Ukuta wa Hofu ya Mabadiliko | Yesu Pale Gethsemane | HOFU YA MABADILIKO | Rev. Dr. Eliona Kimaro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 09/ 07/ 2024
    MAHUBIRI: SEMINA YA NENO LA MUNGU
    "HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    ''UKUTA WA HOFU YA MABADILIKO''
    (YESU PALE GETHSEMANE)
    Torati 28 : 6
    Yohana 12 : 24
    Marko 14 : 32 - 38
    Luka 22 : 40 : 44

    `1"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    KUMBUKUMBU LA

    Torati 28 : 6
    6 Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    Marko 14 : 32 - 38
    32 Kisha wakaja mpaka bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda niombapo.
    33 Akamtwaa Petro na Yakobo na Yohana pamoja naye, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.
    34 Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.
    35 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
    36 Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
    37 Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
    38 Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
    Luka 22 : 40 : 44
    40 Alipofika mahali pale aliwaambia, Ombeni kwamba msiingie majaribuni.
    41 Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba,
    42 akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.
    43 Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
    44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

    Mhubiri: Mch. Dr. Eliona Kimaro.
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 19

  • @gospel8068
    @gospel8068 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ni mwaka wa 7 tangu Roho Mtakatifu aliponielekeza kwenye mafundisho ya "The school of healing" Sijawahi kujuta..na kila kipindi ninavyovifuatilia...Mafundisho yake yanaAkisi jina la kipindi...Hakika WENGI TUNAPONA MIOYO,Mwenyezi Mungu akulinde kama mboni yake ya jicho daima,Wewe na familia yako..Akuangazie mafunuo zaidi..kwani UMEJIPATA Baba Mchungaji Kimaro.
    Asante Mungu kwa chimbo hili la Baraka katika Kristo Yesu!

  • @theresialaswai566
    @theresialaswai566 13 วันที่ผ่านมา +1

    Niwe na baraka kuingia na baraka ya kutoka katika maisha yangu ya afya roho na mwili, kielimu, na kiuchumi. 🙏

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mchungaji Kimaro una baraka ya kutoka na baraka ya kuingia, asante kwa somo zuri sana na Mungu azidi kukupaisha, wewe ni researcher wa hali ya juu sana hubahatishi kwa mafundisho

  • @philmonnem7294
    @philmonnem7294 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏

  • @francescammari5337
    @francescammari5337 6 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen
    Dr Kimaro Mungu akubariki

  • @TwinaweEnterprises
    @TwinaweEnterprises 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @gracemsenya2198
    @gracemsenya2198 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde.mchungaji kimaro unaponya watu waliokata tamaa kutokana na mahubiri yako yanatibu

  • @braytonshalom637
    @braytonshalom637 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeen Ameen❤❤❤

  • @happynesspallangyo9297
    @happynesspallangyo9297 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mchungaji EK Mungu akulinde na kukuinua zaidi

  • @TwinaweEnterprises
    @TwinaweEnterprises 13 วันที่ผ่านมา +1

    Dr Kimaro siku zote nabarikiwa na mahubiri yako

  • @erickvalentine5848
    @erickvalentine5848 14 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana mchungaji. Mungu azidi kukubariki kwa utume huu. Najifunza mengi

  • @braytonshalom637
    @braytonshalom637 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen dady

  • @martinmtwale1242
    @martinmtwale1242 7 วันที่ผ่านมา

    Aminaaa

  • @benardmutua1459
    @benardmutua1459 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amen pastor

  • @TwinaweEnterprises
    @TwinaweEnterprises 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nina baraka ya kuingia na baraka ya kutoka

  • @schoollife5813
    @schoollife5813 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa israel ni mungu wa ek .mchungajikimaro watanzania wanasema.tumpate wapi mtu kama huyu ambaye roho wa mungu anakaa ndani yake? Mungu akufikishe kiwango unachokiitaji kukifikia tupone

  • @schoollife5813
    @schoollife5813 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa israelindiye mungu wa eliona mbele ya farao tumpate wapi mchungaji kama hutu ambae roho wa mungu anakaandani yake?

  • @user-bj2sl5cp1w
    @user-bj2sl5cp1w 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amina mchungaji kimaro mungu akubariki sana🙏🙏