Best Naso - Mrudishe Dada (Official Music video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2021
- #BestNaso #MrudisheDada #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
A girl who fell in love with a man and decided to take on the responsibility of flirting with him without examining him. Follow this tragedy through this song. You will either get the meaning through my language or the melody i used!Enjoy!Album name (GIFT OF LIFE)
Artist: Best Naso.
Song: Mrudishe Dada.
Video Directed, Shot & Edited by Xaimaco.
For More Info:
Artis Booking:
+255 756 647 090
+255 714 439 177
Video Booking:
Director Xaimaco
saidymakongoro@gmail.com
+255 719 476 042
Follow Best Naso on:
profile.php?...
/ bestnasotz
/ bestnaso
open.spotify.com/artist/39MQM...
/ yamoyoni-single
www.boomplay.com/search/defau...
audiomack.com/bestnaso
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
Team nasso💕
Wekeni nguvu🔥
🔥🔥🔥🔥
Brother unajua saana sijawahi kukupinga kama umemuelewa huyu fundi wa Bongo Flava like tujuane
Hongera sana kwa wimbo nzuri sana.
Best naso anajua kiukwl ambaye atampinga huyo m2 bc akazikwe kwa sasa
Good boys
Good boys
Daaaaaah Aise Namuelewa saana Huyu Mwamba
Jamani best nasso anajuwa, ila sema wa Tanzania tunapenda wasani wenye sifa
Ukweli
Kabisa
Shida wangine watatumia nguvu za ziada kukubalika
😭😭😭😭😭😭😭Sina la kukomenti Ila Nisha jikuta mwenye machozi
Imenitoa machozi nimemkumbuka ndugu yangu alikuwa akipigwa na mume wake siku moja alitoroka hakuludi hadi leo 😥😥😫😓😧
Kweli naso unaimba vinzuri nakupenda bule napenda uimbaji wako,
Kaka hongera sana kwa nyimbo nzuri👏👏👏👏❤❤❤
Hongera Naso, Unaimba nyimbo kila mtu anasikia sio kama wangine wanaimba za Vijana.I wish uwe Kinara wa East Africa Music.
Nasso wewe ni kifaa Cha jamii mim binafsi nakukubali Sana hongera.
Ukweli AKO fity
Kazi mzuri sana
www chuma nakubali nyimbo xako
Yan naso bas sina jinsi ila nakukubal sana
Jamn best nyimbo zako huwa nazikukubali tangu nikiwa shule ya msingi ulipotoa wimbo wa tuma ,MUNGU azidi kukiinua jmn.
Kaziiii nzuriiii dada zetuuu jaman wana tabuuu sana acheni tu
Mwanzaaaa iyoooo
Yani best ww kiboko yao yani nakukubali sana mungu akubarki sana
Congratulations best naso hii wimbo mrudishe dada imenikuxa kwenye moyo ,,pick up mungu akujalie nguvu saidi ya kipawa kwenye ulimi yako mziki moto sana
Best naso u are the best unanimba songs za kuelemisha watu
Next naso nakupenda wewe Adi nyimbo zako
Ngoma Kali Sana aiseee ujumbu mzur Sana
Kaliii #BestNaso mwe ye Jumbezake
Hakika best naso nyimbo zako zina mafunzo sana Kwa jamiii ya Leo mungu akubariki sana
Ngoma kaliii, duuh tatzo nyotatu axe ila jamaa yuko gd
Naso ww ni jemedar wa utunzi nakuimba ila sema watu wanataka za uchi ila ww nikioo cha jamii
Naso nyimbo zako hazimalizi ladha bigap sana nakukubali mtuwangu
Kazi njema Nasson
Daah wimbo mzuri wa mafunzo zaidi,nguvu nyingi niza kutafutia familia sio za fita big up nazo🙏🙏
Naso umenigusa hapa niliacha ndoa yangu kwa mingumi na dharau kama za uyo kaka ujumbe uwafikie wanaume wote wenye tabia kama hizi 🙏🏻
Hatali sana nasso nyimbo nzuri yenye ujumbe mzito sana
Daaah, huyu jamaa sijui kwanini! Ila basi tu!
Mwanza tena🇹🇿🔥🔥🔥
Mashairi yenye akiri
Kazi yako na jina lenyewe laendana Best, BEST NAZO 🇰🇪 Love
Best one since narudi vijijin hiii imetisha tenaa..
