MENEJA DING'ANO AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUONA VIDEO YA CHID BENZ KUWA OMBA OMBA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • #harmonize

ความคิดเห็น • 25

  • @estherkapito9469
    @estherkapito9469 10 หลายเดือนก่อน +6

    Dingano ni akili za ku mwaga respect bro unaongea kweli

  • @paulkifuku9730
    @paulkifuku9730 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aliimba na Mr kitolondo Sasa imekuaje tenaaaaaaaaas

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kila Mtu Achez Game Zake Tukutane Final Tu 🎉🎉🎉

  • @ShegiVanus-brand
    @ShegiVanus-brand 10 หลายเดือนก่อน +8

    Dingano meneja,akili nyingi 👊👍 sana Broo!

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 10 หลายเดือนก่อน

      Mtu ambae hata hajui jua linachomoza wapi unasema ana akili,

    • @ShegiVanus-brand
      @ShegiVanus-brand 10 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 10 หลายเดือนก่อน +3

    Chid benz akili haiko sawa

  • @KmbalphaniMoradj
    @KmbalphaniMoradj 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dingano na kukubali sanaaaa from 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kwenye Maisha unaweza kumsaidia Mtu lakini na yeye asiwe na moyo kama wako ukaja kusaidiwa na Watu ambao hauku wategemea cha msingi ni kuishi na jamii inayo kuzunguka vizuri

  • @djgolf254
    @djgolf254 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona Msela huyu Chidi katafta kiki ya ku release wimbo wake na Mondi,

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 10 หลายเดือนก่อน +7

    Dingano,mgumu kama chuma Cha pua,he calls a spade, spade Hana lingo lingo,na anawajua sana pretenders na wanao fake maisha

  • @hamadhamis9763
    @hamadhamis9763 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nanyie PTV Hamnaga mtu mwingne wa kumuhoj ? Kila siku ding'ano tu mnachosha bwana

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 10 หลายเดือนก่อน +2

    Music industry

  • @cristianofabiao537
    @cristianofabiao537 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nilikumiss dingano

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo chid.nikama quchira vibuli ndio vinaowaponza.

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hakuna cha ukweli anapambana tu na Diamond anatumia tu jina la watu kujibland

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tatizo la chidi ni madawa

    • @hadija846
      @hadija846 10 หลายเดือนก่อน

      Sio madawa pekee karogwa vibaya sana. Chid miaka kadhaa iliyopita kuna binti fulani alimpiga vibaya sana na kumpasuwa usoni yule binti dada yake alisema maneno makari sana kwa uchungu. Kuanzia hapo Chid ndipo mitihani ikaanza kumkuta zanzibar kukamatwa na madawa.Tokea swala la yule binti Chid hayupo sawa na hatoweza kuwa sawa pasipo kwenda kuomba samahani kwa yule binti na family mzima ya yule binti

  • @TigerAbdallah-e7y
    @TigerAbdallah-e7y 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kumb❤❤❤😂

  • @AbdalaallyMndolwa
    @AbdalaallyMndolwa 10 หลายเดือนก่อน +1

    bro unaongea ukweli

  • @KelvinIsrael-pl6lz
    @KelvinIsrael-pl6lz 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi huyu ni meneja wa nan

    • @allykwaya
      @allykwaya 10 หลายเดือนก่อน

      Hapo ndo swali langu la kila siku