MENEJA DING'ANO AFICHUA MAZITO KIFO CHA NISHER MTOTO WA NABII MKUU GEORDAVIE // LAZIMA NISEME UKWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @tumainilaizer5857
    @tumainilaizer5857 7 หลายเดือนก่อน +5

    Acheni kejeli watu wa Mungu. Mbona mwakasege alipofiwa na mwanae wa kiume wa pekee hamkusema kafara. Kifo kipo kwa Kila mtu na Mungu atabaki kuwa Mungu

  • @Harmo-Mki01
    @Harmo-Mki01 7 หลายเดือนก่อน +6

    Huo ndo ukweli kabsa mkuu, DINGANO ♥️🙌🙌

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 7 หลายเดือนก่อน +6

    Meneja dingano umesema vizuri niwakati nasisi kumuunga mukono nabii baba yetu pôle sana.

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kifo Ni Fumbo Kweli , Akuna Ajuwaye Kesho Kikubw Mungu Ampe Nguvu Nabii Kweny Kipind Hiki Kigumu 😭😭😭😭😭😭

  • @dominicongeri1992
    @dominicongeri1992 7 หลายเดือนก่อน +7

    Well said dingano

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampe uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu. Marehemu mungu ampe pumziko la milele ee bwana mwangazie 🙏 aminaaaaa 🙏

  • @YohanaMusa-hy4gw
    @YohanaMusa-hy4gw 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna kipindi fulani Paulo mtume alikuwa amekamatwa,na kutiwa gerezani. Akiwa gerezani,watu wapatao arobaini hivi,wakainuka kinyume naye. Watu hawa walikuwa ni Wayahudi waliopatana kumwua Paulo. Walipatana kiasi cha kufunga wasile wala kunywa mpaka wamwue Paulo mtume. - Matendo 23:12-16 Inashangaza sana kwa kuwaona watu waliofunga kwa ajili ya kutenda jambo baya,kwa maana tumezoea kuona watu

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 7 หลายเดือนก่อน +7

    Yani kiukweli ptv mna ukosha moyo wang mkiwa mna muhoji uyu jamaa

  • @Eagles_tech
    @Eagles_tech 7 หลายเดือนก่อน +2

    Someni bibilia kuna Ayubu alipoteza watoto wake 7 wote siku moja hiyo ingekuwa leo mngesema ndio shetani kabisa kaani kwa akili basi waTanzania acheni ujinga una comment ujinga na ww siku unakufa unakutana na Mungu huko alfu ndio utajua

  • @Eagles_tech
    @Eagles_tech 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bro umeongea kwa akili sana watu au media zisikuchoche uonge ujinga kaa kwenye ukweli bro Nabii Mkuu anasaidia watu Mungu ndio anachukua watu wake kwa upendo wake hakuna freemason waTanzania acheni mdomo ndio maana hamfanikiwi

  • @kaluluu2011
    @kaluluu2011 7 หลายเดือนก่อน +1

    ATA Mimi kweli ni iman upande WA pili lkn kwa KUJITOLEA UYU mtumishi NAMKUBALI sana sana.. kama Kuna heri ya mungu kweli imuangukie TU palipotoka. Alipotoa

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mnatakiwa mjifunze kunyamaza kweli unamziaki mtu aliyefiwa?Muogopeni Mungu kuwa mtumishi ndio hauwexi kufiwa

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nabii mkuu mna maana gani kwamba ni zaidi ya Yesu au manabii kama Isaya hii heading ni kufuru

  • @abisalomwasike8280
    @abisalomwasike8280 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pole nabi geodavie

  • @hemedrajabu6814
    @hemedrajabu6814 7 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee umesema kweliii

  • @user-oz5nk6ug6w
    @user-oz5nk6ug6w 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa kaongea ukweli usiombe msiba ukukute

  • @user-nf9nw7xd6y
    @user-nf9nw7xd6y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wanasema kafa uyo baba anashidagani yakutoa mwanao kafa au ndokipimo chaimani ili aanguke mpate chakuongea

