Tumeshakwambia Hatuabudu Makaburi Kwanini Wewe Unalazimisha | Ustadh Muhammad Al-Beidh

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2023

ความคิดเห็น • 21

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 10 หลายเดือนก่อน +3

    ALLAH akulipe kher shekhe wetu duktur Islam Muhammad

  • @SuleimanSalim-qu9hi
    @SuleimanSalim-qu9hi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah sheikh wetu mungu akupe maisha marefu yenye manufaa inshaallah

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 10 หลายเดือนก่อน +1

    Baaraka llahu fik sheikh Islam

  • @saidsalim2386
    @saidsalim2386 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi Ali Faza uzidi kuleta zengine kama hizi

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 10 หลายเดือนก่อน

    Asante ali faza kuzidi kuonesha sunnah ina nguvu alhamdulilah hi yatosha kujuwa watu wa bidaa ni washirikina

  • @mahatmohamed8392
    @mahatmohamed8392 5 หลายเดือนก่อน

    mbona munajiweka wazi hapa albeidh anasema, '' alie hai Mungu humjibisha dua na aliyokufa Mwenyezi Mungu humjibisha dua baas''

  • @muktazimbuyu6569
    @muktazimbuyu6569 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaomba makaburi bhna kwanza we uliambiwa na nani kama wale waliolala pale walipendwa na Mungu😂😂😂😂😂

  • @yaizfamily6615
    @yaizfamily6615 10 หลายเดือนก่อน

    Kwahio waliokufa pia wanaomba dua!!!!!!!!!

  • @muktazimbuyu6569
    @muktazimbuyu6569 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio ujinga kabisa aliyekufa Anaombaje dua😂😂😂😂

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 2 หลายเดือนก่อน

    Munakasha ulikua Sakina Dk.Islam ulikua wapi mbona hukuja Wacha Maneno matupu.

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ww sasa utwambie wanabudu vp makaburi ww wahabi utoe uthibitisho kwamba hawa wanabudu makaburi na maneno yao ni haya ww islam Allah yuwakusubiri kuwazushia wana zuoni na waisilamu

    • @Muislamu
      @Muislamu 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wataka thibitisho gani zaidi ya wao kwenda makaburini na kukaa makaburini na kupitia kw Maiti..kwani makaburi ni pahali watu kwenda kupiga matari na kunyenyekea na ...kama si kuabudu ni nn..kwani makaburi ni miskiti ??
      Au wapi ulipata mtume au maswahaba au wema waliotangulia walikienda makaburini wakafanya kama wanaofanya hawa??
      Na ajabu ni kua wajifanyia kampeni wazazi wao ...sjui sharif fulani ..huoni kwenda kw kaburi la mwengine ni mababu zao na baba zao ...kwani ni ?? والله الموعد ..
      وعند الله تجتمع الخصوم
      Huko ndio tutapambana mbele ya Allah ni nani alkua kw haqqi..nyinyi endeleeni kueneza shirki na khuraafat..na mupinge daawa ya mitume mutaona natija...biidhnillah

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@Muislamu mtume alinda makaburini ehh kuzuru ww nimekukiza wanabudu vp ama wanamshirikisha vp Allah umeandika porojo nyingi

    • @ahluldhikri6054
      @ahluldhikri6054 10 หลายเดือนก่อน +1

      huyo ni tumbiri hajielewi anachokisema huyo muhabi

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      @@Muislamu wajua ukiongea na mtu mwenye akili lazima na ww uwe na akili sawa mwasema waomba maiti sawa na wanamshirikisha Allah sasa toa ushahidi wasema kadha wa kadha ndio tujuwe waomba maiti hivi alafu umesema washirikina wamshitikisha vp Allah na siku ya kiyama utaenda kulizwa usisahau hilo manake wapotofu nyinyi mawahabi mwaona watu waenda kuzuru mwasema wabudu makaburi na huna kithibitisho hata mtume s a w

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      @@Muislamu ba mtume s a w alizuru makaburi pia yy alikua akiyabudu wataka kusema chungeni wapotoshaji nyinyi mutakwenda kuchomwa kuwazushia watu urongo

  • @Muislamu
    @Muislamu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unaambuwa ww ali Faza fattani ..
    Makhurafi munakataa kua hamuabudu makaburi mkitaka msitake mwabudu..kama ambavo munaliza kutuita mawahabi mujue ndio ibada muliorithi kutoka kw mashk zenu ni kuabudu wafu...شئتم أم أبيتم

    • @saidsalim2386
      @saidsalim2386 9 หลายเดือนก่อน

      Allah akuhifadhi Ali Faza uzidi kuleta zengine kama hizi

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 2 หลายเดือนก่อน

    Ujingani wa hali ya juu, dua ni ibada sasa lolokufa hufanya ibada? Tena hadith yasema afapo mwanadamu hukatika amali za ila 3, sasa ikiwa ataweza kufanya ibada ya dua hii itakuwa ya 4 kinyume na hadithi ya mtume swalallahu aleihi wa salam, sasa kati yao na mtume swalallahu aleihi wa salam nani mkweli nani mrongo?