REV. DR. ELIONA KIMARO: WA MBAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 47

  • @DorisKimario-sp3gm
    @DorisKimario-sp3gm หลายเดือนก่อน

    Amina mchungaji nakuelewa sana Mungu akupe maisha marefu

  • @marysymon4618
    @marysymon4618 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mnoo mtumish maana mahubiri yako huwa yananibariki mno

  • @reystutaben4902
    @reystutaben4902 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi mtumishi Eliona Kimaro.

  • @chenhans8236
    @chenhans8236 ปีที่แล้ว

    2023 Kimaro wa Mbao

  • @phdmedia9517
    @phdmedia9517 ปีที่แล้ว

    Kwa ujumbe huu, unapitishwa ktk kipimo cha Mungu kwa jaribu lako. Jipe moyo na ukumbuke na uuishi huu ujembe maana Kristo yuko pamoja na ww Rev. Kimaro

  • @mathayomungure
    @mathayomungure 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki sana baba,,

  • @janemwangangi7366
    @janemwangangi7366 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana muchunganji, from canon Jane Mwangangi - kenya - Nairobi

  • @hevenlightminja8032
    @hevenlightminja8032 ปีที่แล้ว

    Amen nafarijika sana na mahubiri yako Rev ni kweli kabisa mwaka 2023 ni mwaka wa mbao umekuja

  • @phdmedia9517
    @phdmedia9517 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @dr.sarahosima8066
    @dr.sarahosima8066 ปีที่แล้ว

    Asante Baba Mchungaji Kwa NENO la uzima, Tunakuombea na tutakuombea daima Mungu akuzidishie maisha marefu na amani tele ktk Jina la Yesu Kristo

  • @dadarehema
    @dadarehema ปีที่แล้ว +5

    Yaani namwelewaga huyu pastor na mahubiri yake acha tuuu.Natamani awe anahubiri kila siku hapo.Mungu akuweke mtumishi wa Mungu E.Kimalo.
    Greetings from Sweden 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🎤🎤🎤

    • @magrethnjema9402
      @magrethnjema9402 ปีที่แล้ว

      Mimi wambao nimewasili 2023. Wambaoooooooooooooooooooooo! Amani daima kwa njia zote.

    • @magrethnjema9402
      @magrethnjema9402 ปีที่แล้ว

      Ambao ya msalaba wa Yesu nimevuka na ninalitaja jina la Bwana wa majeshi

    • @elisaambise9502
      @elisaambise9502 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @adrenangao8096
    @adrenangao8096 ปีที่แล้ว

    For sure ni mmja wa watu ambao mungu amepand kitu kikubw kwa ajili ya watu ...biblia inasema tii wenye mamlaka .....mungu akupe mlango wa kutokea na naamini mlango upo ata kabla ya tukio kutokea anasasbr saa ifke ..... lakin pia mungu aachilie aman ndan ya kansa ......maombi ni silaha..pekee ambayo mungu alituchia

  • @jenifamoshi1219
    @jenifamoshi1219 ปีที่แล้ว

    Wa mbao Mungu ww waweza yote nivushe panapostahil bwana

  • @revinakashaka9554
    @revinakashaka9554 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana mahubiri yako ujumbe huu hakika bahari zilikutana lakini mbao zitanivusha kwa neema yake Yesu

    • @janemwakasege6460
      @janemwakasege6460 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana Mch Kimaro kwa ujumbe wako umenigusa sana mnoo! Hakika kupitia ujumbe wa leo hakika Mwaka 2023 ninaamani mambo yangu yoote yamekuwa

    • @glorymoshi5133
      @glorymoshi5133 ปีที่แล้ว

      Wa mbaooo alililili lililiiiii

  • @samwelinyaku3810
    @samwelinyaku3810 ปีที่แล้ว

    Mungu atakuvusha Dad popote ulipo tupo

  • @rumb5876
    @rumb5876 ปีที่แล้ว

    AMEEEEN 🙏🏾 MIMI NI WA MBAO

  • @annasiimapeter8955
    @annasiimapeter8955 ปีที่แล้ว +1

    Wa mbao in the name of Jesus Christ.

  • @shikumacharia2976
    @shikumacharia2976 ปีที่แล้ว

    Amen. Wa Mbao tunawasili

  • @jenniferngwasi1368
    @jenniferngwasi1368 ปีที่แล้ว

    Ameeni nilibarikiwa sana na huu ujumbe MUNGU AKUBARIKI SANA PASTER

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 ปีที่แล้ว

    Nipo hapa wa mbao wooow

  • @stellawilliam4794
    @stellawilliam4794 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa

  • @agnessvicent6591
    @agnessvicent6591 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @doreenmoshi6062
    @doreenmoshi6062 ปีที่แล้ว +2

    Wa mbao ninawasili ..

    • @journeywithjesus
      @journeywithjesus ปีที่แล้ว

      Haswaaaa

    • @annajohnmlomi3238
      @annajohnmlomi3238 ปีที่แล้ว

      @@journeywithjesus Aaaamen Bwana azidi kukufunulia maisha wa kondoo wako.....oh umeniona tumishi.....

    • @annajohnmlomi3238
      @annajohnmlomi3238 ปีที่แล้ว

      @@journeywithjesus Aaamen

  • @sararutonda2072
    @sararutonda2072 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏

  • @ndinagwemwakyambiki8521
    @ndinagwemwakyambiki8521 ปีที่แล้ว

    Ameni ameni.

  • @esterjohn1332
    @esterjohn1332 ปีที่แล้ว

    Ameen and Amen

  • @juliennenamtaka6859
    @juliennenamtaka6859 ปีที่แล้ว

    Amen 🎉

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN

  • @esterjohn1332
    @esterjohn1332 ปีที่แล้ว +1

    Amen in Jesus name.

  • @berthajackson8261
    @berthajackson8261 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @slimpeewee1426
    @slimpeewee1426 ปีที่แล้ว

    AMEEN

  • @johnhokaray6898
    @johnhokaray6898 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana Much kimaro wewe ni mkweli kulingana na nyakati

  • @margretben6920
    @margretben6920 ปีที่แล้ว +2

    Moyo wangu umejaa uchungu wa tufani mchungaji sina chakusema tufani inapasua merikebu ya moyo wangu sioni namna tena. Ila namuomba Mungu nikiinua kichwa nimuone yeye. Ni zaidi ya kilo moja yaani nimejaa.

    • @sindafetty8866
      @sindafetty8866 ปีที่แล้ว +3

      MUNGU aonekane na roho mtakatifu akufariji na kukupa amani.

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwaminifu Dada Margaret na wakati wake sio wakati wetu. Hata mwokozi wetu alionja Siki. Atakupatia wepesi. Ngangana na pindo la Yesu usimwachie. Mungu akupatie Amani.

    • @annakbunga8377
      @annakbunga8377 ปีที่แล้ว +1

      Nakuomba Sana umlilie Mungu achilia Moyo wako Kwa Mungu yataisha kama kulia Lia Sana ukimaliza jisamehee mwenyewe utakaa Sawa 🙏🤲

    • @edithmwasulama7005
      @edithmwasulama7005 ปีที่แล้ว

      Pole mpenzi ni suala la muda tu shukuru kwa hayo asubuhi inakuja roho mtakatifu asikuache

  • @emmahuruma7595
    @emmahuruma7595 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mtu wa Mungu

  • @sarahjohn4928
    @sarahjohn4928 ปีที่แล้ว

    Ameen