REV. DR. ELIONA KIMARO: KUJIONEA SHAKA: KABURI LA ELISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2023
  • EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 16/01/2023
    SOMO : KUJIONEA SHAKA ( SELF - DOUBT )
    "KABURI LA ELISHA"
    KUNA WAKATI WATU WANAFIKIRI WAMEKUZIKA KUMBE WAMEKUPANDA
    2 Wafalme 13 : 20 - 22
    Yohana 12 : 24

    2 Wafalme 13 : 20 - 22
    20 Elisha akafa, nao wakamzika. Basi vikosi vya Wamoabi wakaingia katika nchi mwanzo wa mwaka.
    21 Ikawa, walipokuwa wakimzika mtu, angalia, waliona kikosi; wakamtupa yule mtu kaburini mwa Elisha; mara yule maiti alipoigusa mifupa ya Elisha, alifufuka, akasimama kwa miguu.
    22 Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi.
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa Maoni na Ushauri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 64

  • @kamenemulu8561
    @kamenemulu8561 ปีที่แล้ว

    Mungu hamekuinua kiwango kingine hakutie guvu hakupe wisdom like Solomon

  • @monicamtui2922
    @monicamtui2922 ปีที่แล้ว +4

    Ulipo tupo nyuma yako. Damu ya Yesu ikakufunike, imuimaroshe na ukupaishe zaidi. Urudi na Nguvu mpyaa. Amen

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 ปีที่แล้ว +1

    Watainuka wengi juu yako lakn mungu anakujua kweli kweli simama anzisha huduma yako hawa watu watakupasua moyo wako

  • @user-ox6zb8gz9n
    @user-ox6zb8gz9n 9 หลายเดือนก่อน

    Maono yangu sio yakufa kwa jina la YESU KRISTO

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 ปีที่แล้ว +1

    Daddy Mungu Akulinde Daddy wangu Mzuri Nakupenda sana hakika wewe ni mbegu iliyohai hata wakupige mawe wala hauto dondoshwa.

  • @Anna-fo6sq
    @Anna-fo6sq 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema Sana me mung akulide siku zote

  • @tinaclement9062
    @tinaclement9062 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Yuko upade wako wanakuonea wivutu kwasababu bingu zimefunguka

  • @MichiyMamasfinest3131
    @MichiyMamasfinest3131 ปีที่แล้ว +3

    I discovered this charismatic, charming and prayerful man of God a few days ago while browsing through the internet, I really commiserate with him for the battles he is undergoing right now. You are an international figure, I am a kenyan and have come to love your sermons, they are powerful

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 ปีที่แล้ว +2

    Yesu ana haja nawe baba endelea mbele nakupenda bure 🇰🇪🇰🇪❤️🇸🇦🇸🇦❤️

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +3

    FROM BITTER TO BETTER OOH LORD LET THE WORD OF STAND AND MANIFESTED . TUITION OF REV ELIONA KIMARO Will NEVER be forgotten. He has taught us a lot of truthfulness! Bitterness shall NEVER stand FOREVER.

  • @gloryharold8022
    @gloryharold8022 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mchungaji wetu, Mungu akubariki sana, 🇩🇪

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +4

    SEE YOU AGAIN.OOOH FROM BITTER TO BETTER. FUMBO KUBWA UMEACHA MADHABAHUNI KKKT KIJITONYAMA. EEH MUNGU SIKIA KUOMBA KWETU. AMEN

  • @brendahngowa
    @brendahngowa ปีที่แล้ว +1

    Ameen Ameen ubarikiwe mchungaji

  • @beatricewanjiku6564
    @beatricewanjiku6564 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwa , God is with you Reverend
    Kimaro

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 ปีที่แล้ว

    Kuna tofauti ya kuzikwa na kupandwa👏👏👏👏nimepandwa mie I gonna fire the world again

  • @GraceHamis-zh7po
    @GraceHamis-zh7po ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu mrudishe mtumishi wako

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +1

    BWANA YESU ASIFIWE. EEEH MUNGU WETU ULIYE HAI, NINAKUOMBA PAMOJA NA WENGINE WEEEENGI HUMU , UTURUDISHIE DR. ELIONA KIMARO KTK USHARIKA HUU ALIOHUDUMIA KWA HEKIMA NA UTUKUFU WAKO EEH MFALME. AMEN

  • @michaelmzinga4741
    @michaelmzinga4741 ปีที่แล้ว +3

    Now will be attending your sessions here sir.

