Founder TZ - Mfano (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2024
- Music video by Founder TZ performing (Mfano),The song is about Zabibu, a young girl who was raised well and she is one of the young girl who society love to see as her behavior is very fondly, The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Folex.
Stream/Download - ziiki.media/Mfano-FounderTZ
Listen to Founder TZ on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/foundertz/song/...
Apple Music: / founder-tz
Spotify:open.spotify.com/artist/4LiVq...
Connect with Founder TZ on Social Media:
Instagram: / iamfounder_tz
+For More Information Booking Founder TZ Management:
Contact for Interview or Business:+255 717 192 251
©2024 Ziiki Media All rights reserved.
#FounderTZ #Mfano #Zabibu
Kwanza dogo namkubali, tumezoea nyimbo Kali lazima ziongelee mapenz ila dogo nyimbo zake ni maisha mengine, kama umemwelewa kama Mimi nipe likes hapa
Ata hapo taari anasifu dem😂
Umeuelewa huu wimbo mzee hapo anasifia tabia za mtoto mzuri au mtoto mwenye heshima ndo maana anasema tuige mfano @@MejumaaNikaull
@@MejumaaNikaull,,😂😂😂
1:27
0:00 0:00
My likes jameni all the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 also
th-cam.com/video/celraJ9_FlU/w-d-xo.htmlsi=tIjjU2wvsEnu6fC7
My country people🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu Dogo n kiboko
Kipaji hakijifichi aisee Wimbo mzuri, ujumbe mzuri hongera sana mdogo wetu Mungu akujalie yaliyo mema💪
Watching from Kenya 🇰🇪 dah dogo talent unayo kali sana ❤❤ wap like za kenya
Mtoto mzur n yule mwenye sifa nzuri nyumbani, uandishiii mzurii, wapi like za msanii wetu❤
Kwel
Kama unaamini huyu dogo anaweza kweli nipee like jamani
Akibarehe saut ikibadilika mmmh
Anaweza kabisa
Ila cjaona likes za producer Trone na lizer classic
Jamani hakika kipaji cha kweli hakijifichi hii nyimbo siku 11 tayari ni trendingi hakika dogo anajua sana asee kipaji kikubwa from kg nipe like zangu
Creativity beyond measure.... I love this.... Representing KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kutoka Burundi 🇧🇮 mpaka tz likes Tatu tuh jameni founder tz powa sana😂😂😂
Katokea Congo
🇧🇮❤️
Mimi ni mtanzania naomba likes kutoka Kwa wakenya na waking wakongoman
Tuko nyuma yenu watanzania we love you from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunawapeda sana watanzania,,,
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama masiala founder Tz anaanza kuendesha range anaikomboa familia, njia za Mungu hazichunguziki🙏🧎
Amen
Mungu akutangulie mdogo wetu kwenye mziki wako hata sisi tunapambana tupatane naombeni like zenyu kama mnakubali
Kutoka +254 hadi Tz nipeni hata likes mbili tuu jamani ❤❤
❤nipenda hiyo song ya hoyo dog❤❤❤
Super talent hapa. Wow
Zimetosha sasa au tuendelee kulike?
@@AliphonceMartina endeleeni tu akuna noma
Mkikubali msanii mwenye kujenga jamii basi founder tz ana stahili. Sababu WCB kuna:
- msanii Rushall vumbi Diamond
- wa mapenzi Zuchou
- sengeri Mboso NA D Voice
- sisi jamii, walimu, ma pastors tuna itaji founder TZ aongezwe ili sapoti WCB iwe juu zaidi!!!
From Malawi 🇲🇼 likes zenu
Hongera mdogo wangu mungu akulinde
Trending no 10 in Kenya 🇰🇪, wapi LIKES za 🇰🇪
Huyu ndiye atakae kuja kuwa mridhi wa Diamond Platnumz🎉
Walai hpo n ukweli 🎉🎉🎉🎉
Sasa diamond anaimba nini si matusi tu
thus it
enyewe
th-cam.com/video/KfRjKAeQGMo/w-d-xo.htmlfeature=shared
Mbona hii nyimbo haiko trending? Kenyans let's gather here to support this Champ. Message songs zenye zilishinda harmo, Ray na mondi anatupa yeye🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ohoo umeimbia st merry junior shule anasoma bint yang san kijana wang kazi Nzur 🎉
Pia yeye ni mwanafunzi uko
Sadadata sana ahidiya mpya Tanzania hiyo ongera sana congretalations founder tz seen by BEKANIZE OG
Hii haina mfano, Sauti ya Vanny boy na mpangilio wa Konde... Napenda hii nyimbo kuliko nyingine yoyote. Kama tuko pamoja nipe like hata
🎉❤
❤❤❤
Zabibu ndo mm
❤❤❤
San dogo yupo vizur
Jirani kaskia nikiusikiliza wimbo huu akaja tusikikize kwa pamoja na hivo ndo nimemkula..wapi like za bonge la hiti
😂😂😂😂😂😂
Ona Sasa 😂😂
😂😂😂😂
Mmmmh 😂😂😂😂
😂😂😂😂una mambo jamani
❤ napenda mziki wako bròò naitwa jackson kutoka kakumuti kitui county Kenya nakutazama
Nakubar xana dogo Founder tz Gonga like twende sawa🇹🇿🇹🇿
mimi mkenya naukubali mziki wa FOUNDER TZ. wimbo wenye maadili mema
Nakubali Sana Ngoma zako kakaa mkali nakubali nikiwa Kenya ,,wakowap wanaikubali Ngoma yahuyu mdogo wangu ,,hebu like apa❤❤❤
What a song.