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 7 หลายเดือนก่อน +3

    na bii wa ibilisi au

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 หลายเดือนก่อน +2

    alafu huyu nabii anasaidia uwe mkristo uwe mwislamu, uwe mpagani yeye wote huwasaidia habagui kabisa

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 7 หลายเดือนก่อน +1

    🎀

  • @akhyjamal15
    @akhyjamal15 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ding'ano Tamka shahada kabla hujafikwa na Umauti

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mwisho wa mwaka huu kafara lazima ,uyo nabii mkuu sasa kawiva vilivyo kakomaa,

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน

      Kwani watoto au familia ya Nabii sio binadamu hata wasife ndo mseme kafara 😅

    • @vedastovaleliani8153
      @vedastovaleliani8153 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna uwezekano mkubwa, salum akawa Yuko sawa pesa za shetani hazitoki bule.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 7 หลายเดือนก่อน +4

    mzee katoa kafara la chama chao cha freemason ni kafara tuu huitajika mtoto wa kwanza ukibisha haukijui chama cha mafanikio ya haraka ni freemason

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo KAMTOA kafara huuo anita nabii huyo ni frimeson

  • @mtoobebe5778
    @mtoobebe5778 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweri bana

  • @oceanmutula1321
    @oceanmutula1321 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kusema saana, vipofu vya macho, amujuwi Kama nimwisho wamwaka, niwakati ya kutowa kafara, ametowa kafara ku freemason

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe nawe umeisha kuwa freemasoni hana majonzi huyo kayatakaa mwenyewe. Kwenda zako msemaji nabii feki nawewe umesha KUA mtumwa wake

  • @user-cb7op2rd9h
    @user-cb7op2rd9h 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kafara iyo😢

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน

      Muogope Mungu hao ni Binadamu pia wanaweza kufa kama wanadamu wengine 😅

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ajakemea roho mauti

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwn baba yake anasemaje

  • @johnman4619
    @johnman4619 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kalipa kafara kwawale

    • @emmanuelchristopher6113
      @emmanuelchristopher6113 7 หลายเดือนก่อน

      Itakukuta tu siku sio nying

    • @user-xx5gd3ju7r
      @user-xx5gd3ju7r 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani kwenye familia yako watu hawafi? Kwahyo umetoa kafara?

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwani asipake mafuta sife huyoo mzee anakufuru mungu sana ndio.mungu kamuonyesha kama allah mkumbwa sana kwakila kitu duniani hakuna zaidi yake sasa mbona hakumuombe sasa ndio hapo.ndungu muwamke mujee kwenue dini ya haki islamu

    • @rechoshop4094
      @rechoshop4094 7 หลายเดือนก่อน

      Maandalio ya moyo niya mwanadamu Bali jawabu la ulimi linatoka Kwa Mungu,mithali16:1 nikuombe kitu tulia ujifunze nini maana ya Nabii na unabii ni nn huenda baba yetu Geordavie Mungu alimuonyesha hili lakini kama Mungu akisema ndy hakuna atakayepinga na Kila mtu atakufa mpendwa wangu na hakuna watu Wana majaribu mazito kama watumishi wa Mungu kweli hivyo msiseme eti mbona hajamponya sijui na kitu gani Kuna wakati Mungu huruhusu mambo sababu yakuleta utukufu wake,mm namuombea Mungu kupitia hili analolipitia Sasa ukuu wa KiMungu uongezeke zaidi ndani yake na aendelee kutuhudumia watu wengine tunaohitaji kusikia neno la Mungu

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 7 หลายเดือนก่อน +3

    Si anafufua huyu basi afanye kwa mwanae

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน

      Nyoko wew😅😅

    • @salimkingu2108
      @salimkingu2108 7 หลายเดือนก่อน

      Alimfufua nani acha unafiki wwe

    • @user-bz6ru7sk7u
      @user-bz6ru7sk7u 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu amfariji Kwa kipindi hichi kigumu

    • @user-qd9vf6ud3f
      @user-qd9vf6ud3f 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akawe faraja Kwa kipindi hiki kigumu.