  • @hamidakiiza1925
    @hamidakiiza1925 ปีที่แล้ว +1

    We miss you our Mchungaji na Mungu atakuinua zaidi na zaidi wamekupanda utamea zaidi

  • @rumb5876
    @rumb5876 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEEN🙏🏾 MCH. BABA MUNGU AKUBARIKI

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEN AMEEEN MUNGU AKUBARIKI SANA Baba yetu AMEEEN

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว

    SIJAFA NIMEPANDWA OOOH HALELUYA, BARIKIWA SAAAANA BABA MCHJ DR.ELIONA KIMARO. AMINI TU KTK YOTE ULIYOHUBIRI JIONI HII YATATIMIA KWA NGUVU ZA JEHOVAH YAHWEH. AMEN KUBWAAAA

  • @pascalkidiku5898
    @pascalkidiku5898 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Mchungaji ulipo tupo.

  • @marykyamba9042
    @marykyamba9042 ปีที่แล้ว +2

    Amen! Bless you always baba

  • @ivymedia9921
    @ivymedia9921 ปีที่แล้ว +1

    kaburi la elisha

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 ปีที่แล้ว +1

    BABA TUNAKUPENDA SANA NA TUNAKUOMBEA PIA

    • @agnesnnko8872
      @agnesnnko8872 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana mon Pasteur Dieu est avec toi toujours.

  • @danielkileo1314
    @danielkileo1314 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @maryswai625
    @maryswai625 ปีที่แล้ว +1

    Tuendelee tu hapa baba
    Online

  • @peragiabhudogo7631
    @peragiabhudogo7631 ปีที่แล้ว +1

    Amina Babaaa

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Ameni

  • @nancylema7075
    @nancylema7075 ปีที่แล้ว +2

    Tuko pamoja baba tunakulilia

  • @dfremac
    @dfremac ปีที่แล้ว

    Rev eliona naona kama wa Tanzania hawataki baraka za mahumbiri yako njoo KENYA uanze kaniza lako.nimejitolea kupa mahali pa kujenga kanisa.

  • @upendojoseph2731
    @upendojoseph2731 ปีที่แล้ว +1

    AMEN

  • @stellaambrose6021
    @stellaambrose6021 ปีที่แล้ว +1

    This is a God mystery. Satan is a big liar. Mungu wetu na ahimidiwe pastor

  • @hopedaniel7360
    @hopedaniel7360 ปีที่แล้ว +1

    Amina🙏🙏

  • @jenelithangemalila5160
    @jenelithangemalila5160 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @elizabethmuli5911
    @elizabethmuli5911 11 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa uonga Tz 😂 hapo kujiamini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍ukeli kabisa mtumishi 😂

  • @edsonmulokozi7288
    @edsonmulokozi7288 ปีที่แล้ว +1

    Eimeeen

  • @linetmudogo4965
    @linetmudogo4965 ปีที่แล้ว

    Amen amen, 🇰🇪🇰🇪

  • @carolinemwangili9421
    @carolinemwangili9421 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @hellentungu936
    @hellentungu936 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen Ameee

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEN AMEEEN

  • @lilianminja1662
    @lilianminja1662 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen 🇬🇧

  • @FREEMANPAUL
    @FREEMANPAUL ปีที่แล้ว

    Milele Amina

  • @marymushi7792
    @marymushi7792 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mch.ngaji kimaro ameludi usharikani au

    • @Usxznt
      @Usxznt ปีที่แล้ว

      Hii ya tarehe 16/January

  • @stellaambrose6021
    @stellaambrose6021 ปีที่แล้ว +1

    Ukristo was kweli ni gharama nimejifunza kitu

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 ปีที่แล้ว

    Mungu mkumbuke mwanao tunaomba umfunike kwa dam ya Yesu

  • @magrethuronu7190
    @magrethuronu7190 ปีที่แล้ว

    MUNGU wewe ni mwema mno utukufu ni wakwako,ata Sasa wewe ni Ebenezer

  • @danielkileo1314
    @danielkileo1314 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @sesiliasylvester2409
    @sesiliasylvester2409 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @sephaniangulo4035
    @sephaniangulo4035 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @dorisassey8142
      @dorisassey8142 ปีที่แล้ว

      Kama Isaka alivyochimbà visima wakawa wana mnyanganya bado alisimama imara .Mungu awe na Daima Joshua 1:5

  • @firirama5141
    @firirama5141 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @janekanje9819
      @janekanje9819 ปีที่แล้ว

      Amen baba

    • @hellenminja3734
      @hellenminja3734 ปีที่แล้ว

      Tuko pamoja.baba yetu

    • @fortunataakyoo5547
      @fortunataakyoo5547 ปีที่แล้ว

      Cjawahi kukuona ukihubiri kivivu Wala kuomba kwenye utumishi wako Mungu akukumbuke akuvushe MUNGU sii dhalim

  • @laurenciangonyani8929
    @laurenciangonyani8929 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @mariamollel8049
    @mariamollel8049 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @annadida5672
    @annadida5672 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @jacquelinemosha2599
    @jacquelinemosha2599 ปีที่แล้ว

    Amen