Nimesikiliza usiku kucha
Keep going Founder TZ
Hey nairobi Kenya,,,,kijana huyu mdogo ako n kipawa sana...wapi likes za kenya❤
the young boy wanna take over bongo music in Tanzania.... he deserves millions subscribers, let's support him .... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Indeed air
Hii kazi yamoto
That's a fact
❤❤❤
❤❤❤❤
Uyu dogo mnoma,wapi likes zake,from 254 🇰🇪
Yangu ndio ya 99
May God bless you,,love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukona sauti tamu sana na nyimbo zuri tu , big up from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we really love you you're a star
Dogo anaweza I say,,,Unamuamini Founder Gonga like then upite 2...kenya love.
Pitia ndug zang
Namimi mkongomani naomba likes za WA Kenya na tz , nione kama hakuna ubaguzi
This boy is ndovu in making,,the future is expressing hope and prosperity.......go!go!go! Inawezekana,,nice song to listen,,,#tiktok
Pure melody, pure solo vocal, verse zimepangika, kijana hongera sana
Kenyans are happy
True mm wa kwanza😂❤
True that u say am the leader 🎉
Actually the boy is taking over completely.
Tupendane jamani from kenya Nairobi all the way to Tanzania is not a joke,,,,nipewe likes ❤❤❤❤❤
Dogo aisee we nomaaa
Mungu akupe Kudumu na hekima usibadilike
Huyu dogo ako top nakwambia❤❤🎉 Congrats Founder🎉🎉🎉
Kusema ukweli founder anajua sana tulioko shule,vyuoni weka like tusaport kipaji cha kijana mwenzetu
Tufikieni huyu dg views milion moja kwa masaa 24 jamani ndugu zangu ❤❤❤ uyu dg anajuwa sana
Much love from Kenya🇰🇪 founder tz bro wa mine
Future diamond future harmonize ❤❤❤
Ungekuwa wimbo wa mapenzi na amapiano mpaka sasa ungekua ushaingia trending no 1 ndani ya saa Moja ila kwa kuwa watu hatutaki kusuport nyimbo zenye Ujumbe mzuri kama wa huyu kijana Sitashangaa kuona wimbo haupo kwenye trending no.1 mpaka kufikia saa 24.
Povu linaruhusiwa😂😂
😂😂😂😂
Likes za mafans kutoka 254 jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Very talented boy
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiingia wcb lazima ukae trending
See this young talent he is the best and he deserves.
Congratulations to him
Hii n mwelekezo kwa wale wasanii wngine Sio lazima uimbe matusi ndo nyimbo iende ❤❤this kid is on another level keep it up💯✅🔥🔥
kama umemuelewa home boy gonga like kwa KIGOMA
kama una mukubali founder tz ngonga like kwangu
Keeps blessed and protected too young bro may the MIGHT GOD keeps taking you in highest level
Mungu atafanya siku moja usikatee tamaaa mdogo wang🎉🎉🎉🎉
Anaekubali kwamba dogo ndo promising Star wa nchi hii gonga like twende sawa 🤝
Ashley alianza ivoo ila anamalzia kucheza xxx sasa
Huyu atahustller kama marioo na kutoboa mwenyew
unajua mpaka unajua tena
Hongeraa🎉🎉🎉🎉
Akika dogo unatisha. Ila nahomba wote tunaho mpenda dogo wetu acha ka like basi po chap💪
mbona nahomba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio nahomba ila naomba
Hata kama nmechelewa kukoment bt am here from 254 nipeni likes hata kama ni kumi
Hongera mwanang unakipaji mikubwa mungu akuongeze kla khatuwa.....the big song ❤❤❤❤❤
Nampenda sana founder tz, mtoto mdogo mwenye kipaji kikubwa
Uandishi wake ni kama wa msanii mkubwa saana yaani❤❤ wapi likes zangu
How many are from tiktok,gonga likes
Founder TZ ishajipa kaka, talent unayo 💥
Tufikishieni huyu dogo views million moja kwa masaa 24 jamani❤❤
Ingewezekana hata milioni mbili ingekuwa vizuri zaidi
Kutoka 254 wapi likes za uyu kijana ❤❤❤❤ love the vibe founder tz