Safi kk ukopw
Nakupenda kaka yangu love you so much your songs
Ongera sana best naso kwa ujumbe nzuri
Wimbo muzuri sana wenye mafunzo mazuri ndani
Daah kiukweli kazi ni nzur sema sisi ambaye tunaimba kuelimisha ndo tuko chini sana wakupotosha jamii ndo wapo juu 💯✅
Ki2 bomba
Hongera cn uko vinzuri unaimba mpaka raha
Naupenda wimbo mrudishe dada yang
hamza. nakukubali sna best naso
ngoma kali sana broo saluti kwako 💪💪🤜🤜🇹🇿
Saf sana best naso unaimba nyimbo nzur tofaut na nyngne
Nakubali Madon member BRAZZA VILLY apa
Best nasso we ni fundi
Mason kaka nakuaminia sana kwa nyimbo zako zenye ujumbe unaoeleweka sio kama wengine wamekazana matusi tu na mapenzi,,so mwingine ni bishoo toka kbg town dodoma wananiita machina the done
Song dada yangu ila best nasso kuiba unajua nafurah sana but watu wa mara tunajivunia wewe nakubal sana 🙏🙏
Hongera best ns nyimbo zako kal zinasisimua akli saf
I like this song so much good kaka mungu akuzindishie nyimbo zako zanifuza na sio mimi 2 kwakila rika aisee
ongeraaaa sana Kwa Kwa nyimbo zko zenye ujumbe,
Brother nyimbo kali sna mpende dada yko asipigwe akakonda kwa mume mrudishe hajaua
Kaka Nasso ukovizuri
Kwa ujumbe mungu akujalie
Duuuh my brother unajua kuimba masha llah
Naso nakupataji kaka maana ujawai towa nyimbo ovooo jamen
Uko vizuri elimisha jamani
Kwangu wimbo wa milele,nisiseme wa mwaka.
Hongela Naso Best
Moto best naso 💪💪🙌🙌👄👏👏👏💂
kutesa wanawake ilikuwaga zamani
Waooow bonge la message lazima wakae
Mashabiki mnaoshabikia majina kuliko wadhafu wao mtaendelea kushabikia mpaka lini????????
Naso kaka hujawahi kuchapia ndomaana naendelea kukupa 💯✔️ hakika watanzania hatuna zaidi yako tunakupenda sana pambana nyuma tunakufuata kukupa zako surpoter
🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ongela uko vizuri nyimbo zako zinafundisha
Best naso hiyo Kali kalib kahama
Hongera sana best naso kaz nzur mngu akutangulie
you are de best mr best nyimbo zako zafunza kweli niko nyuma yako nikikuombea kila siku Mungu akuzidishie pia nasi wasani wadogo mtukumbuke 254🙏✍
Kaka umetisha sana
Hujawai kosea kuimba brother
Hapa kama Beziii in Mwanza
Yaani nikisikilz hili song huwa naona kabsa kwmb naso wewe ni king kaka la kazi 🤛🤝
Nyimbo zako zinagusa Sana baazi Kama wanawake na vumilia au yanamwixho na kibanda cha mchicha na hiii daaaa
Ujumbe mzuri saaaana video nayo iko poa jaman ur the best
Msanii wangu pendwa kabisa💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Hi nyimbo inaniumiza sana sana nikiisikiliza nakumbuka mateso ya mama yangu 😭😭😭😭😭😭😫😫😫yapo kama haya pia nakumbuka mama yangu mdogo aliteswa na mume wake alimpiga anazimia siku moja alimpiga mpaka akafariki😭😭😭😭😭😭😭😫😫😫😫😭😭Ni kweli hii nyimbo ujumbe mzuri watu wengi wanapitia haya maisha God bless you
Kaka best naso mara tunazidikuwakilisha mipia naimba by chans
Nakubali brother Best naso kwa tungo zenye ujumbe kwa jamiiii wengine wahuni2
Kwa kwel dada anateseka
Yaan kusikiliza nyimbo zako hua sichok jaman big up sana
Nakubal brother hujawah Kosea
Nakukubali miaka mia naso ase kwa nyimbo zako
Uko makin kaka maan kunawanaume wengine awajui thaman ya mwanamke
Nzuri broo best nasoro
Ujawai kubaatsha best basso uwezo unao
Hongera sana kaka besti naso unafundisha sana ♥️♥️♥️♥️♥️
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 sina neno juu yako Best naso kaka me nakuombea kwamungu sikuzote za maisha yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nalia Sana kwauchungu Sana kwanyimbo zako kaka
Big up bro ujumbe umefika
Jamaa una jua sana hivi ma company haya kuoni yakakupa ubalozi una positive vibes sana
Yaan mm huwa nakukubali nyimbo zako ingawa chagamoto za msing unazopitia n nying pambana mpaka siku ya mwsh
Pamoja best naso uko vizuri mungu akulinde
Hizi ndio nyumbo unazoimba vizuri sana..yani umebobea kwenye nyimbo za mafunzo
Best naso ni mmoja to hapa bongo
Sana Kaka me mwenyewepiy namwelewa sana
Dah good artst jmni tuache ushiki jamaa anajua anaelimsha pia mzk asilia wa kiafrica 🤝🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿
Aksanti kya wimbo nzuri kiana ule iko adf
Bonge la ngoma umetisha best naso mungu akubaliki san
Nyimbo nzuri inaujumbe mzuri na maadili inafundisha
Educative song.gonga like kama ume iona toka East Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Umenifanya nimesisimkwa mwili kwa uchungu Best
Funzo kubwa sana
Wewe ujawah niangusha hata nikiulizwa msanii wako nani jibu ni☝️
Nasso Nasso Nasso sina neno kiongozi 🙌🙌
Ayah mzeh wew ni mwimbaji mzuri mno
Yani huyo dada ndiyo mim kbisa🥺🥺😥😥
Kaka mm nakukubali san endelea hivy hivy mungu yupo kaka naso
Nakuerewanga sana naso sijui mda mwingine huwa unajisahau wap jamaa agu
Ooo bwasheee mludishe dada yangu hongera naso