REV. DR. ELIONA KIMARO: MAUMIVU YA MWISHO/LAST PAINS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU:
    'HII NI KWARESMA:
    03/ 03/ 2024
    SOMO LA LEO: MAUMIVU YA MWISHO ( LAST PAINS )
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7
    Yohana 9 : 13 - 16
    Mwanzo 41 : 14 - 16
    Kutoka 5 : 6 - 9
    Kutoka 5 : 20
    Kutoka 6 : 1

    Yohana 9 : 13 - 16
    13 Basi wakampeleka kwa Mafarisayo yule aliyekuwa kipofu zamani.
    14 Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho.
    15 Basi Mafarisayo nao wakamwuliza tena jinsi gani alivyopata kuona. Akawaambia, Alinitia tope juu ya macho, nami nikanawa, na sasa naona.
    16 Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao.
    Mwanzo 41 : 14 - 16
    14 Ndipo Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao.
    15 Farao akamwambia Yusufu, Nimeota ndoto, wala hakuna awezaye kunifasiria; nami nimesikia habari zako, ya kwamba, usikiapo ndoto, waweza kuifasiri.
    16 Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
    Kutoka 5 : 6 - 9
    6 Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema,
    7 Msiwape watu tena majani ya kufanyia matofali, kama mlivyofanya tangu hapo; na waende wakatafute majani wenyewe.
    8 Lakini hesabu ya matofali waliyokuwa wakifanya tokea hapo, wawekeeni iyo hiyo, msiipunguze hata kidogo, kwa maana ni wavivu hao; kwa hiyo wanapiga kelele, wakisema, Tupe ruhusa twende kumtolea Mungu wetu dhabihu.
    9 Wapeni watu hao kazi nzito zaidi, waitaabikie; wala wasiangalie maneno ya uongo.
    Kutoka 5 : 20
    20 Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao;
    Kutoka 6 : 1
    1 Bwana akamwambia Musa, Sasa utaona nitakavyomtenda Farao; maana kwa mkono hodari atawapa ruhusa kwenda zao, na kwa mkono hodari atawafukuza katika nchi yake
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 86

  • @EllymunisiMunisi
    @EllymunisiMunisi หลายเดือนก่อน

    Nimemuona mungu sana mch rev kimaro mungu akubariki kwa huduma nzuri

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 11 วันที่ผ่านมา

    Amina mchungaji,umenibariki sana kwa haya mahibiri,kama yesu alimponya bathomayo kipofu,naomba unibariki

  • @elianzammari1421
    @elianzammari1421 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mugu akuinue viwango vyajuu zaid mtumishi wa Bwana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana mchungaji.Ubarikiwe🎉

  • @martinkigua8627
    @martinkigua8627 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Amina Amina

  • @neemajoseph8749
    @neemajoseph8749 7 หลายเดือนก่อน +9

    Ameni mtumishi mungu,mungu akubariki kwa somo lenye kuinua hakika nimepata kitu kwenye huu ushuhuda mungu azidi kukuinua viwango vya juuu amen

    • @EliaMaole
      @EliaMaole 6 หลายเดือนก่อน

      Hongera mchungaji maubiri yameningunza hunarikiwa sana 25:40

    • @Batholomeolafaeli
      @Batholomeolafaeli 6 หลายเดือนก่อน

      Ubalikiwenabwana

  • @josephmkina
    @josephmkina หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Mbinguni aendelee kukutumia baba Rev Kimaro

  • @ReginaMwongeli-t8d
    @ReginaMwongeli-t8d 3 หลายเดือนก่อน

    Let the hand of the do a miracle on me in Jesus name I believe 🙏

  • @Suzysamwel-cc1qr
    @Suzysamwel-cc1qr 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @MarySalvatory-v3c
    @MarySalvatory-v3c 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana baba mchungaji taji yako inang'aa sana.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 วันที่ผ่านมา

    Ninakuelewa🎉

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 7 หลายเดือนก่อน +1

    Those who are working in gulf countries understand this message clearly, it's not easy but fruits of our work has changed our families.

  • @lilianmuchoki1659
    @lilianmuchoki1659 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukupa nguvu kutoka Kenya

  • @ISAACWairegi
    @ISAACWairegi 3 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa

  • @grace-rh3vv
    @grace-rh3vv 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @EdinaChepkemboi
    @EdinaChepkemboi 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMEEEEEN 👋

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 5 หลายเดือนก่อน

    Baba nakuomba uruhusu uvuvio na Neema katika kazi yangu na familia yangu 🙏

  • @jescannko4757
    @jescannko4757 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeen Ameeeeeeen Ameeeeeeen 🙏🙏🏼

  • @jescannko4757
    @jescannko4757 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeen Ameeeeeeen 🙏🙏🏼

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 6 หลายเดือนก่อน

    Kupitia mafundisho haya Mungu naomba leo iwe last pains kwangu katika jina la Yesu aliye hai

  • @elimakirui931
    @elimakirui931 5 หลายเดือนก่อน

    God bless you mightily Mchungaji. This is powerful. It's truly wonderful & worthy hearing from God on behalf of His flock. Barikiwe milele na milele mfululizo sana sana sana tena na tena. Amina

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen nimepataaa fundisho kubwaa baada ya maumivu ni furahaaaaaa

  • @LeticiaMgallu-lt5wp
    @LeticiaMgallu-lt5wp 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen!! Unafanyika baraka sana kwangu Mchungaji. Mungu akubariki mnooo. In Jesus name, This is my last pain.......Halelluyaaaa!!!!!!

