King Kiba alivyoisimamisha Mombasa na wakazi wake
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 เม.ย. 2018
- Ndoa ya King Ali Kiba ilikuwa gumzo la kutisha ndani ya mji wa Mombasa na viunga vyake. Wakazi na wahamiaji wa mji huo wakajikuta wakisherehekea harusi ya King Ali Kiba. Hebu jumuika nao upate kufurahi pia.
- บันเทิง
Masha Allah, Ally kiba basata wanachelewa kukupatia tunzo za hekma, maana unastahiki kupata zawadi kwani, wewe ni kioo Cha jamii kiukweli🤲🤲🤲🤲🤲 Allah ibarik
Walodislike watakua walozalishwaa wameachwaa kwenye mataa🤣🤣🤣KIUKWELI ILINOGAAA.AMINA MZURI BANA .BI AMINAA SMIle🤗MC ULIJUa KUNOGESHA SALUTE
Mashaalah ilipendez sana twataman n ss tupate waume wazur km hao
Nivyema mwanamke wa kiislam akijistiri angejistiri nyele zake angependeza Zaidi kama mwanzo mbarikiwe maisha mema duniani na kesho akhera inshaallah
Congratulations Kiba 🎉🎉🎉🎉 my own artist ❤
Nawaombea kila la heri Kwa ndoa ya Ali kiba na Amina
Mabrooq Alf Mabrooq, ilinoga Kweli Maa Shaa Allah.
Ahaaaaaa,,usiogope nyau wala paka,,,,,vitu vyiako amina...Ahaaaaaa
Mashaalla kikiba mungu akuondolee usuda mbaya katika ndoa wako
Amen
Yaani uyo Mc ananifurahisha mno
🤣
Mm Naona Leo kumbe washaachana duh kiba mrundie hi Amina tafadhali
Hi,hongera sn kwakweli Ali kiba ulifanya kitu cha maana Allah aibariki ndoa yenu insha'Allah
sio ndoa ilivunjika
Mungu aidumishe ndoa Yao hao wawili (A,A)Allahumma Aaamin👌👌❤️❤️
Mashaalla❤️wonderful wedding 😍
Mashallah munguu awapefahamu nzuri
MASHALLAH
Likeee
بي العافيه
وايام سعيده
عسل صافى وكله افراح
يسعده
King Kiba, you did well, amazing and very fantastic wedding
kiba noma
Ma Sha Allah tabaraka may Allah bless your wedding and gives you happy Family
MaashAllah mabrq Ali kiba na Amina
m pendeza sana jaman
Shukran InshAllah heri
Wapi nduru ndo nn
Que dieu protège votre amour Amina inshallah. Mashallah
hadi leo sichoki ku watch alikiba wedding yake
Mashallah 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
I like it
I loved this wedding,my best artist
Mbn hamchangamki mwaogopana ama nn jamani
Hadi raha yaan
I will watch alikibas wedding till I die
@azam nataka kujua hiyo wimbo ali Kiba aliingia nayo ni gani
Kingkiba
Amina tz utapaweza
Mashallah wamependeza
ndoa njema
Ilipendeza sn jmn
nice well
Shefa la miraba minne
Yaap
Had raha
Ooh,yes!!
King
Good memory
Uliambiwa usiogope,Nyau Wala paka,,
Usiogope usiogope
Nice 🎉❤
😂😂😂😂 sawa Aunti sada😂😂
ilinoga kinyama nyama
Sichoki kuangalia guys kila la kheri
Hakuna harusi iliyo noga kma y alikiba
2nakutakia maisha malefu katika ulimwengu mpya ulioingia hakika mungu ni mkubwa mtaniwangu mi mtu wa bukoba Tanzania.🇹🇿🌹🌹🌹💙
So sad they got a divorce after all that😢
MashaAllah
Mc hatariiii
Tunasubr halus ya mond
Mashaallah
Mama Kiba alikuwa na furaha mno
Joshua
Where are they from???
Groom From Africa Tanzania, Bride From Africa Kenya, Groom Is A Popular Singer who sing RNB his Name Is Alikiba, search His Songs
@@eltajir7835 Thank you for the Reply. Their outfit looks similar to what we wear in saudi.. Interesting 🇸🇦🇸🇦
@@user-cq1px3vq2c here in africa islam groom like wearing saud outfit or oman outfit, do you use whatsapp??
@@user-cq1px3vq2c same cultures just all muslims are the same bro
Zabibu Na hilo wigi ,bora angelivua kabisa
Where they came from? Kenya
Ni wivuuu tu wewe
Kiukweli nywele alichemshaaa
Upuuzi mtupu wallahi...
Wivuuuuuu huo
Ni wivuuuu tu wewe kama mchawi
Yawezekana ww mchawi
Ni mchawi hahaha