana

  • @Ronymante
    @Ronymante 9 หลายเดือนก่อน +3

    Justice for koti 😂😂

  • @lilianmbone3832
    @lilianmbone3832 9 หลายเดือนก่อน +3

    I need such kind of a man aki.

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 9 หลายเดือนก่อน +5

    My sister hpo huna..ndoa funga virago uwebde kwenyu. hyo sio mtu wakuka nae byinyi niwle mnagoja kuliwa ju haon dalili ya mvua

    • @frankkags9518
      @frankkags9518 9 หลายเดือนก่อน

      Mshauri WA ndoa, are you married?

    • @dancankarakach
      @dancankarakach 9 หลายเดือนก่อน +2

      Akili yako na ya ndama zina balance. Kuna shida yoyote na huyo jamaa kweli!!😢

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@frankkags9518huyu hajaelewa hii Stori,ama ni wale usaidia MTU kubomoa kwake

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa hana ndoa aje na hata mwanaume hana maneno,wewe umeskia patanisho ukamaliza ama umesoma tu headline😂😂😂😂,sikiza patanisho wacha kukimbilia comment section,Paul yuko sawa

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@marrieann5278 eeeee Paul NI kelele zimemfanya atachatski kuongea na hizo drama,wanaume upenda utulivu

  • @jamesmusyoka1767
    @jamesmusyoka1767 9 หลายเดือนก่อน

    Chelsea forever , the blue's 💙💙🔵

  • @vellamonyangi3667
    @vellamonyangi3667 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii imeniua ad picha

  • @eldermacharia6872
    @eldermacharia6872 9 หลายเดือนก่อน +2

    hii kuyamaza sio kitu poa,

    • @FelisterMartin-d9d
      @FelisterMartin-d9d 2 หลายเดือนก่อน

      It's called, silent treatment.I hate that

  • @millicentmukoya1292
    @millicentmukoya1292 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ghai aki ghost wacha kucheka😅😅😅

  • @marthanyabuto8634
    @marthanyabuto8634 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mm sipendi coat,I can't blem anyone here

  • @collinstemba6040
    @collinstemba6040 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni Chelsea hata me na support 😅😅 hata me Chelsea ikifungwa na jam bhana 😂😂

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ndoa Ina utoto Bado sana sana wife wakikuwa wataacha

  • @babewajeff
    @babewajeff 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 according to joy coat ni ya wazee😂😂

  • @kamaucecilia-ss5zp
    @kamaucecilia-ss5zp 7 หลายเดือนก่อน

    Pressure pressure

  • @EdwinEdwin-t6y
    @EdwinEdwin-t6y หลายเดือนก่อน

    Waaaaaaat

  • @dinakemunto3243
    @dinakemunto3243 9 หลายเดือนก่อน

    Koti ata mm spendi😂😂😂

  • @lelahope4
    @lelahope4 9 หลายเดือนก่อน

    Football ni kitu ya maana sana than mwanamke

  • @deeduks15
    @deeduks15 9 หลายเดือนก่อน +4

    Shida yakuoa wasichana wadogo,mtakula luku 😂😂

  • @emmanuelibrahim4556
    @emmanuelibrahim4556 7 หลายเดือนก่อน

    Chelsee mtatuuwa😂

  • @kennedyotwori9056
    @kennedyotwori9056 9 หลายเดือนก่อน

    Arsenal😢😢

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer 9 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo anabet

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 9 หลายเดือนก่อน +1

    Joy ako na kiherehere Sana ati mpaka kuvaa outing nonsense

  • @graceberg3144
    @graceberg3144 9 หลายเดือนก่อน +2

    He is giving his wife psychological terror

  • @mercylinmoraa6229
    @mercylinmoraa6229 9 หลายเดือนก่อน

    She is so disrespectful aki 😢😢mbona upeleke mtu kwa redio c ungemuongelesha tuu ...tho the guy seems weird maybe hakupendi

  • @hellenjeffrey2135
    @hellenjeffrey2135 8 หลายเดือนก่อน

    Watu wa 28 years msivae koti😅😅

  • @KevinBarazakenya
    @KevinBarazakenya 9 หลายเดือนก่อน +1

    ATI anavaa koti. at 28yrs 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na ni buggy, kwani koti ni ya wazee, aki wanawake