  • @JanethMuloki
    @JanethMuloki 6 หลายเดือนก่อน

    Our last pain season may God remember us indeed barikiwa mchungaji kimaro asante kwa kubali kuwa baraka kwetu mungu akutunze for us.

  • @HildaKessy-yw7kh
    @HildaKessy-yw7kh 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn neno Mungu tafadhal andika m ya kwanza lazma iwe m kubwa

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 6 หลายเดือนก่อน

    Ameni Mchungaji kimaro, unanibariki Sana nikikusikiliza Naona natoka kwa haya maumivu la last pains. Naomba siku nikija dar es salaam nikuone live naamini neno moja toka kwako nitafunguliwa milele unanibariki Sana Sana mimi ni Neema toka Arusha

    • @neemalaurent9836
      @neemalaurent9836 6 หลายเดือนก่อน

      Ee bwana unifurahishe kwa kadri ya siku zile nilizoona mabaya

    • @neemalaurent9836
      @neemalaurent9836 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu atanifurahisha,,hatanitupa hata milele

    • @neemalaurent9836
      @neemalaurent9836 6 หลายเดือนก่อน

      Ninatetewa na bwana,mbingu zinitetee

  • @MariaPetro-p6s
    @MariaPetro-p6s 5 หลายเดือนก่อน

    Amen. It is my last pains.Yes it is.

  • @RobertKithi
    @RobertKithi 6 หลายเดือนก่อน

    I'm in keya and have been blessed by this sermon

    • @TheodosiaSangka
      @TheodosiaSangka 6 หลายเดือนก่อน

      Hajika kwa utukufu wake Mu gu kila maumivu mateso yanayo tuzunguka mapooza yote yanayotesa watu wa Mungu yanayonitesa moyo hakika yamefika mwisho

  • @rahyanadam8328
    @rahyanadam8328 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen❤

  • @magrethmshana6556
    @magrethmshana6556 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen mtumishi wa Mungu

  • @edisonkalikawe7618
    @edisonkalikawe7618 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu, your so blessed 🙏🙏

  • @estharlovely6202
    @estharlovely6202 7 หลายเดือนก่อน

    Amen na ubarikiwe Mchungaji

    • @nobetiamos4116
      @nobetiamos4116 7 หลายเดือนก่อน

      Unapo soma nenolamungu nakuelewa ukokama danieli mutumishi wamungu

    • @nobetiamos4116
      @nobetiamos4116 7 หลายเดือนก่อน

      Unapo soma nenolamungu nakuelewa ukokama danieli mutumishi wamungu

  • @ephraimchota3265
    @ephraimchota3265 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen mchungaji👏👏👏👏

  • @Paulinangetuya
    @Paulinangetuya 6 หลายเดือนก่อน

    Amenaaa mchungaji

  • @MariaNdagile-hx5pr
    @MariaNdagile-hx5pr 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeen baba

  • @marymalongo6855
    @marymalongo6855 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi Mungu azidi kukubariki mtumishi,uzidi kutupatia chakula cha kiroho, ninabarikiwa sana na mahubiri yako, hakika somo hili limeugusa moyo wangu, nasimama na hili neno, maumivu ya kutokupata mtoto Sasa nimaumivu ya mwisho, mwaka huu Mungu anaenda kutenda kuniiunua

    • @veronicasarita8422
      @veronicasarita8422 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amina Mungu akakutendee sawa sawa na Iman yako

    • @miriamalute1540
      @miriamalute1540 6 หลายเดือนก่อน

      Ameen Mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @MARYLUMUMBA-v2l
    @MARYLUMUMBA-v2l 6 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa🙏🙏🙏🙏

  • @asta.tanotdoor7
    @asta.tanotdoor7 7 หลายเดือนก่อน

    Amen sanaaaa sasa wataonaaa

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 5 หลายเดือนก่อน

    Ninachojua yesu amenituma kwenda kunawa ktk birika la Siloam na Sasa ninaona na familia yangu

  • @herieldouglas8266
    @herieldouglas8266 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 7 หลายเดือนก่อน

    Last pains Amen

  • @dominicnzuki7160
    @dominicnzuki7160 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ur contact plz . I'm in hospital with my son Sylvester Mumo with supribic catheter keep us prayers

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @imaniherman5169
    @imaniherman5169 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen🙏

  • @cecyhaule
    @cecyhaule 5 หลายเดือนก่อน

    Last pain

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @aminamollel-y2p
    @aminamollel-y2p 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen baba Mchungaji

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 7 หลายเดือนก่อน

    Natetewa na bwana

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 2 หลายเดือนก่อน

    Zaburi 90:15

  • @annakadudu4505
    @annakadudu4505 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @marymalongo6855
    @marymalongo6855 7 หลายเดือนก่อน

    Aminaa

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinaaaaaaaaaaaaaa

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    AmeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAnswers for AmeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAnswers

  • @fleviahella9818
    @fleviahella9818 6 หลายเดือนก่อน

    Ndkfwhg fvveu❤❤❤❤

  • @OlaisMeyasi
    @OlaisMeyasi 3 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana na Mungu amenikumbuka,Mungu Akubariki sana mchungaji

  • @Suzysamwel-cc1qr
    @Suzysamwel-cc1qr 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @NeZa-y1f
    @NeZa-y1f 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @dinahk.7622
    @dinahk.7622 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @FrekeziaMinyanya
    @FrekeziaMinyanya หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JacklineMgoywa
    @JacklineMgoywa 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JackuAron
    @JackuAron 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Suzysamwel-cc1qr
    @Suzysamwel-cc1qr 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @RobertKithi
    @RobertKithi 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeee3eeee3eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssn

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee3eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessssseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessssseeeeedeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnnnnn