Mwenye Badawi _ Assayid Ahmad Badawi | Ustadh Muhammad Al-Beidh

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2023

ความคิดเห็น • 68

  • @wastarayusuf93
    @wastarayusuf93 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa allah tunajipatiya faida kubwa kwa shekhe ietu allah amrahaamu. Na hizi ndizo elimu safi.

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallaah tunasikia raha kuwajua mabwana wakubwa wenye uchamungu

  • @user-pt3zk6jc9v

    Mashaàla

  • @mohammadabdul590
    @mohammadabdul590 ปีที่แล้ว +2

    Ilikuwa hasinzi kabisa maajabu hayo

  • @ashrafkhamis1051

    Masha Allah

  • @CubeedCali

    Mawahabi munachuki na wanazuoni tushawazoweya

  • @user-nv7jg6xc8l

    Tuliosoma vyuo vya kitwarika tunajielewa sio hawa wengine

  • @adamjutto5849

    Kama halali ni malaika huyo basii😂

  • @khaalidi3503
    @khaalidi3503 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee ni hatari sana katika suna za mtume swalallahu aleihi wasallam haogopi hata kusema uongo ana ghuluu eti sikumbuki kumuasi Allah huko kusema tu hivyo nikumuasi Allah kuna maaswia makubwa kushinda hayo

  • @pavillioncry5241

    Eti miaka 18 hajalala

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v ปีที่แล้ว

    Mrongo loo

  • @adamjutto5849

    Kuna mzee kushoto mpka kainamisha kichwaa😂,maana daah ni uongo ulopitiliza😂😂,zee lilikua ongo hilii😂

  • @pavillioncry5241

    Huyu mzeee alikuwa muongo

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 ปีที่แล้ว

    Acha uongo Kwan yye ni Maa'sumeen

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว +3

    Kwani alikuwa ni maasumi hamuaswi Allah, hiyo ni ghulu hafai kumsifu mtu hivo, kwani ni mtume yeye hajawahi kumuswai Allah hata siku moja!

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 ปีที่แล้ว

    Muabudu makaburi uyu mzee

  • @khaalidi3503
    @khaalidi3503 ปีที่แล้ว +1

    Eti ilikua halali na watu wametulia hapo wanakaribishwa uongo

  • @user-yh8qf3sv3h
    @user-yh8qf3sv3h ปีที่แล้ว +1

    Yeyote mwenye kumkanusha huyu Ustadh alraahil almarhum Alhabib Mohammed Al-Beedh ni hao katika kundi 'khawarij alsalafiyatul wahabbiyya'.

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u ปีที่แล้ว +1

    Hhhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhh jamaa kidoogo punguzeni majaka... hhhhhhhhhhhhh 😅😂😂😂😂😂 ukitunga pima kidogo kuna wajanja wajanja wataelewa!!!

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u ปีที่แล้ว +1

    Akizungumzia watu wengine fahamu yao nzito na wapenda kulala, lakini jamaa zake maa shaa Allah werevu!!! Breki pia alikuwa kitwa kizito... ndio aongoze mombasa! Hhhhhhhhhhhhhhhh jamaa pangeni uongo tartibuni jamaa.... watu sio wajinga...😂😂😂😂😂