Acha leo nikuchane,'jiongeze. We na Stamina mnaturudisha nyuma kila kukicha ninyi mnabahatisha tu. Ukitoa hit hutakiwi kusubiri kutoa hot,mnazima fegi ikikolea sijui ubahili au ndio ushamba. We na nduguyako Kayumba mnanishangaza sana. Kila kukicha mnaumiza vichwa kutafuta creativity tu hakuna gravity force ye yote!!!!!!!? Nawapenda sana mnajua kuimba mnastory nzuri ila mnaviburi kama nn. Marioo kawakuta lkn anawapita hivi hivi mnaona..Why?!!
Tuko pamoja bro nakubali sana kazi yko bro kenya tuna taka show yako bro🇰🇪🇰🇪
Fundi Kama fundi stamina big up Sana mwambaaaaaa ngoma Kali sanaaaa ebu like zenu wanaaaa 🎵🎶🎶🎶🎶🎙️
Nakubaliana na wewe braza asilimia 100 kabisaa
Pamoja sana
One of the most underrated musicians, Bright your future is brighter
STAMINA KUULIZA TU, hii mistari uwaga unaitoa wapi lakini.. to be honest you are genius on this.. always get entertained with your rap style
Najikuta huu wimbo naupenda❤️❤️
Stamina nakubar sana kazi safi hiyo yaani ww kuwa wapa mistari huwa hujui kufeli big up sana bro
Great music ! Great combination and story about how life is . Keep going bro 💪 🙏 💯 🙌 👌 this song is big always
Wee kazana kwenda Jim tu...tanua kifua....wenzako wanaenda ATM pesa wanamchukua.... Asantaaa 🥰🙏🔥 fire
Big up bro bright 🌞 keep chasing your talent and make it shine like ⭐✨ IPO siku nitakutafuta inshallah
Unaweza mno we jamaa sema roho mbaya wanakufanyiaga
Bright"akilling sound❤️❤️❤️stamina🔥🔥🔥
Style hii ndyo kizazi kwako ya story unaiweza sana bless sana rasta
This is hit song brooh bright worry less ti's song 🎵 return you in the map of bongo freva god bless 🙌
Hi am kizito boy from Kenya
Bright fundi sana🎉🎉
Bado nakomaa,Baada ya kuja Dar hadi Leo 2024 wapambanaji Wenzangu Tujuane Hapa👍.
Noma
@@bright_tz kaka God bless you nipo mabibo makutano mzambarauni 💪
2po mamen
@@bright_tz unajua sana kaka mngu akujalie
Ba brother nyote nawa kubali sana kazi ni nzuri Big up
Asante
Daah tulioludia mala mbilimbili tujuane
Love your songs my brothers 💓
Under rated artist.. I appreciate in your talent bradhaa
Kasi zuri bro kusaidia maandergraud uko juu sana👍👍👍👍🎤🎤
Wame mchokoza tena bwana🔥🔥🔥✊🏼✊🏼Bonge la joint mdogo Just keep it up✊🏼✊🏼
Dah welcome back bro bright 🤝🤝🤝🤝
Number one from Burundi 🇧🇮 naomba like
Ujumbe mzuri sana wakubwa
Best melody 🎶 nimependa kwa roho moja hii wimbo
Stamina forever @ wamemchokoza mbeya.....
representing 254 ,,,put more efforts bro...you'll make it
Noma sana aisee.....😍
Bright X Stamina X Jay Shot It 🔥🔥🔥🔥
Bright Kama bright so lits guys nice job kijana
Underrated artist in Tz Bright is something else 🔥 I feel even to drop tears 😭😭😭
This is finest music keep support, a boy is talented
Tatizo ana kimya sana
🙏
@@bright_tz Kaka medi house na mashabiki walishakuwa na
Team zao ila wee n msanii Brother 👏🙌 Tutafika tuu🙏
Duuh imenigusakinoma
Bright big up sanaaaa pamojaa na kaka yakoo stamina
You have got great talent bro,I like your music since you always use story based that touches my life 🙏🙏🙏🙏🙏
I like too much this song bro umetisha sasa hiyo baskeli ulio isukumia kichakani bado ipo kweli kwe tu dili hiyo
Ujawai niangusha kaka stamina u kill it broo..
Bright bado upo vizur kaka one day yec
Yeye nikama moto wa vorceno
@@chrissix1894 huyu jamaa ni hatari binfsi hua ni fancy wake any time
@@chrissix1894 dah volcano 🤣🤣🤣 anatisha sana
Tupo pamoja chief
Wamemchokoza mbeya##Bright is going far
Sio MBEYA uyo mwanangu anaitwa BEYA studio kiri record😂😂😂😂😂😂
Ngoma kali ni 💥💥💥💥
Nitafanya kazi yoyote bright we hatari na nusu
Lets put our feeling to the teachings music and getting fun too
Dah mwamba umeimba kwa hisia sana nakubal maisha ya kibongo atar
U've nailed bros ✍️ 🔥🔥
Fine bro
Karibu sana fundiiii......,
Ulikwap mkali wetu....,
Karibu far,
Karibu kwa game tena!!!
