ESHA BUHETI AFUNGUKA A-Z JINSI ALIVYOKUTANA NA MUMEWE - "NILIKUTANA NA MUME WANGU KWA MCHORA TATOO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • ESHA BUHETI AFUNGUKA A-Z JINSI ALIVYOKUTANA NA MUMEWE - "NILIKUTANA NA MUME WANGU KWA MCHORA TATOO"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 71

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 ปีที่แล้ว +16

    Mashaallah daima mwenye kusubir hajuti mungu humlipa mema

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +9

    Nakupenda sna esha wangu m/mungu akusimamie inshallah katik safal yako ya maisha

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu

  • @lindamutasa5752
    @lindamutasa5752 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana Eshe ❤

  • @khanifakhalfan389
    @khanifakhalfan389 ปีที่แล้ว +4

    I love it😍

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 4 วันที่ผ่านมา

    Anaongea kama Esma❤😊

  • @yussufmohd2938
    @yussufmohd2938 ปีที่แล้ว +1

    Nakupend San daa Esha

  • @cheka480
    @cheka480 ปีที่แล้ว

    i see pure love na honesty ya Eshe

  • @user-oz6yc9xp9r
    @user-oz6yc9xp9r ปีที่แล้ว +4

    Huyu esha buhet niyule sada wahuba AMA vipi

  • @kifakiliyon-wr1lv
    @kifakiliyon-wr1lv ปีที่แล้ว

    Hongeraaa snaa Eshaa Allah akusimamieee🥰

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 ปีที่แล้ว +7

    Ila esha unafuraha kabisa Mungu akuwekeeye furaha myaka yote

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah❤

  • @roynersanga1381
    @roynersanga1381 ปีที่แล้ว

    Wow amazing

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Nakupenda sana wewe Dada, natamani hata kukuona, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏ulisha lia sana kipenzi, hii iwe faraja yako mpaka kifo inshallah 🙏

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว +3

    Kaka ni muislamu kweli lkn sidhani km ni muislamu kweli maana kuna waislam jina

  • @zuhurahamisi8687
    @zuhurahamisi8687 ปีที่แล้ว

    Dída jaman❤❤❤

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 ปีที่แล้ว +3

    Mbona huyu dada kafanana sana na shilole!

  • @saudashani5981
    @saudashani5981 ปีที่แล้ว +1

    Ulienda kubadilisha kipini cha pua? Au ulisema umeenda kuchora picha ya marehemu mama ako

  • @ChrestinerMichael-hk3ec
    @ChrestinerMichael-hk3ec หลายเดือนก่อน

    mtu na stara zake dada Mungu akulinde na Kila baya

  • @fatoomhola1317
    @fatoomhola1317 ปีที่แล้ว +3

    Kilicho pangwa namungu

  • @nurusalum4421
    @nurusalum4421 หลายเดือนก่อน

    Mbona didah hataki kumpa nafasi mwenziwe ya kuuliza maswali jaman

  • @user-go7gu1um9x
    @user-go7gu1um9x ปีที่แล้ว

    Esha mamy

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 หลายเดือนก่อน

    Ss hapo nani mke nani mume naona wote wamevaa vidani

  • @tinamahega9848
    @tinamahega9848 ปีที่แล้ว +3

    Mikorogo jamani inazeesha sana

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      Huyu hajazeeka, kanenepa TU mpak uso

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 ปีที่แล้ว +3

      Huyu ni mwarabu hatumii mkorogwe.

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +3

      Kama humjui Mtu ni Bora ukae kimya uyo dada hatumii mkorogo ni rangi yake halisi na kuhusu uzee ni ndio ni mtu mzima mana ni mkubwa adi kwa shilole uyo sa sijui kuzeeka ni kosa

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 ปีที่แล้ว

      @@zuweinaalhabsya8773 mwarabu wapi huyu,mikorogo tu

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 ปีที่แล้ว

      @@ashurajengela3926 kelele za nini,ukweli ni kwamba mikorogo inazeesha

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 หลายเดือนก่อน

    Kwahio kweri ww mrundi

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 หลายเดือนก่อน

      Kwani kuwa mrundi ni crime 😮😮 mwenyewe kasema sio

  • @dainangei6608
    @dainangei6608 ปีที่แล้ว +8

    Huyo wa nyuma anavyofurahi 🤣🤣

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 ปีที่แล้ว +1

      Anafurahia mwanaume mwenziwe kufanywa zezeta 😂😂😂😂

    • @jasmineedamu6089
      @jasmineedamu6089 ปีที่แล้ว

      @@nigamo9645 😀😀

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 ปีที่แล้ว +1

      @@nigamo9645 vibayaaa 🤣🤣pita huku🚮

    • @silasila3111
      @silasila3111 ปีที่แล้ว +1

      Ana ona raha kama vile ni yy

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      Hahaha

  • @mariamfunga4343
    @mariamfunga4343 ปีที่แล้ว +3

    Uyu esha ndo shilole jamen ama ni watu wawil tofauti nauliza tu😊

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว +2

      Eshe hafanani na shilole ata kidogo, shilole anafanan na jike shupa

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 ปีที่แล้ว

      Ni watu wawili tofauti

    • @silasila3111
      @silasila3111 ปีที่แล้ว

      kWani macho yako mabovu ao

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      Ndo yy hy

    • @sumayaishengoma4543
      @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว +3

      Ni watu wawili tofauti wote ni wapishi wazuri Esha ni kutoka Tanga na Shilole ni Kutoka Tabora ni wapapanaji sana na mfano mzuri wakuigwa na jamii.

  • @LovelyGarterSnake-hx8pp
    @LovelyGarterSnake-hx8pp 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio yy sada wa huba

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 ปีที่แล้ว

    😂😂❤

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 ปีที่แล้ว

    Dida 😂😂😂😂 ananipaga raha sana

  • @harounmkunda2504
    @harounmkunda2504 ปีที่แล้ว +2

    😂

  • @tinamahega9848
    @tinamahega9848 ปีที่แล้ว +2

    Pesa unayo esha,kwanini usirekebishe muonekano wa meno yako,yanakuzeesha

    • @ghayamjombo6582
      @ghayamjombo6582 ปีที่แล้ว

      🤣

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 ปีที่แล้ว

      Unamponda sana ndugu mbona Yako sawa tu Mungu kamjaalia hivyo

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa hajazeeka chochote kanenepa TU huyu

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi ปีที่แล้ว +5

      Why focus on useless things? She's busy investing her money, more over if her husband is ok with it who are you?

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 ปีที่แล้ว

      Kwani meno yake Yana nini 🤔?

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @safiansuru7808
    @safiansuru7808 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