Ndoa ya King AliKiba na Amina - Wageni namna walivyoshindana kwa mavazi na fahari
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 เม.ย. 2018
- Raha iliyoje ilikuwa Mombasa pale King Kiba alipodhihirisha kuwa Amina ndiye chaguo la moyo wake. King na Malkia wake wakapata 'sapoti' la kila mpenda kheri na watoa sapoti wakaamua kuonyeshana tabasamu tupu. Ni boooonge la sherehe. Enjoy!!
- บันเทิง
Mombasa ku raha yaa rabbi jalia inchi yangu utamu na upendo yaa rabbi harusi na pia watoto wetu wazuri aa rabbi m.a dope 😍 😙 nina furaha kwa harusi hii ya mashujaa wetu Binti Amina 💕💞💓💕 Allah barak my lovely mpendwa siz maisha mema yaa rabbi team kiba love u kwa jumla raha bin raha 💕💓💞💖💓💕💕 god blesse you all kwa harusi hii kubwa na bila kusahau my king governor Joho 001 love u my president mtarajiwa inshaAllah 💕💓💖💞💕💞💕💖💕💖💕💖💓💞💓💞💕🎂💕
Ustaarabu, ungwana, urembo, mahaba, vyote hivi hupatikana katika mfuo wa Pwani upende , ukatae.
This Swahili culture is "Unic" Hakuna mila kushinda hii duniani, I am really proud to be one of them!!! Pwani, Pwani, & Pwani, Tujivunie,
Ma sha Allah baraka Allahu fee
Mc nimekupenda sana auna roho mbaya
Ma sha Allah.Allah awape maskilizano in sha Allah
Amina mlan shetan rud kwako mummy 😭
😘✌
Jamani pambee imependeza Mashallah
Esha umependeza sana
Waitwa kujistiri mombasa ...mashallaaaa
mashaaallah 👏hasuri ilinoga mweee😗😗😗😗
Mombasa hoyeee..tupo juu
Shu Baibe tupooooo juuu tu saaaaana
Tena juu
MaashAllah mabrq
Mombasa raha sana yaan Hakuna tofauti na Zanzibar.
Mombasani tupo vizuri wanawake kwanza ukumbini sio mchanganyiko marufuku heshima kwa wake za watu hatupendagi chabo😎😎😎
Beautiful beautiful,congratulation kiba
Masha ALLAH mungu awabariki ameen
Aisha Aisha
Wenye wivu mnajua pakupata wembe harusi kanoga.....
Esha boheti nakuona
#mombasa rahaa mlipefeza sana tu
nangoja ya dar Allah akipenda leo
What a beautiful wedding! Congratulations to the family!
Is people who make the party!
Awesome
Mashallah nice
fresh
gud inapendeza
Ma sha Allah
Ma shaa llah
Wapendeza saana wote kwa ujumla
Maashaallah
harusi imewaka jaman dooooh Hadi raha
harusi imefana tena kihistoriya pande sote mbili naona wanashangilia kwa furaha namahaba....ongereni wazaa chema..Mrs kiresh na Mrs Suleiman mama k
Masha alllah
Mashaallah
Wapwani hao kutoka kenya kujistitiri vyaharusini .....mombasa hoyeee macuti kwenye gauni tuonyesha chupi wenyewe wajijua🤣
Mashallah
I need a Swahili friend wow this is lovely
Evelyne Engado wellcome tz
wabongo mpo munaona harusi ya watu wazima harusi ya watuwazima sio kama za wcb ya nasibu kelele mpaka utatoka beyo mwenyewe
Rehema Cabdalla umeonae
100% agree with you.
Rehema Cabdalla hahahahahahawew
Haha haaaaaaaa
Kweli
Wallah umependeza kinomaa
Mashallah
mombasa rahaaaaa jamni
pambe sana
Hapo ni jubilee hall Mombasa Kenya
hatariii
jamanii adi raha
wamependeza sana hadi raha
Salam alaikum I have a question does this allows in islam???? All the ladies are fully make up and the nans are there???? A big shame for Muslims that is why Allah us...Allah grant us
Some translate this ??
Dvir8ifuv7:vuvuiii'yJvhdkfvbjhhhkv k hhkddvbbn!,9699635
mashaallah
mwanaa Juma nice
Amina,mlaani,shayaatwin,kila,ndoa,ina,majaribu,yake,utashinda,tu
Kama,mapenzi,ghorofha,yamejaa,kariakoo,amiinaa,rudi,kwa,mume,wako
Ivo kukaa vichwa wazi ndio nini mnazngua wakenya
Ipambeni dunia na muikumbuke akhera pia duniani tunapita tuu mkiziendekeza stalehe zadunia nduguzanguni mtakuwa pabaya siku hiyo ya kiama ya msimamo mtasema ( yaa laytani kuntuturaba ) tunatamani leo hii tugeuke mchanga kutokana na azabu ZA Allah ni kubwa na nikari ushauri wangu nasaha yangu tubuni nduguzanguni kabla umauti haujawafika
We nawe umetokea wapi na jina lako hilo lakutishia wasio kuwa na uzito wa DINI,watubu nini sasa nawatu wanasherehekea harusi yao,
From what country is this fever
From what country dispeople
+Fathia Kortekela Kenya and Tanzania
Kenya mombasa
SHIKAMOO MC
Vdf
Mashalla
Mashalla umependeza