Much collaboration and much love from Kenya guys like back❤❤
Hii ni kitu chakwanz kufanyw kwa hik kizaz mfano nice song ❤❤🔥🔥🔥💪🙏
Nitatokaje
Niepushie
Mfano
Haki amungu uyoo dogo ananikuna sana nyimbo zake kila morning lazima zipigwe ghetto ndipo niende job from Lusaka Zambia ❤❤
Founder unajua mpaka inajua tena mungu alinde kipaji chako inshallah ufike mbali zaidi like zangu jamani kutoka Saudi Arabia ❤❤❤🎉
Mtoto mzuri hasifiwi kwa ubaya woow God bless this founder tz for us❤
How to like this 1k times🎶🎶🎶🔥🔥🔥🔥from Kenya😍😍😍
Zabibu wangu uyo ❤founder usini ibe binti wangu ❤kma umempenda zabibu naomba like❤
❤❤🔥🔥
Zabibu wako kafikiwa😂😂
💥💥💥💥💥
Mama zabibu me ndo wakwanza kumpenda zabibu wako
Me Abdul vijora kariakoo kwa msomali
Kama mwaminia founder tz atakuwa diamond wa pili tz nipe like❤
Wacha kulingasha dogo na uchawi diamond gani
Dogo ni fire 🔥 ❤
Huyu atamzidi DiamondPlatnumz
Fire 🔥🔥🔥🔥
duuuuu nimecheka
Ghaii enyewe ni mtoto mzuri, congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉
Much love broh from 🇰🇪🇰🇪 uko na nyota safi man tia bidii
East Africa Community is happy for you young man.
Hili goma la moto kama wewe ni mzabibu weka like
Mi mzabibu nakuja😅😅😅😅😅
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uugcc
NDIFAKENYA. Good one bro tz ❤
Uyu naye ni msanii mzuri sana jamani harmonize mshike ata ili kipaji chake kiwe kikubwa 🙌🙌🙌🙌🔥
LOVE FROM NAIROBI KENYA❤❤❤
WAPI LIKES ZA KENYA
What an amazing vibe ... dvoice anawezafanya makuu haya kweli??? Wapi likes za foundertz
leo nimeamka nakuta ngoma yetu ipo on trending 4 respect kwako founder tz
Wimbo mzuri wenye funzo Mungu akibariki kipaji chako ufike mbali ❤
Naikubali nyimbo nzuri sana ....love from Mombasa Kenya 🇰🇪
Nyimbo nzuri maudhuhi ya nyimbo yameendana na rika lake good job babutale🙏
Good work founder tz God bless him
Katika nyimbo zako zote hii ndio nimeielewa sana,zaidi ya sana,Ongera sana dogo 👍,ukiendelea kufanya nyimbo kama hizi nina imani utafika mbali sana🙏
Mr judge from surprise music waiting ❤❤❤❤❤wakwanza
Ndani ya south Africa 🇿🇦 tunatamba kama wakubali ngoma hii gonga likes kama 100
❤love u Soo much young platinumz.....Lazima utakuwa Bosii
I wish founder ako WCB kuliko d voice huyu boy it's a big ting ....future ya tanzaniaa napenda Sana #tztop #kenyabig #totheworld
Likes za founder jamani,, diamond wa usoni,,, njooni kwangu pia msupport
Huyu mwamba utawika dogo soon inshallah 🙏 love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰
Huyu cheetah sasa,,,the fastest….dunia itamtambua vyema soon hadi king kiba na Mondi na harmooo #tembo watatii,otile brown,chui,mboso,poze,zuchu,nadia mukami,nandy,jay m, tieni bidiii kumekuchAaaaaaaaa🎉
D voice hawezi uyu dogo sikiya ngoma kali iyi dah!!!❤❤❤❤
Wap like za founder Tz, kama unakubaliana ngoma yake #mfano. Am listening from Mombasa
Nyama sana umeduteteya watu wa kigoma so big up for you
Kipaji kiko kweli❤hongera sana.
Mungu azidi na kumuinua hadi waliotangulia wapate kumsupport zaidi waione tu kipaji chake kijana mdongo mistari anayo kweli Nampa hongera ❤nakumpenda tu
Why can't konde gang, next level music or wasafi sign this boy ohyeeeeeeeee tz... Love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Walio sikia hiii nyimbo mara 7 tujuane jmn ❤🌹🌹🥰🥰
Tupo👍
sasa hii ni mara ha 10 naurudia tu daaah dogo hatari
zaid ya hapo
Congratulations dogo nakubal Sana ngoma zako mungu akutangulie mdogo wangu upige. Hatua
Founder tz ni mkali sana kuliko wasani wa Kenya . Ana mpangilio wa nyimbo zake . Kuliko wasani wa kenye . Big up.