Innalillahi wainna ilayhi rajiuna kina mama wapambajibona hamujielewi mna fanya mambo hayaendani kabisa na dini yetu yakiislam inahuzunishaaaaaaas mwili wa mwanamke wote ni uchi ispokuwa viganja na uso tuu jirekebisheni tubieni kabla hayajawafika mauti ndugu zanguni
Assalamu alaykum Hivi mie nauliza nyinyi wanaume baadhi yenu mna nini mkeo ushamuoa halafu unamuacha uchi umati wawatu wanamuina viungo vyake tena duniani nzima anaonekana hivi kwanini nyie hamuna wivu ns wakezenu wapendwa kwani .kiwasitiri wakezenu kwenye hafla hatopenezs inauma sana na nyinyi ni mas uliya mbele ya allah mtatafuta lakujibu😭😭
Kk angu alikiba nakutakie maisha mema ishalla
Allah awajalie maisha mema yenye Furaha inshallah
Allah ajalie ndoa za kudumu Amiin
Maneno mazuri mama nasaha nzuri Sana Allah ailinde ndoa yako.
Allah awajaaliye kheri njema ktk ndoa zenu inshaallah
Mashaallah pame pendeza vlivyo hogela kingi kiba
God bless bro’ Alikiba! I love your music. Salamus from Germany 💜💜
Asante malimu kwa usia mzuri mfupi lakin mkubwa sana
Inshallah maisha mema
Waaaah pia nyinyi mnavaa Kama zile zetu wow love it ,white wedding ❤️❤️❤️
Hongereni sana
Hizi video za uchi za mkeo zifute mitandaoni unabeba dhimma kwa mungu
Mwenyeezi mungu awabariki ndoa zenu inshaallah 🙏 🙏 🙏
MAY ALLLAH S.W LEAD US ALL TO THE RIGHT PATH AMEEN! LOOK WHERE DUNYA IS TAKING US!
Ma.sh.allah.aroos.khary.❤💋💋💋💋💞🤲
Mashaallah dua imeenda shule
Safi sana kk Ali 💕💕💕
wa2 kucoment from +254 mombasa
Bn,
Bn,
You are very nic
nawatakiya maisha marefu yenye upendo nafaraja...muishi kwakupendana nakuasameheena
Innalillahi wainna ilayhi rajiuna kina mama wapambajibona hamujielewi mna fanya mambo hayaendani kabisa na dini yetu yakiislam inahuzunishaaaaaaas mwili wa mwanamke wote ni uchi ispokuwa viganja na uso tuu jirekebisheni tubieni kabla hayajawafika mauti ndugu zanguni
😀😀😀😀 dua yakuongeza mke dah shekh umeniacha nipasue kicheko
😂😂😂 Duwa Ambayo Amjawai sikia.. jamani Mikono Juu..
Masha Allah
Tumcheni allah subhanahu wataala
Ma asha allah mwenyezi mung awajaliye muishi kwaupendo
Amin waishi kwa upendo
Maashaaallah
masha allaah
Assalamu alaykum
Hivi mie nauliza nyinyi wanaume baadhi yenu mna nini mkeo ushamuoa halafu unamuacha uchi umati wawatu wanamuina viungo vyake tena duniani nzima anaonekana hivi kwanini nyie hamuna wivu ns wakezenu wapendwa kwani .kiwasitiri wakezenu kwenye hafla hatopenezs inauma sana na nyinyi ni mas uliya mbele ya allah mtatafuta lakujibu😭😭
dada asia allah akulipe kheri kuongea ukweli kwenye hadhara ya watu walio kaa kimya
Ka naogopa maskini
Amina
Mishono ya nguo za harus
Mijitu ipo kichwa wazi mnafikili maraikq watashuka hapo
Kijana wa Ally ame ni acha hoi😂😂😂
Allah Akbar!!!!!
Mashallah
MashaaAllah
ommy dim ponzi
Doa ni siri leo wako wapi
Wako kwako
Amiin
Mtoto alishindwa kusoma dua nikwa sababu hakujakua na stara watu wapo vichwa wazi
Okwinyo
Dogo anauoga kweli
Kwanini asifinikwe biarusi
F
Kjthd