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂kama zile za gachagua

    • @staciageorge8150
      @staciageorge8150 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-cg3vf2bl6b😂😂😂😅😅

  • @gracekamunya6823
    @gracekamunya6823 9 หลายเดือนก่อน +2

    Joy ni attention seeker,drama queen,posessive,controller, competitive and insecure na sijui Mzee wakumtreat hivo atapata wapi

  • @daisywanjohi3223
    @daisywanjohi3223 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @vickyogeto1245
    @vickyogeto1245 9 หลายเดือนก่อน

    Plz ladies kma hakuna pesa outing ni ya nni na unajua Bwana yako pesa anapata niyakukula na kulipa rent peleka mzee wako. Polepole iko siku atapata pesa stop compering your life with other nipige mawe muone😂😂😂

  • @janetnyokabi6540
    @janetnyokabi6540 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @thogonuii
    @thogonuii 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wachenii kuoa WANAWAKE Wako na watoto na wanaumee mwingine. Ule mwanaume alimuacha na mtoto Mara ya Kwanza sio wazimu. Na muwachane na Madem wa kasarani, WENGI ni ma golddiggers na KAZI Yao ni ku compete na WANAWAKE wengine

  • @Promisewaruiru
    @Promisewaruiru 9 หลายเดือนก่อน +1

    The girl is very immature.. the way she talks tells it all

  • @Big-a-low
    @Big-a-low 9 หลายเดือนก่อน +2

    Paul piga luku acha ufala, women changes men.

  • @oscaramwayi
    @oscaramwayi 9 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 labda uko na mwingine

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 9 หลายเดือนก่อน +1

    Paul his a mature person Joy n kijinga sana atakufa Depression na maisha ya watu

  • @Zena766
    @Zena766 9 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu musichana anakaa mjaluo wao ndio upenda compe

    • @utajua
      @utajua 9 หลายเดือนก่อน

      Huyo dem sio mjaka, ni wa huko kwenu hata accent na tabia. Umeskia kuku imetajwa mara ngapi hapo. Hao ndio huwa hawapatii mtu amani kwa nyumba.

  • @kusinjilufelix9730
    @kusinjilufelix9730 9 หลายเดือนก่อน

    Chelsea inaleta shida

  • @euniceochieng1632
    @euniceochieng1632 7 หลายเดือนก่อน

    Joy bado ako na utoto

  • @ManuelSimiyu-gw8mb
    @ManuelSimiyu-gw8mb 9 หลายเดือนก่อน

    huyu mumama n mdomo sana

  • @dadahmary1082
    @dadahmary1082 2 หลายเดือนก่อน

    huuyuu ndio bibi..paul penda bibi yako na ataweza kutulia

  • @millaag5182
    @millaag5182 9 หลายเดือนก่อน +1

    Joy hajakoma akili

  • @philliceatieno9165
    @philliceatieno9165 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa watu wanaitwa Paul wako hivyo, hana tofauti na wangu , wajinga sana

    • @Big-a-low
      @Big-a-low 9 หลายเดือนก่อน +3

      Kabla akuoe hukujua hivo???

    • @philliceatieno9165
      @philliceatieno9165 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@Big-a-low hao huficha tabia zao after sometimes ndio wanazifichua, ( narcissist)

    • @la-ry1ms
      @la-ry1ms 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@philliceatieno9165wanaume ni wengi si utafute bwana mwerevu kama wewe huogopi kuzaa watoto wajinga kama Baba yao.

    • @sereaatieno178
      @sereaatieno178 9 หลายเดือนก่อน +1

      Na hawa wanaitwa akina Dante fear them 😏😏😏, international Narcissists

  • @emilywangui
    @emilywangui 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂she is very petty

  • @sandugurufoldermutwiri3252
    @sandugurufoldermutwiri3252 8 หลายเดือนก่อน

    Marriage inataka roho gaidi where you are not bothere by anything

  • @typohneprofiel515
    @typohneprofiel515 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu Joy bado mdogo sama hajamature

  • @agneskemunto2540
    @agneskemunto2540 23 วันที่ผ่านมา

    The man maybe is in depression he needs peace of mind

  • @tewendehome
    @tewendehome 3 หลายเดือนก่อน

    This lady is too immature 😮