REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 07/11/2023.
    KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
    "A SENSE OF PURPOSE"
    NENO KUU
    UNAFANYA NINI HAPA?
    WHAT ARE YOU DOING HERE?
    NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
    1 Wafalme 19 : 9
    UNAFANYA NINI HAPA?
    ZITAFAKARI NJIA ZAKO
    Hagai 1 : 6
    Isaya 55 : 8 - 13

    Hagai 1 : 6
    6 Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamkujazwa na vinywaji; mnajivika nguo lakini hapana aonaye moto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.
    Isaya 55 : 8 - 13

    8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.
    9 Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
    10 Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;
    11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
    12 Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.
    13 Badala ya michongoma utamea msunobari, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia Bwana jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.

    Mhubiri : Mch. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 23

  • @PriscarLawrence
    @PriscarLawrence 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mtumishi kwa Neno,nimebarikiwa,na nimeponywa

  • @Jackson-br2km
    @Jackson-br2km 10 หลายเดือนก่อน +3

    Africa will remain a beautiful place... Ugaibuni tabu sai baridi hakuna hata raha😢

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 7 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢😢😢😢

  • @lilianmuchoki1659
    @lilianmuchoki1659 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awe nawe wakati wote

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka wa kumi mfululizo. Mafungo ya siku 40! BARIKIWA MTUMISHI kwa kazi yako nzuri san.

  • @JUDITHAMONDI
    @JUDITHAMONDI 11 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you servant of the most high, I believe that through the message i will never remain the same.

  • @lucresacareen8332
    @lucresacareen8332 7 หลายเดือนก่อน

    Baba Mungu azidi kukutunza kwaajili ya vizaz vingi hakika nabarikiwa sana na wewe nipo kwenye msiba mzito wa kaka yangu nimeshinda nasikiliza mafundisho yako kwa muda wa siku tatu aisee nimemuona Mungu

    • @lucresacareen8332
      @lucresacareen8332 7 หลายเดือนก่อน

      Mpaka naenda kuzika nasikiliza tuu ..naishi mbeya lakini mimi ni mkristo wako mwaminifu online ingawa mimi n moravian

  • @felistermoshi5852
    @felistermoshi5852 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mchungaji. Neno limenibariki sana. Ubarikiwe

  • @ShannyMstapha
    @ShannyMstapha 9 หลายเดือนก่อน

    Ameni nauona ukuu wa mungu mbele yangu

  • @doreentemba7833
    @doreentemba7833 3 หลายเดือนก่อน

    😇🙏🏿

  • @BarikiOsward
    @BarikiOsward 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuunganishe waumini wote katika mafungo haya❤

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 11 หลายเดือนก่อน

    Nkyoki kuketana yaa! Nkiki kuuta iha! AMEN BARIKIWA Baba yetu.

  • @sylviaprotace8243
    @sylviaprotace8243 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi

  • @beatricemsele4844
    @beatricemsele4844 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru Kwa mahubiri mazuri mnooo

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 11 หลายเดือนก่อน

    Mndumii nar'umisho mbee. Kama Mungu hasikii maombi ya waliopoteza muelekeo ni nini kinawarudisha kwe mstari? Mwana mpotevu alirudi mwenyewe bila neema ya Ktisto? Je Mungu hakuona mateso yake ya kula na nguruwe na kumpa wazo la kurejea kwa baba yake? Inanitafakarisha Sana🙏

  • @esterstephen7978
    @esterstephen7978 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @perpetualugendo5230
    @perpetualugendo5230 11 หลายเดือนก่อน

    Njii kuketana iya?

  • @wamadenzatv4174
    @wamadenzatv4174 11 หลายเดือนก่อน

    Mchunga unauwez mzur wakufafanua vizur na kufundisha vizur

    • @lucianagodson437
      @lucianagodson437 11 หลายเดือนก่อน

      Kabisa hicho kipaji Mungu amembarikia vzry

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 11 หลายเดือนก่อน

    Samahani mnakata mapema atuombewi pia baraka atupokei najuingamanisha nikiwa Oman