bright your voice is in another level nice stamina like always killing with his rap
Ndiyoo jembe naenjy
Strong happyful
we love you from rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Badman to the killer umetisha Sana home boy
Big tune
th-cam.com/video/Kh2xCtTh2Kw/w-d-xo.html
Bright nakubali san mtu wang
So emotional broo
Dar kugumu "kweli"! Kwa mbaliii! Hzi ndo njia zako usitoke humo
Uma boa musica, big up sana Briht💪✌🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Balaa sana
De verdade a música é muito boa🔥
th-cam.com/video/fzZtS1ieWw0/w-d-xo.html
th-cam.com/video/fzZtS1ieWw0/w-d-xo.html
Kalii saaaana kaka bright umetixhaa
Dogo wewe ni fundi,ua hautuangushi kwa maandishi na kwa burudani na kwa elimu big up you are 🔥
Melody qali uhalisia on point....big up sana watoto wa Moro👏👏👏👏👏
th-cam.com/video/Kh2xCtTh2Kw/w-d-xo.html
Hiyo Style stamina anamskiliza Bright ni ya kumuua😆
Akuna nyimbo hata moja Ayo siipend nazipenda Sana nyimbo zako mungu kakujariya
In 🇰🇪 but loving the vibes one of the best in East Africa... Stamina all the way up... big up Bright let them know ur presence
254, tunamtambua stamina
Kaka hii Ngoma Kalli sana
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Stamina big up huna kazi mbovu ✌️✌️✌️
For the first time nmependa song ya Bright huyu jamaa Yuko na talent ..let's support this guy
🙏
kazana tu bright mziki wa bongo tiati
Well done brother,this is Bright
And I'm touched with your bracelet Drc flag
th-cam.com/video/Kh2xCtTh2Kw/w-d-xo.html
Ngoma kali
th-cam.com/video/fzZtS1ieWw0/w-d-xo.html
Punch 👊 🤜
🔥🔥kali Ni Kali Kama pasi ya van persi!! Wish myself a happy K.C.P.E as I'm going to do my first phase exams in my life.... that's primary education!!!
Nice song big up Bright ❤
Kama unamkubalii #Bright pls Like niziyone hapa ✍
Toka nianze kukusikia hii ndo ngoma kali zaid upande wangu
Ngomaaa kaliiiii🙌🙌 ila bright ulisahau kutoa heleni ukiwa kijijin
watanzania kuweni makini na brighy kijana anaweza
Kujiachia ndo nn btight ur genius huu ndo mziki keep going bright goma kal
th-cam.com/video/Kh2xCtTh2Kw/w-d-xo.html
Viseversa iz true!!
Hapa Seychelles mie mkenya naupenda huu wimbo... Bright... Stamina Kazi safi
Point piga hatuaaaa bright
Stamina🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kama kawaida yake kamaliza gemu kajichukukia point tatu 😂😂😂😂😂😂
Anajua
Stamina mwenyewe ni gwinji bora kwenye mziki bomba azidi kubobea na kuwakuza wengineo
Bright 🌞 you just give music a fine touch great jam , great real talk ...was hoping for another verse 🙏 😪
Karbu daslam😁 nice wrk
Keep it up my brother 🔥🔥🔥🔥
Bright feat your best karbu dar😁😁❤❤
Number one fan from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 MORE LOVE MY G
Njoo Dar ujioneye mwenyewe😄😄😄😄
underated artist
huja wai kukosea broo nice song.pongez pia kwakuimba na artist bora @stamina
Motivation... Music to another level
Nzureeee
Acha leo nikuchane,'jiongeze. We na Stamina mnaturudisha nyuma kila kukicha ninyi mnabahatisha tu. Ukitoa hit hutakiwi kusubiri kutoa hot,mnazima fegi ikikolea sijui ubahili au ndio ushamba.
We na nduguyako Kayumba mnanishangaza sana. Kila kukicha mnaumiza vichwa kutafuta creativity tu hakuna gravity force ye yote!!!!!!!?
Nawapenda sana mnajua kuimba mnastory nzuri ila mnaviburi kama nn. Marioo kawakuta lkn anawapita hivi hivi mnaona..Why?!!
Dat's true
Xtamina unajua pmj na mdogo wako bright
Big song 🔥🔥🔥 Starmina killed it
th-cam.com/video/Kh2xCtTh2Kw/w-d-xo.html
Bonge moja la ngoma alafu serikali imekaa kimya
Jay Shot it.....U have maaaaaaaad this tune...Big up broh....Great visuals
th-cam.com/video/Kh2xCtTh2Kw/w-d-xo.html
I was here
What a masterpiece 💯
HATAREEEEEEE KWA AFYAAA
My brothers from the east of our country Africa, big up
Cm ina macho mata2 na wew una macho mawili so chunga utoe la 3
My love for Tz artists is on a whole new level...nimeipenda hii mr bright n Stamina...big up from kenya
Nyimb nzuli sana
th-cam.com/video/yW8kkYCfTX0/w-d-xo.html
Stamina Tayalii Asha mtoa tena kwenye Game mzee
From kenya we love stamina 🔥🔥🔥💯💯💯
Uko vizuri brow